Je ni kweli D VOICE hana vigezo vya kuwa WCB kama mashabiki wanavyodai? ni kama HARMONIZE alivyotamb

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @HappyCompass-vh4vq
    @HappyCompass-vh4vq 2 місяці тому +18

    Di voice ni mkalli sanaaaa❤❤❤❤

  • @clintonfirmino4951
    @clintonfirmino4951 2 місяці тому +14

    D voice ni mkali ako sawaaaa

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 2 місяці тому +12

    D voice ni msani mzuri

  • @MdTeofelus
    @MdTeofelus 2 місяці тому +10

    D voc janja mjue ametoka katika mziki wa singeli pia anatuone shea upande wake mwengine jama anajua sana tuache midomo mond kamwaga mpunga apo wewe sio mjinga D voc ❤

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 2 місяці тому +12

    Wasiolewa ipo siku watakuja kuelewa! BD mapema Sana. Ila Ukwl n kwamba D'voice is very talented.

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 2 місяці тому +33

    Tuletee facts ya comparison ya Ibraah, Yammy, Mac voice pamoja na D-voice alafu utajua ni Kwa nini D-voice atakua mkubwa kuwashinda hao.

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 місяці тому +1

      Asante Kwa kumwambia asante sana!

    • @juniorog205
      @juniorog205 2 місяці тому

      Kuandika melody sauti mishairi dvoice awezi kushindana na ibraah dvoice yuko wcb so number zake zitakua juu ibraah angekua wcb trust me ibraah angekua mbali sana ibraah ana kipaji ila huu mwaka ndo kaanza kuchangamka lakini kama unaujua mziki uwezi mshindanisha na dvoice muimba singeli wtf

    • @michaeljuma254
      @michaeljuma254 2 місяці тому

      @@juniorog205 Hamna mambo ya lebo. Kwanza Ibraah kachelewa sana. Mbona wengi tu wako nje ya lebo Wana melody nzuri wanajua kuandika na wamefanikiwa kimziki Kwa mda mchache tu? Huyu ama vyote na Yuko chini ya lebo na ameshindwa kutoboa?

    • @juniorog205
      @juniorog205 2 місяці тому

      @@michaeljuma254 nani nitajie uyo mi nakwambia huu mwaka ndo namuona ibraah kuchangamka yani ndo kama anaanza na we apo kama unaumjua mziki dvoice ukitoa number labda amfikii ibraah kwa lolote pure music
      Ivyo kwa kina lody music lody music ni talented sema tu uongozi mzuri hana ila hanstone pia mziki anaujua so kama kweli unaujua mziki man awa wa tatu uwezi uka wacompare na dvoice man

    • @juniorog205
      @juniorog205 2 місяці тому

      @@michaeljuma254 kwanza uwezi ata macvoice Iko vizuri sema lebo jama yuko kimya kaaa mwaka ivi bila kutoa nyimbo dvoice Numbers zake zitakua zaidi ya awa wengine ila dvoice ukimsikiliza vizuri utagundua jama hana melody mashairi sio kiivyo tuseme akiiimba singela itakua unyama zaidi

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 місяці тому +14

    D Voice sio wa kuchezea mpeni muda tu mtakuja kumuelewa, ila Mondi hakukosea kumsaini dogo.

  • @AshaHadhidha-hj3oo
    @AshaHadhidha-hj3oo 2 місяці тому +8

    D voice n mkali sana

  • @ChrisMitindo-g3e
    @ChrisMitindo-g3e 2 місяці тому +11

    Kwangu ni ya kwanza wcb

  • @GermiaSuala-u9t
    @GermiaSuala-u9t 2 місяці тому +8

    D voce

  • @jordaneloge2599
    @jordaneloge2599 2 місяці тому +3

    That's true Hana level. Ingekuwa hâta Chinga

  • @Bigger.99
    @Bigger.99 2 місяці тому +9

    Ndio maana amesainiwa ili aweze kufika mbali sio kutafuta ambao wamejipata kama Mario j melody na wengine

  • @IsaacBizimana-z7k
    @IsaacBizimana-z7k 2 місяці тому +5

    Nc

  • @AmourHaroub-lv8ll
    @AmourHaroub-lv8ll 2 місяці тому

    D voice yupo Sawa bhana mm namkubali Sana

  • @mbayahamis3051
    @mbayahamis3051 2 місяці тому +6

    D.vois anarudisha pesa mauzo yana jieleza kwaiyo atuna Shaka nae atabadilika zaidi na zaidi wcb atujawai kosea na d.vos atamuelewa tu kwakua anajua sana

  • @_iam_kenyancomics
    @_iam_kenyancomics 2 місяці тому +1

    🎉D voice ni mnyamwezi

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 місяці тому +6

    WACHANENI NA MAMBO YA WBC TAFADHALI! TUNAJUA TUNALOLIFANYA

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 2 місяці тому +3

    Mm ni Wcb kabla ya vany boy upande wangu Hapo SIMBA amejichanganya lebo kubwa hio D voice ni hasara kibwa sizani simba analiona hilo hapo ni hasara amna maaajabu😭😭

  • @moseswanjiku8145
    @moseswanjiku8145 2 місяці тому +4

    @middle simba Mr love bite alipotelea wapi

  • @JeCava-ie2sr
    @JeCava-ie2sr 2 місяці тому

    D voice ni mukali tena anaimba vizuri sana mimi binasi namukubali

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 2 місяці тому +6

    D voice ni mkali saana hata kumliko ibrah

  • @arunashimirimana2270
    @arunashimirimana2270 2 місяці тому +3

    D voice yani ashituwi hata kidogo

  • @PedroRachidekalamaga
    @PedroRachidekalamaga 2 місяці тому

    D voice ndo Simba wa mpili💪

  • @odenmasebo9777
    @odenmasebo9777 2 місяці тому +2

    Kwakweli uyo hatoshi walikulupuka Hana tofauti na lavalava

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 2 місяці тому +2

    Nilijua tu Lazima atajwe Harmoniz humu ndani

  • @Letticia-xp3sv
    @Letticia-xp3sv 2 місяці тому +4

    Auko poa sana

  • @arunashimirimana2270
    @arunashimirimana2270 2 місяці тому +2

    Apo nikweli

  • @castel_ac
    @castel_ac 2 місяці тому +3

    Mbuyu ulikuwa kama mchicha nyie mlitaka mchicha uwe kama mbuyu😂

  • @babalao3250
    @babalao3250 2 місяці тому

    D voice 4life

  • @AmosMchiwa-ub8qq
    @AmosMchiwa-ub8qq 2 місяці тому +1

    D, voice ninoma

  • @matyboymtanzaniano
    @matyboymtanzaniano 2 місяці тому

    anafaa sanaa tena yupo pw mdogo wetu

  • @sidemnyamwezi3967
    @sidemnyamwezi3967 2 місяці тому

    Ndio ni kweli

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 2 місяці тому +1

    Wachawi hawapendi mafanikio ya Dogo 😠😠😠

  • @ISSACCECYTIN
    @ISSACCECYTIN 2 місяці тому

    Haa

  • @sadibatangalwa5890
    @sadibatangalwa5890 2 місяці тому +1

    Uyo dogo tatizo yake ajiongezi hata kidogo

  • @PaulKisimba-d2j
    @PaulKisimba-d2j 2 місяці тому

    D voice ni mkali sana

  • @iamprincefelix
    @iamprincefelix 2 місяці тому +1

    Dvoice hana ile amsha amsha yuko slow sana
    Bado hajaniconvince ni mkali
    Ngoma zake hazina nyama ya kutosha

  • @tichalamar19
    @tichalamar19 2 місяці тому +1

    Wewe middle Simba ndipo waboa..hizo habari za kinafki na zakuchochea hatuzipendi...we uliskia wapi hizo vitu wasema

  • @mrogsuperBoy5882
    @mrogsuperBoy5882 2 місяці тому

    Kwanini amu taji Rich Mavoko 😂😂😂❤

  • @dolphin4791
    @dolphin4791 2 місяці тому

    Hatoshi kaka

  • @edwardokanga8278
    @edwardokanga8278 2 місяці тому

    D voice nimoto kama pasi

  • @newbizz6577
    @newbizz6577 2 місяці тому

    Hanstone ni mnyama middle Simba huyu bado Sana

  • @Paplick9
    @Paplick9 2 місяці тому +1

    Hamna kitu apa

  • @acizazihalirwa7165
    @acizazihalirwa7165 2 місяці тому

    D voice hafai kwakweli, ananyimbo zautoto, star anastahili wasafi ni chid Benz, young lunya,ao me blue, shetta

  • @Itszydanny
    @Itszydanny 2 місяці тому +2

    D voice☠️💀☠️

  • @mrogsuperBoy5882
    @mrogsuperBoy5882 2 місяці тому

    Iyo Ni keeling kabisa 😂😂😂

  • @JimmyDieudonne-so1ly
    @JimmyDieudonne-so1ly 2 місяці тому

    middle Simba ulishaka wahi konana na diamond ? 🇨🇩

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 2 місяці тому

    Dvoic💥💥💥💥💥

  • @mbezzoprince9462
    @mbezzoprince9462 2 місяці тому

    Hio ni kawaida ya mashabiki cz nakumbuka hata zuchu ukati akianza walisema ni mwimba taarabu hatowezana na kasi ya usafini

  • @charlesmunyenzie2155
    @charlesmunyenzie2155 2 місяці тому

    Mziki saa hii umebadilika, kitambo ukisainiwa Tu na label kubwa ulikuwa tayari ww n star. Saa hii mashabiki wanaskiza mziki mzuri na ndo maana marioo, jay melody, dayooh, kontawa na wasanii wengine wasioko katika label wanafanya vizuri. Kama hauna talent hata usainiwe n KAZI bure

  • @charlesmunyenzie2155
    @charlesmunyenzie2155 2 місяці тому

    Wacha uongo bro, WCB haiwezi kuizidi ybnl ya olamide. Hiyo label imewatoa asake, adekunle gold, fireboy dml, seyi vibes na wengine wengi

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 місяці тому +1

    Nikwasababu katokea singeri lakininimunoma

  • @AmourHaroub-lv8ll
    @AmourHaroub-lv8ll 2 місяці тому

    Mm ninavo jua diamond ni msanii mkubwa Wangp hajawasaini.. Mpk kamsaajili D voice bc ujue ameona Uwezo wake ndomana

  • @chaggaogtz8125
    @chaggaogtz8125 2 місяці тому

    Diamond ajawahi kukosea kwenye swala la msanii hapo WCB,ipo siku watakuja kumuelewa D Voice ni mkali kiasi gani

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 місяці тому

    Diamond hajaamua kumtoa huyu dogo,hajafanyaa collaboration nae

  • @AluwetoAbututuai
    @AluwetoAbututuai 2 місяці тому

    Mbona Konde aujantaja ama unachukinae

  • @fernandoagostinhochalyamba818
    @fernandoagostinhochalyamba818 2 місяці тому +2

    Mentira

  • @Nathanielmwangemi
    @Nathanielmwangemi 2 місяці тому

    Mjue tu Diamond hatupagi hela kwenye jalala,hata Lavalava pia mnamchukulia poa,wcb hawabahatish

  • @amirjuma8020
    @amirjuma8020 2 місяці тому

    Kiungo cha plau 😅

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet 2 місяці тому

    Apa akunaga msanii

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet 2 місяці тому

    Middle simba anaweza tengeneza update yake vizuri ila hawezi kosea kuto weka uchawa , sjui ana pepo gani uyu jamaa 😂, halaf comment yakumponda hawezi hipa like,anapenda sifa za ma chawa wenzake tu

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 2 місяці тому

    Wcb kupata wasanii km harmo na vannyboy haitatokea tena

  • @pacifiquemuzo7446
    @pacifiquemuzo7446 2 місяці тому +2

    Mbona harmonize anawasumbua sana ? Mkiwa na jambolenu mpaka mumtaje harmonazi ? Mbona mwanzoni wewe middle Simba ulisemaga eti dvoici anamshinda harmonazi ?ndomana najisemeaga iyo redio yako niya diamond na ndomana ni meddle Simba kwasababu diamond anajihitaga SIMBA !! Naelewa kabisa mbona mnashindwa kurudisha millioni mia sita ?