Taarifa hii,Leo imenifanya nimtambue vizuri KIJANA Mchapakazi Comrade BASHUNGWA.Mwenyezi MUNGU Akujaalie Kheri ktk uongozi wako ktk Nchi YETU YA TANZANIA na Dunia Kwa ujumla. Fanya Kazi BASHUNGWA Mwenyezi Mungu atakulinda na Atazidi kukupa AFYA NJEMA. Amiiiiiin.
Tumpe mauwa yake mh Bashugwa ana kila sifa Mungu abariki tumbo lililomzaa na pia tunashukuru kwa Rais kumpa nafasi za wizara tofauti tofauti🙏🏼🙏🏼 Tunakushukuru kwa kila jambo na hatua uliyofika 6:25 Mungu yu mwema 🙏🏼🙏🏼 Be blessed mh Bashungwa
Kaka inosent, mungu akupe miaka mingi zaidi Apa duniani Ikimpendeza mama yetu raisi samia ukupe uongozi ulio juu zaidi nawaombea heli viongozi wangu nawapenda sana mungu baliki tanzania Mungu wabaliki viongozi wangu
Hongera sana,ila nawaomba sana viongozi wa nchi hii,,mtafuteni Mungu kwa bidii ili Mungu atembee pamoja nanyi kila muendako na muwe na mwisho mwema uliojaa sifa na utukufu wa Mungu.
Jamani mungu naye ana siri zake kaka huyu ni kiboko asante mungu kwa ajili ya mheshimiwa bashungwa sifa na utukufu namrudisha mungu pekee baba mungu mlinde mwanao❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tanzania ingekuwa na mawaziri 20 kama Bashungwa nchi yetu Tanzania ingeendelea sana kimaendeleo na watu wake. Mungu akubariki sana Inoccent Bashungwa Tenda haki daima na Mungu atazidi kukuinua daima siku moja utakuwa Rais wa Tanzania 🇹🇿 usipozimia moyo Mshike sana Yesu naye atakushindia majaribu yote We are praying for you Bachungwa Tunaomba ushughulikie hao watu wanaoteka watu wajulikane na inabidi ulivalie njuga hasa manake watanzania wananyanyaswa sana na hii serikali ya samia Uisome haya fanya kazi yako kwa ueledi na Mungu atakulipa
Ukweli bashungwa mheshimiwa nakupenda Kwa hekima na mambo mbalimbali unayofanya ktk taifa letu ndani yako naona Kuna kitu mungu akulinde najua mungu amekuandaa Kwa kitu. Fulani soma isaya 54 msitari kuanzia msitari14hadi 17barikiwa baba
Bonge la talent Zungu, keep it up! By the way, naomba Mungu aniweke hadi 2030 nimshudie Bashungwa akila kihapo takatifu na hatimae kuwa Amiri Jeshi Mkuu. He deserves that ❤
Mimi nilimuona 2019 nikawambia rafiki zangu wa karibu hapa Kuna kiongozi wa viwango vya huko mbele, Ila tumuombee mifumo yetu ya siasa inaweza kumbadilisha tukaishia patupu
Hakunaga aliekulia Marwkani akawa mjinga mjinga wengi wanakua smart mno, sema hii stori imevushwa sana vipande kibao vimesogezwa mbele, huyoo jamaa ni wa muda sana serikalini kaingia toka tu anamaliza darasq la 7 akaingizwa kwenye system, hata secondary kasomeshwa hadi huko Marwkani, 😢😢so ni mtu kitambo kajiendeleza endeleza akiwa serikariniiii anaijua serikali A to Z. Hongera zake sana ana bahati mnooo
Ni kweli ndugu yangu, Hata Hayati Yusuf Manji alisoma USA, Manji alifanikiwa kibiashara na alikuwa smart brain. Unadhani siri ni nini inayowafanya watu waliosoma USA kuwa smart kama ulivyoandika?
Alitutetea walimu posho zilizokuwa zimebanwa akafatilia tukalipwa baada ya siku 2,walivyoona anatusaidia wakambadilisha walimu tukabaki bila msaada mpaka leo.mungu akutangulie innocent bashungwa nakuombea uwe hats mkombozi wa taifa letu
Utendaji kazi wa mh bashingwa,unaangazia kwamba,kama tukiwa na wasomi wazawa professional ktk sekta nyeti ila waaminifu,Hatutakuwa haja ya kuwaajiri wageni,Inaamana ni rahisi sisi watanzania kuwa kama china na nchi zingine.
Huyo Mwamba Hana Zarau Alf anaishi na watu wote uliza vzr kipindi kile apo njia ya kusini Madaraja yalivyo zingua Tulikua nae karibu sana na mvua ilikua inampiga sana na ucku wote Mwamba anahangaika Kwenye Bahar ili kupata Njia ya kwenda Upande Wa pili
Fikra mbovu wanaoteka wanatoka kwenye nyumba zetu kwani wale tuliwaona kwenye camera wakimteka kimaro mbona hatukuona mtu anaonyesha familia ya watekaji hata baba au mama wa mtejaji ahojiwe tabia ya mtoto ila waziri tunataka afanye hivyo. Tuanze huku chini kutajana wenyewe.
Asante sana Zungu Kwa taarifa nzuri,naomba watanzania tumuombee huyu kijana ili ainyooshe hii Wizara na baadae awe Rais wa Tanzania
Kuwa Rais ni ngumu😢
Taarifa hii,Leo imenifanya nimtambue vizuri KIJANA Mchapakazi Comrade BASHUNGWA.Mwenyezi MUNGU Akujaalie Kheri ktk uongozi wako ktk Nchi YETU YA TANZANIA na Dunia Kwa ujumla.
Fanya Kazi BASHUNGWA Mwenyezi Mungu atakulinda na Atazidi kukupa AFYA NJEMA.
Amiiiiiin.
Tumpe mauwa yake mh Bashugwa ana kila sifa Mungu abariki tumbo lililomzaa na pia tunashukuru kwa Rais kumpa nafasi za wizara tofauti tofauti🙏🏼🙏🏼
Tunakushukuru kwa kila jambo na hatua uliyofika 6:25 Mungu yu mwema 🙏🏼🙏🏼
Be blessed mh Bashungwa
Hongera Sana Bashingwa ni mtulivu ana hekima anafaa kuandaliwa kuwa kiongozi mkubwa zaidi katika nchi yetu. Mungu akutunze Bashungwa.
Ana huruma siyo.km.Slaha, kavunja nyunba za wstu ana roho.mbaya sana Slaha hafahiku8shinTz aende.Rwanda
He is so down to earth. Mungu atampaisha sana na hatimaye atashika nafasi kubwa zaidi
Hana mbwembwe Bashungwa,hana majivuno hana kiburi ana heshima.
Hongera sana Zungu Kwa simulizi nzur na pia hongera sana mh. Bashungwa Im proud of you nakufwatilia sana I wish some day we can shake our hands
Kaka inosent, mungu akupe miaka mingi zaidi Apa duniani
Ikimpendeza mama yetu raisi samia ukupe uongozi ulio juu zaidi nawaombea heli viongozi wangu nawapenda sana mungu baliki tanzania
Mungu wabaliki viongozi wangu
Hongera sana,ila nawaomba sana viongozi wa nchi hii,,mtafuteni Mungu kwa bidii ili Mungu atembee pamoja nanyi kila muendako na muwe na mwisho mwema uliojaa sifa na utukufu wa Mungu.
Future president 💯💯💯💯
Jamani mungu naye ana siri zake kaka huyu ni kiboko asante mungu kwa ajili ya mheshimiwa bashungwa sifa na utukufu namrudisha mungu pekee baba mungu mlinde mwanao❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tanzania ingekuwa na mawaziri 20 kama Bashungwa nchi yetu Tanzania ingeendelea sana kimaendeleo na watu wake.
Mungu akubariki sana Inoccent Bashungwa
Tenda haki daima na Mungu atazidi kukuinua daima siku moja utakuwa Rais wa Tanzania 🇹🇿 usipozimia moyo
Mshike sana Yesu naye atakushindia majaribu yote
We are praying for you Bachungwa
Tunaomba ushughulikie hao watu wanaoteka watu wajulikane na inabidi ulivalie njuga hasa manake watanzania wananyanyaswa sana na hii serikali ya samia
Uisome haya fanya kazi yako kwa ueledi na Mungu atakulipa
Hongera sana mh.Bashungwa.Utafika mbali,, endelea na utulivu wako.
Huyu atakuwa anandaliwa kuwa waziri mkuu, anachapa sana kazi alafu yupo humble sana ... Hongera sana mheshimiwa Mungu azidi kukuongoza
Huyu ni Rais kabisa alikubalika hata na magufuli kiongozi mchapakazi sana
Saudi machungani na kompeho
Daudi machungani na kompeho lake
Huyu mshikaji huwa anapangwa ktk wizara kwa kazi maalum. Kwani ni mtu wa.......malizia mwenyewe 😂😂
Hongera sana kaka Innocent Bashungwa mungu akulinde, uadilifu wako ndo nyota yako. CCM oyee karagwe oyee. Hapa kazi tuu.
Mungu Kamuandaa, Abarikiwe Sana.🙏🙏
Nimeipenda sana makara hii mbunge wetu pewa maua yako ongera Kwa kazi nzuri wewe ndo waziri mkuu ajaye mungu akusaidie
Usipende kwa kuwa ni mbunge wako, penda kwa kuwa anafaa, acha ukabila kama Kenya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣@@magdalenampanda1426
Sichokagi kuitizama maendeleo yako bashugwa mungu awe nawe daima natamani nikuone wziri kazi zako zinafirshisha na xinatupa uhakika
Mkoa wa Kagera tunajivunia bashungwa mungu akulinde.
Acha ukabila wewe
@@magdalenampanda1426Ukabila upi sasa au wewe huna kabila? Pole sana!
Nilikuwa natafuta comment hii amkosi@@magdalenampanda1426
Sio Kagera Tanzania
@@magdalenampanda1426 Magdalena, unamfahamu mama Yasintha Mpanda?
Yuko vzr ana heshima na nidhamu kubwa. Mungu aendelee kumnyenyekeza
Bashungwa na Makonda hoyeeeee❤
Tunakupenda sana mumbunge wetu!! Mungu akuongoze!
Mm ni Daima Piida wa kagera kyerwa, Bashungwa hoyeeee❤
Hongera mchambuzi unaweza kuchambua
Kinachombeba huyu mwamba ni unyenyekevu, jamaa ni mtu fulani hivi asiye na Uswahili mwingi mwingi.... nothing else!
Hana.majivuno km kaka zangu wa mkoa wa kagera
Analiishi jina lake...INNOCENT...! Mungu ambariki !
Ukweli bashungwa mheshimiwa nakupenda Kwa hekima na mambo mbalimbali unayofanya ktk taifa letu ndani yako naona Kuna kitu mungu akulinde najua mungu amekuandaa Kwa kitu. Fulani soma isaya 54 msitari kuanzia msitari14hadi 17barikiwa baba
Mungu akipenda Bashungwa atakuja kua president wa Tanzania 🇹🇿
Wish you all the best lucky be with you and blessing my honorable and my brother in law wish you all the best never give up keep it up.
Hongera sana umeupga mwingu mr Zungu
Bashungwa hongera sana
Bonge la talent Zungu, keep it up! By the way, naomba Mungu aniweke hadi 2030 nimshudie Bashungwa akila kihapo takatifu na hatimae kuwa Amiri Jeshi Mkuu. He deserves that ❤
Acha kuota kumekucha
@@sapatapasapatapa4858 Nani anaota?
Haoti ndugu yangu anachapa sana kazi na mwenzake seleman jafo@@jamesmboneko2952
Hakuna kiapo takatifu, utakatifu ni wa Mungu tu.
😅😅😅@@jamesmboneko2952
Wagila mayo....❤
this was enlightening!
Yupo vizuri
Nakukubali san zungu
Kazi nzuri sana
Nice voice zungu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mwenyezi Mungu amtunze....Amina.
Mungu ampe maisha mrfu ikimpendeza mungu sikumoja akapate kuwa Rais watanzania naamini anaweza namkubali sana
safi sna mh.Bashungwa mchapakazi mungu azidi kukurinda kiongozi wetu❤❤
Hongera bro wananchi tunakuombea naufanikiwe ufate nyayo usimsahau atakukumbusha mengi huko alipo
Kwamacho yangu mawili namuona bashungwa atafika mbali sana afaa anastahili anaweza🦾🇹🇿💯🙏
Tz muna Bashungwa , Kenya tuna Ichungwa , Mbunge wa Kikuyu
Safi Sana Zungu
Rais wetu wa baadae Yuko viziri sana hapigi kelele anachapa KAZI sana namuona magufuri wa baadae kila wizara hashindwi Hongera sana 👏👏👏
Mimi nilimuona 2019 nikawambia rafiki zangu wa karibu hapa Kuna kiongozi wa viwango vya huko mbele, Ila tumuombee mifumo yetu ya siasa inaweza kumbadilisha tukaishia patupu
Hongera sana Mh bashungwa
Hakunaga aliekulia Marwkani akawa mjinga mjinga wengi wanakua smart mno, sema hii stori imevushwa sana vipande kibao vimesogezwa mbele, huyoo jamaa ni wa muda sana serikalini kaingia toka tu anamaliza darasq la 7 akaingizwa kwenye system, hata secondary kasomeshwa hadi huko Marwkani, 😢😢so ni mtu kitambo kajiendeleza endeleza akiwa serikariniiii anaijua serikali A to Z. Hongera zake sana ana bahati mnooo
Ni kweli ndugu yangu, Hata Hayati Yusuf Manji alisoma USA, Manji alifanikiwa kibiashara na alikuwa smart brain. Unadhani siri ni nini inayowafanya watu waliosoma USA kuwa smart kama ulivyoandika?
Tunakupenda wana kgera na tanzania kwa ujumla
Zangu na William Mko vzr Sana kaka
Very genius
Kama anafaa hivyo mpeni wizara ya fedha toka kwa kihiyo Mwigulu Nchemba
Namkubali sana kaka Bashungwa, by Mgonja wa shule ya msingi Bitaraka
Hongera sana Bashungwa.Mungu akuongoze
Bashungwa kichwa chake kimetulia sana
Ongeraa zungu kwa repot nzury na iliyonyooka
Mchambuzi uko vizuri bashwangwa mwamba
Unatisha mwamba🙌🙌🙌🙌
Huyu jamaa no bonge la kiongoz
Hiyo miwani nitaipataje nimeipenda ninunue
Karagwe finest
Utu wema, hekima,busara, upole. Mungu akutangulie katika yote 🙏
Wahaya hawanaga makuu ni napole na makini namkumbuka sana RUGE
Hongera sana mh innocent bashungwa Kwa kazi nzuri ndan ya serikali
Allah akusaidie RAIS amekuamin ili umsaidie hasa hilo la mezan kwako Allah atakusaidia
Superp GUYS
Zungu kunavitu umeficha au hujui nyuma ya pazia 4m4 ............
Sisi vijana tuna imani na bashungwa kiongozi jasiri mwenye maarifa
Imekaa vizungu zungu man
Jamaa ana nyota sana,humwambii kitu kwa hizi wizara
Yuko vizuri sana bashungwa anastahili kabisa, anamuonekano wa kuwa..... kabisa na ametulia sana kimaadili.
Hongera Kiongozi kwa Makala za kuelimisha
Chapakazi kijanaunaweza
Ubungo Kibangu jirani hapo kwa Mzee Ngole jamanii
Alitutetea walimu posho zilizokuwa zimebanwa akafatilia tukalipwa baada ya siku 2,walivyoona anatusaidia wakambadilisha walimu tukabaki bila msaada mpaka leo.mungu akutangulie innocent bashungwa nakuombea uwe hats mkombozi wa taifa letu
Bashungwa mnamsifia tu
Kwahiyo?😮
Jaman. Tuwe. Kama. Huyu. Ivi. Wengine. Awaon. Tugekuwa. Wazarendo. Tugekuwa.
Namtabilia makubwa soon
Huyu mwamba Rais bdae uwezo anao, hata uwaziri mkuu atashika MUNGU mwema
Good news
Utendaji kazi wa mh bashingwa,unaangazia kwamba,kama tukiwa na wasomi wazawa professional ktk sekta nyeti ila waaminifu,Hatutakuwa haja ya kuwaajiri wageni,Inaamana ni rahisi sisi watanzania kuwa kama china na nchi zingine.
Hongera zake
Rais wetu mtarajiwaaaaa
Ajitahidi kuwezesha maendeleo ya mkoa wa Kagera. Mkoa uko nyuma sana kimaendeleo
Bashungwa mbona ni mtu aliyelala sana! He is not fast, active huwa ninamuona ni mtu slow sana! His speech sio touching! A haya president never
Hivi wewe hujiulizi kwa nini hajapoteza nafasi toka JPM hadi SSH? acha wivu wewe,
Watu smart sio waongeaji sana.
Ni mtendaji mkubwa.
Hana mbwembwe unazozitaka lakini akipewa wizara huleta matokeo chanya sana tena kwa kasi ni mpole lakini ni mtendaji mzuri sana
My friend, remember, action speaks louder than words. A person is not judged by his words but by his commitments and actions!
Genius. &huge fear of God.
Arudishe vijana waliotekwa 😢😢😢
Huyu kijana yupo vizuri sana
Mimi Nampa Jimbo jingine achukuwe na Kyerwa kabisa
Wizara hii mpya kwake ngumu na itamchafua sn kwa vitendo vinavyoendelea
Hata kwangu binafsi huyu ni miongoni mwa mawaziri ninaowahusudu sana wapo Majaliwa, Biteko, Bashungwa, Prof. Mkenda, na Simbachawene.
Huyu jembe la kaziii
Huyo Mwamba Hana Zarau Alf anaishi na watu wote uliza vzr kipindi kile apo njia ya kusini Madaraja yalivyo zingua Tulikua nae karibu sana na mvua ilikua inampiga sana na ucku wote Mwamba anahangaika Kwenye Bahar ili kupata Njia ya kwenda Upande Wa pili
One day yes
❤mwamba wa karagwe tunafuraha kubwa kkuona unaendelea kung'ala
Ngoja tuone kama hatutotekwa tena baada ya mwamba wa bushangaro-karagwe kushika hatamu…
Fikra mbovu wanaoteka wanatoka kwenye nyumba zetu kwani wale tuliwaona kwenye camera wakimteka kimaro mbona hatukuona mtu anaonyesha familia ya watekaji hata baba au mama wa mtejaji ahojiwe tabia ya mtoto ila waziri tunataka afanye hivyo. Tuanze huku chini kutajana wenyewe.
Huyu wanamwandaa kuja kuwa Rais wa nchi.
Sisi tulio kagera Tena karagwe tuliishaivunja laaana ya mwl kuwa kagera asije tokea Rais
🤣🤣🤣🤣 Kagera, Kigoma na Tabora! Mwalimu alivimaintain nyuma kwa makusudi! 😅
Ipo siku atakuwa na nafasi kubwa Sana na ya juu
Kwahiyo makonda amepata mpinzani
Daah bora umetusimulia maan tulimchukulia poa
Bashungwa kazi unayo
❤❤❤zungu uko vzr
Kabla yakupata nakala hii huyu Jamaa namkubali sana