Mbunge wa Konde amuhurumia Mpina "afikiriwe ni mbunge mwenzetu"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • Mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa amelishauri Bunge kumuhurumia mbunge wa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kuwasilishwa bungeni taarifa ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuhusu tuhuma za kudharau mamlaka ya Spika na Bunge.

КОМЕНТАРІ • 14

  • @yahayaramadhani6418
    @yahayaramadhani6418 4 дні тому

    Bashe ni shida sana.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 4 дні тому +2

    Leo ni siku ya majonzi makubwa kwa watanzania. Pengine wabunge Wengi elimu yawo ni ndogo na uelewo wawo ni mdogo sana.

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 4 дні тому +2

    Hiii Tanzania basi tu

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 3 дні тому

    washakula hayo mabilion sasa wamebaki uchawa bunge lote halioni hasara duuuh mungu anawaona ila hatushangai mana hamjapita kihalali

  • @user-wk9xz3bw6c
    @user-wk9xz3bw6c 3 дні тому

    😢😢

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 4 дні тому +1

    Hoja ya msingi ishapotea.

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 4 дні тому

    Huu umalaya wa kisiasa sijui utawafikia wapi watu wazima wa hovyo wanaojigeuza machawa na kufanya uchafu na unafiki. Bashe analindwa kwa sababu ni waziri anayemuwakilisha muungu wao mtukufu doktari mwenye maono yaliyowaona waarabu wakainunua danganyika.

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 4 дні тому +1

    Uchaguz ujao watakiona ..wanaacha kututetea wanajijali wao tu na kushobokea kusifu tuu kushibisha matumbo yao Wabunge wetu sio kabisaaa

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 дні тому

      haitawezekana. Tanzania wanajua jinis yakumuingiza mbunge tutake tusitake.. imeshafanyikaga miaka mingi mpaka leo. maneno yakujifariji tuu. wee tulia tuu ndugu yangu utaona

  • @NdaroBoniface
    @NdaroBoniface 4 дні тому +1

    Nyiye wambunge mnasau kwamba wananchi ndio wamewaka mbungeni unapochingia mchuge ndimi zenu tutawasumbili tu

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 дні тому

    mie sasa nimekuja kuona; sio kwa sababu watu wengi wanamuunga mkono mtu ndie,

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 4 дні тому

    Hivi hawa nao ni wabunge kweli wanaowakilisha wananchi? Hili jimbola huyu jamaa halina mbunge kabisa

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 4 дні тому

    Huu ni upuuzi mtupu.