G Nako Ft Chin Bees & Nikki wa Pili - Arosto (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 19 тра 2016
- G Nako Feat. Chin Bees & Nikki wa Pili - "AROSTO" Official Music Video
onerpm.link/g-nako-arosto
Video Directed by : Hanscana ( Wanene Films )
Audio Produced by : Lufa ( Switch Record )
2023....still hitting like a hitter G nako the A town finest 💥🤟🤘🤜💪👍
Hii ngoma ni kali sana, imebamba kinoma. kuhusu video naona niwaachie wengine wacomment. . . . .
WEUSI kama mmeikubali hii Basi hamjui video nzuri,NISHER KATISHAAAA
Namkubali sana
Light
I love khalighraph Jones,octo, and kikg kaka but chin bees will always be my favourite in East Africa
Moja ya kitu ili muua nisher ni Hii video. Tanzania tunachulia vitu simple sana Ila ki ukweli…tunaunafki wakuua.
kivipi mzee
kweli kabisa
Gnako warawara hapa umezngua am your number one fan acha nikuchane mzee umetupa dhahabu umefwata jiwe hanscana kazingua sana ya nisher iko dope man but kwa audio your a killer men video hii noooooooo ya nisher yessssss mara 10000000000000000
bonge la ngoma, video c kaz yangu mi naskiliza muziki mzuri cpendelei vid
aaaaaaam ma x wangu nawadis maaana ma x wangu wote walikuwa Rahisi, sikujua kutongoza kuwa ni ngumu like this,sikujua mi sijui kutongoza like this. alosto
Who what this in 2020
Really lyk that girl aliyecheza na chin bees.. Yuko charming, kacheza vzri with great mood na full confidence akicheza Kwa beat... Safii snaaa
Chin Bees killed the hook🔥🔥🔥
waaaaaah!wara wara big up for tekng it to the next level ....hizi ndio vitu raia wanataka chali
hahaaa...bangi aliokula chin beez ni hatariii....
2024 hit❤
2022 still a hit in my ear man, you guys should market your music further, this is very nice songs but marketing is low my Gs, i enjoy the hits by you guys
It's quite sad it hasn't reached a million views yet
😊
daaaaah alosto....bonge LA ngoma,,,kideo balaaaa naona ma dab kibao mixer ma whip Nene salute ......alostooooo
Hi video naona kama Hanscana ameifanya juu juu.. Au kapewa hela ndogo..
Ya Nisher kali zaidi..
weusi brotherz nawakubali sanaaaaaa ila kwa hii mmepuyanga yaaaaani mme feli cio kitoto
Mkuuu video ya Nisher imekaa kizazi sanaaaa...hii imekaaa kitoto sanaaa ingekua kaifanya shilore ingekua kali sanaaa coz ime kaa ki mama mnooo
UmetishAa kaka yupo mdogo wangu namuitagaa hili jina arosto basii haamin kama imetokeaa wimbo wa jinaa lake big up
its fire kwa mic and more fire on a camera....dope work.
Keeping it hot like a frying pan🔥🔥
g nako umejishusha hii c vdeo ni mavi umejishusha hiki ni kama kipindi cha watoto show ITV pole sana
asanteeee Gnako........nimeikubali,,,,,,,,naomb upewe tuzo huu mwaka
ngoma kubwa sana nipo na wanangu
toka France wamekubali michano mbaya2021/06/7
Wow I have been looking for this song but God has sent it to me
mi nlijua bongo fleva kumbe hiphop....respect nisher
Huyu ndio G.Nako ninayemfahamu..... salute Hanscana
Video mbovu bora ile aliyoshoot nisher sasa hiphop na hayo marangi ya kindergarten wapi na wapi
bby bby bby uuuh Arosto!! usiniache na Arosto
muziki muzuri sana, nimeupenda. wote wameeeeeeuuuuuuuuuuuuuaaaaaaaaaaaaa.
Arooooooooooooooosto
waliokosoa wengi wamekosoa kwa chuki sio kukosoa kitaalamu ingekua busara kama unakosoa kwa ajili ya kujenga ukasema kitu gani kibovu specifically na sio kusema video nzima mbovu sio kweli itakua unakosoa kama umekunywa kiroba mimi nimetazama zote ni nzuri sana kila mmoja ameweka utundu wake na ubunifu kwa uwezo wake kwakifupi zote nzuri sana
Video IPO fresh hongera kwa kushoot kwa hanscana
iiiiiiiiiiiii shiiida sasaa hii
uuuwiiiii hii sasa ni mazishiiii eeeh shikamoo hanscanaaaA
holly craaappp! Nisher got the real video
This song is fire 🔥🔥🔥🔥🔥
eeeehe bhn eeehe kweli akuna play list kali bila WEUSII mr OG umetsha bro #shikamoooo
oh yeah! bonge moja la ngoma nimelikubali kinoumaaaaa!!! big up kwa kazi nzuri
nimependa nilichokiona, ngoma kali video imetulia.
asee video ya nisher ndio kali sana kwa hii mmeharibu majamaa..
Video yaki kuma sana... mrudishie nisher mpunga wake G
Nimerudi 2022 bado ni Hit hili dude 🔥🔥🔥🔥
2023 oyaaaaa wanachuga mambo ni yente always
Nisher's. Version is BOOOOOOOOOOOMB😍😍😂😂😂💃🏽💃🏽💃🏽
😂😂😂😂😂
ndio ndio ndio mum...
sasa vitanda kama tupo dormitory bhana...
rangi za kindergarten zimetumikaa...
yeah nisher kaitendea haki booooom
@@hitmanhunter9557 p
@@hitmanhunter9557 zazzp
Nakuapia this is hit song...much respect to bees kwa ragga iliyosimama...am predit his gud music future...
Kwangu mimi hanscana ni director bora kuwahi kutokea kwa tz hii. no one like hanscan tz
Nimekushushia respect man umezingua video hamna kitu bora nisha angesimamia
Mchanganyiko wa rangi uko bye! Good work ...
2024 Let’s Gooooooooooooooo🫥
Chin B handsome jamani.... Napenda sana wanaume wa urefu wako
Nisher lit
#kwenda kwenda dar sana umeanza kuwa bishoo G
hii nimeipenda kwasababu ina hd ila s time nisher anazingua japokuwa ni drct mzuri shida nisha anamambo yaa ajabu ashawahi kuwazingua B.O.B
kazi nzr hyo ya hanscn Broo god video god music
Boy This Track is Fireeeee! Fuego
Hii ngoma ilibamba 🔥 🔥
Sana chalii
kazi safi loving it from Kisumu City Kenya
Pesa otas baba 😂😂😂
Asee hans rudi skul ukasome udirector upya man kama ulishasomeaga
Ili wakufundishe tofauti Ya kudirect tangazo la tomato na track Ya hiphop
be a nigga bob hanscana kakusea nn yeye n kaz yake penda mziki mzuri #lovegoodmusic #ihateteam
team make our industry todrop down
msanii na director wote wana Arosto kwny hii ngoma yan imepoa saaaaaana,, salute kwa @NisherX hyu @Hanscana tupa kuleeeeee
KUMA LAKO MAFUTA YA NYUMA WW TENGENEZA YAKO
wewe yako iko api?... ama ni laana za babu zenu?..... "wabongo bana"...
Sana G uko gud babaaaaaaaaake
huyu cheen beez anakosa management nzuri tu lakini ni kichwa flan amaizing kwenye hii new generation music
+Sweet Animal jamaa ni mkali asee sema management tu
Ile video ya nisher ilikuwa Kali jmn
telling the truth umeiacha ngoma kali sana aliyo fanya @nisherx
ameacha dhahabu kafata jiwe
mimi naona video ya hascan ndio dope kwa kwel dogo kashusha video nzuri kuliko ya nisher x labda challenge kwenye upande wa sound mixing hascan low quality wakati nisher kamix poa sana
Video chenga sana hiyo.....marangi rangi mengiiiiiiiii.........kama ile ya oskido na vitoto vyake.....Nisher u good bro....Hanscana mtafute Nicki Dizzo au Adam Juma akuelekeze hizo....ushachoka sasa kama Yebo yebo.....Buuuuuuuuuuuuuu
g nako nshaanza kukuchukia kumbe hauko poa na ww halafu umeikataa ya nisher sasa umefanya nn mbona ya kawaida sana hii video sioni kama Kali kuliko ya nisher
daaaah lufa aaaaaaa ndio nini bit izo utauaaaaaa
2020 inabamba sana
J nako 2ma mzigo kama uwoo Tena upate kuishi miaka yote
Usi2ache na alostoooooooooooooooooo
video ya hyu chalii ni kali..mekremu hiphop lazima iwe giza na bastola tu...hapa watu wanakula raha kwa playground na watoto wazuri...seems legittt
Huyo China Bees ni Mgodi unaotembea
Now this video inaeza...big up on this one.
🔥 📛 goma kali sana
Much respect to this DOPE song...!!!!!!!
Guwd work Guyzzzzz.!
weusi mmezingua bhana!! niliwaonaga wastaarabu alafu nikahisi mnajielewa kumbe masnitch tu.. mpeni basi nisher mtonyo wake!! aisee mkimzima jamaa hela yake mi sio shabiki wenu tena.. snitches
alafu video hii haiifikii ile balaa aliyoifanya nisher, hanscana nakukubali sana ila hapa umezingua
wapenda vya bure "kama unapenda vya bure basi kueni mashoga... hahahaha respect nay wa mitego" amna kitu apo... tustafutane jamani... ni mtazamo tuu....
Nisher yuko.
fanya video ya Nisher iwe official #G_nako
Acheni ufala wa kishamba nyie hii video ni Kali sana kuliko ya Nisher kwanza ile imepoa kinoma yani ila hii ni noma ila watu chuki tu sijui...BigUp HanscanA for this
Naon hujui kutazama nisher katishaa
this track still bangs!!! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nisher X katisha hii ya kawaida
2024-2025❤❤❤❤
Nice video sasa TZ tunazidi kuwa juu for nice videos
Sio video nzuri kwa ajili ya tomato ni uboreshwaji upo njemaaa lakini....
Bora ya nisha
Hii video nzur
Video nizuri nisher ila ile ya kwanza nimbaya sana Hascana shoot zake nzr ila story bado sio zuri sana
bonge moja la kamngomaa
Ngoma tamu mpaka leo🔥🔥🔥🔥🔥
jamaa video imekaa kidemu+kitoto hahahahah......pale mgumu anapoigwa swaga za nickminaj....video queens wana vitambi alafu watu wazima....hahah nick hilo jimama ni noma
Arosto bonge moja la ngomaa
Arostoooo ehhh...🔥🔥🔥🔥
Hii ni bora mm naona
Kali g
daa bonge la video nomaaaaaaaaaaaa
nisher katsha zaidi
G Nako nakukubali jamaa goooooood job
bt rud kwa nisher hhiii video mbovuu balaaaa
2021 lightening up my Joint to this
Usiniache na Arosto
nishaa atabaki kuwa mwamba u cant compare with this
I'm here
POLENI MAANA TUNAAMBIWA KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA UKIMPITA KWA VIEWS UJUE VIDEO YAKO IKO POA KULIKO ILE NA AKIKUPITA WW ONGEZA JUHUDI UWE KULIKO YEYE @HANSKANA
RUDISHA IYO PESA KAKA @GNAKO
kashapitwa kwanza
Nisher🔥🔥🔥
kazkaz mzeee nakubalii....
Haipendezi