PRAY apa from DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 ki ukweli Tanzania ni inchi nzuri Sana mana ata inasifiwa kuwa inchi yenye amani sana Africa na natamani one day nije kuishi uko piya ila kitu ambacho ninge mu shauri kakangu bella yeye abaki kujuwa Tanzania itabakia tu kama inchi iliyo muleya na kumukuza mpaka leo Ila DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 itabaki kama inchi iliyo mzaa kwa iyo mimi binafsi nisinge mushauri kubadili u raia ajivuniye kuwa mukongomani ANAYE ishi tz na ime mufanya a still sana kwenye game la musique Tanzania🇨🇩🇹🇿 ❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki sana tabia yako ndiyo inayokufanya unapendwa siyo mtu wa mitandaoni sana na ngoma zako matusi hakuna uko kama ladylike utafanikiwa sana ninachoomba uwe raia wa Tanzania na utapewa bila wasi
Tayari uraia unao Bella " ifike mda watu weusi tuishi kw umoja zaidi mambo ya ubaguzi tuweke kando,, pia lazima kuwa wangwana haswa unapopewa uraia zingatia Sheria za nchi na tuwe makina na watu ambao wana niya mbaya kw maendeleo ya Africa hao ndo tupingane nao,,, love u Africa,,
Brother mi mwenyewe nakubali sana kazi zako!! Show zako Kigamboni pale ESCROW, PWEZA. Natamani nipate Ratiba ya Show zako kwa wiki nzima ili nijue na nifike!!
Mimi ni mshabiki wa Bella na napenda saaana nyimbo zake...!!! Ila yeye ni mwanamuziki wa kwanza kutoka congo wa kizazi hiki. Walikuwepo akina Remmy Ongala mzee King kiki mzee Banana Zoro
Huyu Jamaa ukimskiliza vizur utagundua Africa tunatoa sana Uraia kwa wageni wenye ngozi Nyeupe (western peoples) lakini kwa Waafrika wenye mapenzi na nchi zetu hatuwapi. Hawa ni moja ya watu muhimu.
Jamani watu na vyote vilivyopo duniani ni vya Mungu. Mipaka iliwekwa na watu tu. Na sisi kama wakongo atuna kikwazo na mtu ijapokuwa matatizo yetu. Kwaiyo jamaa (CBO) yuko huru kuwa na uraia aupendao. Ila asili ubaki daima kwa mtu, hata leo apewe uraia wa Tz lakini atasemekana tu ni mtanzania mwenye asili ya Congo. All the best kwa yote utakayo yaamuwa
Congo inawasani wengi wanakuzidi kwimba we choko.ungekuwa congo hungejulikana.ulikuja Tanzanie inchi kimuziki ikingali chini.huwezi kulinganisha congo na Tanzanie kimuziki.hata Burundi kimuziki ya live band iko mbele sanaaaa ya tanzania na wasani wa bongo wanafahamu iyo.wakija Burundi wanashindwa kuimba live.Burundi ni mambo ndogo kuimba live.hamuna mwanamuziki kama kidumu
Mimi mkongomani, but ninge pendelea kabisa uwe mtanzania, kwasababu tanzania ndio inchi ilio kupa fursa ya kukutangaza ulimwenguni... Kweli utabaki kuwa mkongomani alisiya ila mtanzania kama inchi yako ya ulezi.... Na wish uchukuwe urahiya... Na hata ivo, sisi wakongo tuna wapenda sana Watanzania, kwani ni inchi ina rahiya watulivu na wenye upendo mno. Hawanaga matatizo na sisi. So hata ukiwa mtanzania ao mkongomani, yote mali yetu tu, karibu
Bwana Bella unako ishi ndo kwenu baba Kongo umezaliwa Ila TZ ndo nyumbani.mimi ni mukongo Ila soon by God grace I will like to be a South African because I have been living in SA for 13years now.
Uraia haupatikani kwa kuishi miaka mingi kwenye nchi ambayo sio yako..rahasha. ila waweza kupata uraia kwa kufuata process na sheria ya iyo inchi unayoiomba uraia,,,sie wenyewe tupo huku kwenye nchi za watu tena tumekulia huku uku..huu sasa ni mwaka wa 23..lakini hatuna hata citizen ship..tumetumia resident permit mpaka tumechoka sasa!😀
Tanzania ni inchi ambayo tunaipenda wengi tu na tunatamani kuwekeza, ila sasa tatizo linakuja kwa hio sheria ngumu ya kwamba mgeni haruhusiki kumiliki ardhi na ndico kinaco tuvunja nguvu natamani hio sheria itolew kwa sisi wa africa ikatumik kwa wazungu kwa sababu africa tuko wamoja tuje tuwekeze na tujihisi kuwa nyumbani na wa Tanzania wanaotaka kuwekeza inchi zingine wawe huru.
Umesema vizuri , lakini umesahau kuwa kama mtanzania utamilikishwa ardhi , shida si ardhi shida hawataki uraia pacha, alafu ukisema africa moja unakosea kwani kila nchi inasheria zake na utamaduni wake na wa africa kiasili ni watu wakuwaka asira kukalibisha kila mtu unaweza kujitengenezea vita katika nchi kama bado haujajipanga kikamilifu, Tanzania si marekani au uchina ambao wenzetu wananguvu ya kijeshi, mimi naona uraia watanzania ni mzuri kwa watanzania wenyewe na nchi zingine zilichochini yake kiuchumi
Yaan nasmile interview yoote asee Bella nampenda sana sauti yake ukiskiliza unapata feelings fotauti nzuri wewe ni mtanzania tu maana mpaka tulisahau kama wew si mtanzania 😅
Hv Cristian berla unajiskia je unavyoishi Tanzania tunavyowapenda lkn nyinyi tunavyoenda kwenu mnatunyanyasa sana pia mkongo hata akiwa rafikiyako ukiwanae hatakwenye mizunguko hatokwambia karibu nyumbani kwake na kama anakataa wamuulize hapo aongee ukweliwake
Rudi nyumbani, nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani ukiishi ugenini usisahau kuwaambiya watoto asili ya kwenu maana ugenini ukiyafanya mazuri unaitwa mtanzania ukikosea unaitwa mcongomani aliye kimbia inchi, ebu kumbuka alivyoambiwa mayele bungeni amekuja kutetema huku nenda kateteme kwenu ukiwa na bunduki mkononi
Mimi na mushauri asibadilishe kwa sababu Congo saivi atakuwa na haja YA kurudi Congo ,piya anapata fursa YA kukutana na ma presidenti ,sasa iyo fursa na hata ipata tena ,abaki ivitu kuzaliwa mcongo asibadilishe

Amani Sawa ila usiwekeze ndugu yangu usilo lijua ni usiku wa giza😂😂😂😂😂
Kwa nini useme ivio,??
christian bella ni mwanamuziki mzuri kila nyimbo yake ni nzuri nampenda sana
Za siku hizi sio nzuri, amezidisha sana bongo flava ndani yake.
Mimi namkubali sana Bella yupo vizuri🇹🇿🎤🇨🇩🤝✨🌙🦅🤘🎶🎧🔥🔥
Safi sana hapo mwijaku jifunze hiyo aloo nimekukubali sana mwamba Bella big brother
Nampenda bella sana😍😍❤nashukuru nilipiga nae picha😀
Bella uwe mtanzania au mkongo hivyo hivyo haijalishi we ❤ you
Mpaka hapa alipofikia tayari ni Mtanzania mwenye asili ya Congo,,big up my brother Bella,,tulikaa nyumba moja hapo Sinza one time
Nampenda sana Bella jmniiiiiiiiii yy na nyimbo zake yaniii yupo damuniii haswaaaa ❤❤❤❤
Napenda sana Nyimbo zake bella
We ni mtanzania kabisa na hata si mkongo brother, we love you
Bella ana mpinzani is he talented man salute sana apewe2 uraia
Naipenda Sana nyimbo ya mama hongera Sana
Nakupenda sana Bella, Mziki wako ustarabu wako, huna maskendo, Chukua tu Uraia Tz ❤
SWAHILI YA DRC I LIKE IT🎉
Bella❤ akili nyingi sana big up nimekuelewa mucongo damu 😂😂😂 ila mtzd damu stay blest bro chapa kazi
*baba levo kila sehemu yupo duh namkubali sana*
Mungu akubariki sana tabia yako ndiyo inayokufanya unapendwa siyo mtu wa mitandaoni sana na ngoma zako matusi hakuna uko kama ladylike utafanikiwa sana ninachoomba uwe raia wa Tanzania na utapewa bila wasi
Tayari uraia unao Bella " ifike mda watu weusi tuishi kw umoja zaidi mambo ya ubaguzi tuweke kando,, pia lazima kuwa wangwana haswa unapopewa uraia zingatia Sheria za nchi na tuwe makina na watu ambao wana niya mbaya kw maendeleo ya Africa hao ndo tupingane nao,,, love u Africa,,
Belaaa voice killer
Nakubali bro serikali ikufikilie ikupe uraia wa Tanzania itakuwa poa sana
My No. 1 Artists. CBO to the World❤
Big up Sana 💪 kwake bella ngoma zake Kal sana
Washa moto mpaka Congo Kinshasa watambue
The Good musician u'r creater
Bella wewe ni wetu tanzania, nakupenda sana, kongo poleni sana nakupeni poleni
Pole mwenyewe kwani kama ni mtanzania ama mcongo ama mtu mwegine shida iko wapi
Congo kuna wa saani wengi
@@queen.christelle1 inaumaaa inabidi uzoeee
Hongera Bela,kulipo hazina ya mtu ndiko moyo wake uliko
Brother mi mwenyewe nakubali sana kazi zako!! Show zako Kigamboni pale ESCROW, PWEZA. Natamani nipate Ratiba ya Show zako kwa wiki nzima ili nijue na nifike!!
Mimi ni mshabiki wa Bella na napenda saaana nyimbo zake...!!! Ila yeye ni mwanamuziki wa kwanza kutoka congo wa kizazi hiki. Walikuwepo akina Remmy Ongala mzee King kiki mzee Banana Zoro
Huyu Jamaa ukimskiliza vizur utagundua Africa tunatoa sana Uraia kwa wageni wenye ngozi Nyeupe (western peoples) lakini kwa Waafrika wenye mapenzi na nchi zetu hatuwapi. Hawa ni moja ya watu muhimu.
Hilo ndilo lilivyo..sema wapumbavu wengi hawajui kumsikiliza mtu.
Wakamwelewa
Jamani watu na vyote vilivyopo duniani ni vya Mungu. Mipaka iliwekwa na watu tu. Na sisi kama wakongo atuna kikwazo na mtu ijapokuwa matatizo yetu. Kwaiyo jamaa (CBO) yuko huru kuwa na uraia aupendao. Ila asili ubaki daima kwa mtu, hata leo apewe uraia wa Tz lakini atasemekana tu ni mtanzania mwenye asili ya Congo. All the best kwa yote utakayo yaamuwa
Bella
Congo inawasani wengi wanakuzidi kwimba we choko.ungekuwa congo hungejulikana.ulikuja Tanzanie inchi kimuziki ikingali chini.huwezi kulinganisha congo na Tanzanie kimuziki.hata Burundi kimuziki ya live band iko mbele sanaaaa ya tanzania na wasani wa bongo wanafahamu iyo.wakija Burundi wanashindwa kuimba live.Burundi ni mambo ndogo kuimba live.hamuna mwanamuziki kama kidumu
We jamaa hujui kiswahili kabisa , na huelewi amesema yawezekana angekua congo asingejulikana kwani kasema ye mkali kushinda wacongo Kua Kua muelewa
@@fahadfaraj6474 sasa njo weye unakifahamu? Mbona ulisikia message yangu?
@@ZAGARO90 MIMI SIJAWAHI KUSIKIA NJIMBO ZA WARUNDI TOKA NIZALIWE.
@@salimmalaka256 ulisha hama tangu ulizaliwaka?
@@salimmalaka256 😂😂😂😂Jamaniii nmecheka sijui watakua wanatumia lugha gan kuimba😅
Mtu apangi kwa kuzaliwa na kwa Bella itabaki ivyo . Historia ita sema alikua Mkongomani alie kuwa nafanyia kazi yake ya Mziki Tanzania
I never know Bella is from congo..big up kaka uko vizuri
Akili nyingi sana bella 👍👍
Mm na patikana Lubumbashi natamani sn niwe star wa mahizo Tanzanian kama Kanumba
Big up sana bro 🎉🎉🎉🎉❤
Nakukubari sana kijana wangu ht ivo leo nimeshangaa ww nu kijana usopenda mambo ya mitandaon nakupendagasana huna misifa mtt wangu
Twoo kaka ukuu wamungu hutimia nchi tofauti nakwenu hata yesu pia
Tunakupenda kaka bela
ni sawa na Solomon mkubwa wa kenya yaani kenya ndiye nchi ilimtengeneza kawa msanii mkubwa ila mzaliwa wa congo .
Kenya unaenda Leo Kesho unapewa ID ,na ukoo hadi 😂😂
Mimi mkongomani, but ninge pendelea kabisa uwe mtanzania, kwasababu tanzania ndio inchi ilio kupa fursa ya kukutangaza ulimwenguni... Kweli utabaki kuwa mkongomani alisiya ila mtanzania kama inchi yako ya ulezi.... Na wish uchukuwe urahiya... Na hata ivo, sisi wakongo tuna wapenda sana Watanzania, kwani ni inchi ina rahiya watulivu na wenye upendo mno. Hawanaga matatizo na sisi. So hata ukiwa mtanzania ao mkongomani, yote mali yetu tu, karibu
Hiyo ni kweli ndugu yangu❤
Vraiment
🙏🙏🙏🇹🇿🇨🇩
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hiyo ni kweli kabisa hatuna shida na wa congo
Hata wacongo pia hawana shida kabisa na sisi
Tunawapenda sana
Huyu jamaa ni msanii mzuri hana makeke na miziki yake haina lugha mbaya
Aombe atapata
WELCOME TO BUFFALO NEW YORK BELLA🎉🎉
Jaman me wakwaza kambisa naomba like zangu
Mahojiano mazuri sana,Kweli fuata utaratibu
Bonjour avant tout!Pour Une petite conseil ne change pas la nationalité congolaise!Monsieur, c ton fan depuis RDC 🇨🇩
Bwana Bella unako ishi ndo kwenu baba Kongo umezaliwa Ila TZ ndo nyumbani.mimi ni mukongo Ila soon by God grace I will like to be a South African because I have been living in SA for 13years now.
Uraia haupatikani kwa kuishi miaka mingi kwenye nchi ambayo sio yako..rahasha. ila waweza kupata uraia kwa kufuata process na sheria ya iyo inchi unayoiomba uraia,,,sie wenyewe tupo huku kwenye nchi za watu tena tumekulia huku uku..huu sasa ni mwaka wa 23..lakini hatuna hata citizen ship..tumetumia resident permit mpaka tumechoka sasa!😀
Africa Sheria ZAKIJINGA sana ukitimiza miaka mitano lazima upewe uraia
Bela wa bongo anipe nafasi me nahamia congo
Uyo ni mcongomani mwenye asilia ya kitanzania🇨🇩✌️🇨🇩
Hapana uyu ni Mtanzania mwenye asili ya congo tunampenda Sana huyu ndg anajiheshim sana
Point of correction, Ni mtanzania mwenye asili ya Congo.
Tanzania ni inchi ambayo tunaipenda wengi tu na tunatamani kuwekeza, ila sasa tatizo linakuja kwa hio sheria ngumu ya kwamba mgeni haruhusiki kumiliki ardhi na ndico kinaco tuvunja nguvu natamani hio sheria itolew kwa sisi wa africa ikatumik kwa wazungu kwa sababu africa tuko wamoja tuje tuwekeze na tujihisi kuwa nyumbani na wa Tanzania wanaotaka kuwekeza inchi zingine wawe huru.
Umesema vizuri , lakini umesahau kuwa kama mtanzania utamilikishwa ardhi , shida si ardhi shida hawataki uraia pacha, alafu ukisema africa moja unakosea kwani kila nchi inasheria zake na utamaduni wake na wa africa kiasili ni watu wakuwaka asira kukalibisha kila mtu unaweza kujitengenezea vita katika nchi kama bado haujajipanga kikamilifu, Tanzania si marekani au uchina ambao wenzetu wananguvu ya kijeshi, mimi naona uraia watanzania ni mzuri kwa watanzania wenyewe na nchi zingine zilichochini yake kiuchumi
Ukioa au kuolewa pia Tz pia huruhusiwi kumiliki ardhi?
Bella me natamani upate uraia wa Tz maana umekaa miaka hata kiswahili chako ni cha bongo tupu😂
Yaan nasmile interview yoote asee Bella nampenda sana sauti yake ukiskiliza unapata feelings fotauti nzuri wewe ni mtanzania tu maana mpaka tulisahau kama wew si mtanzania 😅
Tanzania ni wagumu sana kutowa uraia!! Marehemu Remy ongala) walimpa uraia !! baada ya wiki anafariki 😅😅
Kweli ukiwa unakaribia kufa ndo wanakupa dar umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣
😂
C.B.O 🔥
Huyu hataki kukana uraia wa Kongo nahisi hamjamwelewa kama alikuwa anataka uraia angekuwa ameshapata
kama ww unailukana uraia wa nchi yako
Jua sheria kwanza
Wakaliua leo Ndo nimekusikia
Huyu jamaa anajua sanaa kujibuu maswaliii
Hv Cristian berla unajiskia je unavyoishi Tanzania tunavyowapenda lkn nyinyi tunavyoenda kwenu mnatunyanyasa sana pia mkongo hata akiwa rafikiyako ukiwanae hatakwenye mizunguko hatokwambia karibu nyumbani kwake na kama anakataa wamuulize hapo aongee ukweliwake
Love U Bella
Sawa Ila Acha kujidai unaishi mtaani kwetu ukisalimiwa unamimba achaizo.
Rudi nyumbani, nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani ukiishi ugenini usisahau kuwaambiya watoto asili ya kwenu maana ugenini ukiyafanya mazuri unaitwa mtanzania ukikosea unaitwa mcongomani aliye kimbia inchi, ebu kumbuka alivyoambiwa mayele bungeni amekuja kutetema huku nenda kateteme kwenu ukiwa na bunduki mkononi
Inch gani iyo kwa kupata uraia mpaka kubelembeleza raisi dohh😮😮
Africa shida kweli bado tuna ukabila kimia kimia ulaya kupewa uraia sio shida sanaaa lakini Africa balaaa
Bera na kukubari sana mwamba
NIPO TAYARIII UWE MTANZANIA BELLA
Ni ushamba tu watu wanaishi muda mrefu tanzania na hawapewi uraia kama remmy ongala,lakini ngozi nyeupe nyingi zimepewa uraia.
Kwa habari ya MUNGU umenifurahisa sana!!!endelea kumtanguliza MUNGU utaona mengi.
Hongela kaka
Ndio. Tunatamani. Sanna. Bela. Uwee. Mtanzania. Mwenzetu. Sijuwi. Kwanini. Wasimpe. Uraiya. Huyu. Mtuu
Me napenda sana Congo madini kama yote matepeli waliingia kutapeli madini yetu
I feel what Bella is going through but he shouldn’t make it seams like it is the end of the world to be a Tanzanian citizen
CBO❤
Leo ndio nimejua Mwamba christian bella hajaapply. Binafsi nataman angeapply hata jana
Wewe nimwamba Sana toka zaman nakukubaligi Sana
Kweli kaka
Huyu mwamba hana mambo mengi very simple hata mavazi yake ni mtu anajielewa huyo ndio kioo cha jamii sasa
Nakubali ngomma zako kaka
Nimekukubali bela
Dual ciizenship ingefaa but Tz hakunaga
Bella ni Fundi na tuna kukubali sana
Mimi na mushauri asibadilishe kwa sababu Congo saivi atakuwa na haja YA kurudi Congo ,piya anapata fursa YA kukutana na ma presidenti ,sasa iyo fursa na hata ipata tena ,abaki ivitu kuzaliwa mcongo asibadilishe
Bella fannya hivyo wewe ni Mtanzania kabla haujaisha huu mwaka.
Number 1st
Tunamtaka kk yetu bella congo🇨🇩 baba levo jieshimu saaana atutaki bifu na tanzania 🇹🇿 please don’t do that to our brother
Wewe tayarii ni mtanzaniaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
R.I.P JPM
Kama ww mwanetu njoo 🇨🇩 ✌️ mchi ya utajiri achan na aho wabaguzi tu, njoo upambane nakina faly ipupa uku bna 🇨🇩🇨🇩✌️
Wangekuwa wabaguzi amgeliishi hapo , hauna akili wewe
🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️
Bela hata watu wa Moçambique wanakujua kama Tanzaniano
Wakongo wanavyongea bhn ,,,kuna kisaut cha mayeleeeee kwa mbali jamaa akiongea
Baba levo awe anasubiri amalize kuongea
Uraiya Pacha, ndo solution
Ahahahah! Bella jibu jepesi tu kuwa, Afrika ni Moja, mengine ni mbwembwe tu. Hapa ni nyumbani kama Kongo hata usipokuwa na documents.
Mukana kwao ni mtumwa wewe ni mkongo ila kama utabadili uraia ni sawa tu
Kama kwenu akuna faida na wewe tupa kule
@@kasimkassam9565 akuna faida gani wakati unatumikisha simu na Mali inatokeya kwao uko
@@robertamsini1256 anasema tanzania ndio nchi yangu wewe unaleta mambo ya simu na Mali, nataka kukujulisha kwamba watu wote ni watanzania 😁
@@kasimkassam9565 acha zako bwana uyo nimu congo 🇨🇩 tu
Maneno yakipumbavu hayo
MUNGU ni mwema
Huyo baba levo anafundishwa taratibu za nchi na mtu mgeni. Wakati amewahi kuwa diwani.asiefuta utaratibu kwani uraiya unaombwa kwa Rais.?
Kwa nini apa panakua pagumu sana kupata uraiya wakati sote ni back man ifike paala sheria ifanyiwe maboresho
Hiyo permit classe A wengine tumeipata miaka mingi iliyopita