Jinsi ya kupika chapati laini kwa urahisi na zilizochambuka *Recipe 2 - Chapati za maziwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 8 днів тому +1

    TabarakaAllah Ma Sha Allah

  • @azizaal-amri3577
    @azizaal-amri3577 Місяць тому +1

    Mashallah shukran sana habibti ❤️

  • @AishaManirakiza
    @AishaManirakiza 3 місяці тому +1

    Umenitamanisha mwaya ❤❤❤zinavutia mnoo ManshaAllh

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  3 місяці тому

      @@AishaManirakiza Asante my lovely sis. ♥️♥️

  • @zainabmunezero5797
    @zainabmunezero5797 2 місяці тому

    Mashaallah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 місяці тому

    Mashaallah zinavutia na mm nitajaribu njia hio Inshallah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 місяці тому

      Jaribu mpendwa kisha nipe mrejesho zitakavyokuwa insha'Allah

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 2 місяці тому

      @@Mapishi_TV 👍

  • @thefoodiedudy
    @thefoodiedudy 3 місяці тому

    Crispy and yummy

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  3 місяці тому

      @@thefoodiedudy asante sana

  • @hummymgaza6915
    @hummymgaza6915 Місяць тому

    Me sijui hua nakosea wapi Yaani nishajaribu mara nyingi ila hazinikubali chapati only few days ndo zimetokea 😂

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  Місяць тому

      Pole mpz, mapishi yana mambo. Lakini wee endelea tu kujaribu siku moja utakuwa bingwa wa chapati

    • @hummymgaza6915
      @hummymgaza6915 Місяць тому

      @@Mapishi_TV Allahumma ameen, nimefata izo recipe zako mana unaelezea vizuri, but I think nimekosea kuchoma 😔. Hopefully nitaweza inshaAllah

  • @mariamnyaluzi6660
    @mariamnyaluzi6660 2 місяці тому

    Zang nkipk mafuta ynkuwa mengi ipoj hii

  • @judithfimbo3743
    @judithfimbo3743 2 місяці тому

    Ukikunja unaharibu chapati inakatika

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 місяці тому +1

      Maisha yangu yote nakunja na wala haziharibiki. Tena zinaiva kotekote hadi pembezoni mwa chapati.

    • @AishaManirakiza
      @AishaManirakiza 2 місяці тому

      Ndio darling kukunja sio sababu ya kukata chapati kbsaa😅😅

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 місяці тому

      Kabisaa♥️