Wakili mwabukusi Mimi sijarizika na hiyo nafasi.mimi nataka uwe Rais WA nchi ndio Kiti kinachokufaa.Mungu ibariki Afrika,Mungu ibariki Tanzania,Mungu akubariki TLS,Mungu akubariki Wakili mwabukusi.
Tanzania imepata Jembe la uhakika. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa uchaguzi wa 2025. Mawakili wa Tanzania wameonesha njia kwa kuchagua Jembe la uhakika. People has spoken.
Shukurani ya kwanza kwa mwenyezi Mungu shukurani ya pili kwa serikali vyombo vya ulinzi kwa kuhakikisha utulivu amani na uhuru kuwepo imara katika zoezi zima
I’m so happy to have you Mr. President for TLS even though I’m not a lawyer. You have my best wishes as you perform your critical role in this country. God bless you
Ulituacha imara…… Tanzania salama…… Mwendo uliumaliza salama baba. Tunakukumbuka daima. Haya ni matunda ya mbegu zako ulizotupandia. Asante ee mungu kwa yote haya. Kazi bado inaendelea.
Hongera sana saa, section ⁴, you've nothing to fear, nothing to worry about and nothing to loose! Piga kazi Mwabukusi, if God say "Yes" nobody can say "NO" always God stand with courageous and brave people. God bless you abundantly!
Oyuoyuuuu piga keleeeee dua yangu imetimia asante Mungu wangu nikuombae kila siku na kila wakati na kila sekunde kwakutupatia kiongozi shupavu mwamba kweli kweli.
Hongera wakili msomi wewe ni wakili wa mfano kujitoa muhanga, uwe makini katika nyanja zote tembea yako kula yako kunywa yako maana kwa msimamo wako maadui wengi wapo sebuleni kwako.
NKUBA ametangaza kukata RUFAA MAHAKAMANI matokeo ya uchaguzi TLS 👇👇
ua-cam.com/video/NWeU6zaJaX4/v-deo.htmlsi=4-3M_6ESXQHMBtjZ
😊😅😅😮😢😢😮 6:13
Asante sana Mungu wetu kwa kutupatia mwabukusi.
Mungu wetu alulinde na kukuongoza.
Sasa hapa kazi tu.
Hongera sana Wakili Msomi, MWABUKUSI!
Jamani nimefurai sana uyu mwamba nikiongozi kwelikweli namshukuru mungu kutupatia uyu
Sidhani kama ni nikiongozi huyu. Huyu ni mtu wa mihemko tu.
@@abuukarata9653Jina lako tayari majibu tunayo, MUNGU hachezewi labda hujuwi !!!! Na Dunia hii ni ya MUNGU siyo yako.
Sio mhemko. Huwa ana hoja. Sasa tatizo ni wanaompinga wanakuja hawana hoja. Wamebaki kuleta siasa tu
Mawakili woooote asanteni sana kwa kutupa kiingozi wa tofauti imara ktk taifa letu
Wakili mwabukusi Mimi sijarizika na hiyo nafasi.mimi nataka uwe Rais WA nchi ndio Kiti kinachokufaa.Mungu ibariki Afrika,Mungu ibariki Tanzania,Mungu akubariki TLS,Mungu akubariki Wakili mwabukusi.
Ili nchi inyooke tunahitaji watu kama hawa
Uko sawa kabisa.Wizi unaturudisha nyuma sana.Imargine mtu anaongoza miaka 5tu angalia nchi ilivyostawi...2015-2020 !!
Mkuu uwe Raisi kabisa
Katiba ibadilishwe
Mungu Akusimamie sana kwenye uongozi wako hongela sana watanzania Tunakutegea
Natamani uwe rais wa tanzania
Tumuombee, hakuna kinachomshinda Mungu!
Tumuombee, hakuna kinachomshinda Mungu!
Asante sana shukran kwa mungu
Sauti ya wengi sauti ya umma. Mawakili hongereni sana. Mwabukusi hongera
Tumwombee sana mungu amwongezee malaika wa kumlinda kila kona na roho mtakatifu aendelee kumwongoza daima.
Asante baba Mungu Mwenyezi kwa kupokea maombi mema ya wengi yakutupatia mtetezi huyu ee Baba mwongoze umlinde asimamie haki zetu Amina.
Asante ee mungu wetu kwa kusikia maombi yetu. AMA kweli Tanzania inabadilika.
Hongera Sana mkuu nakwaminia Sana Kaz njema
Congratulations president for your presidential position
Hongela mkuu tuone kazi nzuri
Hongera sana bro
Hongera sa wakili msomi mwabukusi🎉
hongera sana mwabukusi kwa ushindi
Tanzania imepata Jembe la uhakika. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa uchaguzi wa 2025.
Mawakili wa Tanzania wameonesha njia kwa kuchagua Jembe la uhakika. People has spoken.
Ninezidiwa kwa furaha jamani. Asante mungu
Dalili nzuri sana za uchaguzi 2025. Uzi ni ule ule. Tanzania imara
Hongera sn Mwaisa
Hiyo chuga moja hapo mbeya yupo kikaz
Shukurani ya kwanza kwa mwenyezi Mungu shukurani ya pili kwa serikali vyombo vya ulinzi kwa kuhakikisha utulivu amani na uhuru kuwepo imara katika zoezi zima
Fundisho zuri sana kwa uchaguzi wa 2025.
Asante mungu wetu.
Hongera sana Mwabuu!!.
Mutu ya Ngaramtoni ya Juu A-town!!.
I’m so happy to have you Mr. President for TLS even though I’m not a lawyer. You have my best wishes as you perform your critical role in this country. God bless you
Ulituacha imara…… Tanzania salama……
Mwendo uliumaliza salama baba. Tunakukumbuka daima. Haya ni matunda ya mbegu zako ulizotupandia. Asante ee mungu kwa yote haya.
Kazi bado inaendelea.
Mungu ashukukuriwe Sana, kwa huku kilicho tokea tuna mwomba Mungu akuongoze katika kutenda kwa hekima kwa maslahi ya watanzania wote Amen
Aiseee mwamba hongera San kwa kuwa rais wa TLS wat wote wamefurah sanaaa akhiiii umeshind kwa kishindo
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Inapendeza nchi imekupenda,nenda ukatende Mola atakufikisha zaidi ya hapa,omba Mungu atakutunza,Watanzania wanapenda watu wakweli.
Mungu akutangulie ktk majukumu yako.
Hongera sana saa, section ⁴, you've nothing to fear, nothing to worry about and nothing to loose! Piga kazi Mwabukusi, if God say "Yes" nobody can say "NO" always God stand with courageous and brave people. God bless you abundantly!
Hongera sana Mh. Rais wa TLS, Mungu akulinde Kimwili na Kiroho.
Mungu ni mwema doctor ogopa dunia waganga wajadi wote oyeee mwabukusi
Kiukweli hata mimi nilitamani achukue form ya urais. Hongera Sana mwabukusi🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hongera sana mwabukusi tuna
Hasante mungu tunakuamini mwabukusi badilisha taifa letu najua hauogopi auongeki awapanyarodi wataifa watakoma
Sana kabisa
Ndioo tumefurahii sana sanaaaa ndioooooo baba MUNGU akulinde daima
Kwa Mara ya kwanza maishani nimefuatilia uchaguzi TLS na nimefurahia matokeo. japo sikuhusika na kupiga kura….,I’m so pleased
Congratulations mwambukus
Mwabukusi amefanya wafiatiliaji wa TLS kuwa wengu na uchaguzi mwaka huu kufuatiliwa sana haijawahi kutokea
Oyuoyuuuu piga keleeeee dua yangu imetimia asante Mungu wangu nikuombae kila siku na kila wakati na kila sekunde kwakutupatia kiongozi shupavu mwamba kweli kweli.
Hongera sana Mwabukusi Mungu akulinde na akujaalie katika utekelezaji wa majukumu Yako
Big up sana brah
Hongera sana Mwaisa kajunjumele Mwabukusi kwa ushindi mnono, Mungu akubarili na akupe Uhai mrefu
Kwa kweli nimefurahi sana kushinda Mwambukusi.Hongera sana Mungu akupe hekima na afya njema unaweza songa mbele.
Ya watanganyika mh mwabukusi congratulations 🎉🎉
Tanzania imara, TLS imara. Mwabukusi imara sanaaaaa
Mungu azidi kukuinua shujaa Wakili Msomi Mwabukusu hadi uje kuwa Raisi wa Tanganyika! Wengi tunakuombea
Hongera mnyakyusa
Hapa kazi tu. mwabukusi kazi tu. taifa lako linakutengeneza sana uoneshe njia.
Hongera Mwabukusi ,unafaa saana
Hongera Mwekiti
Yaaan ww unafaaaa hta kuwa raisi❤
Hongera sana ninakufatilia kwa karibu kila mara big up
Hongera sana mwabukusi
Uchaguzi kweli ulikuwa wa moto. Hata kura ya marehem ilikuwa ya Mwabukusi.
Hongera sana Wakilin Msomi Mwabukusi nimefurahi sana Brother
TLS hakika sasa imempata mwenyewe. Tumeuona mkono wa mungu wetu hakika
Wanasheria mnayo akili na usomi, sasa nimewaelewa
Umekwepa mishale mingi kaka, mungu atakulinda tu,
Jambo la kumshukuru mungu
Lissu lais🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lazima nije kukupa mkono popote utakapo kuwa Big up my brother.
Mliokoment pote Roho yangu inaamani na nyie wote maana mko na Akili nyingi sana yaani hata Mungu anawapenda
Hongera sana Mwambukusi rais wangu
hongela mwambukuswa
Great election Mwabukusi mwenyezi Mungu akutangulie ktk majukumu yako
Ongera sana Dua ya wengi omekubaliwa🎉🎉
Hongera sana sana
ingekuwa press ya manara kamela kama zote ila issues ya msingi kama hii hola
Hongera sana,majukumu mema Mr president
, Asante Mungu kwa uliyoyafanya kwa Mwabukusi Wakili msomi
Pamoja sana kazi iendeleee
Huyu tumuombee tu kwa mung afanye kaz yake namkubal xana
Mwenyezi Mungu kajibu duwaa zetu
Dalili Nzuri ya Uchaguzi 2025. 2025 Tutaelewana
Kweli kabisa
Watu wamechoka maidha magumu kila kona
Kaka asante nimefulai sana mungu akulide
Jembe linampata mwenyewe
Kudos mwabukusi
Tv za Tanzania jitafakarini sana. Yaani tunahasira na nyie sana. Endeleeni kuonesha mambo yenu na mjitazame wenyewe
Hongera wakili msomi wewe ni wakili wa mfano kujitoa muhanga, uwe makini katika nyanja zote tembea yako kula yako kunywa yako maana kwa msimamo wako maadui wengi wapo sebuleni kwako.
Mwez Mungu akusaidie uwanyooshe wezi
Nilikwambia mapema Mwabukusi utashinda na ndio mwanzo wa haki
Moja ya taasisi zilizobaki na heshima....hizo nyingiine kwishaaa
Wewe ni mpenda haki turikuombea Mungu amefanya
Uyoo ana dhamila
Shukran sana Mwabu
mbona naona kama nimeshinda mimi, hongera sana Mwabukusi
One day yes
Kweli amekula mitama mingi lakini mungu ni mwema mbele kwa mbele
Hongera mwamba wa tz
Yaani naenda kutoa sandaka kanisàn asante Mungu kwa kumchagua mwambukusi
Vzr san
Surely, TLS has got the right person, at the right time and for the right position.
TBC HATA MSIPOTANGAZA MITANDAO IPO KIBAO HUKO TUNAANGALIA THAMTHILIA TU
Wamezoe maswali ya kijinga eti unasikikiza kipindi hiki Cha ndizi ni kitafunio kutoka wp .
Bado unaangalia TBC?
Ongera sn mwabukusi nimejiskia furaha mpka nimetoka machozi big up sn ww ndo uliyekuwa unastahili kweny kitu hichi
Umetishaaaaaaa
Na juu ya mwamba huu atalijebga taifa lake.
Mwabukusi ni mwamba teule toka kwa mungu