LISSU ASIMULIA A TO Z KUSHAMBULIWA RISASI, AMTUHUMU MAKONDA KUONGOZA GENGE LA UUAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 345

  • @frankitumbwi7537
    @frankitumbwi7537 2 дні тому +40

    Kwana watu humu mtajifunza kitu mungu huwa anamlipa mtu kulingana na alicho kifanya manaona kama wana wakera ila mtu anazungumuza kitu ambacho hata wewe kingekutokea usinge simama kama yeye ila mungu ana makusudi na wewe akupe uzima siku zote bado tunakupenda❤

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 2 дні тому +1

      Kweli kabisa kaka yangu , mimi nakereka kweli watu wakimbeza huyu bwana

    • @gabrielmchau8764
      @gabrielmchau8764 2 дні тому

      Ukiona mtu anamlaumu huyu jamaa uyo ni kwakua hajavaa viatu vyake kbs, uezijua umuhimu wa maumivu ad utapojua yalivyo

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 3 дні тому +8

    Ki msingi inaumiza sana. Lakini unakuta wapo watu baadhi Wana comment mambo ya hovyo. Nadhani watu wa jinsi hiyo wana roho zipendazo damu. Pepo hizo mwende mkaombewe muwe huru na wenye huruma

  • @FrankChacha-y3d
    @FrankChacha-y3d 2 дні тому +11

    Duuh leo hii millard ayo nae anapost interview ya lissu 😂 kweli mambo yanabadilika

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 3 дні тому +36

    Ogopa sana mtu anayejifanya mlokole nyuma yke asilimia kubwa kuna meng,makonda sasa hv anajifanya mtakatifu na mwenye huruma sanaa lkn mkikumbuka alikuwa mshenz sana mbabe wa ovyoo ushuhuda tu wa hili inshu ya clouds kipindi kile mbk wakapishana na marehemu ruge😢😢😢😢mama samia ungejifunza mwenzio leo analiwa na funza,hii dunia wote tutapita tu,madaraka yasiwalevye😢😢😢😢

    • @CharlesMbise-hc2sz
      @CharlesMbise-hc2sz 3 дні тому +3

      Exactly 💯

    • @lordsm.k-db3wy
      @lordsm.k-db3wy 3 дні тому +1

      Mmmh mbona umefka mbali sana Dada, Alikufanya nini JPM

    • @lulumatawalo7805
      @lulumatawalo7805 3 дні тому +1

      Kama unadhani ni rahisi,na wewe jifanye mlokole! Huu ni mkakati,why now??

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 2 дні тому +2

      Tukio la "clouds" linatoa sura ya mtu alivyo madarakani

    • @SylvesterMakenzie
      @SylvesterMakenzie 2 дні тому

      Hata wew fuza watakula Kuma la mama yako mkundu wew hiv nyie wabongo kila maovu yanayofanyika nchi hii lawama zote kwa rais hii hapana magufuri alikuwa mzalendo sana kwangu nasema hii hapana

  • @DavisEnglishTv
    @DavisEnglishTv 3 дні тому +31

    Tuache kutumia tgo..Hatupo salama

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 2 дні тому +1

      Laini zote z cm hiyo ni stage ya mwisho kujuwa uko maeneo gan

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 2 дні тому

      Wewe kama uko na ushahidi kamili,usitumie sisi tutatumia

  • @UmmyBeauty
    @UmmyBeauty 3 дні тому +25

    Damu ya mtu aimwagiki bure lazima tu majibu yatoke

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 2 дні тому +1

      Kwani yeye damu yake Ina thamanni kushinda ya wengine? Chuki zimemuzidi anajinyima raha. Wewe uko tayari kuwa na Rais kama Tundu Lissu? Mtu Mwenye nongwa zisizoisha. Hata akipata huwo urais, ataiongoza Tanzania VIP-ie? Na uchungu alio nawo?

  • @yohananyamaruri9105
    @yohananyamaruri9105 2 дні тому +6

    Please, DEREVA WAKO YUKO WAPI? MBONA HAJAONEKA HADI LEO NA NDIYE ALIKUWA FIRST KUHOJIWA

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 2 дні тому +3

      Alishawahi kuulizwa mbona kama miaka 3 iliyopita? Akasema dereva alipata kazi Belgium na akaamua kuhamia huko huko na familia yake.

    • @BarakaSimon-xy9mp
      @BarakaSimon-xy9mp 2 дні тому +1

      Dereva atakuwepo mahali penye ulazina kuwepo

    • @MartineJoseph-u6i
      @MartineJoseph-u6i 2 дні тому

      Atakuja kutoa ushahidi mahakamani kuwa muelewa

  • @stevenmilton2504
    @stevenmilton2504 3 дні тому +7

    Damu ya mtu haimwagiki bure

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 3 дні тому +5

    MUNGU atusaidie amani 😢idumu 🇹🇿🌹

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 3 дні тому +2

    Mfungulie kesi mkuu

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 3 дні тому +4

    Mungu sio Athuman waliokuchimbia kabuli wamezikwa wenyewe alale mahala pema utafanya yote mabaya mwisho wa siku unakufa bila kupingwa

  • @promisetenson7258
    @promisetenson7258 2 дні тому +2

    Mungu alishatujibu katika hilo Mungu hajaribiwi yuko wp sasa mbwa yule ishi tundu

    • @abubakarysaid2772
      @abubakarysaid2772 2 дні тому +5

      Hata mimi, wewe nahuyo unaemwambia aishii wote tutakufa

    • @Haruni-e4d
      @Haruni-e4d 2 дні тому

      Ye mwenyewe atakufa buana....wote tutakuwa hakuna kuishi milele​@@abubakarysaid2772

  • @عمرانالحجري
    @عمرانالحجري 2 дні тому +3

    Bongo kikubwa uzima🙄

  • @ramadhanizola1157
    @ramadhanizola1157 2 дні тому +2

    Idiamin akfa mm siwez😂😂😂😂

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 3 дні тому +12

    Kwa makonda tunampenda sanaaa tena sana

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 2 дні тому +1

    Wewe una moyo gani na KANISANI unaenda kila siku kufanya Nini,,hata walikufanyia SAMEHE,, NENO la MUNGU linasema SAMEHE saba mara sabini,,,sasa unamtuhumu MTU alishakufa..wewe tungeneza MAISHA yako vizuri na MUNGU ili hata ukifa uende sehemu SAHIHI...hakuna faida hapo..mtafute MUNGU sana.

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 2 дні тому

    Sasa kwanini.msipeleke kesi mahakamani hapo ni kuuwa ushahidi wataharibu mifumo ulitakiwa ku mute

  • @ImaChaki
    @ImaChaki 3 дні тому +1

    Mmh

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 3 дні тому +3

    yaan mlalamikaji unataka uitwe kulalamika polisi

    • @MatildeBjelland
      @MatildeBjelland 2 дні тому +1

      😂😂maajabu hayo, na ni mwanasheria eti

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 2 дні тому +2

      Uyu ni mwanasheria, Wewe ni mvuta bangi huwezi kuelewa mambo ya kisheria, Wewe unaweza kujua bangi nzuri na mbaya tu ayo mengine huwezi jua

    • @Kabi_47
      @Kabi_47 2 дні тому +1

      Unajua hapa hatuongelei mambo ya kesi za kitoto 🥷🥷

    • @mathiaslyamunda2526
      @mathiaslyamunda2526 2 дні тому +1

      ​@@Kabi_47Anadhani ni kesi ya ugoni 😂😂

  • @KekeRose-yj6re
    @KekeRose-yj6re 2 дні тому +3

    Rest in hell mwendazake

  • @DicksonMagesa-r7h
    @DicksonMagesa-r7h 3 дні тому +6

    Chadema kila siku mnalalamika tu jamani vipi mlego wenu ni upi

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 2 дні тому +4

      Kma mpka leo ujui basi endelea kulala tu ndgu yangu.

    • @MsevenSaudisaidi
      @MsevenSaudisaidi 2 дні тому +4

      Wanalalamika vipi mtu anasema ukweri kashambiriwa na risasi je ungepigwa wewe risasi ukikaa kmya kuwa na roho ya binadam unakuwana loho ya mnyama

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 дні тому +1

      Analalamika kivipi? Anachoongea hukifahanu au unajitoa ufahamu?.
      Yaani watu wajinga km ww mpk yaikute familia Yako au wanaokuhusu ndo utajifanya unoangea

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 2 дні тому

      ​@MsevenSaudisNa Angefirwa Kama ROMA JE😂aidi

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 2 дні тому

      Na Angefirwa Kama ROMA Je
      Angekumbusha kumbsha😂

  • @Mimi.Official
    @Mimi.Official 3 дні тому +1

    Kabla mwenye tigo hajasema yote atupiwa nyie subirini

  • @josephchaba6007
    @josephchaba6007 3 дні тому +7

    Tulishachoka na hadithi zako

    • @jimmydizonga1335
      @jimmydizonga1335 3 дні тому +3

      Hivi ata utu kidogo tu huna, muogope Mungu, ujiuliz aliye jifanya mwamba ss hv ni marehemu na aliye pigwa risas yupo hai

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 3 дні тому +2

      Kasikilize za baba yako kwani nani kakwambia usikilize hii habari mbwa wewe

    • @saumuabdallah198
      @saumuabdallah198 3 дні тому

      angeuliwa na babako afu ndo useme uo upuuzi wako

    • @hatibumohamedi3471
      @hatibumohamedi3471 3 дні тому

      Ndio wewe nn mhusika

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 дні тому

      Pumbavu kabisa mbwa wewe

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 2 дні тому

    Huyu nae ni wale wale wanaojikomba kwa wazungu. Tunahitaji viongozi wazalendo wa nchi yao

    • @BarakaSimon-xy9mp
      @BarakaSimon-xy9mp 2 дні тому

      Si mbaya kujikomba kwa watu wanaokujali kipindi unapokabiri magumu

  • @ppcvk-f8x
    @ppcvk-f8x 2 дні тому +1

    Tundu lissu anajifanya kupigania haki za wengine wakati yeye mwenyewe ni wakala wa wazungu wanyonyaji, huyu akiwa rais naye atakuwa mpigaji tu, anapambania tumbo lake na sio watu.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 дні тому

      Bora hata upigaji,huyu ni shoga,anabanduliwa huko ubelgiji

  • @ifonlyiknew619
    @ifonlyiknew619 2 дні тому +17

    Comment Nyingi Humu wanao comment wengi ni Mbumbumbu Mnooo kweli Tanzagiza

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 2 дні тому +1

      Ww ni zaid ya chizi

    • @paullameck-r5j
      @paullameck-r5j 2 дні тому +1

      We Msenge nn

    • @samuelmlapwa7858
      @samuelmlapwa7858 2 дні тому +2

      mbona hukuandika comment yako yenye utashi na akili nyingi kiongozi

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 2 дні тому

      Kweli wengi machizi na Rais wao Makonda

    • @ifonlyiknew619
      @ifonlyiknew619 День тому

      @@samuelmlapwa7858 Ukibishana na Mjinga na wewe utaonekana na Mjinga Waache Wararuane Wenyewe 🚶🚶

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 2 дні тому +1

    Bashite nimbaya sana anajivisha ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu, pamoja nayote mbona ulibwagwa?? Arfu amekuja kukumbukwa na mama Ebu tubu mrudie mungu tengeneza njia zako damu zawatu cio sawa mungu hapendi

  • @bakaringalembula4858
    @bakaringalembula4858 2 дні тому +4

    crown Media maana halisi ya utoaji wa habari

    • @butungo1
      @butungo1 2 дні тому

      Siku waandishi wa habari wakiacha kuwa chawa...nchi itabadilika

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 3 дні тому +37

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..📌📌📌 anachoongea lissu hakuna asiekijua au kukielewa!!! 👌

    • @ppcvk-f8x
      @ppcvk-f8x 2 дні тому +7

      Naye tundu lissu huyo anapigania tumbo lake, msidanganyike, anatumiwa na wazungu wanyonyaji kuleta vurugu nchini

    • @ppcvk-f8x
      @ppcvk-f8x 2 дні тому +1

      Usimtetee

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 2 дні тому +1

      ​@@ppcvk-f8xkweli kabisa.

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 2 дні тому

      Ndugai alisema hajui alipo

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 2 дні тому +1

      ​@@ppcvk-f8xlabda ameleta vurugu kwako nyumbani 😅😅

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 2 дні тому

    Dunian huko kwa akina Trump na ulnz wake kala SHABAAAA.......... Huku ndich kwetu vipiiiiii?? Hatma yako imefkia wap?? Umejaribu kuwapa ushirikiano police kwa wakat huu umeonaje maana kila siku utaongea tusikilize then ikawa hamna ishu au ukazd kuwapandkiza wenye chuki na wewe wazd kukuangalia kwa jicho jingine.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 2 дні тому

    Lissu tumechoka na kelele żako. Huwo wimbo unaouimba kila siku watanzania wamechoka. Kama hii ni campaign ya urais, pindisha, waambie watanzania utawafanyia nini ukisha upata urais. Magufuli hayupo tena, Wazungu hawawezi kukusaidia nafikiri na wawo wamechoka. Punguza hasira, hazikusaidii zitakuuwa. Wewe ni mtu aina gani. Kugombana na mtu ameisha kufa inakusaidia nini. Unaongea mambo bila ushahidi. Marekani wamempiga marufuku MAKONDA kuingia Marekani, kwani kuna nini Marekani? Mbona wewe ulienda na ukapakimbia? Marekani kitu gani? Hakuna wauwaji kama Marekani. HUNA haya wewe musomi kuisifu Marekani, KAMA kuna nchi imeleta shida duniani kote ni AMERICA. Tundu Lissu wewe hafai kabisa kuwa kiongozi wa nchi yeyote Africa. You are a PUPPET

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 2 дні тому

    Shukuru Mungu you still alive,saa nane,yupo wap,azori gwanda. 😢samehe tu muachie Mungu ameshaanza kulipa kisasi

  • @simonsangu6040
    @simonsangu6040 2 дні тому

    Huna llote ww....usitupeleke unavyotaka..acha tujitafte wnyewe

  • @hamzaabdallah8637
    @hamzaabdallah8637 2 дні тому

    Yaani Muda wote mnaishi kwenye visasi, uongo, visa ,chuki , mnadhani hiyo ndo siasa? Yaani Kila siku ni kuleta uchochezi na chuki na vurugu. Tumewachoka sana siasa hamuiwezi .
    Kama unawajua wataje, pia Suala hili ni lako binafsi usilihusishe na Chadema.
    Halafu wewe ACHA kumtaja Magufuli wetu ACHA apumzike

  • @AbelCharles-co6qb
    @AbelCharles-co6qb 2 дні тому

    Yani ww wangekumaliza2.....ukitaka kutuletea ushoga nchini

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 2 дні тому +1

    Lissu, you are a good story teller andaa movie moja hivi maana upo vizuri kwa stori

  • @hazratseleharuna.6141
    @hazratseleharuna.6141 2 дні тому

    Ipo siku haki itapatkana Inshallah, people's power, taratibu tu watanzania wataanza kujitambua, mschoke kutusemea nyie mlioko huko juu, wakabeni mpaka penalty itafahamika tu.

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 2 дні тому

    huyu jamaa naye fala kweli !
    yaani toka mwaka 2017 kila siku ni kueleza upuuzi utadhani wewe ni dhahabu pumbavu zako ?
    walikufa Mitume na Manabii utakua we mbuzi ?
    kwani utaishi milele unadhani ?
    hayo yalishapita fanya mambo mengine kima wewe ?😏

  • @faridisalehe4302
    @faridisalehe4302 2 дні тому

    Pole sana Tundu kiongozi mkweli, madilifu na mtu ambaye ungeweza kuunda Tz mpya na WaTz wapya ambao ni wenye elimu, uelewa wenye tija. Mungu akulinde,akupe afya njema, uhai mrefu n.k. WaTz wengi wa sasa ni mtihani mkubwa, maana hamna elimu, uelewa goi goi n.k.

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 2 дні тому

    Makonda jembe letu. Piga kazi mzee baba. Wasikutoe kwenye reli wanasiasa hawa ndani ya Ccm na nje ya ccm.

  • @EarDrummer-r3u
    @EarDrummer-r3u 2 дні тому

    Na aliyepanga kaenda zake mlengwa kapona anasimulia....Mungu wetu mkubwa sanaa🙏🏿

  • @weahfeint3406
    @weahfeint3406 2 дні тому

    Yote tisa, kumi ni kwamba mnadhank wapinzani kua na maneno mengi wakikabidhiwa nchi itaenda kama mnavyotaka ila ukweli nikwamba uongoz hautaki mbwembwe za porojoporojo nyingi

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 2 дні тому

    lissu katika vitabu vya mungu wanasema samehe Mzee wangu tugange ya jayo na bahat mbaya kiongozi unayemshutumu sana ametangulia mbele yake Sasa wakati wa kushikaman na kujenga nchi Mzee wangu tujifunze kusamehe na tujenge Inchi yetu Mzee kama mtanzania mzalendo .niombe makonda amefana sana kwenye nafasi yake ya mkuu wa mkoa na anafanya vizur zaidi na Arusha imekaa sawa now mwacheni jemedaki poul makonda aendelee na kazi niseme Mzee mambo yake yalipita tugange yajayo mwanasiasa botra Huwa Huwa anasamehe na kuganga ya jayo

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 2 дні тому

    Bashitee moja ya watawala wa ovyoo vijana nimewai kuwashuhudia ni bashite mkuu wa mkoa arusha,anajikosha na mwamposa ,ipo siku moja tu tutamamliza💪💪

  • @ElizabethMagang
    @ElizabethMagang День тому

    kwamba tundu lisu ninan hadi tumwamini kila analosema!!

  • @InotiPapayai
    @InotiPapayai День тому

    Yan inaonekana 2 sio sis watanzania tulio mchagua samia.
    Mda wake 2 ishe atoke uuu
    Tumechoka kwa kweli

  • @fidahusseinkassim9778
    @fidahusseinkassim9778 День тому

    Hiyo ulishatusimulia,vipi kuhusu Marehem Medi

  • @morandraymond3169
    @morandraymond3169 2 дні тому

    Kwanini asifungue kesi yeye si mwasheria au ndiyo anataka huruma ya wananchi sisi atumchagui mtu eti kwakuwa alishambuliwa pili dereva wake yupo wapi mbona akuumia?

  • @PaschalCharlesLunemhya
    @PaschalCharlesLunemhya 2 дні тому

    Mwanasiasa Hana tofauti na mzungu, wakumwamini ni marehemu pekee maana tunawaamini Kisha mnatugeuka mkisha para pasenti zenu! Shukuru Mungu ikiwa back uko hai.

  • @Trendingnewstubes
    @Trendingnewstubes 2 дні тому +1

    Kwa hiyo Task force ya Tanzania wanapigaga risasi 16,kwa target moja?, wadukuzi wa tz ndio wako hivyo kweli

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 2 дні тому

    najiuliza tu kama mtanzania mwenye akiri timamu, mtu yoyote had akufanyie ubaya lazima kuwe na sababu, unajaribu kuipinga nchi kwenye vita ya uchumi we nani labda?

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 2 дні тому

    Makonda alizuiliwa marekani sababu ya kupinga ushoga vikali, alizuiliwa zamani sana kabla ya lissu kupigwa risasi.

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 2 дні тому

    Wewe nawe tumekuchoka kila siku magufuli magufuli huna king kingine cha kufanya

  • @WilleLonard
    @WilleLonard 2 дні тому

    Safi sana jemedar lisu hii nchi ya wauaji lakin Wana vaa ngozi ya ulokole.

  • @EsterJoel-i7i
    @EsterJoel-i7i 2 дні тому

    Utahangaika sana waliokujeruhi wanaweza kuwa haohao machadema yako

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 дні тому

    Bado uwe makin mana mama amesema kuwa amewaita mrud nchin mjenge nchi lakn mama akasema nmeanza kuota mikia,!!! Xo be careful!!!

  • @torresally1913
    @torresally1913 День тому

    Unaongea sana ww ila chadema kuitawala hii nchi bado sana

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 2 дні тому

    Walizani hawata julikana bt now wameshaa julikanaa hahahhaha kwa mm nikishaa wajuaga tangia kipindi kileeee bt now mamboo hadharani

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 2 дні тому

    BOYCOTT
    TIGO NETWORK
    KATAA KUTUMIA MTANDAO WA TIGO
    HAUTUNZI SIRI NA TAARIFA ZA WATEJA WAKE

  • @JojoJoji-h8g
    @JojoJoji-h8g 2 дні тому

    Tuombe sana Mungu jambo kama hli lisawahi kufanya jambo baya kama hili ata kama tuko tofauti kimtazamo kisiasa

  • @DavidOywa-eg2rk
    @DavidOywa-eg2rk 2 дні тому

    sasa kiongonzi mbona agenda Yako ni ile ile tu ya kupigwa risasi.mwamba kashatangulia we pambana na waliohai .sio kila siku kumshtumu mwamba

  • @geofreymgeni2668
    @geofreymgeni2668 2 дні тому

    Nakumbuka lisu
    Alikuwa wakili wa kesi iliyo pelekea ndege moja ya tanzania kukamatwa Canada, ndo magu alimuita kama msaliti na ndo maana alimiminiwa lisasi

  • @sospeternyakutaba949
    @sospeternyakutaba949 2 дні тому

    Sema yote ila usimwongolee mwamba wetu Magufuli

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 дні тому

    WAZUNGU HAWANA RAFIKI WA KUDUMU!!, MISSION YAO IKIISHA AU IKIKWAMA UNAKULA YA USO , BORA TUKALIME TU..

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 2 дні тому

    Haka ka story kana sisimua mjue 😂😂😂 hasa mwa wanao sikiza na 👂 phone 😂😂😊

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 дні тому

    Duniani hapa tunapita kweliiii kuna watu wanafikiiiiii sanaaaaa watakufa vibaya sana watakufa midomo wazi makonda anajifanya anasali sana mtu wa mungu kwa baba mwamposa mtume anasali sana adi makamasi na machozi kumbe mtu mubaya sana anaweza kuua mtu kusimamia mauajiiii sababu ya maslahi tu cheo na pesa eeeh kweli viongozi ni matumbo yao tu

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 День тому

    Nyie wajinga mbona mnakatakata

  • @RechaelEasily
    @RechaelEasily 2 дні тому

    Pigwaaaaaaaa alaha hyo ndio faida ya watu wenye mdomo mdomo

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 2 дні тому

    Hii ni vita ya wakubwaaaaaaaaaa wewe kaa chonjoooooooo 😂😂😂😂

  • @JoackimKavaya
    @JoackimKavaya 2 дні тому

    Antipas lisuu tunamtaka awe raisi wetu tunamkubali

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 2 дні тому

    Siku zako bado zinahesabika Mh...Lissu

  • @DenisFelician
    @DenisFelician 2 дні тому

    Nyinyi ndo mumemuua Raisi Magufuli

  • @shikuhata
    @shikuhata 2 дні тому

    Chezeeni akili za wachache ila wanaojielewa wanaelewa tuu

  • @voicdesition897
    @voicdesition897 2 дні тому

    Unachosema lissu inawezekana ni kweli ila kwa chadema na huu muda kawaida sana kuwasikia hivi

  • @AshaChibakuli-l2c
    @AshaChibakuli-l2c 2 дні тому

    Mm naamini ao vijana ndio watu wanateseka sana katika mioyo Yao wametumika kijinga na kwenye ujinga

  • @renatusjeremiah
    @renatusjeremiah 2 дні тому

    Chacha wangwe aliuliwa na nani twambie kama ww ni mkamilifu na mkweli

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 2 дні тому

    Huna lolote kila siku magufuli wewe faraaa kweli

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu 2 дні тому

    Pole sana lisu mungu atakulinda ktk maisha yako

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 2 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂 huyu ndio anataka kiwa raisi wa Tz duuuh na mimi nitagombea

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 2 дні тому

    Malekani akafanye nini yeye sio mbwa wa wazungu

  • @KekeRose-yj6re
    @KekeRose-yj6re 2 дні тому +10

    Ila miladi naomba nikufollow umeacha uchawa saiv. Unapost habar zote❤

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 2 дні тому

    Mungu ni mungu tu. Hakika mungu husmama na wenye haki

  • @erickleonard8162
    @erickleonard8162 2 дні тому

    Naona makonda amemwaga machawa wake kumtetea.

  • @allyhassan6794
    @allyhassan6794 2 дні тому

    Me hata sikuelew mjinga wew

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 дні тому +4

    Hizi hadisi si zishasimuliwa jamani au ndo maandamano yamerudisha nyuma mambo?

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 2 дні тому

    Utasikia mama anasema ni dramadrama

  • @YahyaLai-xz9bs
    @YahyaLai-xz9bs 2 дні тому

    Lisu we ndo rais achana na vijana wa ccm

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 2 дні тому

    Hata wajinga nao wanazeeka😂😂

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 2 дні тому

    Mmmh mungu n mkubwa aiseeee

  • @MrutaJusto
    @MrutaJusto 2 дні тому

    Tuache bana hina cha kutuambia

  • @DenisFelician
    @DenisFelician 2 дні тому

    Kwanini hukkufa kuma wewe

  • @FelixSikanyika-r2h
    @FelixSikanyika-r2h День тому

    Utalipwa namungu baba

  • @edgarjoseph5573
    @edgarjoseph5573 2 дні тому +7

    Hii Tanzania Ina vijana wa hovyo sana haijawahi kutokea, Yaani maovu YOTE haya yanayotokea na ushahidi wanao ila kama hawaoni, inasikitisha sana.... Comment zao zakipumbavu kabisa

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 2 дні тому

    Mzee wa kutembea na upepo🚮🚮

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 2 дні тому

    Unakata vipande vipande

  • @SAMAMBIRE
    @SAMAMBIRE 2 дні тому +2

    Acha shobo kijana, shukuru kuwa mzima

  • @CRAVERYMUYAMBA
    @CRAVERYMUYAMBA 2 дні тому

    Na walomteka Roma vp mbona kimya

  • @JoshuaMwanilwa
    @JoshuaMwanilwa 2 дні тому

    Kwel kabisa duu

  • @BillMesso
    @BillMesso 2 дні тому

    SAMIA MPAKA 2040..

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 дні тому

    Pole sana mjomba 😢