G Nako ft Nikkiwapili & Motrathefuture - KITONGA (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 14 сер 2019
- Following the release of SHOWTIME with WEUSI,
The High Grade Music Tanzania leading act , GNAKO is out with yet another classic christened, "KITONGA" featuring Nikiwapili and Motrathefuture.
The audio is available in all digital platform link: onerpm.link/gnako-kitonga
Follow GNAKO
Instagram: / gnakowarawara
Twitter: / gnakowarawara
TikTok: / gnakowarawara
Facebook: / gnako.warawara
Listen to GNAKO
Boomplay: www.boomplay.com/artists/862430
Audiomack: audiomack.com/acityfinest
Apple Music : / g-nako
Spotify : open.spotify.com/artist/0ywww...
UA-cam: / gwarawara
SUBSCRIBE for more official content from GNAKO : / gwarawara
#gnako #weusi #Nikkiwapili #Motrathefuture #AFRIKAKABISA
Wakwanza kama unawakubal weisi twende sswa🤙🤙♥️
Kitoooooooooongaaaaaaa hatar
G king 👑 unatoa mtoto nae anatoa utakua mchezo wakutoa 🏋️🔥🔥🔥watu wa G KING 👑 WEKENI LIKE ZENU APA TUJI FAHAMU
Yeyeeeee kitonga nipeni like za Gnako
Tunawatch kila siku mpaka ifike 2m au sio do this for gnako
Sema shida ukiangalia zaid ya Mara moja haiongezek viewer daaah hiyo ndo shida ya UA-cam
Inaongezeka kila unapowatch
@@edwardjerome7323 inaongezeka views kila kuangalia
@@mpere ehh
kaabisaa...
shua
Motrathefuture umenirembea hili dini kichaa angu🔥🔥🔥🔥
Wasenge awa awanaga kaz mbovu ata kidgo yaan ni mawe juu ya mawe kitongaaa fire 😍
G nako 💪💣💥🔥una ua gemu vibayasana mbaba 🔊🔊🎤
beat kali,ngoma kali
na kama umemuelewa yule demu anavyokata gonga like
manzi nimemuelewa kinoma asee
Ngomaa Kari wazee
Gwaraa snaa wanyamaaangu wanguvu@gnako @montra@nick2
Sema niki mistar yako bana noma sana
Kazi imepata wafanyaji.
montra kashiriki hii video to the fullest
Imeisha iyooooooooooooh nakubaliiiiiiiiiiiiii
Montraaa kaua kuliko wotee
Kali💪🏿
Uuuuuuuwiiiiiiii G bababaaaaaaa qubali saaa a ki ki ki ki kitooooonga
Wazee montraa kaua kwny ii ngoma yani kawafunika wotee
Ngoma kali bra
Noma sna ili goma kumbe
Kali bro
Kitonga is good sound from G wara wara & Nikki wa II ft montra the feature KITONGA
Kubali sana jamaa yangu na hujawahi harbu yani geeeeeee! Ni 🔥 🔥 fireeeeeee Kama na we unamkbli gonga like tujuanee
Joh makin naakubaliiiii Kaká hakika wewe ni fire bila kusahau kundi lá weuuuuuuusi
Kitonga 4rm 254 🔥🔥🔥
Kto znalazł kawałek po przeczytaniu książki Globstory :)
Wszedłem w sekcję komentarzy tylko po to by się upewnić że ktoś już ten komentarz dodał 😁
Booooooongeeee la ngoma
Kitogaaaa hatupandi tunateleza tuu
Kichupa kikopoa.naona bwanaharusi mtarajiwa ashaanza ubishoo na miwan
Uwezi Kula kitu nzuri peke yakoo
G nako wewe msanii mkubwa nani anakupandisha mlima kitonga
Sawa sawa
Huu mzigo wenyewe kabisa
Mumetisha sana Wana 💣💥
Asee
Dah hli goma angelioigia pale kitonga. Axe lingekuw noma xana, maaan hli dude ni balaaa
Ati nunua simu sisi tutampigia...
Bonge ya goma bonge ya vid
Nakubali g wara wara 🤘🤘🤘
Kali sana..! Uzto wa ngoma unahitaj 2m+ views
Babaetu ilo li video limeishaa iloo lakibabe, kiyamaaa. Respect
Ukiona ngoma ina g nako sema nimetoboa
Mzee wakitonga uko juu snaa babu ngoma kali sna sio wachafu hii sw mzee baba
Kitonga 🎉
Nunua cm cc tutamcall nunua shuka tuje tuchafue umenixoma brother kaka imeisha hiyoo🙌🙌🙌🔥
Uzuri wa hii ngoma ni beat,chorus na verse ya motraa
Mzuka sn ngoma za wakubwa watoto mkalale g nako umetisha broo big up
Motraaaa fireeee
Atr kitonga
Noma sana
Hiii ngoma unachukulia mkopooo kbsaa
Nan anabisha kam g nako si kisanga?? 👍👍 Ngoja nibonge kichuga.. hili li sogi ni yente kinyama mambo ni samba mbaa
💪for gnako hajawai kuangusha jaazi
mm wa Tatu kabisa
#Unatoa_na_mtoto_naye_anatoa_KITONGA_yeeeeeeeeeh_Nunua_SM_sisi_2tampigia_nunua_Shuka_cc_2ta_CHAFUA@KITONGA_on_🔥🔥🔥🔥
Nakubql sanaaa
I'm theeeeere 😅🙌
binafsi huwa sichoki kuisikiliza kitonga asee
👏👏
nomaaaaaah
Kitonga oyeeeh ni ktyu moto an
Kitooooonga iko juuuuuuu
Huyuu boyaa hajawahi kukosea yaan!!
Daah bonge la vidio
Wazee wa kazi 2023❤
G unauaga sana mzazi...
Gonga like APA from kanada
🙌🙌
Nkubaliii G warawara 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Like zimfikie gnako
Gonga like kama umegundua nikki wa pili hakwenda south Africa..!!
MBUYU Art Group ipooo
Ya💪💪💪💪
Nomaaaa
aaaaaah hiii ni atar Respect G .wara wara
Kuziiiii🙌🏿
Chuga chuga Next level sana #Kitongaaaaa
kichupa kikali sana kama ngoma yenyewe,location safi sana
like nyingi kwa g nako
Noma sana hili goma
g nako nakukubalii xana
g nako nakukubalii xana
Apo kila kitu kikal tena uyo jama Ni Coras killer ngoma Kali xana
Nakubali show kali
🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻
Kitongaaaaaa keeep it up aseeehhhhhhhhhhh
Nc song
Umeua gnako hawakuwezi
Ngoma Kali sema video noo ajikaaa wangetengeneza dance flan iv Kali ya kilatin kufwatana na ngoma yao!!! Ila ngoma imekaa
All the way from chugga to Dar nakula kitu nzuri
Motra🙌🙌🙌🙌
g nako umetisha sana kwa hyo korasi..like kama unaendelea kusoma huk unacheki hit song
mm hapa
Nakuballii Brooo
Moja kati ya video kali kutoka kwa Gnako. This is investment bra!
jack thomas true that,video kali sana
Kikikikiii kitonga
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 hatar
ngoma qaleee kinom
Makin sana
Haya! Leta remix sasa, weka FID Q, FA, Young Killer, Joh Makini😎
Nomaaaaa!
Hahahahahaah noma thaaaaana yan adi mwana katukana duh #kitonga nyoko
Dope video 💥💣
G nako fire
Wara Wara 🔥 🔥