Wanawake wenye Majina yanayoanzia herufi G"S" wanaume sahihi kwao awe na sifa hizi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @Babyrosepeter
    @Babyrosepeter 7 місяців тому +1

    Jaman ni mm uyo kabsa uwiii mashallah

  • @SamiasMuya
    @SamiasMuya Рік тому +2

    Huu ni ukweli kabisa kaka Ally... Hapo kwenye pesa umeongea ukweli yani mimi nikipata pesa pesa zote zinaishia kuwasaidia watu utakuta unapanga malengo yako ya kimaendeleo then yanakwama na kwenye kuumwa tumbo ni kweli kabisa utakuta upo period unaumwa mpaka unahisi kufa ...namuomba mwenyezi mungu anisaidie Mimi jamani ya jabbar tusaidie waja wako sisi jamani.

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni Місяць тому +2

    Kbs mimi jmn pesa zangu kila mwenzi zinatawanyika yaan mtu akininilia shida natoa😢na wanaume napata ata wankwenye oniline wananipenda wananisaidia sana hasa na waume wawatu 😢😢 hata mtu awe malakani sijaonana nae atanipenda atanihudumia ila sipati ndoa 😅 Mungu anisaidie

  • @salamoman9375
    @salamoman9375 Рік тому +1

    Kweli kabisa umetupatia yaan tunatogozwa mpk kero

  • @SabinaKibena
    @SabinaKibena Рік тому

    Mungu akupe maisha mlefu mwalimu

  • @ShukurMkan
    @ShukurMkan 14 днів тому

    Umeongea ukweli bb nimerogwa mpk nachanganyikiwa

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Рік тому +1

    Mmh jmn yasemwayo ni kweli kbs hujakosea duh kutongozwa sasa duh

    • @shamilakitwana-we5fk
      @shamilakitwana-we5fk Рік тому

      Mkuu mimi 💯 nimerogwa sijui utanisaidiaje. Maana dalili zote ninazo. Na pia ninaugonjwa wa kupenda wallah hhh

  • @GRACEMACHINDA
    @GRACEMACHINDA 4 місяці тому

    Daaaaaah nikwel kak ujakosea kabisa😢

  • @PendoKapten
    @PendoKapten 3 місяці тому

    Jamani mi naitaji tiba naitwa sifa

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Рік тому

    Mmmmh ni kwel tumbo lina jaa miaka ssa na meng unayo sema aiseeee daaaaaah ume nigusa nme mpa taraka mme wangu mmmmh

  • @RolandeRashidi
    @RolandeRashidi Місяць тому

    Kwanini asiwe mwenye rangi nyeusi

  • @GetrudeEpafras-vy4un
    @GetrudeEpafras-vy4un Рік тому +1

    Yaani baba uko sahihi kbsa

  • @sarahgeorge8305
    @sarahgeorge8305 Рік тому +2

    Mi najua kabisa nimerogwa

  • @salamoman9375
    @salamoman9375 Рік тому +1

    Basi mm nimerogwa

  • @RolandeRashidi
    @RolandeRashidi Місяць тому

    Mimi sijarogwa

  • @HasaniSaidi-n9z
    @HasaniSaidi-n9z 2 місяці тому +1

    Kweli bab yani natamani mtoto mpk basi mim subila

  • @gladysasiko2878
    @gladysasiko2878 Рік тому

    Hapa Kwa ndoa naona kama ukweli lakini Sipendi hali yangu najitoa vipi tafadhali

  • @saidajuma8553
    @saidajuma8553 9 місяців тому

    Kwakweli Dr. hapa kwenye hizi herufi S ni ukweli mtupu daah!!

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Рік тому

    Wallah nme rogwa tena nme rogwa tena

  • @HasaniSaidi-n9z
    @HasaniSaidi-n9z 2 місяці тому +1

    Yan kweli kama ulikuwepo mwalimu mtto sisi wenye s mpk leo sijapata mtoto

    • @MariettaNyoni
      @MariettaNyoni Місяць тому

      Bola ww mtoto mm mume 😂kila ninaepata ni mume wa mtu na awataki niwaach wananipenda tuu na pia mm Malaya kweli jmn Mungu anibadilishe 😢

  • @salamasalama7140
    @salamasalama7140 Рік тому +2

    Mimi pia nimiongoni mwao nilorogwa

  • @safinahanga476
    @safinahanga476 Рік тому

    😂😂😂