Katika interview zote hii haikuwa nzuri,kwasababu Tonya alikuwa hajibu vizuri maswali anayoulizwa,au alikuwa anaulizwa hiv yy anazungumza vyengine,hakuitendea haki.Na kuna watu alikuwa hataki kuwapa mauwa yao,amekwepesha mambo mengi sana kwenye hii interview
Napenda sana unacho kifanya bro Kuna mambo mengi tuna yajua kupitia wewe kutoka Kwa ma icon wa huu mziki nilikua naomba siku moja utuletee kalapina ilitujue kisa Cha kumteka solo thang na kumpelekea posa mr blue
Dah, Matonya Spare Tairi nakumbuka mwaka 2010 nikiwa form 3 ilikuwa noma sana
Iyo uamnifu ni bonge la ngoma nilikua mdogo mnoooo nilikua naipenda na siijuw kuiimba
Sauti nzuri 😂
Katika interview zote hii haikuwa nzuri,kwasababu Tonya alikuwa hajibu vizuri maswali anayoulizwa,au alikuwa anaulizwa hiv yy anazungumza vyengine,hakuitendea haki.Na kuna watu alikuwa hataki kuwapa mauwa yao,amekwepesha mambo mengi sana kwenye hii interview
Kweli Kuna ukiburi flani ndani yake
Napenda sana unacho kifanya bro Kuna mambo mengi tuna yajua kupitia wewe kutoka Kwa ma icon wa huu mziki nilikua naomba siku moja utuletee kalapina ilitujue kisa Cha kumteka solo thang na kumpelekea posa mr blue
Poapoa. Shukrani. Tutamtafuta Kalapina
Hamjatupa story ya nyimbo ya vaileti.
Hii story angalia interview ya Tunda Man aliizungumzia pia! Matonya ye alizungumzia kidogo tu...ila ameuzungumizia
@@bongo_project ahsante bro.