RAIS HERSI ALIVYOWAPA NONDO WACHEZAJI KABLA YA KUUPIGA MWINGI DHIDI YA CBE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 149

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 5 днів тому +69

    Tunaomkubaliii Raisii Eng Hers said gonga ❤❤❤❤❤like hapa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 5 днів тому +28

    Boss wetu yeye hanaga mambo mengi asemaga tu yanga bingwa...
    We love you boss wetu GSM🎉🎉

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 4 дні тому +15

    Hersi mungu akupe maisha marefu umejua kutuheshimisha mno✅✅✅🖤🖤🖤🖤💛💛💛

  • @sports-t9p
    @sports-t9p 5 днів тому +74

    Nazan toka nianze kujua viongoz wa sehem tofaut tofaut katika taifa hili tumebahatika kuwa na viongozi wa4 wenye busala san nyelele jpm mkapa pamoja na hers saidi napenda san zungumza yake yuko very good 👍👍

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 5 днів тому +2

      😂😂😂

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 5 днів тому +7

      Kwenye nafasi ya mkapa umekosea. Ni marehemu mzee Mwinyi.

    • @cryptoboy_5
      @cryptoboy_5 5 днів тому +2

      kwa mkapa ondoa hapo aliwa watu wengi sana zanzibar hafai huyo

    • @terrence9477
      @terrence9477 4 дні тому

      @@saliminyusuph6122 Huo ni mtizamo wake sio lazima afanane na wewe

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 4 дні тому +1

      Yupo smart sana😂😂

  • @SehlmMchemia
    @SehlmMchemia 4 дні тому +11

    I love hers said nakukubali sana kiongoz wangu respect

  • @salmaeliyasa9619
    @salmaeliyasa9619 4 дні тому +11

    Allah Amlinde huyu baba jaman,tunakiongozi wa maana sana

  • @gregorysixmund2020
    @gregorysixmund2020 4 дні тому +16

    Sasa nimejua kwanini hawa wachezaji wanaupiga mwingi 😂😂😂😂
    Huyu jamaa anajua jinsi ya kuwapa watu moto 🔥🔥🔥💪💪💪🏽💪🏽

  • @luganomwakijabilwa9191
    @luganomwakijabilwa9191 5 днів тому +20

    Aziz anaulizia ela kwa tajiriii safiii😂😂😂😂😂

  • @Dejacofx6
    @Dejacofx6 4 дні тому +8

    We are young Africa I appreciate all ma players, technical staff and leadership

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 5 днів тому +35

    Hakika tuna jivunia sana viongozi wetu kwa kazi nzuri hakika raisi tunaye tuna jivunia wewe kuwa kwenye timu yetu unajua kuongea na wana jeshi wetu na inshallah kwa umoja wetu sote wana yanga tuta fika mbali mungu ibariki yanga mungu ifikishe yanga kwenye ndoto yetu yakuwa mabingwa wa Afrika mwaka uyu dua zetu wana yanga sote kwa ujumla kuiyombea timu yetu na fiongozi wetu kwa ujumla

  • @BoniphaceManungey-d2n
    @BoniphaceManungey-d2n 4 дні тому +8

    mungu awatie nguvu wanayanga wote na viongozi wetu wote

  • @ZachariaJeremia
    @ZachariaJeremia 5 днів тому +10

    THE GOOD PRESIDENT WE HAVE...... THANKS FOR THE GOOD WORDS THAT MAKES OUR TEAM MORE STRONG

  • @elishamwanjela4443
    @elishamwanjela4443 4 дні тому +7

    Mungu ibariki young africans

  • @ConfusedClipperButterfly-rk1gz
    @ConfusedClipperButterfly-rk1gz 5 днів тому +10

    Allahmdulilah 💚💛 wananchiiiiiiiiiiiiiii naipenda yanga ya GSM

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 3 дні тому +1

    Mimi ni simba la lakini huyu rais mungu kambariki sana kwenye uongozi❤

  • @noahmgeni6975
    @noahmgeni6975 5 днів тому +5

    Mungu ibariki young Africans

  • @DenisMeena-mh4ue
    @DenisMeena-mh4ue 5 днів тому +6

    Hongereni sana chamalangu nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉😅

  • @hajiali1572
    @hajiali1572 4 дні тому +5

    Wallah nakumbuk tulikua na team mtaan lakin tukachukua ubingwa nilkua kipa no 2 lakn vaibu langu 😂😂😂

  • @stefaniajoseph4853
    @stefaniajoseph4853 4 дні тому +2

    Daaah injinia hadi machozi ya menitoka chukua maua yako 💐💐

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 4 дні тому +2

    Safi sana raisi wa ball huna baya emdelea kuipambania Yamga yetu Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉

  • @MatambashNgoidiko-d8k
    @MatambashNgoidiko-d8k 3 дні тому

    Hongereni sana na mungu azidi kuwapa nguvu tuko pamoja na tunawaombea mm nikiwa Serengeti Tanzania nawakaribisha pia mjionee wanyama wetu young nguvu Moja.

  • @iddiadam2366
    @iddiadam2366 3 дні тому +1

    The Besty President 🙌🏼🙌🏼Maana Halisi Ya Kiongozi Wa Mpira Brain Brain Brain 🧠🧠

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 4 дні тому +2

    Shikamoooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉 injinia thenyou

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 4 дні тому +4

    Huyu heris kweli nikiongozi wa mpira haswaaa anastaili

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 дні тому +1

    Huwezi kuiga UONGOZI! YOU ARE BORN A LEADER! HERSI IS A NATURAL LEADER! T umuombe sa wanayanga, tukitaka kuwa A BIG FORCE IN AFRICAN FOOTBALL,TUMLINDE HUYU JAMAA! HAYO MANENO ,HUJIFUNZI POPOTE! UR BORN WITH IT ! GOD BLESS YANGA!

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj 4 дні тому +2

    Daima mbele nyuma mwiko💚💚💚💛💛💛💛

  • @songombingo108
    @songombingo108 5 днів тому +8

    Halafu kuna yule Ngungus baada ya ushindi dhidi ya Waarabu anawabeza Yanga kuwa wamewafunga wafanyakazi wa Bank. Kummaaamakeeeee zake.... Yanga ni bora sana kuliko timu zoote Tz

    • @sleymanshaffih-vj5pq
      @sleymanshaffih-vj5pq 5 днів тому +1

      Mkumbushe kuwa hata yeye na madudunka wenzie walikula 5 ama nawao niwafanyakazi wa bar🍸

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 дні тому

      Ngunguz ni wetu yule .... Anawapa vyeo wajinga

  • @dragon_tz
    @dragon_tz 4 дні тому +2

    Mbn hivivitu Huwa mnaposti baada ya mechi.. nawakati vinafaa vipostiwe kabla yamechi

  • @AdathaJulius-d5g
    @AdathaJulius-d5g 4 дні тому +4

    Eti jamani boka anakulaga makande ?au 😮mlenda?😂😂

  • @FarahaniSalehe
    @FarahaniSalehe 5 днів тому +3

    RESULTS ARE SEEN BY EVERY BODY BUT THERE'S ALOT OF WORK BEHIND SCENES... WHA A TEAM, WHAT A COMBINATION🔰🔰🔰🙌🙌🙌

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 4 дні тому +4

    Perez❤❤❤

  • @GeraldodingoSamson-ck5rx
    @GeraldodingoSamson-ck5rx 4 дні тому +1

    Hongera sana president wetu❤ pamoja na jeshi letu

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 5 днів тому +10

    Jamaa ni hodar sana yupo very very smart congregation🎉🎉🎉rais

  • @SalumKibangu
    @SalumKibangu 4 дні тому +1

    Asa kwa madini ayo mzee magoma ataweza English tu kwake shida 😂😂Respect Mr.president kwa Nondo zilizo na madini

  • @JosephDololo
    @JosephDololo 4 дні тому +1

    Hii timu ndiyo yenye wachezaji wenye furaha Africa mashariki na kati

  • @jamesmwakila5866
    @jamesmwakila5866 4 дні тому +3

    Mr president 🔥🔥🔥

  • @feintmwashikumbulu8097
    @feintmwashikumbulu8097 4 дні тому +3

    Tuliwahi kushinda 1998 4-2 Kama sijasahau Kama hawakuwa St George basi Ni wale coffee ambao walipokuja dar walipigwa 6-1

  • @Anandezi
    @Anandezi 4 дні тому +3

    Yanga is the best of best💚💚💛💛🇹🇿

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 4 дні тому +4

    President wa ball

  • @shefujosee617
    @shefujosee617 5 днів тому +2

    We are very grateful and proud to be with you heris and your team

  • @EmanuelMiyonjo
    @EmanuelMiyonjo 4 дні тому +4

    💚💚💛💛🙏🙏

  • @NelsonMatambo-m3i
    @NelsonMatambo-m3i 4 дні тому +1

    Amina viongoz wetu wayanga

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 4 дні тому +1

    Raisi wetu mpore sana mtuwawatu anapendwa na Kira mtuu Mungu akutunzebbaba etuu unaetueshimisha kuwa mabingwa wa nchi

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 4 дні тому +1

    Huyu rais tusipo mueka kwenye maombi watu watamuhujumu huyu

  • @EmmanuelMrimi-v1r
    @EmmanuelMrimi-v1r 4 дні тому +2

    Ongera xaaan Rais

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 5 днів тому +2

    Haya maneno makali ya Engineer yalichochea tanuli la moto kwenye mioyo ya wachezaji ndo maana walikuwa na hasira kiasi kile🫡🫡🫡to you engineer

  • @HamisiOmmy-e5z
    @HamisiOmmy-e5z 4 дні тому +2

    Hapo ndio utaona tofauti ya KIONGOZI,na wahujumu uchumi piga kazi KAKA

  • @Beatuce_TV
    @Beatuce_TV 5 днів тому +6

    WA kwanza kucomment, NAOMBA LIKES ZAKO ILA NA KUFOLLOW CHANNEL YANGU PLEASE USISAHAU❤ ALL

    • @Hgd-jk6lh
      @Hgd-jk6lh 5 днів тому

      Ukafungue ngege sasa tushakupa like 😂😂😂😂😂😂

  • @mathewdickson8891
    @mathewdickson8891 4 дні тому +2

    Kazi kazi

  • @hamzakichuma867
    @hamzakichuma867 5 днів тому +5

    huyu jamaaa ni wamaaana saaana

  • @hamzakichuma867
    @hamzakichuma867 5 днів тому +5

    wakwanza leo nipewe like jmn

  • @MALEKANINGOYE
    @MALEKANINGOYE 4 дні тому +2

    mwambaa apewe hata uraisiii wa caf

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 5 днів тому +2

    Aziz anauliza "Sh ngap?"😂😂😂

  • @salumadam2862
    @salumadam2862 5 днів тому +2

    Injinia 💪

  • @hekimaoscar6527
    @hekimaoscar6527 4 дні тому +2

    Pigakazi baba mzaz

  • @Arashamael
    @Arashamael 4 дні тому +2

    💛💚

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 4 дні тому

    Azz hajui kiswahiri🎉🎉🎉

  • @AshaAli-px3ln
    @AshaAli-px3ln 5 днів тому +2

    Sio mpira tu hata nchi uyuu jamaa yuppo poa kabisa

  • @McBaraka-tz
    @McBaraka-tz 4 дні тому

    Ukiwa unamsikiliza Eng. Unasikia raha yaani unakuwa unatamani hata asimalize kutoa speech 😂😂

  • @JumaDea
    @JumaDea 4 дні тому

    Yanga ina watu

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 4 дні тому

    Tukazie hapo wana nchi nusufainali naiona tayali.

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 4 дні тому +1

    Love yanga

  • @athumaninyituki7011
    @athumaninyituki7011 4 дні тому +1

    Yanga tmuuuuu

  • @noeljacob9644
    @noeljacob9644 5 днів тому +1

    Anatokea mula sukari mmoja anasema eti engineer aondoke yanga ili yeye ndo rudi yanga😂😂😊

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY 4 дні тому

    uyu ni zaid ya kiongozi jamani yani ata nchi ana faa kuogoza

  • @AminaTapwale-e5t
    @AminaTapwale-e5t 4 дні тому

    Kwani Azizi ki amesemaje

  • @AliFadhil-o6j
    @AliFadhil-o6j 4 дні тому

    Wew ni Rais wa mpira

  • @DismasKivike
    @DismasKivike 4 дні тому +1

    ❤❤❤

  • @divaidachboy2339
    @divaidachboy2339 4 дні тому

    Tujuane wana yanga hap hap ❤❤❤❤

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 дні тому

    Baada ya hayo maneno,ukaja 6-0😂

  • @AdathaJulius-d5g
    @AdathaJulius-d5g 4 дні тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kasumnirashidi1468
    @kasumnirashidi1468 4 дні тому +1

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 5 днів тому +1

    smart

  • @ishmaelmrope3726
    @ishmaelmrope3726 3 дні тому

    Rais tuna timu nzuri San ila haimaanishi kizur hakinakasoro...asee naomba msonda aangaliwe ni Bora skudu angebaki msonda angeenda coz hajui bado anachotakiwa kufanya kweny timu kihufupi haendi sambamba na mbili za timu na mashabik bado anamchezo ambao tushahama

  • @hamisamajoka3284
    @hamisamajoka3284 4 дні тому

    💚💛💚💛

  • @SamsonNestory-e6e
    @SamsonNestory-e6e 5 днів тому +1

    Yanga ndio tim Bora Africa na mashariki wewe ubishe ukubali wewe ilete Tim Yako kama unabisha tuione Tim yako

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 4 дні тому +1

    Rais wa mpira

  • @AnithaEfraimu
    @AnithaEfraimu 3 дні тому

    Coment zinazo vunja moy usisome bro

  • @HassanDengwa
    @HassanDengwa 5 днів тому +2

    Wakwanza like pls🙏

  • @michaelboniface4859
    @michaelboniface4859 4 дні тому

    Viongoz wa yanga wanafanya kazi kubwa ambayo tunaiona uwanjani ikiwa transformed na wachezaji
    Yangaaaaaaaaaaaaqaa mamerodi aje tumalizane nae

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 5 днів тому +1

    Yuko wapi Haji Manara au ameamua kuwa mute

  • @AlmasMbogo
    @AlmasMbogo 4 дні тому +11

    Hongera.sana.kiongozi.wetu.allah.akupe.afyanjema.iliuzidi.kuingoza.timuyetu.tunakukubali.raisiwetu.big.up.sana

  • @omariomari-dh8wv
    @omariomari-dh8wv 4 дні тому

  • @Tipaptz
    @Tipaptz 4 дні тому +6

    Timu Yangu Ya maisha Yanga bingwa 💛💚💛💚💛💛💛💛💛💛💞💞💞💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @MsolopaGanz
    @MsolopaGanz 5 днів тому +10

    aisee napend jins kiswahili kinavyotumika na kueleweka

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 днів тому +13

    Mungu awabariki viongozi wetu wote kwa kuipambania team yetu pamoja na wachezaji wote

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 5 днів тому +12

    Daima mbele nyuma mwiko hongereni nyote 🎉🎉🎉💚💚💛💛

  • @adamdatch1558
    @adamdatch1558 4 дні тому +6

    Magoma angeweza sasa kuongea ivyo mzee kaixha

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 4 дні тому +7

    Napenda sana anavyoongea nakuchanganya lugha kwa wengine wasio jua kiswahili...😅😅😅

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 дні тому

      Kuna international staffs n players pamoja na local staffs n players hivyo lazima kiswanglish ki take place hapo

  • @Beatuce_TV
    @Beatuce_TV 5 днів тому +8

    WA kwanza kucomment, NAOMBA LIKES ZAKO ILA NA KUFOLLOW CHANNEL YANGU PLEASE USISAHAU❤ ALL

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 4 дні тому +4

    Uongozi bora ndio kila kitu kwa kweli hongera President(Orya) kwa wanaojua kisomali wanajua maana yake😂

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 4 дні тому +5

    Good leadership, best training team, best player but we a task to make the world know that. I have something to work on attacking moves, to improve our utilization probability of scoring chance.
    namna Bora ya kutoa final assists pale ambapo ni muhimu, especially V assist passes it's very layer we make it. V short crosses should be our official attacking signature.

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 4 дні тому +3

    Hersi alizaliwa kwaajili ya yang a ila Mungu aliiweka yanga kwaajili ya Hersi pia

  • @MsafiriMmary-xv8vl
    @MsafiriMmary-xv8vl 4 дні тому +4

    Naommba wachezaji wangu tunawategemea sana tupo vizuri sana msim huu naiona fainaili hoyeee

  • @LucasDeus-l8m
    @LucasDeus-l8m 5 днів тому +6

    Kila hatua Dua 🙏
    Tunawadai kombe la Africa

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 4 дні тому +2

    Eng hersi ni rais wa mfano 💪

  • @lydiapeter7372
    @lydiapeter7372 4 дні тому +3

    My Prezdent 💛💚💛💚💛💚 Mwenyezi Mungu akuweke sanaaa baba

  • @josephmbunju3941
    @josephmbunju3941 4 дні тому +9

    Just imagine hapo sasa angekuwa anaongea Mzee Magoma .....kaaah hii nchi ngumu sana

    • @anamsaid8610
      @anamsaid8610 4 дні тому

      😂😂😂😂angewasomea kurujuani

  • @greatleadermpjfrank1275
    @greatleadermpjfrank1275 4 дні тому +4

    RAIS🙌🏾😎

  • @Elizakindole
    @Elizakindole 4 дні тому +3

    Wewe ni kuongozi