MSWAHILI : TANDALE KUOLEWA MAJALIWA/ MTOTO NDIO KILA KITU, PESA MBELE KUDOKOA MWIKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 166

  • @bwagamoyoonlinetv6013
    @bwagamoyoonlinetv6013 3 роки тому +6

    Fanya kweli kaka Zembwela, Talent hiyoo mpe kweli Maisha huyo bro na nyimbo yake. Itakua ana mambo mengi sana Mr Fagio. Kazi kwako Zembwela Street President.

    • @NyenjeEmma
      @NyenjeEmma Рік тому

      Kwa kua humjui uyu fagio,ashapata dili kubwa ila yy msumbufu gambe nyingi😂

  • @pascalkyara7411
    @pascalkyara7411 3 роки тому +28

    Bonge la kipindi hili saiv nitaakikisha hakinipiti dahhh safiii sana 🔥🔥🔥

    • @charlesmassawe5378
      @charlesmassawe5378 3 роки тому +1

      Da kweli hvi kipindi chake ni lini?

    • @pascalkyara7411
      @pascalkyara7411 3 роки тому

      @@charlesmassawe5378 jumatatu saa tatu kamili kaka🔥🔥🔥

    • @charlesmassawe5378
      @charlesmassawe5378 3 роки тому

      Poa kaka p....ucku au asubuhi?

    • @pascalkyara7411
      @pascalkyara7411 3 роки тому +1

      @@charlesmassawe5378 saa 3 usiku

    • @MiaTheLathini
      @MiaTheLathini 3 роки тому

      Habari yako ndugu samahan kwa usumbufu
      NaoMba Maoni yako kwa wimbo wangu *“Ukinizingua Tutazinguana”*
      👇
      ua-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/v-deo.html
      AKHSANTE & BARIKIWA

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +11

    Fagio mm nampenda vituko vywake 💯💯

  • @tonymukimu1001
    @tonymukimu1001 3 роки тому +17

    From Kenya I really missed this program #uswazi

  • @samwaukwelimwana3066
    @samwaukwelimwana3066 3 роки тому +3

    Hongera sana mzazi zembela..tunakukubali sana tangia upo na marehemu max hadi uswazi ndani ya EATV..ebwana tunakuomba utembeleee Mombasa yetu mlaleo kisauni uswazi kwetu ukutane matukio mbalimbali alafu adimu hakika utakua na yakusimulia kwenye kipindi ...karibu sana..

    • @Wasafi_Media
      @Wasafi_Media  3 роки тому

      Ahsante Sana ... Tunaomba Kuwasiliana na wewe kwa ajili ya Kuja Kutengeneza Kipindi cha #Mswahili - Tutafute Kupitia namba hii hapa - 0658996473

  • @kobakanmshededemshedede6133
    @kobakanmshededemshedede6133 3 роки тому +7

    #Cku zinaenda ajari zinasogea htr sanaaa! fagiooooh!✌✌✌

  • @pius1359
    @pius1359 3 роки тому +9

    Pamoja wasafi tv🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @issabakari1916
    @issabakari1916 3 роки тому +4

    Zembwelaaaaaaaa dah Safi Sana tulimiss Sana izi mambo, wacha nikwende kufunga dish langu sasa

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 3 роки тому +6

    Aise isho itapendwa sana 🔥🔥🔥🔥🔥#Mswahili

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 3 роки тому +8

    Hahaaaaa jamaaa anafanya.. biashara kiubunifu

  • @moahamoh9959
    @moahamoh9959 3 роки тому +12

    Iyo wimbo Kali jamani msaidieni fagio anatalanta.iyo si kazi yake bali ye ni msanii

  • @rujainzuber7414
    @rujainzuber7414 3 роки тому +7

    From oman ila tandale ndio home

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 роки тому +1

    Mashallah wcb 4life

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 3 роки тому +1

    Huyu jamaa wa fangio akiingia kenya anakuwa diamond,watz hawajui sisi tunapenda sna kiswahili sanifu

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 3 роки тому +1

    Keep reminding me about #Uswazi back in the days

  • @shahilmmasai2989
    @shahilmmasai2989 3 роки тому +9

    😂😂😂mkandamize na zuchu itanoga

  • @ماجكموزجوني
    @ماجكموزجوني 3 роки тому +3

    -15:00 Zembwela help broom man to release this single🤣🤣 #fagio

  • @zuberihassan2450
    @zuberihassan2450 3 роки тому +4

    Pind taam saana

  • @_salum.21
    @_salum.21 3 роки тому +3

    Hello mbona ile ya Zanzibar

  • @bwagamoyoonlinetv6013
    @bwagamoyoonlinetv6013 3 роки тому +2

    Wasafi Kipaji hichooooooo.
    Zembwela M Manage huyooo mtuu.

  • @maverickcreativesolutions8285
    @maverickcreativesolutions8285 2 роки тому

    Mzee fyegio namkubali sana that guy is super talented. Mpeni nafasi jamani

  • @AhmedSalah-ri3es
    @AhmedSalah-ri3es 3 роки тому +5

    Hapo ilitakiwa umuachie hata buku5 umemuacha pakavu na amekuburudisha akiwa kazini

  • @felixochungo5656
    @felixochungo5656 3 роки тому +14

    Watanzania uimbaji sio shida

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 роки тому +6

    🔥🔥🔥🔥

  • @franciskomba8057
    @franciskomba8057 3 роки тому +5

    Dah safi sana napenda sana kipindi kama iki 🔥🔥🔥🔥

  • @rommelmauma5872
    @rommelmauma5872 2 роки тому

    Ushauri katika kutengeneza mafagio ya nje: Sehemu inayofagia isiwe *mlalo* [horizontal]; iwe *matemo* [slanting] kidogo kutoka kwa mtumiaji ili kuongeza ufanisi wa matumizi.
    Kongole kwako Zembelwa kwa kuwafikia wananchi wetu walio nje ya mawasiliano. Ni ukombozi mkubwa kwao.

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 2 роки тому

    From Dubai namkubali mswahili

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 3 роки тому +3

    Hatariii sanaaa 😍😍😍😍

  • @nickmmary5726
    @nickmmary5726 3 роки тому

    chuma salamu zikufikie big up naumia sana nikikosa wa kukurithi ila mimi ndo nijaye

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 3 роки тому +1

    Huyo jama kipaji bonge la voko mdhaminini aingie studio atapata sana mashabiki

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 роки тому +1

    Safi saanaaa zembwela

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому

    Kipindi kizuri ahsante wasafi ahsante zembwela

  • @dralhajijbmatatala4580
    @dralhajijbmatatala4580 3 роки тому +2

    MAA SHA ALLAH 🤲🏿
    Aeeeee Fagiooooo....
    Hahahaaa 😂😂😂😂

    • @jumaiddy9859
      @jumaiddy9859 3 роки тому +1

      Bei ndio hiyooo
      Hatakama ukinunaoo
      Watanunua wenzioo

  • @globaltravel5384
    @globaltravel5384 3 роки тому +2

    Uku ndio kwako uswahilin..mambo ya studio tupa kuleeeeeeee

  • @fatumahramadhani2636
    @fatumahramadhani2636 3 роки тому +2

    Daah bonge la song zembel kitambo mno napenda kusikiliza xan kipnd cha uswaz

  • @yantifbadest3207
    @yantifbadest3207 3 роки тому +1

    Dah noma sana utamu kama wote

  • @abdulmrisho1632
    @abdulmrisho1632 3 роки тому

    Jama wa muda mrefu sana na kazi zake hizohizo

  • @issamwanga9934
    @issamwanga9934 3 роки тому +2

    Hatari

  • @florachrist9602
    @florachrist9602 3 роки тому +2

    We fagio😁😁bei ndo hio hat kam ukinuna watanunua wenzio😂😂

  • @jumamagaya945
    @jumamagaya945 3 роки тому

    Umetisha mswahili

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 роки тому

    Eti basi mwali zembwela unanikosha roho yangu nyeupe asanteni wasafi kwa kuwa creative

  • @zakayokilati6015
    @zakayokilati6015 3 роки тому +1

    Ety hiyo aikuhusu nimecheka balaa. Kama umecheka nipe like😆😆😆

  • @fficiallymasue1903
    @fficiallymasue1903 3 роки тому

    Ubunifu 100 wasafi kipind Safi Sana

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 роки тому

    Love you brother zembwela

  • @lusajomwankusye3477
    @lusajomwankusye3477 Рік тому

    Napenda mnoooo

  • @agnesollie753
    @agnesollie753 3 роки тому

    Tuambie kama mzee wafagio ulipatanisha diamond na penda kiplindi sana lakini karibuni ujaupdate 🇰🇪💯💯❤️

  • @josej9888
    @josej9888 3 роки тому +1

    Alipo tupo #mswahili

  • @valerianmchau5188
    @valerianmchau5188 3 роки тому +3

    Zembwela 🔥🔥🔥🔥

  • @khanniebaraka1515
    @khanniebaraka1515 3 роки тому +3

    Nomaa

  • @salumshakespeare
    @salumshakespeare 3 роки тому

    Mswahili km Mswahili on 🔥🔥🔥

  • @LawyerBC
    @LawyerBC 3 роки тому +5

    Mko juu wanangu

  • @user-xh7vw4kk7o
    @user-xh7vw4kk7o 3 роки тому

    Kipindi hiko kizuri wasafi 💯💯💯💯

  • @meddykim3914
    @meddykim3914 3 роки тому +5

    Wakwanza

  • @alliyoigaly3646
    @alliyoigaly3646 3 роки тому

    Big up zembwela

  • @jkOmar2024
    @jkOmar2024 3 роки тому

    Hongera kipndi kizuri sana umeonesha uwezo

    • @jumarajab1008
      @jumarajab1008 3 роки тому

      china hamna kipindi km hiki

    • @jkOmar2024
      @jkOmar2024 3 роки тому

      @@jumarajab1008 hahahahhahahahahahhahaaahhahhahahahahahhahaahhahahahahahahahaahahha

  • @dplusmotionpictures
    @dplusmotionpictures 3 роки тому +1

    Mpe hata ten tu thn deal mta make sa una mwacha ivo tu muda ote kwan ye kasemaje mlivozima camera

  • @ahmedsalim5805
    @ahmedsalim5805 3 роки тому +1

    Ee fegiooo bei ndio hyoo

  • @husseindumwala3345
    @husseindumwala3345 3 роки тому

    Nimeipenda sana

  • @ismailsato5350
    @ismailsato5350 3 роки тому

    Kipind kizur saan zembwela keep it up

  • @godfreyeliabu2582
    @godfreyeliabu2582 3 роки тому

    Chuma chapua kazini katika ubora kipindi kipokama nilivyo dhani ila muda kama mfupi hivi tuongezewe #pr jamari hili la muda lakohili #zembwela hawezikataa kuongezamuda wake was kuifanya kazi hii , mfano pale sokoni tungejuamengi sana lakini muda

  • @allykivunja5511
    @allykivunja5511 3 роки тому

    Kipindi hichi na EATV hawa wanaiba vipindi vya watu wanaonekana wako juu sisi tumeanza toka na musa ,akaja yule Dada na baadae zembwela yeye tena kakikahamishia WCB hovyo sana washtakini kwa kuiba Idea watu wanatunga nyie mnacopy tu

  • @twahazakumba2800
    @twahazakumba2800 3 роки тому +2

    Ukichunguza kwa umakini kila mtanzania nimsaanii wa kuimba

  • @finakato5080
    @finakato5080 3 роки тому

    Nakipenda sana hiki kipindi ila sijui kinaonyweshwa lini na saa ngapi

  • @hashimuyasini5905
    @hashimuyasini5905 3 роки тому

    Safi sana

  • @dopekillerchiwanda7574
    @dopekillerchiwanda7574 3 роки тому +3

    ✌️✌️✌️

  • @kassimsalum1479
    @kassimsalum1479 3 роки тому +2

    Anakwambia siku zinaenda ajali inasogea 🤣🤣🤣

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 3 роки тому

    Dah kali sana

  • @alicase2211
    @alicase2211 2 роки тому

    Hahahaaa daah zembelwa unanogesha kinoma ww ni kama chumvi wasafi tv ni mboga

  • @kauthariddi441
    @kauthariddi441 3 роки тому +2

    Home znz

  • @bongochoice8757
    @bongochoice8757 3 роки тому

    Wasafi wanaakili sana

  • @ndulamwakitalima7505
    @ndulamwakitalima7505 3 роки тому

    Ni kweli maisha yetu

  • @petromahava865
    @petromahava865 3 роки тому +1

    nakubali unajua zembwela....

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 3 роки тому +1

    Piga kazi fagio, tafuta riziki.

  • @mubarakatwaha7776
    @mubarakatwaha7776 3 роки тому +1

    Zembwela Kama kweli mnazingatia vipaji huyo Fagio imba nae na wewe ndo wa uswazi bosi wako Diamond wa uswazi Basi muwainue wa Uswazi

  • @aroycerobert1005
    @aroycerobert1005 3 роки тому

    Zebwela umiitege basi kwenye show zenu za Wasafi

  • @hauleshadrack5879
    @hauleshadrack5879 Рік тому

    Huyo aliambiwa amtafute MAN water

  • @adilais-haka4357
    @adilais-haka4357 3 роки тому

    You should post more all the recordings for people who outside TZ to see like us :)

  • @amirithabiti9181
    @amirithabiti9181 3 роки тому

    Hapa sawa sasa

  • @omaryally8331
    @omaryally8331 3 роки тому +3

    Daah! Mondi mpe tafu jamaa daah anaweza ndiyo nyimbo zetu za uswazi hizo kaka mondi Kama unanisikia piga moja na jamaa

    • @athumanimhanga2053
      @athumanimhanga2053 3 роки тому

      sema nn uyo jama anakipaji sembwela msaidie jamaa

    • @omaryally8331
      @omaryally8331 3 роки тому

      Kweli ndugu jamaa anaweza

    • @MiaTheLathini
      @MiaTheLathini 3 роки тому

      Habari yako ndugu samahan kwa usumbufu
      NaoMba Maoni yako kwa wimbo wangu *“Ukinizingua Tutazinguana”*
      👇
      ua-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/v-deo.html
      AKHSANTE & BARIKIWA

  • @peteveprosper7186
    @peteveprosper7186 3 роки тому

    Umeua sanaa

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 роки тому

    Boss ungemwachia hata elfu kumi huyo fagio

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 3 роки тому

    Zembwela kaka mkubwa heshima kwako ,uliangaika kwenye jua hukukata tamaa Leo unalia kivulin umenifunza hakuna kukata tamaa

  • @sensei1640
    @sensei1640 5 місяців тому

    Hapo dakika 3:00 kakosha

  • @alimuchiri6151
    @alimuchiri6151 2 роки тому

    Zembwelaa...Hoyee..🤣🤣

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 3 роки тому

    huu wimbo wa huyu jamaa si anaweza kurekodi huyu amshirikishe baba levo.

  • @sharamohamed4592
    @sharamohamed4592 3 роки тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @jamecjohn7318
    @jamecjohn7318 3 роки тому

    Kashapigaaa sanitezer hahahha

  • @tysonjohn4972
    @tysonjohn4972 3 роки тому

    Nimekubali wimbo sana

  • @willykhan3040
    @willykhan3040 3 роки тому

    Moto

  • @anisiaanisia1396
    @anisiaanisia1396 3 роки тому

    Mwenye uswazi yake #z

  • @Layo-ib8mp
    @Layo-ib8mp Рік тому

    Uhakika!

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 роки тому

    Uyo mkka wa fagio ni msani msaidyen arikod

  • @bosekajr2468
    @bosekajr2468 3 роки тому

    Habibu dinga

  • @ukhtynaa1096
    @ukhtynaa1096 3 роки тому

    Maharage ya njano kwanza maji mara moja na pia hayana gesi

  • @muzneatwahir9534
    @muzneatwahir9534 3 роки тому

    Ah ichi kipindi kipo poa kaka

  • @kwetuarts
    @kwetuarts 3 роки тому

    Ni noumaaaa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Рік тому

    😁😁😁😁eti unaongea kingereza

  • @rashidpweka4325
    @rashidpweka4325 3 роки тому

    Zembwela the best

  • @homkwetukikwe2kwe265
    @homkwetukikwe2kwe265 3 роки тому +1

    #Fagio_Bei_Ndo_Iyo
    🧠🔥

  • @bosekajr2468
    @bosekajr2468 3 роки тому +1

    Jamaa wa fagio yupo mtaani kwetu ni brother mwenye vipaji vingi ila hakuwa serious tuu jamaa anaimba na pia comedian

    • @isaackillale526
      @isaackillale526 3 роки тому +1

      Habari naitwa Isaac Producer wa kipindi cha mswahili naomba kuwasiliana na ww tuone namna ya kuja kurekodi kipindi cha mswahili 0658996473

    • @bosekajr2468
      @bosekajr2468 3 роки тому +1

      @@isaackillale526 hamna shida kaka 0687989036

    • @isaackillale526
      @isaackillale526 3 роки тому

      @@bosekajr2468 nitakupigia