KUOTA UNA TEMBEA BILA VIATU !!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @dayemukalai3427
    @dayemukalai3427 2 роки тому +2

    Asante Sana Kwa ufafanuzi wa ndiyo Mungu akubariki kunandoto uwainakuja kilamara nafikanyumbani nilipotoka unamanisha Nini?

  • @winniesainet8635
    @winniesainet8635 2 роки тому

    Amen...Nimeota natembea peku,gafra nkaludi nkaingia chumba chenye vitu vingi nkasema Moyoni mwangu afazar,ngoja ntatafuta umu umu viatu vyakuvaa

  • @serahmuchemi9661
    @serahmuchemi9661 8 місяців тому

    Amen Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 2 роки тому +3

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi na ukiota na viatu mpya

    • @jenifakamese6856
      @jenifakamese6856 2 роки тому +1

      Mimi nik bukob naitw jen nmeot nk cn viat ila ntaenda shulelen secondar nikauliz kitambulisho nikajitambulish kuw mm ni mwl ila wanafunz nkawambia waniitie mwl anip chet chngu maan cjakion

  • @bilhamuthoni2389
    @bilhamuthoni2389 2 роки тому +1

    Thanks very much muchungaji umenisaidia Sana, wakati mwingine mi uota nikiongea nawalio kufa pia nikiota mtu amekufa ukweri anakufa, kwasasa Niko nauoga niliota kiongozi furani amefaliki please nisaidie Niko nauoga sana

    • @dianabosibori8476
      @dianabosibori8476 7 місяців тому

      😅😅😅huyo aliyekufa anakuambia nini inategemea si ati utakufa

  • @dyana7405
    @dyana7405 Рік тому

    Pastor uniombe na unifafanulie maana ya kuota unaongea na mpango Wakando aliye kuipia mmeo na anaishi na mme wangu kwa sasa inamaanagani??

  • @dorcasmueni3221
    @dorcasmueni3221 2 роки тому +1

    Na ukiona umefaa bingini za Beach na unatemea bila viatu inamaana gani?

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому +1

      @dorcus mueni, nikutaka kuonyesha kitu fulani kuhusu maisha yako na unashindwa kwa njia gani utaeleweka hata katika mizigira ya wazi. Unambiwa uwe mtu wa siri acha kuweka mambo yako wazi kwa kutafuta attention ama kutafuta sympathy kupitia jinsi unajiona.

    • @dorcasmueni3221
      @dorcasmueni3221 2 роки тому +1

      Oh Asante Sana nmekua n kushare story na marafiki zangu I think n hiyo

  • @ElizaGodchild
    @ElizaGodchild 5 місяців тому

    Amen amen amen

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 4 місяці тому

    Mtumish mimk nimeota nilikuwa nimevaa viatu badae nikavua nikawa natembea kweny maji ila wenzang walikiwa wamevaa na viat vyao vilikuwa visaf tunaenda kweny maomb kufunguliwa

  • @happyolotu6033
    @happyolotu6033 Рік тому

    Pastor mm nimeota natembea bila viatu barabarani afu nikaenda kuomba viatu kwenye nyumbani ya mtu cwafahamu ila walinipa ivyo viatu nikatembea navyo rangi ilikuwa pink chini kamba yake ni nyeupe inamaana gani

  • @stellawekesa5364
    @stellawekesa5364 Рік тому

    Mm nilikuwa nimekaa,na mke mwenzangu gafla mume mmoja akaja,kunishika kwa bega nikamtoa mikono nikaweka kwa huyo rafiki yangu msijana,kisha kuangalia nikaona silibasi zangu hakuna. Nikauliza hapo sikupata nikawaambia mwenye alichukuwa silibasi zangu ataona. Nikaamka mtumishi wa mungu inamaanisha nn katika maisha yangu 🙏🙏?

  • @dyana7405
    @dyana7405 Рік тому

    Pastor mimi pia ninaota kaka yangu ameiba miwa ya mwenyewe kisha ameficha chini ya kitanda yangu na imefunikwa na kuni pamoja matawi ,badaye mwenyewe anaipata iyo miwa yake.

  • @maryamnyota9538
    @maryamnyota9538 Рік тому

    Piya mutumishi wa mungu na mimi naomba unisahidiye namaombi projet yama produit pharmaceutique ipate sururisho Katika jina la yesu

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 2 роки тому

    Ni kweli kabisa dady hyo laana ipo ktk familia yangu.Nisaidie baba nifanyaje

  • @vallentinemideva3557
    @vallentinemideva3557 Рік тому +1

    Aki pastor jibu hii ndoto yangu aki . Mm nliota nmevaa nguo mpya lakini kutoka kwa nyumba nkasahau kuvaa viatu . Nlishtuka kama nmefika katikati ya mwendo nkaona sina viatu kwa mkuu. Alafu nkaenda kuomba my ex boy friend viatu akanipa

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Unevaa nguo mpya ukasahau kuvaa viatu, angalia maisha yako ya ndoa ama mausiano haiendi vizuri licha ya jitiada umeweka bado una majuto ,ndiyo maana ulirudi kwa Ex wako akupe viatu. Kataa maisha yakurudia shida ulizo toka ndani yake.

    • @zulfamnanga123
      @zulfamnanga123 Рік тому

      Naomba unisaidie mm nimeota tulikua twaenda stendi kupanda gari gafla tukawa twafukuzwa na gari watu walitaka kututeka kutoa kafara Kwa freemanson nilikua mm na mdogo wangu mm nimekuambia Hadi nikavua viatu,ila zilikua ndala.. tulipo fila stendi nikakutana na kindo akawa ananiambia twende ukachukue viatu vyako nilikua naviona Sasa Ile twarudi kuvichukua nikaamuka,naomba unijulishe ni nn

  • @esperancengongo-bw2sd
    @esperancengongo-bw2sd 10 місяців тому

    Jambo pasta , asanti na kazi

  • @corandamisi9005
    @corandamisi9005 Рік тому +1

    Nifanye dje pasta ?

  • @domiicmullys3021
    @domiicmullys3021 Рік тому

    Kunawakati moja niriota nikitebea kwasoko bila viatu ata nikiwa ni meva vibaya nikawa naona aimbu nikitebea. Kweri nirikuja kupataaibu sana kwadoa yangu

  • @maryamnyota9538
    @maryamnyota9538 Рік тому

    Jambo mutumishu wa mungu mimi nahotaka marakwa mara nava viyato badaye nakuta sina navyo tena ila narudi kuvichukuwa inamanisha nini

  • @esperancengongo-bw2sd
    @esperancengongo-bw2sd 10 місяців тому

    Ila mimi nimeota ndoto Ila sijaelewa vizuri,nimeota Niko kanisani nilikuwa kati ya gundi yawaimbaji wakati tulipokuwa naimba nikajikuta sina jiatu tulipo maliza imba nikashuka mazababu nikaanza tafuta viatu vyangu Ila sikuziona

  • @mariammachila6016
    @mariammachila6016 3 місяці тому

    Na ukiota unatembea bila viatu ghalfa unakumbuka unarudia viatu na unapata ni slipers za red mpya tafsiri yake nn

  • @pilijuma-qq7vt
    @pilijuma-qq7vt Рік тому

    Pastor sorry mie nimeota Ba mtoto wangu bado hatuja funga ndoa alikua amevaa viatu vikakatika tulikua tukitembea nikahitaji kumfatia viatu vingine alikataa akawa anatembea peku

  • @nekwolf4019
    @nekwolf4019 2 роки тому +1

    Vyote unavyosema ni kweli Napitia san bba

  • @lilianabich4932
    @lilianabich4932 7 місяців тому +1

    Maelezo yako ni vizuri sana lakini jaribu kuwa beef, unachikua saa nyingi sana kabla uanze kuongea

    • @lilianabich4932
      @lilianabich4932 7 місяців тому +1

      I mean do things briefly for us to be excited to watch till the end, especially at the starting point

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  7 місяців тому +1

      Also you can check the recents videos Kuna improvements

  • @MagrethBenjamin
    @MagrethBenjamin 3 місяці тому

    Nimeota viatu vyangu vimechakaa,vimeachia soli nimeshindwa kuvivaa

  • @Neemannko-bb6xd
    @Neemannko-bb6xd 8 місяців тому

    Nimeota nipoteza kiatu kimaja wakati nakitafuta cha pili kikakatika na nikikuwa nitafuta njia ya kupita na chini kulikuwa na bonde kubwa ni kaaza kutembea na soks

  • @safinaproduction7421
    @safinaproduction7421 2 роки тому +1

    Mimi nimeota ninatembea peku juu ya matope

  • @AshaKilagula
    @AshaKilagula 5 місяців тому

    Nimeota nimeingia kwenye nyumba kutoka viatu svion

  • @ireneshabani7775
    @ireneshabani7775 Рік тому

    Jambo past kama unaota unatembea peku badaye ukaletewa viato ukavaha ina maanisha nini

  • @corandamisi9005
    @corandamisi9005 Рік тому +1

    Pasta binafsi nashukuru, nimeota viatu vyangu vimeanguka ndani ya Choo wese inamaanisha nini pasta nisaidiye mpaka sasa ndowa yangu iko kwenye matatizo, baada nikaja nikaota tena natembeya miguu chini kwenye mifereji vya mavi na nimeeacha viatu vyangu kwa rafikiyangu

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      Corand Amisi unaenda kupitia aibu kubwa sana maishani na kukatalika pamoja na umasikini mwingi na ndoa yako itakuwa ya aibu. Tenga mdaa wa kufunga nakuomba kuzuilia njama za adui

    • @NiyogushimaNoella-do8xv
      @NiyogushimaNoella-do8xv 5 місяців тому

      ​@@revpeternjihiacharome Mungu abarikiwe nimeota nimeva kiyato kimoja kingine kimepote nikagitafuta nikagipata nikakiva baadaye nikapitiya sehemu yenye maji nawutereze imebeba jembe

  • @abigaelraymond6833
    @abigaelraymond6833 2 роки тому +1

    Mtumishi ukiota unasafi bila viatu na umepanda bus

  • @rahmamasagati4218
    @rahmamasagati4218 2 роки тому

    Je ukiota umetembea bila viatu sehemu kidogo then ukakumbuka viatu nkarudi sehemu nilivua viatu nkaenda kivichukua Cha kushangaza nimepata viatu pea nne Ila Moja ni viatu ya juu juu ingine ni ya kawaida tu

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 2 роки тому

    Umaskin kweli unaiandama Sana familia yangu.

  • @ZayOmmy-ik1qk
    @ZayOmmy-ik1qk Рік тому

    Nliota nmerudi kwa mme mtaraka naludi namkuta mkewe ananifukuza nikiwa sina viatu natembea barabaran nisaidie pastor

  • @monikapaulo3949
    @monikapaulo3949 Рік тому

    Ukiota unatembea peku af gafla ukakumbuka kwamba huna viatu af ukarud ulipokuwa umekaa ukavikuta viatu vyako lakin ukavikuta na vingin il ukaachana navyo ukachukua vyakwako na kuvaa

  • @bettymariga
    @bettymariga Місяць тому

    𝐀𝐦𝐞𝐧 𝐀𝐦𝐞𝐧

  • @queenliz3283
    @queenliz3283 Рік тому

    Na ukiota mtoto alkuwa ametembea Kwa shosh yake alafu amenirudia bila viatu

  • @LinetMuhati
    @LinetMuhati 11 місяців тому

    Asande

  • @naomipeter4204
    @naomipeter4204 Рік тому

    Nmeota nipo nmesimama gafla kiatyu kimoja kikawa kimechanika

  • @JescaNgala
    @JescaNgala 4 місяці тому

    Kiatu ulichovaa kimekatika

  • @vallentinemideva3557
    @vallentinemideva3557 Рік тому +2

    Naomba namba yako tafadhali

  • @byosaamalenga7126
    @byosaamalenga7126 Рік тому

    Mtumichi nahobamsaada wamahombi ninamaka mitanosipatakazi
    Nakukatariwa nakilamtu