G Nako ft. Maua Sama - Gusanisha (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 632

  • @TheShaephra
    @TheShaephra 2 місяці тому +1

    Mimi MKenya; lakini G nako nakutambua💪🏿..Nani Ako hapa 2024🎉

  • @Chairman047
    @Chairman047 4 роки тому +7

    *Kwa siku moja hii ngoma niliskia mara 3 kwa radio za kenya mpaka ilibidi nifike huku🙏🙏🙏noma na nusu*

  • @kelvintymwaura5075
    @kelvintymwaura5075 4 роки тому +90

    G Nako X Maua Sama 🇰🇪💯💪🏿🌍 Weusi 254 kambi imekubali....🇰🇪💯💪🏿🌍 #AfrikaRising

  • @sultanking1337
    @sultanking1337 4 роки тому +1

    mara miamiamiamiamia...gusa apa...GUSANISHA ....#254 🇰🇪

  • @GeorgeMichael13
    @GeorgeMichael13 4 роки тому

    Bablai bado haujapewa heshma yako katika mziki ,

  • @abdulkarim242
    @abdulkarim242 4 роки тому +6

    Arusha kama chuga chuga kama lembe lembe kama chugastan oyoooo Arusha kwa map ni shidaaa 🔥🔥🔥

  • @anthonymuchai6689
    @anthonymuchai6689 3 роки тому

    Mama weeeee.. 254.. wakubali... ume cheza kama nyiyi kikenya... ila uka tisha kiasi.... . Waiting for more tambua

  • @mokiwatv1206
    @mokiwatv1206 4 роки тому +90

    Mamaweeeeee Gusanisha nyama kwa nyama .... Cha mtu mavi wanashikaga ukuta 😂 si kuchafuana boksa uko aisee G unajua sana

  • @adenmwenda811
    @adenmwenda811 4 роки тому +5

    Gengetone in Tanzania...🇰🇪 Has taken note

  • @rizikishemsanga4622
    @rizikishemsanga4622 Рік тому +1

    Ukweli ni kwamba unanyimbo nzuri sanaaaaa tena sanaaa

  • @instagrambluetickverify6870
    @instagrambluetickverify6870 2 роки тому +2

    Bro leta kma hizi tuna ruka ukuta sauti ikuwe hivo na salute mm 👏 👌

  • @rosemaryt8928
    @rosemaryt8928 4 роки тому

    Huyu maua sama ni balaa.. Hizi Sauti Mnaso zimefuturisha Wengi..

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 4 роки тому

    G nako we ni bora ila jiongezee thamani. Tukikuzoea sana tutakuangusha

  • @abdulparesh4899
    @abdulparesh4899 4 роки тому

    Ndio baba nilikubeba mzee kwny new force ya mbeya hii kitu Cha maaana sana

  • @anastellafrancis5641
    @anastellafrancis5641 4 роки тому +49

    Vdeooo balaaa....wote wmetishaa. Alompenda dada mwengne uyo wa kwanz twende sawaaa💃💃💃💃💃💃

  • @massawaalfred2635
    @massawaalfred2635 10 місяців тому +3

    Tuko pamoja na G nako hadi 2024

  • @wajukuutz4068
    @wajukuutz4068 4 роки тому

    G nako n Mbaya Sku zote.. akigusa kila Nyimbo inagusika.

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 5 місяців тому +1

    ❤, G nako mauwa sama🇴🇲🇹🇿🔥🔥🔥

  • @daddywhalemuchui2262
    @daddywhalemuchui2262 4 роки тому +16

    It took me 6 months to like this song!,kwa siku Naiskiza Mara zaidi ya tano,...🙌🔥🔥

  • @geraldoluoch9479
    @geraldoluoch9479 3 роки тому +2

    This is my favorite jam man kwanza hyo dem mauasama

  • @mwanzaonlinetv3261
    @mwanzaonlinetv3261 4 роки тому

    Baada ya muziki ya darasa na iokote ya maua sama hii ndo ngoma ya tatu best

  • @denismsambali8187
    @denismsambali8187 4 роки тому

    Gusanisha ngozi kwa ngozi oyoooooooooooooo

  • @napendamuzikiilovemusic5840
    @napendamuzikiilovemusic5840 4 роки тому +94

    Alie muelewa dada aliechana versi ya Gnako ya kwanza gonga likes nyingi hapa 🙌🏻🎯

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 4 роки тому

      Nani aliyechana Sasa zaidi ya *G Nako* mwenyewe? 😬😬😬😬😬😬😬

  • @ahmedali-pu6fj
    @ahmedali-pu6fj 4 роки тому

    g nako bomb aysee wa2 wanruka majoka huko viuno vimefungwa mota ivyo si kuchafuwana boksa huko wa2 wanatangaza ndow huko aysee noma

  • @achileuslyanga8066
    @achileuslyanga8066 4 роки тому +1

    Hatari sana blaza g nako

  • @dorahpaulin8012
    @dorahpaulin8012 4 роки тому

    K2ga nomaa mnapogusanisha mkaangali na wale ambao hawataki # k2ga

  • @hellenkisuda8074
    @hellenkisuda8074 4 роки тому +2

    Kama umekuja special for g. Nako sema yeeee! Nice song nice artists yani kma unawakubali hawa mafundi fanya kma unananiii hiv

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 3 роки тому

    Hiii nyimbo club Ina hatarii..

  • @paulpama7705
    @paulpama7705 4 роки тому +1

    Gusanisha gusanisha,huyo nako alivyotulia kweny chorus,kweli ngoma kali,🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯🙌

  • @prosperringo6603
    @prosperringo6603 4 роки тому +3

    Kichupa kimetuliaa...ngomaaa mzukaaa sanaa

  • @manenomseku4982
    @manenomseku4982 4 роки тому +3

    Nimekuerewa g nako 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👎

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 3 роки тому +4

    Gnako is among the few artists that can make anthems not warawara is a chorus master ,mzee anaweza pita na ladha yoyote Ila Mimi namkubali huyu badboy chalii wa izi ma club bangers🔥🔥🔥 Kama # Wet # gusanisha na yule wa # Arosto G origino shabaranks wa bongo

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 4 роки тому +5

    Warawara Umeshamaliza Na Malkia Wanguvu Maflower Inatisha Sana❤️🙌🇰🇪❤️🇹🇿💥

  • @lephyspemba3400
    @lephyspemba3400 4 роки тому +3

    J nako ni msaani mhimu sana apa tz naomba ata like mbili tuu wadau

    • @ifahbae4782
      @ifahbae4782 3 роки тому +1

      Ulomkusudia weye cjui yupi mana huyu anaitwa G Nako

  • @georgepetermfalme4600
    @georgepetermfalme4600 4 роки тому +24

    Wanangu wa chugani Gonga like zakushato sijawahi kupata is true Song

  • @jessyvmusic4213
    @jessyvmusic4213 4 роки тому +1

    Gusanisha...gusansha... twende..#Jessy V MUSIC

  • @issankoweboy803
    @issankoweboy803 4 роки тому +25

    Mabaharia toka buza tumefika nani kasikia hii versi gonga like

  • @DanielLaurent-pl4rg
    @DanielLaurent-pl4rg Рік тому +1

    Unyama unyamani

  • @mihamboemanuel6339
    @mihamboemanuel6339 4 роки тому

    Nakubali g nako nami tena sana

  • @unruly_sons
    @unruly_sons Рік тому +1

    G nako the baddest

  • @iraiahX
    @iraiahX 4 роки тому +22

    Tumeifill hadi kwenye 254....straight hit😋🔥🔥🔥.lines za G ni fire aiseee😅adi sauti🤞

  • @christianking7759
    @christianking7759 4 роки тому

    We kyuma ni mbaya sanaaaa....mamamaeee @gnako

  • @fredrickleoni283
    @fredrickleoni283 4 роки тому +3

    Serious bro unajua mkali bless

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 4 роки тому +1

    Namkubali sana maua sama,
    Kwa chorus kwenye nyimbo yeyote

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 2 роки тому +2

    Mutu ya watu nakubariiiii 💪💪💪💪

  • @rvzawadi154
    @rvzawadi154 4 роки тому

    Dah videovx kauwa kweli. Adi nimeipenda iyi music

  • @evelyneadrian8002
    @evelyneadrian8002 4 роки тому

    Nyama kwa nyama dah mama weeeee g nako nomaa

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 4 роки тому +15

    KUNANI BUZA MAANA KILA MTU BUZA,,INABID NIFIKE HUKO NIKAJIONEE NA MM 🤣🤣😂😂😀😀
    ONE LOVE TO G NAKO,,GUSANISHA NGOMA IPAE ZAID KIMATAIFA MAANA IMETULIA SANA NA IPO KMATAIFA ZAID

    • @msosakiyaka6190
      @msosakiyaka6190 4 роки тому

      Karibu

    • @dismasstanslaus5985
      @dismasstanslaus5985 2 роки тому

      😋😋😋😋😆😆😀😀😀😀 huyu jamaa suo mwimbaji ni mchekeshaji 😋😋 eti tunarukaga ukuta

  • @iddyzoonline2409
    @iddyzoonline2409 4 роки тому

    Glass za biaaaaa tunagusanishaaaa

  • @suleimanmarumbo.5965
    @suleimanmarumbo.5965 4 роки тому +4

    Hakoseagi huyu jamaa,si hii tu hta ile uliyofanya na Abdu kibba ngoma iko poa sana🙌🏽💯

  • @theinnocentignas
    @theinnocentignas 4 роки тому

    Aiya ya ya ya yah

  • @proudboystz8964
    @proudboystz8964 4 роки тому

    Ako kadada kamefanya poa sana .. Sijui n kanani kanajikuta kaninja kenyewee

  • @ombenmichael3473
    @ombenmichael3473 4 роки тому

    Gusanisha hasi na chanya Gusanisha Nyama kwa nyama...

  • @joneskijah3778
    @joneskijah3778 4 роки тому +1

    Bonge moja la Ngoma . Hili dude lingeimbwa wasafi lingekuwa mbali mnooo

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 4 роки тому +23

    Hii banger imeweza (in wakenyaz lafudhi)😃

  • @theinnocentignas
    @theinnocentignas 4 роки тому +41

    G-NAKO If your reading this, big up bro. It’s a smash HIT 🔥🔥 fayaaaaa

  • @kingandreemmanuel7908
    @kingandreemmanuel7908 4 роки тому +1

    Gusanishaaa ........
    Ngoma ya moto gusanishaa.....

  • @manenomseku4982
    @manenomseku4982 4 роки тому +1

    Yanikwako wegine watasubilisana wakalishe mzee baba eshimakwako gnako kwaapo 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @damasijustin6884
    @damasijustin6884 4 роки тому

    babu ngoma kali ile mbaya

  • @salvinampagama1811
    @salvinampagama1811 4 роки тому

    Daaaa safi sana g hujawai kosea

  • @seifmdigo2772
    @seifmdigo2772 4 роки тому +2

    #gusa kweli gusa 😘😘😘

  • @linakimiri8168
    @linakimiri8168 4 роки тому

    Wacha mi nimeshtuka kuona charliedem akimba. Gooooooosh

  • @preparethewaymessiahiscoming
    @preparethewaymessiahiscoming Рік тому +1

    Binge ya ngoma🎉

  • @MajengoSokoni255
    @MajengoSokoni255 Рік тому +1

    Nani hadi 2023 bado anakubal hili Goma likes zake hapa

  • @sudiomar50
    @sudiomar50 4 роки тому +1

    Iko sawa nyama kwa nyama

  • @michellekimaru644
    @michellekimaru644 3 роки тому +8

    It's giving that gengetone vibe and I love it

  • @justinkyando6103
    @justinkyando6103 4 роки тому

    Yan @Gnako na Maua Sama.... Ni mnajua hatariii af mkakutana yan n NOMA love U

  • @tomomar8352
    @tomomar8352 3 роки тому

    Beat ya gengetone Kali genge to the world

  • @musaibaabuu1064
    @musaibaabuu1064 4 роки тому

    Mimi nakubali maua sama kwa sana tu na mpa 💯

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 4 роки тому +10

    Boongee la gomaa, boonge la video kutoka kwa bongee la chorus killer

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 4 роки тому

    Huyu mnyama namkubali sanaaaa anajuaaaaa Gwaraaaa

  • @davidshirima7737
    @davidshirima7737 4 роки тому

    😊😊Gusanisha......

  • @KEENGSTV
    @KEENGSTV 3 роки тому +1

    Hii ngoma Kali sana

  • @csmwazito298
    @csmwazito298 4 роки тому

    Gusanisha issa hit!!!!!mamaweeee.

  • @gloriossabenedict787
    @gloriossabenedict787 4 роки тому

    Namkubali Sana huyu jamaa

  • @issankoweboy803
    @issankoweboy803 4 роки тому +1

    Gusa gusa gusa

  • @tzbrmediashow7580
    @tzbrmediashow7580 4 роки тому

    Maua huwa yuko fire sanaa

  • @benardmuthuimusic4833
    @benardmuthuimusic4833 3 роки тому

    Kitu moto sana bro

  • @ezekielevarest9215
    @ezekielevarest9215 4 роки тому

    G hujawahi niangusha mkuu ww msanii wangu bora kbsa kwa kizaz ichi

  • @ledasjosseph5558
    @ledasjosseph5558 4 роки тому

    Ni chechee babaaa

  • @yusuphlusinde9832
    @yusuphlusinde9832 4 роки тому

    G katishaa

  • @faithnyangweso8699
    @faithnyangweso8699 4 роки тому +2

    Mama weeee🙆🙆🙆🙆gusanisha nyama kwa nyama,😂👍👍

  • @ashuramuhamed8224
    @ashuramuhamed8224 3 роки тому

    Ki2 fayaah husanisha

  • @mwatsefumohamed7338
    @mwatsefumohamed7338 4 роки тому +12

    G nako never fails 🇰🇪🇰🇪🇰🇪..Team Weusi ⚫

  • @victoruswazi3593
    @victoruswazi3593 4 роки тому +2

    MAUA UYu demu kumzoea tu lakn Ukwel Anahatar💥💥💥

  • @hadijahmbabazi1564
    @hadijahmbabazi1564 4 роки тому +1

    Hii ngoma bomba saaana au vipi

  • @kimpyonglee7552
    @kimpyonglee7552 4 роки тому +1

    Hili dude angeimba diamond Africa nzima ingeju, ama kweli usenge upo

  • @happymwashiwawa3764
    @happymwashiwawa3764 4 роки тому +17

    Hawa jamaaa ndowaondokage na tuzo 🔥

  • @daudidaudy9431
    @daudidaudy9431 4 роки тому +1

    G nako hajawai kutuangusha

  • @evamhagama730
    @evamhagama730 4 роки тому +1

    Mjomba katangaza ndoa uko😍nakupenda bule wee mkaka.

  • @malkomapesa8665
    @malkomapesa8665 4 роки тому

    G Nako nakukubalig sanaa

  • @youngtupa6241
    @youngtupa6241 4 роки тому

    Wara wara hujawahi kosea kaka 🙌🙌

  • @mansaboy5156
    @mansaboy5156 4 роки тому

    Hatareee G mkare

  • @leyxon_delee
    @leyxon_delee 4 роки тому +1

    Video imechelewa sanaaaa

  • @mkijomutv9633
    @mkijomutv9633 4 роки тому

    #gusanisha hasi na chanya hahaaaa @gnako official video

  • @mangipesa1007
    @mangipesa1007 4 роки тому +8

    Wozaaaaaah yenyew hy buza on fireeeeeee

  • @iddahaleluya20
    @iddahaleluya20 4 роки тому +21

    wapi like za Gnako......❤️❤️❤️

  • @blacknesaya744
    @blacknesaya744 4 роки тому

    Hatariiiiii warawara wataerewa tu

  • @akl693
    @akl693 4 роки тому

    Nyama kwa nyama.. HATARI SANA!!

  • @ivanmbugua2261
    @ivanmbugua2261 4 роки тому +60

    Heyyyy Si Tuguzishanishe izo Likes hapa. Ngoma kaliii!!!