Wanawake wenye Majina yanayoanzia herufi H"T" wanaume sahihi kwao awe na sifa hizi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @HadijaKidunda
    @HadijaKidunda 6 місяців тому +1

    Ushauri wangu Mimi Nafikiri hii mada itasababisha wakina H,T wasiolewe nadhani msingeileta humu jamani daaah!

  • @user-gw4ti6vi5e
    @user-gw4ti6vi5e 4 місяці тому +1

    Nikweli mi T kila nilalo panga alitimii

  • @RamlaNasri
    @RamlaNasri 4 місяці тому +1

    Uongo mtupu kufa ni mipango ya mungu acheni kujipa pressure kwaiy wake wa marahic wameanzia na t h mbona waume zao wamekufa

  • @tauhidajumahamad1218
    @tauhidajumahamad1218 4 місяці тому +1

    Mh ni T na niko na chamgamoto sana😢

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Рік тому

    Subhanaallah mwenyezi mungu ndie anaejuwa kila linalotupata viumbe vyake jamani

  • @jumakumburu6471
    @jumakumburu6471 Рік тому +1

    Nakukubali sana aly kky

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 місяців тому

    Kwahiyo ss maizlahill kutoa roho wanaume. Daa hi mtihani Allah atulinde.na.atupe.wanaumewema na ss

  • @hopejacob2436
    @hopejacob2436 Рік тому +1

    Khee hapo kwenye Mume kufa mbona pabaya jamaniii Eeh Mungu niepushie mbali katika Jina la Yesu Mume utakae nioa Hutakufa mtoto wamama mkwe.

  • @tauhidajumahamad1218
    @tauhidajumahamad1218 Рік тому +1

    Kwahio wanaume watakaooa majina herufi nyengne hawatokufa😂

  • @rehemamaila5522
    @rehemamaila5522 10 днів тому

    Unasema kweli babu kwenye t hapo niukweli mtupu

  • @Hope-v8k3v
    @Hope-v8k3v 2 місяці тому

    Tufanyej bas 😂😂😂

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

    Mi nishamwambia mume wangu tuachane hatak, lakin tunagombana sana na najiskia simtaki kabisa pamoja kuwa ananiskilza japo suala lake la uvivu na wivu ulopitiliza vinanikera

  • @taybinaali9597
    @taybinaali9597 10 місяців тому

    Mbona kuitwa mchawi tobaaaa 😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 місяців тому

    Kwahiyo tusiolewe tuishitu pekeyetu. Allah atunusuru

  • @HopeShirima-tf5du
    @HopeShirima-tf5du 9 місяців тому

    Jamani nikweli mm ni hope au tumaini mume wangu nimekaa nae miak5 amekufa kaniacha na mtoto

  • @swahilinational7240
    @swahilinational7240 Рік тому

    Ni kwel Mimi Nina Mwanamke wa Herufi T dah! Maugomvi kila kukicha

  • @taybinaali9597
    @taybinaali9597 10 місяців тому

    Heee

  • @AmosiHaule-hq4mw
    @AmosiHaule-hq4mw 3 місяці тому

    Je kama Mimi jina la kwanza linaanza na A na jina la pili linaanza na H
    Halafu mke wangu jina linaanza na hiyo H
    Je Kuna madhara bado?
    Naomba kujua mapema

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

    😮😮ndo maana ugomvi na mume wangu hauishi pamoja hata tukiwa mbali mbali

  • @hildamadafu-zn2zp
    @hildamadafu-zn2zp Рік тому

    Dah hizo dalili ni mim

  • @HadijaSalehe-n2p
    @HadijaSalehe-n2p 11 місяців тому

    Jamn mh!

  • @pilipili9016
    @pilipili9016 Рік тому

    unasema kweri irashaga tolea erufi t mume akafa

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy Рік тому

    Hatar lkn mie nitaolewa

  • @hildamadafu-zn2zp
    @hildamadafu-zn2zp Рік тому

    Yan mengi inkwell ninayo

  • @user-yl2gc5su5s
    @user-yl2gc5su5s Рік тому

    Basi tusioe

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 Рік тому

    Jamani,mbonaunatutisha,unafanya,tusiolewe,nakama tuna wapenzi,siwatakimbia,manawatu,wanaogopa,kufa,munguwangu.

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 Рік тому

    Jamani sasa tufanyaje? mbona utatukimbizia wachumba 😭😭😭😭😭

  • @AKH_TZ
    @AKH_TZ Рік тому

    Mm ninadoa kifuan kwel jmn sasa duuuh😂 nimejifunza meng aisee

  • @hannamakamba6108
    @hannamakamba6108 Рік тому

    Mmmm

  • @HajmazoyaZoya
    @HajmazoyaZoya Рік тому

    Sasa Ina mana Wana wake wenye heruf. Ya H waliumbiwa. Na mikosi ao acha uongo. Bwanaa

    • @HildaAidam-rb8dj
      @HildaAidam-rb8dj 8 місяців тому

      Kwahy inamaan sisi tumeonewa kam kufa kila MTU atakufa

    • @Tatufadhili-ud6se
      @Tatufadhili-ud6se 4 місяці тому

      Kifo kipo tu n mipango ya mungu mtu uandika kifo cheke mwenyew siku akizaliw tu lakin sidhan kam n jina la mtu husababish

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 Рік тому +1

    Nina mchumba jina linaanza na herufi S nifanyaje?

  • @swahilinational7240
    @swahilinational7240 Рік тому

    Jibu sms Watsap

  • @hannamakamba6108
    @hannamakamba6108 Рік тому

    Unatutisha sasa