depression almost killed me 5years ago but I made it out alive, this songs gives happiness reminding me that still I have time I should focus on being happy, 23 years happily single ❤️
Had a divorce early this month and this song makes me Enjoy hata kama sina kakitu..when ever I drive home from work I play the song,and it makes me feel oky....
Naenjoy Aslay Lyrics: Wa leo mimi wa leo Wa leo sio wa jana Aslay Maisha ndo yale yale Aah kuteswa ni kama funzo Mmh mengine tuyasamehe Oooh tusiweke viulizo Kikubwa uhai Nashukuru ninao sijakufa Ila kuhusu mapenzi sitaki show Nimeyakuta Kukesha kesha mawazo mzongo Sitaki tena kupigana pigana naogopa chongo Sitaki tena mlemavu akichoka anipa magongo Sitaki tena kutwa kulia lia kutapika nyongo Mapenzi yana wenyewe Si wengine tuwache shobo Tutazikwa wazima wazima Eeh eeh eeh Bora nitulie Umri wangu mi bado mdogo Nisitake ya watu wazima Naenjoy, naenjoy mama Naenjoy, naenjoy sana Naenjoy japo kuwa sina kitu Naenjoy mama Oooh naenjoy, naenjoy sana Nakukumbatia mtafuna roho yake Asikwambie mtu, mtu yeyote Ah, jamani shuka zina joto lake A sikwambie mtu, kitu chochote Kugandana gandana Kuzuga tunapendana Mwisho twaaza kuulizana Sitaki Mila sizitaki nyama Kupenda nimesimama Moyo wangu umegoma Hautaki ng’o Kukesha kesha mawazo mzongo Sitaki tena kupigana pigana naogopa chongo Sitaki tena mlemavu akichoka anipa magongo Sitaki tena utwa kulia lia kutapika nyongo Mapenzi yana wenyewe Si wengine tuwache shobo Tutazikwa wazima wazima Eeh eeh eeh Bora nitulie Umri wangu mi bado mdogo Nisitake ya watu wazima Naenjoy, naenjoy mama Naenjoy, naenjoy sana Naenjoy japo kuwa sina kitu Naenjoy mama Oooh naenjoy, naenjoy sana
Ukiimbiwa mziki ukauhisi moyoni na ikaganda akilini,basi jua iliimbwa kwa ajili yako. Hakuna siku hata moja Aslay ameimba nikakosa kupata ujumbe wangu. Mziki wako ni tiba.
Huu wimbo hunipa nguvu ya kubaki single nilivyo milele...no true love nowdayz.na if i will get true love and happiness i will teeard the guy a 10000 times
Mapenzi yana wenyewe. Mimi NAENJOY sana na Pesh Wangu. Tukipata tunashukuru, tukikosa tunamwomba maulana. Tafadhali nipe likes. Mimi ni mgeni kwenye Yutubu
mm cjui nina gundu kwa asley. mbona cpati hata like 20
Wimbo wangu bora ck zote
Naona unalia ju ya like nimekupea Hadi comment
Unatafuta umaarufu kwenye hakuna.
@@lotusvalley4797😮
Iyo ap
Nimevukanayo mwaka hii🎉❤ nani mwingine 2024?
Kama unaskiza hii song 2024 usipite bila like
Hata mimi naenjoy japo sina kitu, huu wimbo unahisia za kurelieve mtu. huondoa stress.... big-up mm napenda hii ngoma sana
Wenye tunaangalia 2024
unanikosha Aslay kweli mapenzi yana wenyewe wapi like zangu nkiwa Qatar.......
Na enjoy tena Mu 2021 tokea Drc 🇨🇩 na Burundi 🇧🇮 kama naweye pia una enjoy tena kwa uyu mwaka tupia like hapa. 😍
Na enjoy Sana tyu
Sitaki tenaaaaaa
@@maloomaalmnsj5111 👌
Haipiti siku bila kutizama huu wimbo😍kwakweli naenjoy japokuwa sina kitu kwa raha zangu🙏wote ambao twaienjoy na aslay tukiwa nje ya tz tujuane hapa👇
Salha mambo vp
Plz salha Nchek in petrobmakingi@gmail.com Japo tubonge.
2017: MUHUDUMU
2018: LIKIZO
2019: NAENJOY
2020: NSHAOA..
For now acha Nienjoy na ASLAY
Sana naenjoy asley yuko vizuri
🥰🙏🥰🥰
😅😅😅
Wow!
wow bro
Hapa ndo nafika natokea Kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼....nataka hata like 50 Kama ishara ya upendo wa East Africa
depression almost killed me 5years ago but I made it out alive, this songs gives happiness reminding me that still I have time I should focus on being happy, 23 years happily single ❤️
same here love 10 years been single
Uko young sana
Napenda wimbo huu but nimechoka kukaa single. Nani ako ready tumingle
njoo dada
Aslay Ni mkali kwenye Uandishi, Melody, Kichupa kikali Tz We proud of you #TukaeHumu Ngoma kali #Naenjoy
dah aliyeelewa hii ngoma kwa kuisikiliza mara moja kama mimi gonga like hapa aslay atujue
anae ikubali iingoma niko chini ya miguu yenu jaman naombeni like zenu priz
Kwanini uende chini ya miguu😂😂
Hivi Asley Anasoma Comments zote??? We just love uu .. u r our African Justin Bieber ❤️💕🥰😍
Absolutely yes
kabisa
100/100 it 's true
This is the best of Aslay. Everyone who's listening to this song God bless him/her.
Best of aslay ever
the best..mapenzi yana wenyewe
Natamba... 💥💥👏🏿👏🏿👌🏿
Aslay ulichelewa wapi kutoa ii ngoma. Ngoma Kali sana sijawai ona qali sana 🙌🙌🙏
Huyu jamaa Ako na kipawa katumia mafumbo kweli hongera saana kaka ,ebu nipee likes hata moyo NAMI ni enjoy
Had a divorce early this month and this song makes me Enjoy hata kama sina kakitu..when ever I drive home from work I play the song,and it makes me feel oky....
maisha ni haya haya enjoy broo
Aslay hii nii ingine moja safi....
Naenjoy kutoka Nairobi , Kenya
Naenjoy nikiwa Mombasa 001, wapi like za Mombasa
Tuko wote jamani Mombasa raha
atali
Hihhkbhkpigkypiiuhfjmlpzsa
@@emacuteeemacutee3528 tuko sote jamani hire in Mombasa raha
Kama kuna mtu anacheki hii ngoma November 2022 aweke comments hp
This song never ages ...nice masterpiece
Naenjoy tena sana 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍💖💖💖💖💖💖💖💖Asante Aslay Kwakutupa mambo Taradadi Nimekipenda sana Ichi kichupa😊😊💖💖💖💖❤❤❤❤❤Big up sana
This song hits you different when you are heart broken.
MrAlpha I knoow😂 story of my life now🙌🏾
So do i I'm here broken heart 💔💔
My position q
😢😢
Wen am stressed aslay songs me happy na enjoy sana
Kuteswa nikama funzo... anaeteseka na mapenzi agonge like tufahamiane 🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭
Naenjoy Aslay Lyrics:
Wa leo
mimi wa leo
Wa leo
sio wa jana
Aslay
Maisha ndo yale yale Aah
kuteswa ni kama funzo Mmh
mengine tuyasamehe Oooh
tusiweke viulizo
Kikubwa uhai
Nashukuru ninao sijakufa
Ila kuhusu mapenzi sitaki show
Nimeyakuta
Kukesha kesha mawazo mzongo
Sitaki tena
kupigana pigana naogopa chongo
Sitaki tena
mlemavu akichoka anipa magongo
Sitaki tena
kutwa kulia lia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuwache shobo
Tutazikwa wazima wazima Eeh eeh eeh
Bora nitulie Umri wangu mi bado mdogo
Nisitake ya watu wazima
Naenjoy, naenjoy mama
Naenjoy, naenjoy sana
Naenjoy japo kuwa sina kitu
Naenjoy mama Oooh naenjoy, naenjoy sana
Nakukumbatia mtafuna roho yake
Asikwambie mtu, mtu yeyote Ah,
jamani shuka zina joto lake A
sikwambie mtu, kitu chochote
Kugandana gandana Kuzuga tunapendana
Mwisho twaaza kuulizana
Sitaki Mila sizitaki nyama
Kupenda nimesimama Moyo wangu umegoma Hautaki ng’o
Kukesha kesha mawazo mzongo
Sitaki tena
kupigana pigana naogopa chongo
Sitaki tena
mlemavu akichoka anipa magongo
Sitaki tena
utwa kulia lia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuwache shobo Tutazikwa wazima wazima
Eeh eeh eeh
Bora nitulie
Umri wangu mi bado mdogo Nisitake ya watu wazima
Naenjoy, naenjoy mama
Naenjoy, naenjoy sana
Naenjoy japo kuwa sina kitu
Naenjoy mama Oooh naenjoy, naenjoy sana
Shukran baba
Kweli kabsa
Naupenda huu wimbo na hiss had kuumwa
Asly nimekupenda sn
cliff martin wooow🌹🌹lyric so pure
Likes za Aslay Isihaka all the way from +254 zianguke hapa🔥🔥🔥👍👍👍👇👇
Gonga like kama unaona asley anatoa ngoma Kali lakini kama kuna figisu anafanyiwa ngoma isiende mbali.
This boy's music is ever classic. his voice is his biggest asset.
big up
Cool music ...# aslay
His good!!love even his words too!!
Mmmh I really agree with you and he hasn't join the wsb imagine if he was in the label mmmh??
I must listen to his music daily, so soothing and relaxing
Aslay u are amongst the best vocalists musicians in 🇹🇿
Kingslay..mob love from Kenya..Tanzania ndugu zetu hadi kiama
Nisi twawapenda sana ndugu zetu wa kenya
Gonga like Kama wewe fan wa aslay Dogo amenail round hii love aslay 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@GALLO TV okey
Kama kaw tunaenjoy
Nakubali kaz iko vizar
wimbo emeniguza kwa kweli,. nimeteseka sana na mapenzi,
All the way from Kenya .....the only artist natambua is aslay⚡⚡⚡⚡salute to you men🔥🔥🔥🔥
😘😘😘
@@rahmashani2537 😍😍🤗🤗
@@rahmashani2537 the voice🔥🔥🔥
#KAMA WEWE UNAPENDA KUINJOY KAMA ASLAY GONGA LIKE HAPA#🤗
DJ MACK AND DJ MUPHY SWAHILI EPISODE
ua-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/v-deo.html
100🎯
DJ MACK AND DJ MUPHY SWAHILI EPISODE 🔖🔖
DJ MACK AND DJ MUPHY SWAHILI EPISODE bonge yangoma
Ndomana hapendi contract za kumuhumiza. ,
Ooooooooooooooooooooh nikilala inama inuka uwwoooooooooooohhhhhh Diamond platnumz
Aslay ever rocking💗💗💗
Favorite artist
2yrs down the line but the song is still a master piece
Kila mmoja anasema yy ndo first kukoment,how come ?
Tulioupenda wimbo huu like hapa
aslay nisaw lakini.ujipange mbosso ni.moto kaka
SAUMU HAJI VUYAA nice broh
@@janatahmad7048 ni sawa wewe ndie umesema ,na wakubali wote from 250 Aslay fire fire.
SAUMU HAJI VUYAA ok
SAUMU HAJI VUYAA nimeupenda
Mengine tuyasamehe,,,, tuache viulizo... Mapenzi yana wenyewe. Mi sitaki tena. Umeniguza ba-mdogo 🤠🤠
Nenjoy sahivi nipo single..so asikuambie mtu kitu chochote...Aslay 254 loves u biiig
Nani anjua raha yakukumbatia mtoo 😍☑️👣kama upo gong like hapa chini tunao enjoy tukia inchi mbali na tz🇨🇨🇨🇨🇨🇨🇨🇨🇨🇨🦄💃💃💃💃💃
Hatar
@@sesilialawlens5018 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Laaa sanaaa
Anae enjoy Kama mm na aslay na kurudiarudia kuangalia hii song tujuane❤️❤️❤️❤️💪💪💪
Narudia hata mara 1000000
king hana
Nampenda anavyoimba
Kumbe siko pekee yangu😂😂😂🙊
Mimi apa
Ukiimbiwa mziki ukauhisi moyoni na ikaganda akilini,basi jua iliimbwa kwa ajili yako. Hakuna siku hata moja Aslay ameimba nikakosa kupata ujumbe wangu. Mziki wako ni tiba.
Aslay is untouchable and he has no competition.
Dope sound from Zambia 🇿🇲
Kama umerudia zaidi ya Mara moja twende gonga like... My boy aslay umegonga ndipo
tupia like yako apa kama na wewe hii vido umeitazama zaidi ya mala mbili🎧
Hongela
ua-cam.com/video/SCOuSk-tP-c/v-deo.html
Kukaa single rahaa ... Kwel enjoy ukiwa peke ako ngonga like ako twende sawa kwa aslay🤔🤔
This song was written to perfection. This is a masterpiece. The bridge, adlibs, back-up vocals etc. Just wow!
Add on the Chorus... You dont wanna know
I love this song for 🇰🇪
I like this song
Aaaààaq q❤❤ ❤a❤A q a❤q❤😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Aaaààaq q❤❤ ❤a❤A q a❤q❤😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Ziru baba 😀😀😀🍾🥂👀 niache ni Enjoy mwanangu mapenzi yanawenyewe bhana si wengine tuache shobo
Kwakweli
My best bongo star ever....haki nipee likes huwa mnaniangusha sana
Nice song big up bro
To me one of the best Bongo Flava songs. Keep it up Aslay
Who is watching dec 2020......nimeumizwa leo nikaukumbuka huu wimbo
Pole binti😂
Nashukuru kwa wimbo Mzuri, Mungu akutie nguvu
Kila siku nachekw sijawai pata ata like 10 za aslay ebu fany kama👇👇 unabonyez ni enjoy jaman
Mmempa nyingi sana alitak kumi tu
Nimkal
🤣🤣🤣
Ila zimezidi kumi sasa
unazipeleka wapi
nilipomsaliti demu wangu alinitumiya hii nyimbo huku analiya...dah!!...very touch and emotionall.
kugandana ganda kuzuga tuna pendana sitaki tenaaaaaaa
This is what i call a proficient artist, Aslay never disappoints. I love this one.
❤️🇰🇪
Killing it🔥🔥🔥🔥 fundi wa mziki🇹🇿
tunainjoy 😍
Kabisa shuka zinajoto lake 👑 keep it up ma favorite ASLAY ✊✊
hata na corona bado tunaenjoy
kama ni ukweli like basi niamini
Woow great sont big up to this guys I really like it❤️❤️ gonga like kama una mkubali dogo aslay hapo chini
I don't understand swahili ila kikubwa uhai nashkuru acha ni enjoy ❤🔥🔥🔥
Kiswhl gn hukijui na hap umeandk nn jomn kuwen wa kwelii
Hii ni my best song. Inatuliza moyo sana na akili. Keep it up. Usirudi nyuma Aslay 💖👍
Huu wimbo hunipa nguvu ya kubaki single nilivyo milele...no true love nowdayz.na if i will get true love and happiness i will teeard the guy a 10000 times
gonga likes Kama unampenda Aslay
All the way from 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 lve u asly... na kma wmpenda asly gonga like hapa
Usikate tamaa una mshabiki wengi including mimi na mumewangu. Love from Rockville, Maryland 🇺🇸
raha jipe mwenyewe ,,kuteswa ni kama funzo ilike it💘💘💘💘💘
All Burundi nipe Like jameni,
Ngoma konki kbx!!
Wa kwanza mimi leoo nainjoy tu.....🤣Kama hiki kichupa ulikuwa unakisubiri kwa hamu kama mimi like apa....
Siuchoki huu wimbo kwa siku nausikiliza mara nyingi kadri niwezavyo ❤❤❤❤🔥🔥
Aslay anajua saan kwan amekuwa akifany majukum yake ya muziki vizur saaan
Mapenzi Yana yenyewe
sii wengine tuwache shobo tutazikwa wazima wazima
😂😂😂😂😂😂😂
#254 😍😍😘😘😘
😂😂😂😂
Jackline Wanza mambo
@@shedrackcristian4001 Poa saana
Nikweli
🤣🤣
Namba moja comment naomba like ya aslay kma umekubali anaweza
Mapenzi yana wenyewe. Mimi NAENJOY sana na Pesh Wangu. Tukipata tunashukuru, tukikosa tunamwomba maulana. Tafadhali nipe likes. Mimi ni mgeni kwenye Yutubu
Ata mie pia na enjoy Jap sn hel nkikapta nlikosa saw tyu namuomba aallah anifanyie wepesi Kwa Kila jmbo
Noma sna. Naenjoi mPaka machozi yananitoka hii nyimbo baba. Umeniweza
Wa piliii kukomentiiii like nying jaamn sijawah kupata hata like 20
atali sana
Kama mnaikubali gonga like
hahahaha
Festo Kinabo
All kenyan fans hit the like button if u love Aslay 🇰🇪
👇 Nice song bro...great work
Enrique 2090
Nc 😘😘😘😘😘
This man makes me recall mbali sana
niceee
Love all kenyans
Aslay tnkx kabx hiyi nyimbo ni nzuri Sana hapa ngozi Burundi tunapenda nyimbo zako kabx
Wow mimi shabiki yako sanaa niko@🇬🇧🇬🇧🇬🇧 .
Yaaan uko bado vizur kama that time mlivyokuja London..
KEEP IT UP😊
Mapenzi yanayenyewe siwengne tuache shobo tutazikwa wazima wazima😅🤗🤗
very true friend
Natafuta mtu
This song is my love life story...Enjoying the song to the fullest! Santa sana Aslay
Na enjoy mdg angu kwanza me ras sitaki nyama nilishaacha shobo kitambo nakupenda sn
Still 2023 ❤❤❤❤❤kama uko hapa cheers 🥂
Big tune 💯 ✅ 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Mad love from 254kenya 🇰🇪 wapi likes za aslay
Very nice one
Jamani shuka zina joto lake... Bonyeza BLUE twende sawa
Very music
Kweli lkn
Nimezoea hizi shuka sasa
Sawasaw
Mhh noma sana
Who is here 2021 listening to this nice voice,Naenjoy japo sina kitu
Wallah nikiisikiliza hii nyimbo nainjoy ❤️❤️❤️❤️❤️💯🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Wacha bwana
Kama umerudia kuangalia hiii nyimbo Zaid yamara moja weka like twende sawa
Da mapenz kwer yanawenyeye jamani si wengine apa 😷😷😷
ua-cam.com/video/SCOuSk-tP-c/v-deo.html
Mambo ni moto mzee baba 🔥🔥🔥😍
The biggest mistake I have been making for the past week is not clicking on this song despite it being on my recommended. Beautiful piece of art!
Masingle tumekumbukwa jamani Amkeniii💃🏿kupiganapigana kutoana chongo Sitaki tenaaa
Naenjoi sana kuisikilza hii ngoma kama na ww unaenjoi ka mimi gonga like
+254🇰🇪🇰🇪 ngomo ipo juu 🔥🔥🔥 nipeni like wadau
Thanks to this song.. this song helped me when I was heartbroken but now am fine
Jaman mwenzenu leo 30/4 /2021 nafunga mwez na hii nymbo baada ya kuachwa acha niwaachie wenyewe
Tunaendelea kuinjoy na Aslay ❤️ Muscat oman
Najma Joneke hi
@@hasamdashivo1428 mambo
Umeonaà were omani kuenjoy tuu
😁😁 Tunaenjoy na waarabu oman huku
Muscat tunaenjoy