NABII MKUU AFURAHISHWA NA MR. PIMBI, AMZAWADIA MILIONI 2 - GeorDavie TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 226

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 2 роки тому +27

    Watu wangu wanaaangamia kwa kukosa maarifa,jamani tuitafute ile kweli yake Bwana wetu Yesu Kristo nayo itatuweka huru!

    • @rehemageorge9506
      @rehemageorge9506 2 роки тому

      Ni heri kutoa kuliko kupokea.hilo ni neno la Mungu linatenda kazi uwe na amani.

    • @prophetson8933
      @prophetson8933 2 роки тому

      @@rehemageorge9506 Asante Dada kwa kumjibu huyu jamaa sjui ametumwa huwa yupo very negative na mambo ya Mungu bro Kwan lazima u comment mbna unateseka Sana

    • @prophetson8933
      @prophetson8933 2 роки тому

      Broo acha kuteseka asiee nimekufwatila Sana usitafute kiki kwenye page za watu nenda kawaambie Mataifa Haya mambo huku sisi tulishavuka hz story unapiga tuliambiwa miaka 20 ilyo pita

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 2 роки тому +3

      Yaani shetani yupo kutuchelewesha na hela Ila Wala hatuambizani kuwa Kuna kilio na KUSAGA meno baada ya kufa Kama hatutubu dhambi na kuacha

    • @prophetson8933
      @prophetson8933 2 роки тому

      @@geitandelwa299 wewe mpka Leo hujatubu dhambi zako unashida gani yani mpkaa Leo hujatubu mbna unachelewa Sana

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 2 роки тому +6

    Àsante sana jamani Baba yangu barikiwa kwa MSAADA wako

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 роки тому

    Reaally!!!! World is amazing, but Humans inside even the world amazed itself.

  • @mariamselemani2155
    @mariamselemani2155 2 роки тому +5

    Nabii mkuu ubarikiwe sana ktk udumu yako unayotoa mungu wa mbinguni akurinde siku zote za maisha yako uzidi kutukumbuka kutuombea ss turio kuwa na matatizo tupate kupona mm naitwa mariamu selemani Niko mkuranga mkoa wa pwani

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Рік тому

    ALLAH Aninusuru na NJAA ni UDHALILI aisee..!! MEYA MUISLAM KABISA 😢😢

  • @izackizack9616
    @izackizack9616 2 роки тому

    Nahii mwenyezi mungu akubariki Sana mungu awe nawe katika kuitenda kazi ya mungu HAKIKA hakuna mtumishi WA mungu anayesaidia jamii kama wewe

  • @tbwayjunior8947
    @tbwayjunior8947 2 роки тому +3

    Hawa watoto wanafuata hela tu, Ila nabii mkuu Geordavie Mungu azidi kukupeleka.

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 2 роки тому +4

    Nabii Hahahahahaaaaaa acha nikae kimya maana kuna watu wanamkubali 😂😂 Kwanza nicheke dah Mungu atujalie mwisho mwema kama ni Nabii Inshallah Mungu am bariki kwa mema anayofanya ! Ila Kwa mimi hapa Mungu anisamehe ! All da Best Nabii Nakuheshimu pia ubarikiwe

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 2 роки тому +2

    Mtoto akienda kwa Baba yake hawezi kurudi mikono mitupu barikiwa sana Nabii Mkuu kwa kuchunga kondoo vizuri in Yesus Christ name

  • @innocentnyambane8964
    @innocentnyambane8964 27 днів тому

    baba tunakupenda sana kwa kutoa neno la mungu apa kenya

  • @brianshomi722
    @brianshomi722 2 роки тому +8

    BILA HAWA WATU SISI TUTAKOSA CHA KUHUBIRI INJILI YA KWELI
    ✓HIVYO NAPENDA WAONGEZEKE ZAIDI NA ZAIDI 🙌

  • @florencemorice4005
    @florencemorice4005 2 роки тому +1

    Mung akubarik san baba yang nabii mkuu mungu akupe maish marefu zaid

  • @naghenjwaely-muzze3301
    @naghenjwaely-muzze3301 2 роки тому +4

    Yuko wapi huyu nabiii anipe hizi pesa😍

  • @alphoncehume9495
    @alphoncehume9495 2 роки тому +2

    Amen amen Mungu akuzidishie Sana Nbii Mkuu.

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 2 роки тому +4

    Ubarikiwe sana Nabii mkuu G.

  • @zakiangumbe6739
    @zakiangumbe6739 2 роки тому

    Nabarikiwa na wewe nabii mkuu mungu wangu natamani Nije nikanyage kwenye madhabahu y'ako baba 😭nakuombea

  • @charlzlomo9219
    @charlzlomo9219 2 роки тому

    Pesa zipo kwa ajili kuutambulisha ufalme wa Mungu

    • @fasheamani5395
      @fasheamani5395 2 роки тому

      Ufalme wa Mungu hautambulishi kwa fedha.

  • @romaycer
    @romaycer 2 роки тому +2

    DINI ZINACHEZEWA SANA AISEE

  • @gerardnyandwing8087
    @gerardnyandwing8087 2 роки тому

    Nabiii Mkuuu,Mungu akubariki sana na Mungu akupe maisha malefu👌👌

    • @mohamedishabir3995
      @mohamedishabir3995 2 роки тому

      Matayo 24:24) akiwemo na huyo Nabii wenu mkuu! Kapewa unabii na nani? Yesu aliitwa Nabii mkuu! Soma Luka 7:12,13) Sasa yupi Nabii mkuu kati ya huyo na Yesu?

  • @swarehemnyampala6048
    @swarehemnyampala6048 2 роки тому +2

    Nabii mkuu hongera kwa kwakuwa na moyo wa huruma

  • @Raphael99
    @Raphael99 2 роки тому +2

    AMINA, Mungu akutunze Nabii Mkuu

    • @agnesnduku4376
      @agnesnduku4376 Рік тому +1

      Shalom Nabii Mkuu,mimi naitwa agnes nduku kutuka kenya malindi naomba utamke neno moja juu ndoa yangu na maisha yangu mimi na jamii yangu.

    • @Raphael99
      @Raphael99 Рік тому

      @@agnesnduku4376 Amani inawe. MUNGU akufanyie Amani kwenye maisha Yako.

  • @teddyemmanuel6292
    @teddyemmanuel6292 Рік тому

    Sio kuangamia Kwa kukosa maarifa, ni wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa na kweli wameangamizwa MUNGU atusaidie

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 2 роки тому

    Heshima yako baba Mheshimiwa Nabii mkuu Dr GeorDavie 💪💪👏👏👏👏

    • @joshuasamwelyrungu2360
      @joshuasamwelyrungu2360 2 роки тому

      MUNGU akufungue macho umepotea

    • @neemamjema1067
      @neemamjema1067 2 роки тому

      @@joshuasamwelyrungu2360 Akufungue na wewe vidole u-comment vinavyoendana na post, sema amen huko huko ulipo.

  • @hazinaelmzirai4875
    @hazinaelmzirai4875 2 роки тому +1

    Ubarikiwe Nabii, tukumbuke na wengine madeni tulipe watu wanakufaa

  • @josephmilambi3916
    @josephmilambi3916 2 роки тому +7

    Duuu Hawa wasanii wanavamia kanisa kisa pesa nabii kuwa makini na hao viumbe

  • @tumainimgalla920
    @tumainimgalla920 2 роки тому +1

    Eeeee kweli kazi ipo kwa hapo,,, kam

  • @mutoniburundi9930
    @mutoniburundi9930 2 роки тому +4

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @solsimaniakanam7843
      @solsimaniakanam7843 2 роки тому

      Ameen. Mungu awaongeze miyaka watumishikama hawajamani kamaninge kutana nae singepitiya shidaninayo pitiya ilakwasanabu nimekuona natiya imani kupitiya kwanabi mukuu nitafanikiwa hakinabi niombe e

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 роки тому +1

    Amina baba

  • @fridawilliam871
    @fridawilliam871 Рік тому

    Mmh uhubiri watu waache dhambi wajenge mahusiano mazuri na Mungu

  • @dianadiana8755
    @dianadiana8755 2 роки тому +1

    Nabii.mkuu u abalikiwe sana mm ni mhumini wako naitaji msaada kutoka kwako nina omba msaada wa mtaji

  • @carolynesimiyu508
    @carolynesimiyu508 2 роки тому +2

    Amen Amen 🙏

  • @saumumohamed1209
    @saumumohamed1209 Рік тому

    Naamini wewe mtu wa mungu umeletwa kwaajili ya watu sema chochote kwangu

  • @maimoonabakari1426
    @maimoonabakari1426 2 роки тому +1

    Innalillah wainnailaihy rajiuun

  • @pendoyese4452
    @pendoyese4452 2 роки тому +2

    Huyu baba mungu ambariki Sana jamani

  • @balkissmuhammad5090
    @balkissmuhammad5090 Рік тому

    Laaanatullah ibilisi

  • @tinamahega9848
    @tinamahega9848 2 роки тому +1

    Pamoja na yote wanayosema juu ya huyu nabii mkuu,mimi namkubali sana,kwanza mahubiri yake ni ya kujenga na kutia moyo sana,nampenda sana huyu nabii ananibariki sana.

    • @rabinzsinoya1434
      @rabinzsinoya1434 2 роки тому

      Tina,jitaidi kusoma biblia uhujuwe ukweli omba macho ya ki MUNGU uwone sawasawa

    • @DonatusNyamizi
      @DonatusNyamizi Рік тому

      Sasa hapo wanaondoka hivi hivi bila hata kuelezwa habari za Yesu na kuongozwa sala ya toba!!

  • @gracemalatwe6064
    @gracemalatwe6064 2 роки тому

    Mtumishi mie nisaidie chakula tu🙏

  • @wazirimussa-1016
    @wazirimussa-1016 Рік тому

    Naomba namb ya baba jodevi mm yohana

  • @joshuakikoti9354
    @joshuakikoti9354 2 роки тому +2

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

  • @isaacrabin276
    @isaacrabin276 2 роки тому

    pesa zitawafuraisha funiani lakini mbingu hamta hiyona kamwe ,
    kama mafhabau ni ya Mungu mtu ambaye anakaa mtaani kuongea vitu visivyo mpendeza Mungu anaipanda nakuanza kutaja diamond ,harmonize , shetani tu anatawala kanisani , na mna wapea hao pesa na waumini wenu pengine kuna wenye wamelala njaa before waje kanisani ,
    wengine wana fikiri mtu akiwa na pesa yaani Mungu anampenda sana, kumbuka story ya tajiri na Razoro.

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 2 роки тому

    Sawa San. Hongera sana kwako pimbi

  • @nickolassaimoni7675
    @nickolassaimoni7675 2 роки тому

    Matendo ni jibu tosha. Wewe ni mcha mungu wa kweli

    • @markokyando4074
      @markokyando4074 2 роки тому

      Siufunguwe tu kilinge uwe mganga wa kienyeji uwe wazi weka madudu yako peupe hayo yanayo kuletea pesa

  • @niyomugabojohn8329
    @niyomugabojohn8329 2 роки тому

    Na Mimi namupenda saana huu nabii

  • @annenduku5243
    @annenduku5243 2 роки тому +2

    Kweli mtu wa mungu,natamani ningelikuwa karibu nawe.

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 2 роки тому +1

    Nabii mkuu anayo mbingu yake na wafuasi wake, hongera nabii mkuu

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 2 роки тому

      Mmmmh Ni KWELI kabisa no kupokea uponyaji na hela na miujiza habali ya KWENDA mbinguni haipo

  • @obadiakalinga9985
    @obadiakalinga9985 2 роки тому +2

    Ameniii Ameniii 🙏

  • @joycegeorge4712
    @joycegeorge4712 2 роки тому +1

    Pesa hizi jamaniiiiiii

  • @nanadamas4771
    @nanadamas4771 2 роки тому +3

    Hivi jooh dav hajui Kama hapo watu Wana fuata hela Yan hela n hatari Sana haya bhana me Sina namna maana Leo yao kesho yangu siijui

    • @bboypianistandguitarist3329
      @bboypianistandguitarist3329 2 роки тому +1

      Njoo na wewe ufuate

    • @neemamjema1067
      @neemamjema1067 2 роки тому +1

      Ni Nabii mkuu Dr GeorDavie sio kama ulivyoandika
      N:B Huwezi fata hela mahali pasipo na hela

    • @neemamjema1067
      @neemamjema1067 2 роки тому

      @@bintalmasi2393 Hujui maana ya kafara wewe acha kelele bana.

  • @habibtyhabibty840
    @habibtyhabibty840 2 роки тому

    Nabii namii nakuja unipe hera😍

  • @coursezawadi800
    @coursezawadi800 2 роки тому

    Amina

  • @emmanuelbenedicto589
    @emmanuelbenedicto589 2 роки тому

    Joshua

  • @koyesandatuya5422
    @koyesandatuya5422 Рік тому

    Yupo elibarik sumbe

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Рік тому +1

    Huyu Mtumishi ana Machawa kama wote

  • @givenmazengo7738
    @givenmazengo7738 2 роки тому +1

    Njaa Kali

  • @ibraog3132
    @ibraog3132 2 роки тому +1

    Jamanii naomba nikutanishwe nae Nina shida saana na ela

  • @sevenrepublic1550
    @sevenrepublic1550 2 роки тому +1

    Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa

  • @OfficialAllytz
    @OfficialAllytz Рік тому

    Nabii nimmoja tu Muhammad mtaenda motoninyie acheni njaa

  • @hungwemasanja335
    @hungwemasanja335 2 роки тому

    Nimm pia

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 2 роки тому +1

    Njaaa ni kali mno

  • @preshazbarbie5730
    @preshazbarbie5730 2 роки тому

    Yes

  • @tbwayjunior8947
    @tbwayjunior8947 2 роки тому

    Juuuu

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 2 роки тому

    Ivi maumivu Kiasi gani wanayapata washiriki ambao wanajinyima wamepanga hawajalipa Kodi wanashinda bila kula wanaleta sadaka alafu unagawa pesa za masikini Kwa vibwengo vinavyokusifia

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 роки тому +2

    Hv Sasa ifike pahala we nabii uache ugawaji huu nna wasiwasi naww

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s 2 роки тому +2

      Tumezaliwa kutafuta waache watafute kwa uhalali wasiibe tu

    • @bboypianistandguitarist3329
      @bboypianistandguitarist3329 2 роки тому

      Acha ujinga wewe gosbert tatizo moja nyie viumbe cjui mnatokea akigawa anawa kwa mapenzi yake asa wew akigawa wewe inakuuma nini karibu kufanya vitu vya msingi acha kufuatilia vitu visivyokuhusu

    • @chalessabaya2938
      @chalessabaya2938 2 роки тому +2

      Unae wasiwasi gani? 😏

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 роки тому

      @@bboypianistandguitarist3329 😹😹😹😹nilijua tu makolofc wapenda vya Bure mtajajibu haya nenda naww upewe

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 роки тому

      @@Clex-f5s 😹

  • @spabiton7989
    @spabiton7989 2 роки тому

    Maigizo ndio ibadakweli?

  • @jescamuijsers4206
    @jescamuijsers4206 2 роки тому

    Nabii mkuu hongera sana 🙌

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 2 роки тому +1

    Looii ibilisi yuko kazini

  • @erastohanson9696
    @erastohanson9696 2 роки тому +3

    amekuwa chawa wa nabii tena

  • @importancetv3196
    @importancetv3196 2 роки тому +1

    The prophet of worlds

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +6

    Wanafuata gar na pesa hapo 🤣🤣🤣🤣haya ach inyeshee

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 роки тому +1

    Hizi dini zinakoelekea sasa 🙄🙄🙄🙄🙄😭😭😭

  • @michaelkivuyo5365
    @michaelkivuyo5365 Рік тому

    Nabii naomba usinisahau na Mm

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 2 роки тому

    great

  • @dicostarama5406
    @dicostarama5406 2 роки тому +1

    Nabii naomba msaada wako wamaombi nakuomba sana baba Mimi nimtanzania lakini Niko kenya

    • @lucymtui6712
      @lucymtui6712 2 роки тому

      Nabii Mkuu haombi,ANATAMKA. Na Mungu anaweka Muhuri,imekuwa kwako. Omba tamko.

  • @benzema1833
    @benzema1833 7 місяців тому

    Alafu utaisikia batoto bakenya wanataja wao Ezekieli

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 2 роки тому

    Nabii kaipenda style ya Nywele ya Mr Pimbi?

  • @petersimba3663
    @petersimba3663 2 роки тому

    yaan mi 2 dah

  • @dorcasmakoba8999
    @dorcasmakoba8999 2 роки тому

    Sasa hyo ndio jamii mfyu ww unajua kugusa jamii?? Ilaa watu Wehu kwelikweli

  • @shadracknkwama887
    @shadracknkwama887 2 роки тому

    Na wishi kuona nabii mkuu

  • @stelabrent6056
    @stelabrent6056 2 роки тому +7

    watu wanafuata hela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @leticiacosmas7626
      @leticiacosmas7626 2 роки тому

      Kabisaaa

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 2 роки тому

      Na zitawatokea puani, hawajiulizi zinatokea wapi?

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 2 роки тому

      Hilo babu linaongozwa na frimansoon hilo

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 роки тому

    Mbona dada yangu Mary Barnaba amesali kwa Geo Davie miaka 30 na hana kazi anauza vitunguu saumu sokoni anatoa sadaka amefiwa na watoto 2 hajawahi kupewa hata mia moja na Geo Davie? na mama yangu alisali pia pale hadi umauti ulimfika na hakupewa chochote??

  • @jakoboemanuelrobat9777
    @jakoboemanuelrobat9777 2 роки тому

    Kwel n Balak San

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 2 роки тому

    💗💗💗💗

  • @KhadijaMohammed-z8c
    @KhadijaMohammed-z8c 11 місяців тому

    Dalili za kiama izi

  • @chrisskucha6108
    @chrisskucha6108 Рік тому

    Au naww ulifikili utapewa gali sio

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 2 роки тому

    Ebu ngoja na mimi niende kwa nabii nikamsalimie

  • @raphaelmbwana7549
    @raphaelmbwana7549 2 роки тому

    Aya ndio makanisa sio kanisa Mchungaji anaweka waumini ndio kitega uchumi

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 2 роки тому +2

    Ah we mbona kama nishida huko kichwani nabii umeshindwaje kumwambia huyo aah

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 роки тому

    Diamond na wewe uko wapi wahi aisee

  • @tumainimgalla920
    @tumainimgalla920 2 роки тому

    Kama injili iko hivyo tumekwisha

  • @eddyempire9797
    @eddyempire9797 2 роки тому +1

    Nakaribia kufika hapo

  • @kajinjirashid5590
    @kajinjirashid5590 2 роки тому

    24:24..kutakuja makristo wa urongo na manabii wa urongo..watafanya miujiza kwa ajili yangu...bla bla blaa..so kuita mtu hapa dunian NABII..ni ujinga na upuzi..tumieni akili watanzania na wakenya..manabii walikufa wote..na hakuna nabii kwa hii dunia..upuzi huo

  • @cybaconsamg5734
    @cybaconsamg5734 2 роки тому

    Naamini hata Watu masikini kanisani kwake huwa Saidia hivyo.. Na kama sivyo basi Afanye hivyo

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 9 місяців тому

    Huyu pimbi muislamu kweli?

  • @fridawilliam871
    @fridawilliam871 Рік тому

    Ukimsifia 2 pesa Tena anachagua maarufu

  • @classicboyrahib903
    @classicboyrahib903 Рік тому

    Kweli haka kakomediani kanaomba hela huku halafu kanasema kamenunua hammer na nyumba🤣🤣🤣🤣😂

  • @salimmoha7962
    @salimmoha7962 2 роки тому

    Naona Mimi nitafungua channel yangu ya kukusifu wewe tu

  • @yusuphmruma1232
    @yusuphmruma1232 2 роки тому +1

    Njaa njaa haijawahi kumuacha mtu salama

  • @balkissmuhammad5090
    @balkissmuhammad5090 Рік тому

    Ianatullah

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 2 роки тому +3

    Kijanja iki mbilikimo..na kitatolewa kafara neisho

  • @reganshao
    @reganshao 2 роки тому

    Africa simama Tanzania simameni jamani , hakuna nabii hapo jaman , tafuteni kuifahamu kweli ya Mungu , adui yupo kazini

    • @josephdogani3419
      @josephdogani3419 Рік тому

      Yami huyu nabii anachekesha kweli.ukimsifia tu lazima uondoke na burungutu.yani hela za sadaka anazitoa Kirahisi Bila uchingu kisa tu kasifiwa.