Jinsi ya kupika chapati laini kwa urahisi - Recipe 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Karibu, leo tunapika chapati laini na kwa njia rahisi.
    Mahitaji:
    Unga 850g
    Mafuta ya kukandia kijiko kikubwa 1
    Siagi ya kukandandia kijiko kikubwa 1
    Chumvi robo tatu ya kijiko kikubwa
    Sukari kijiko 1 kikubwa ( si lazima)
    Maji ya uvuguvugu 450 ml
    Unahitaji pia siagi na mafuta ya kukunjia na kuchomea chapati zako.

КОМЕНТАРІ • 15

  • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
    @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 8 днів тому

    ❤❤❤

  • @ZawadiAbdala
    @ZawadiAbdala 28 днів тому +1

    Mashalla asante dada nimenda mapichi yako

  • @user-se3gw8yh7k
    @user-se3gw8yh7k 14 днів тому

    Gostei obrigada pela receita

  • @HadijaJuma-d9e
    @HadijaJuma-d9e 9 днів тому

    Siagi ni brubend

  • @user-lz6pu9re2l
    @user-lz6pu9re2l 28 днів тому

    Nice 🎉❤

  • @neemamakupa5764
    @neemamakupa5764 Місяць тому

    Kazi nzuri Sana mm tatizo langu zinakua ngumu katikati sjui tatizo nn msaada please

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  Місяць тому

      Labda moto inakuwa mkali au chuma chako cha kuchomea ni chepesi. Chuma kikiwa chepesi zinaungua au kubabuka katikati. Jaribu kuangalia hapo mpendwa. Na moto uwe wa wastani usiwe mkali sana. Shukrani kwa kunitembelea❤️

    • @neemamakupa5764
      @neemamakupa5764 Місяць тому +1

      Nashukuru kwa darasa lako be blessed

  • @Mai_s_home
    @Mai_s_home Місяць тому

    😋😋yummy. Nice outcome