20 PERCENT - Mzee Alinitimua Home! Chanzo Cha Jina la 20% | Money Money Ilinitambulisha - Part 1
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- Leo tupo na Abbas Kizansa Lipakale, almaarufu 20 Percent, mzee wa Kimanzichana. 20 Percent ana story ya kusisimua sana jinsi alivyotoka kimuziki. Usikose hii!
#20percent #Bongofleva #BongoProject #20%
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org
Unajua Sana 20 percent man of the music
M'y Big legend 🎉🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩
Akili kubwa, Maarifa kibao , Msanii hatari Mungu akulinde sana 20%
nakukubali sana brother angu mungu akupe maisha marefu
20% Akili nyingi namkubali sana mwamba
Nakubali 20% akili nyingi
Daaaah hii ilisubiriwa kwa hamu sana....I
Enjoy! Usisahau kusubscribe!
Mwamba tunakukubali Sana Rudi Mzee baba
20% juuu sana
Yupoo vizur saan
Mungu akuinue kakaa ÿangu ŵwe ni funzo
sio pw faza
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Twenty nampenda Sana n musani wa hatali
Twenty yupo na vibe leo kinyamaaaaa
Usikate tamaa bado unawatwanga, uko vzr Sana bado nakukubali
💯
Mwamba karudi hiki ni kichwa namuelewa sana kuna nyimbo anataka kumwimbia mama samia kwenye kampeni zake utamchagua tu mama kupitia nyimbo hiyo ya 20 per
Mwamba nilikuwa namkubali tangu zamani iliumiza alipofiwa na baba yake but afande sele kamuangusha jamaa sana kuna kipindi walilala ndani kisa kugombana na migambo moro mjini hapo ndipo anguko lake lilianzia
💪
🔥🔥🔥🔥
❤
Tamaa mbaya hatari sana.
💯
❤❤❤
Natafuta muziki wa 20 percent kabadili mwendo ila siupate kwenye mtandao
Tutamuuliza
kaka nyimbo watu bado wana zilependa aya uki iweka kwenye redio mtu akisikia lazima asimame asikilize
💯
20 unatisha bwana,akili maarifa mno
💯
❤❤❤