Kusah ft Maua Sama - Wenyewe (Official Lyrics Video )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 890

  • @Kusah
    @Kusah  Рік тому +666

    I LOVE YOU GUYS 🏆❤️ ENJOY,COMMENT AND SHARE 🎶

  • @shaddoofficiodpozz3297
    @shaddoofficiodpozz3297 Рік тому +166

    Ukifatilia hizi comments utapata kuwa Kenya wanasuport sana wasanii wa Tanzania… big up Kenyans❤❤ much love

    • @SadikiSinkala-zi3ln
      @SadikiSinkala-zi3ln Рік тому +1

      Wanapenda music muziri na bongo ndo kituo cha burudanii

    • @florarobertdavid
      @florarobertdavid Рік тому +1

      Ujui wakenya wanakaa kenya ila masikio macho moyo akili ipo tanzania bado ujajua iyo

    • @ibrahimkasim922
      @ibrahimkasim922 Рік тому +2

      Tupo pamoja kiongoz Nas tunawakubali wakenya msmskilize khalighraf

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Рік тому

      Their obsession towards us is unexplainable,From the fans to their artists +Their leaders,in short Kenyans are obsessed with Tanzanians

    • @moraacomedianchairladywavi4502
      @moraacomedianchairladywavi4502 8 місяців тому

      Yeees we do

  • @gilbertasenga9352
    @gilbertasenga9352 Рік тому +261

    Nipeni likes zangu mim wa kwanzaaaaaa

    • @nuhumabenanuhu2989
      @nuhumabenanuhu2989 Рік тому +4

      Na kanisan uwe wa kwanza

    • @yassirgiya6743
      @yassirgiya6743 Рік тому +3

      Likes zikusaidie nn ww umbwaaaaa😂😂😂😂 ebu tafta hela uko

    • @Kizanda_84
      @Kizanda_84 Рік тому +1

      @Kussa boy from Tanga 💥💥💥💥💥💥💥💥
      ua-cam.com/video/XKCj0HogZXE/v-deo.html

    • @merrilygodrich9856
      @merrilygodrich9856 Рік тому +1

      Hatutaki😂😂#jokn

    • @PerisNganga-h9i
      @PerisNganga-h9i Рік тому

      ​@@yassirgiya6743⁰😅

  • @JumaShirima
    @JumaShirima 10 місяців тому +21

    Mapenz yana wenyew na wenyew ndo xx ndo xx ❤❤❤❤❤ l love you song

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ Рік тому +12

    Hii nyimbo inastahili zaidi ya Hapa❤🎉

  • @WardaShebe
    @WardaShebe Рік тому +13

    Mapenz yana wenyewe❤❤❤nawenye ndo cc😊😊love the song and bits

  • @DavidDavid-tf9ug
    @DavidDavid-tf9ug Рік тому +10

    Sijawah kuwa na mashaka kweny kipaji cha maua sama great work pia mamen kusah ur vocals are something else

  • @blackeagle4441
    @blackeagle4441 Рік тому +15

    This man 🙌🙌🙌🙌asee mpewe mauwa yenu kusah ft mau 🙌🙌🙌Ili goma mmetisha ❤️the best song ever

  • @StanzaMata
    @StanzaMata 7 місяців тому +15

    From Rwanda 🇷🇼, I love this song ❤

  • @vinnykaris3252
    @vinnykaris3252 9 місяців тому +78

    I’m leaving this comment today so after a month or a year, when someone likes it, I get reminded of this masterpiece ❤

  • @jacinterakumu9106
    @jacinterakumu9106 Рік тому +71

    My neighbours will either choose to listen to this song or relocate coz it will be on repeat 🔥 mob love from kenya

    • @nancykattkangukangu5884
      @nancykattkangukangu5884 Рік тому +2

      Kiukwel kussa hapo kwenye iyo Toyo maua alivyokushika ulikaa romantic mno mpaka wivu utazan mm ndio aunty

    • @ivan_spoiler
      @ivan_spoiler Рік тому

      😂😂😂

    • @greatnamez5438
      @greatnamez5438 8 місяців тому

      Will relocate to your house😅

    • @graceOkongo-t9b
      @graceOkongo-t9b Місяць тому

      "Either choose to listen"kweli kimeumana.

  • @AlmaCisse
    @AlmaCisse Рік тому +114

    On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song 😂😍💯🔥 Pitia kwangu pia nina mziki mpya

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому +6

    Nyimbo nzur kaka kusa,,ila kusa wewe ni bonge la bwana ,,umekaa kiume sana

  • @doreenfrancis5638
    @doreenfrancis5638 Рік тому +104

    Love from Kenya 🇰🇪wapi likes Kenyans in the house🔥🔥🔥💯💯

  • @marion_998
    @marion_998 Рік тому +10

    Nmeipenda kutokea kenya...kweli wenyewe ndio sisi❤❤😂

  • @mtbrain94
    @mtbrain94 Рік тому +4

    Na play this song a day by day,mwenye anafanya kama mimi nipatie like

  • @frumencekaigai4030
    @frumencekaigai4030 Рік тому +6

    Wenyewe ndio sisi🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes watu wangu

  • @Mj_minde_vitenge
    @Mj_minde_vitenge Рік тому +7

    Mwendo wakupimaaa ❤
    Nakupenda sana lusy wanguuu popote ulipo ❤️

  • @SululuZungu
    @SululuZungu 7 місяців тому +9

    Hu music unawanyew na wenyew ndo sisi watanzania wakenya km hamtak kaogeni mlale nyny mwny kuamini like hapa😂😂😂😂

  • @lanking61
    @lanking61 Рік тому +12

    Wapi likes za kusah na maua sama

  • @lipuajabaofficial9301
    @lipuajabaofficial9301 Рік тому +26

    Big people, big song. We love this song...typing on behalf of kenyans

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 Рік тому +7

    Maua Sama, you are real a singer , big up sana great talent

  • @merrymwakunje4108
    @merrymwakunje4108 Рік тому +2

    Baba Norman mungu akulinde nafatilia San Kaz zako nafurahishw sana na hii nyimbo nimeamgalia zaid ya mara 5

  • @itzbarsh3324
    @itzbarsh3324 Рік тому +16

    nimeweka repeat tiyari🔥 Kusah never disappoints, i been a fan since forever

  • @georgekuria2541
    @georgekuria2541 Рік тому +2

    Wuueeh! Hio imeweza, Yani hata si moto wa kuotea mbali ila ni moto wa stima, kali sana.
    Much love from 🇰🇪 254 Kenya

  • @ENJOYURSELF-sp3qj
    @ENJOYURSELF-sp3qj Рік тому +1

    All of us we must enjoy it a good song ......I appreciate the creativity of this song. I'm nasemea tena nyambo ni nzuri wakinisikiliza na enjoy so ende fanya vzr zaidi 🥰🤝

  • @mrcardano1203
    @mrcardano1203 Рік тому +2

    Gyn ni producer ambae nimempitisha kutengeneza bongo flavor aise💪💪💪

  • @bensonkwaya7884
    @bensonkwaya7884 Рік тому +21

    Another hottest collaboration 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sazumsaid69
    @sazumsaid69 Рік тому +1

    Ngoma kali sana yan one love to KUSAH together with MAUA SAMA

  • @annjoyadeba5562
    @annjoyadeba5562 Рік тому +17

    Great job... much love from Kenya 🇰🇪 👏

  • @brianomangi8073
    @brianomangi8073 Рік тому +2

    Wenyewe ndio sisi,...ndio sisi .this is a hit! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Masige_fm
    @Masige_fm Рік тому +1

    Nyimbo zinazohusishwa na huyu mdada Maua huwa ni kali sana. Hongera mdada mzuri

  • @francisbarasa5481
    @francisbarasa5481 3 місяці тому +3

    love from kenya nawatambua sana

  • @magdalenaIlanda
    @magdalenaIlanda Рік тому +18

    The most underrated musicians … they’re the best ❤🎉🎉

  • @footballfantasy7921
    @footballfantasy7921 Рік тому +5

    Moto ka stima, hii yafaa ikue 10million plus views,it's a masterpiece from vocals ,chorus and beats,from Kenya I approve this

  • @EssyAyra
    @EssyAyra Рік тому +1

    Walai huu wimbo n mwaaaaaah,,nmeipenda❤

  • @NasuilaAlphonce-ci3rk
    @NasuilaAlphonce-ci3rk Рік тому

    Unajua sana sema bongo wasanii wanaskika sana wapo kwa lebo Ila Mimi nakupa big up umepambana sana kutoka bumbuli migombani mpka bongo kuwa star haikuwa rahis much love boy kusah

  • @ShikoAiddah
    @ShikoAiddah 5 місяців тому +4

    Wangapi wanatoka TikTok,bless🔥🔥🔥🎺🎺💯🇰🇪🇰🇪

  • @KelvinMwanzia-hh4rh
    @KelvinMwanzia-hh4rh 3 місяці тому +1

    Zuchu tunakupenda sana ❤😂 pia huyo kaka ako na Sauti poa sana 🇰🇪🇰🇪

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ Рік тому +1

    Tamu sana hii

  • @joyaluoch4435
    @joyaluoch4435 19 днів тому +1

    Much love from kenya❤❤

  • @brotherhoodgang7823
    @brotherhoodgang7823 Рік тому +15

    Just love the vibe from this song, this verified as pure bongo music

  • @dismasmalisa4560
    @dismasmalisa4560 Рік тому

    Nikiwa kama waziri kivuli....imeenda hiii 🙌🙌🙌🙌🌹🌹🌹♥️💕

  • @alterboyafrica
    @alterboyafrica Рік тому +13

    One of the finest collaboration of the year absolutely 👍

  • @rayakhatib2811
    @rayakhatib2811 8 місяців тому +4

    I love this music from Nigeria 🇳🇬

  • @STAVOO_WIZZIE
    @STAVOO_WIZZIE Рік тому +2

    Bila kulazimishwa pia nikiwa na akili timamu HIKI CHUMA NI KIKALII 💣💥

  • @nicokimario3791
    @nicokimario3791 Рік тому +5

    Back vocal ya Maua ni another level 🙌🏿🙌🏿🔥

  • @femksenkoro3739
    @femksenkoro3739 Рік тому +2

    Wimbo mzuri SANA huu!!

  • @victormwambene2441
    @victormwambene2441 Рік тому

    Achenii kumlinganisha @mauasama na vitu vya ovyoo... The girl is the next level🎉

  • @flamescyber5225
    @flamescyber5225 Рік тому +2

    This is the East Africa Ive always dreamt of........... zaidi ya talanta hii

  • @aimstarsentertainment6481
    @aimstarsentertainment6481 Рік тому +1

    kusah good work I like it unaenda mbali bro

  • @michaelkappo4605
    @michaelkappo4605 Рік тому

    Haya mapenzi yana wenyewe for real mmmh..... Kusah ako juuuu

  • @omaryjamaly
    @omaryjamaly Рік тому

    Ngoma Kali sana kwa wale tunaojua nini maana mapenz Dunia starehe Hila tuwe makini

  • @NdayishimiyeEstella-u8j
    @NdayishimiyeEstella-u8j Рік тому +1

    Nakupenda sana kwawimbo zako❤❤❤❤

  • @Chriss_tophy
    @Chriss_tophy Рік тому +62

    Kusah is one of the best names in music that still exists. Mziki ni safii ❤🔥🔥

    • @Kizanda_84
      @Kizanda_84 Рік тому

      @Kusah home boy anaupiga mwingi 💥💥💥💥💥💥💥💥ua-cam.com/video/XKCj0HogZXE/v-deo.html

    • @sahil254official
      @sahil254official Рік тому +1

      Kind of music i like to listen to🔥🔥🔥

  • @fanuelngatunga417
    @fanuelngatunga417 Рік тому +3

    Hit song umeuwa kipande hicho mapenz yanawenyewe wenyewe ndio sis tiktok trend

  • @Tony-de1lk
    @Tony-de1lk Рік тому +1

    Kusah & maua sama hii nyimbo inawenyewe na mm ndo moja wapo 🔥🔥🔥🔥

  • @salhadiwani
    @salhadiwani Рік тому +1

    Yan maua anakuepoje katk nymbo alafu ikawa mbaya 🫡 akunagaaaa ❤

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH Рік тому

    Ww ni mtu mbaya sana kaka me nakupa bg up for your my brother #kusah

  • @braymusictz
    @braymusictz Рік тому

    Tamu sana hii ngoma 🔥🔥🔥🔥

  • @emmanuelkaputula2733
    @emmanuelkaputula2733 Рік тому +8

    This is a hit am telling you.. kusah never disappoint me with his music..
    Commenting from Zambia 🇿🇲..

  • @nishdaveria8801
    @nishdaveria8801 Рік тому +2

    I can't get enough of this song.. Kila siku napitia hapa😊 I love you❤

  • @Lailat-m5p
    @Lailat-m5p Місяць тому

    Hii kazi kubwa sana utulivu mkubwa Melody kubwa kusah kubwa maua sama mkubwa ngoma kubwa niishie hapo kusah unanidai

  • @IrenePhilip-ek4lw
    @IrenePhilip-ek4lw Рік тому +1

    Wimbo ni mzury mzury tena♥️♥️♥️

  • @KenyaDataPlatform
    @KenyaDataPlatform Рік тому +3

    I love this song. Maua Sama never fails on features. Kusah is one of the most talented artist we have in EA

  • @winniegodfrey326
    @winniegodfrey326 Рік тому +2

    Nyie kusa fundi na maua ndo achaaa ni 🔥

  • @kevoodongo2698
    @kevoodongo2698 Рік тому +1

    Hata kusa pia mimi nitabaki na wewe❤❤❤❤❤

  • @geofreykalawa2260
    @geofreykalawa2260 Рік тому

    Wote ni wapole by nature, bonge la match❤

  • @PricenssheymaahOmmy.d
    @PricenssheymaahOmmy.d 8 місяців тому +1

    Kusah na maua sam wamefanyaaa kituu kikubwa sana iyooo imendaaah

  • @ogslyly6181
    @ogslyly6181 11 місяців тому +1

    This song its avibe bado in mind 2024...hata kaa sina mtu i still dedicate to me,i and myself

  • @SandreAlhlwah-bv1cx
    @SandreAlhlwah-bv1cx Рік тому +2

    Kusah ngoma kali sana ❤❤❤❤🔥🔥🔥

  • @losiginaporu532
    @losiginaporu532 7 місяців тому

    In life, there are a lot of things we need and one of them is music and beautiful ladies

  • @kellykelliz5477
    @kellykelliz5477 Рік тому +31

    The chemistry with maua sana is so magical ❤❤❤❤❤

  • @pilotedwardy2240
    @pilotedwardy2240 Рік тому

    Kush hii iko poa sana miamia kwangu upo na Dada angu mauwa sama nawapenda sana

  • @Feitens
    @Feitens Рік тому

    Wow so sweet song I like it❤ aya mapenzi yana wenyewe n wenyewe ndo sisi❤❤

  • @saadibrahim1832
    @saadibrahim1832 Рік тому

    Baby wangu kanitumia basi daah!!! Kitu moto 🔥🔥🔥

  • @felixomondi3697
    @felixomondi3697 Рік тому

    Kazi safi sanaa kama nimeikubali hakuna wakupinga.Tafadhali jaribu kazi na Otile

  • @margaretmuchoki3631
    @margaretmuchoki3631 Рік тому +1

    Sichoki kuskiza huu wimbo jamani ❤❤❤❤❤

  • @wambuiwaweru9286
    @wambuiwaweru9286 Рік тому +2

    Nabaki m na wewe❤❤big tune❤❤❤love from kenya

  • @Ibramelody
    @Ibramelody Рік тому

    Kaka 🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatari

  • @skybilak5135
    @skybilak5135 Рік тому +1

    Kusah my favorite kusema kweli..mapenzi ni ya wenyew..to all my witch doctor that crooked neighbors I dedicated this song♥️♥️♥️♥️🇰🇪🔥🔥🔥👏💯🌟

  • @lytwilliam7050
    @lytwilliam7050 Рік тому +6

    beautiful song!
    the chemistry👌

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 Рік тому

    Kusah kwa auntez.....umefika maana umenenepa xna❤❤

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 Рік тому +58

    Kusah and Maua Sama aren't pregnant but they always deliver 🔥🙌 Banger!!!

  • @securite8893
    @securite8893 11 місяців тому

    Ngoma ali sana aisee one more big joint noma sana

  • @danielmollel5538
    @danielmollel5538 Рік тому

    wabongo mungu aliwapendelea sana uwa amm batishi

  • @rizikylaizer1602
    @rizikylaizer1602 Рік тому +1

    ❤on fire hii nimeipitisha ngoma ni kali

  • @amantechicco7804
    @amantechicco7804 Рік тому +1

    Brother kusah unajua sanaa

  • @dee2483
    @dee2483 Рік тому +4

    My two favorite people sama & kusah 🥰😍🙌🤸🇰🇪🇰🇪

  • @lamarjohnson9145
    @lamarjohnson9145 Рік тому +4

    I don't understand a word of this beautiful song. But my heart, yes my heart it understands. Thank you so much❤❤❤

  • @HopeBoyMusic
    @HopeBoyMusic Рік тому +1

    Mdundo mkali🎱🔥..inapendeza

  • @michaelmwembezi5998
    @michaelmwembezi5998 Рік тому

    Live from korea❤much love this guys nipo korea saiz kikazi nawapenda nyote

  • @deankhidmusic
    @deankhidmusic Рік тому +2

    ❤ni Kusah tena
    Big up bro Mziki mtamu huuu... big tune

  • @dianamassawe2534
    @dianamassawe2534 Рік тому +1

    Wimbo mzuri mnoo jamani mpewe maua yenu

  • @KiroKio-th4en
    @KiroKio-th4en Рік тому +5

    I have repeated 5times I love the rhythms😘😍😍🇰🇪🇰🇪all my wicked ex and witch doctor s sorry I got the medicine

  • @Khashura
    @Khashura Рік тому +2

    ❤❤❤❤ so much love to both u guyz I as a🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rafaelamrosso262
    @rafaelamrosso262 Рік тому

    mwanangu cio sir mmeuwa kinoma noma yaan👏👏👏

  • @frasiahwaithira5800
    @frasiahwaithira5800 8 місяців тому

    I love this song Na shinda nikirudia hii song

  • @algoforex1239
    @algoforex1239 Рік тому +1

    My favorite. Congratulations Kusah & Maua Sama

  • @ZipporahKimani-x1q
    @ZipporahKimani-x1q 2 місяці тому

    The message in this song Wow 😲😳😲❤❤❤❤ ntabaki mi na ww