PICHA ZA DIDDY ZAVUJA, VIDEO ZA JUSTIN BIEBER NA KHLOE KARDASHIAN ZA-TREND HUKU KESI IKIENDELEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @subo2667
    @subo2667 4 місяці тому +127

    Kijana mwenzangu,, Ridhika na uhai inatosha,
    Mungu ataleta sawasawa na atakavyo yeye,,
    Matajiri wengi wanaishi kwa shida sana

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 4 місяці тому +478

    Vijana haya maisha bila Yesu ni uharibifu

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 4 місяці тому +245

    Usitamani pesa au mafanikio ya mtu kwenye dunia hii.

  • @WayonaWayona
    @WayonaWayona 4 місяці тому +247

    Jamani tumrudie muumba wetu bado hatujachelewa😢😢

  • @MalikiHuseni-f8d
    @MalikiHuseni-f8d 4 місяці тому +38

    Jamani tumuogope Allah kunakufa sikuzinazidi kwenda lakiniwatunowanazama baadaya kushtuka Allah atuongoze kwenyenjiayake aaaaamiyn

  • @sarahkileo7139
    @sarahkileo7139 4 місяці тому +17

    Neno la Mungu linatuonya kuwa, " Usitamani Mali ya jirani yako" Mungu alijua Kuna mambo kama haya...Bora uombe Mungu akupe vyakwako Kwa njia zake mwenyewe sio Kwa njia ya tamaa.

  • @injilitv3104
    @injilitv3104 4 місяці тому +124

    Yesu Kristo ndiye njia ya Kweli na Uzima

    • @Drsilo-v5k
      @Drsilo-v5k 4 місяці тому +6

      Hawo wote wana muabudu yesu wenu HIYO UNAITANGAZA NDO DINI YA DIDI uslamu ndo DINI ILOKATAZA VIKALI AYO MAMBO MABAYA

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 4 місяці тому

      ​@@Drsilo-v5k😂😂😂😂😂

    • @florarose1626
      @florarose1626 4 місяці тому +2

      @@Drsilo-v5knawapo waislam wanaofanya ivo pia so I don’t even know why you’re shouting about.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 4 місяці тому

      ​@@florarose1626tofautisha kati ya waislamu na uislamu,uislamu umekataza muislam akifanya ni uovu wake mwenyewe

    • @Drsilo-v5k
      @Drsilo-v5k 4 місяці тому

      @@florarose1626 wapo wengi sanaa ila ww shda hujui njama na malengo ya dini yako
      Ila ushajua na mbele apo utajua kwnn ukaazishwa ukiristo

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 4 місяці тому +4

    Itakufaaa nini ukiupwta huu ulimwengu wote ,ukakosa uzima wa milele.Yesu Kristo ni njia ya kweli na uzima

  • @maramegamahega1991
    @maramegamahega1991 4 місяці тому +13

    Mafanikio ya mtu ni siri 😢😢😢😢😢 tuache tamaaaa😢😢😢

  • @aurathandrew1959
    @aurathandrew1959 4 місяці тому +123

    Sura na matendo aviendani silious vijana tukazane kusali na tuwe n hofu ya Mungu atujachelewa kabisa

    • @NaftalMungure
      @NaftalMungure 4 місяці тому

      Hana matendo yeyote mabaya. Ni figisu za wazungu wanatupa kwa watu weusi nanyi mnakua wachochez zaidi wa weusi wenzenu.

    • @SelentinoFrank
      @SelentinoFrank 4 місяці тому +1

      Hello mzm ww

    • @SelentinoFrank
      @SelentinoFrank 4 місяці тому

      Vp

    • @aurathandrew1959
      @aurathandrew1959 4 місяці тому +1

      @@NaftalMungure are you sure?

    • @deborakamsi
      @deborakamsi 4 місяці тому

      Kabisa watu wamrudilie Mungu bado mapema

  • @VaiEliass
    @VaiEliass 4 місяці тому +7

    Mungu nikomboe Mimi kwenye njia za shetani dunia imefika mwisho

  • @Jurbeg
    @Jurbeg 4 місяці тому +10

    Maisha bila Mungu alie hai nimbaya mno 😢

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 4 місяці тому +16

    Diddy sura ka mbuzi
    Swekaaa ndan kbsaaaa kenge blue hyooo😢😢😢😢kaniharbia Justin barber wangu❤

  • @BarakaSenior
    @BarakaSenior 4 місяці тому +155

    Satan alikuja kuua, kuiba na kudestroy, tumkubali Yesu kama mwokozi wa maisha yetu.

  • @Shadadihamis25
    @Shadadihamis25 4 місяці тому +41

    Kuna mzito yanaendelea hata bongo kuliko hapo ya Didy sema propaganda inamtafuna jamaa kila mtu anamuona kama shetani lakin hapa hapa bongo kuna sehem chafu kuliko hata huko

  • @ElizabethPhilimon
    @ElizabethPhilimon 3 місяці тому +1

    Maisha ya sasa bila yesu hakika ni buree ,Mungu tulindie vizazi vyetu 😢😢😢

  • @saiddimarley8445
    @saiddimarley8445 4 місяці тому +16

    Wasani ni wajumbe wa Shetani Duniani hilo tunalijua ndo maana hatuwezi shanga kuwaona wakifanya maajabu

  • @charleslulandalah9785
    @charleslulandalah9785 4 місяці тому +13

    Eeee Mungu tulindie alikiba wetu

  • @pendo8082
    @pendo8082 4 місяці тому +14

    Hapana kwakweli jamani pesa hizi duh usitamani pesa za haraka 😮😮😮😮

  • @DJINNOSSBTZ
    @DJINNOSSBTZ 4 місяці тому +2

    Ila milard unaweka vitu vizur sana noma🤝💯

  • @ElzaMungure
    @ElzaMungure 4 місяці тому +25

    Unamkut mwanaume tajir tu kumbe p Diddy kashafanya yke😂😂😂😂

    • @PhilipoLeonard-q5w
      @PhilipoLeonard-q5w 4 місяці тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ElzaMungure
      @ElzaMungure 4 місяці тому +1

      @@PhilipoLeonard-q5w p Diddy bwan 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @justinkahongya
    @justinkahongya 4 місяці тому +2

    Mungu ndiye anapeana vyote

  • @mwanaidimbarazi5124
    @mwanaidimbarazi5124 4 місяці тому +32

    Usitaman Cha mtuu katika Kila mafanikio ya mtu Kuna painfull story

  • @NuruLutembeja-h1r
    @NuruLutembeja-h1r 4 місяці тому +2

    Kijana mwenzangu,tufanye kazi halali kwa bidii ili tuwe huru katika matumizi sahihi yanayoleta heshima katika maisha yetu kulingana na mila na tamaduni zetu za kiafrika na Tanzania pia.Tamaa ni mbaya sana sana,hasa ikikupatia matokeo chanya ya muda mfupi na mwisho inakufedhehesha katika jamii yako.TAFAKARI CHUKUA HATUA.

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 4 місяці тому +14

    Kuna Mambo yanataka kuchunga Sana, Kia's kwamba istokee hata shutuma ya kuyafanya, maana ikitokezea japo shutma TU, basi shida INAKUWA KUBWA na ndo kinachotokea, inawezekqna ukajikataza kuamini yasemwayo ila lazma Kuna asilimia flani hivi una Anza kubadilisha fikra kwa ajili ya shutma TU.
    Tumuombe Sana M/mungu atulinde sisi na vizazi vyetu.

  • @everleenjuma1882
    @everleenjuma1882 4 місяці тому

    Ukiona hivi,p Diddy ameamua kumurudia mwenyezi Mungu,ndiposa anapigwa vita na nguvi za giza,, Glory to God Almighty 🙏

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 4 місяці тому

      Mh! Ushahidi upo? Au na wewe unajiongelesha tu

  • @HamidaMkwizu
    @HamidaMkwizu 4 місяці тому +76

    Huyu naona mkataba wake na shetani umefika mwisho maana ameyafanya haya miaka mingi je hayakujulikana?ni mtihani

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 4 місяці тому +4

      Alafu wote hao waclalqmke au hata kujdhuru kwel 😢

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 4 місяці тому +4

      True dat huwez kudum na jambo km ilo kwa mda wote huo afu astokee ata raia 1 akalalamika na istoshe gvt 🌎 nyngi za mambele zinasapot huo ushuz sa inakuaje wamkamate kipind hiki na huyo ni Diddy mtu maaruf tujiulize kuna ma DIDDY wangp wanaendleza hilo game!??

    • @HidayaWilley
      @HidayaWilley 4 місяці тому +1

      Kabisa yan kaanza muda mrefu sana mungu amemchoka

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 4 місяці тому

      Iko ivo

    • @Vevo-jr
      @Vevo-jr 4 місяці тому +1

      Inawezekan

  • @Shakira-Nb
    @Shakira-Nb 4 місяці тому

    Dah vijana wanadhalilika hivi kisa pesa ni huzuni kwa vitu ambavyo unkufa dakika moja unaviacha Allah nipe moyo wa kuridhika n nnachokipata kwa jasho langu inshaallah

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 4 місяці тому +2

    Mungu tusaidie mana unatamani kuwa maarufu impact ndo hizi

  • @EdwinTanganyika-r4f
    @EdwinTanganyika-r4f 3 місяці тому +2

    Jmn kuwen makin mcje mkauponza kama mond😮

  • @Niabebewamor413
    @Niabebewamor413 4 місяці тому +68

    Jamaa anatrend dunia nzima kudadeki😂😂😂😂p diddy😂😂

  • @saidrashid835
    @saidrashid835 4 місяці тому +1

    Hapa kwenye sayari ya Dunia Maisha bila Imani ya kiroho ya kumjua Allah ni Ucheza Tu..

  • @DanielMangoni-t1g
    @DanielMangoni-t1g 4 місяці тому +4

    Mm wa kwaza Leo kukoment like❤

  • @anfrashadvertiser4801
    @anfrashadvertiser4801 4 місяці тому +1

    JAMANI WALE WA WASAFI MEDIA MBONA HAWAJZUNGUMZIA kiukweli Millard Ayo your the best

  • @trendings1293
    @trendings1293 4 місяці тому +4

    So sad media zinatulea issue ambazo hatuna kinachotuhusu,kuna mambo ya utekaji but hawazingatii kamaa huu upuuzi

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 4 місяці тому

      Media zinashabikia upumbavu yaani

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 4 місяці тому +1

      @@davidsika5292 wabongo ni wanafiki sana hayo mambo si ya kuyapa kipaumbele ki ivyo!!

    • @emanuelsamwel999
      @emanuelsamwel999 4 місяці тому

      Nyie mnatosha mkileta

  • @RabiaSeif-j6n
    @RabiaSeif-j6n 3 місяці тому

    Naweza nikawa tofauti na dunia ila ndani ya hiii Case there is a lot of issues I can't judge anyone in here 😓😓😓

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 4 місяці тому +4

    Dah huyu jamaa noma huwa sishuliki na trend za wassnii ila hii kiboko😢😂😂😂

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂 imekupig uson ee

    • @kakundejackson8666
      @kakundejackson8666 4 місяці тому +1

      Huyu zaidi ya kiboko

    • @Zuuh107
      @Zuuh107 4 місяці тому

      @@faidhamyovela179 sana😢😭😂

    • @Zuuh107
      @Zuuh107 4 місяці тому

      @@kakundejackson8666 wamfichia siri sana huyu jamaa

  • @HappyLazaro-o5h
    @HappyLazaro-o5h 4 місяці тому +2

    Duuuh noma sana

  • @khelefsalum3803
    @khelefsalum3803 4 місяці тому +8

    Kwani hayo si mambo wanayo yapenda wazungu sasa mbona imewaumiza tena nawao kila siku wanataka wanaume waowane vipi tena

    • @MadinaAbduKyabazinga
      @MadinaAbduKyabazinga 4 місяці тому

      iyo sio kesi inayomkabili didy kesi inayomkabili n kunyanyasa wanawake na mengineyo

    • @AthumaniAlly-t7x
      @AthumaniAlly-t7x 4 місяці тому

      Hata mm nimejiuliza kitu hiki kwann wamvalie njuga wakat wao wanaruhus mambo haya

    • @LoxJuma-r8u
      @LoxJuma-r8u 3 місяці тому

      Ata mm nashangaa Hawa wazungu wanasema nihaki ya binadam Sasa iweje Leo dd wawatu wamsumbue ivy wa haki za binadamu wako wapi

  • @shalemu
    @shalemu 4 місяці тому

    Inalilah wainalilah rajiun Allah atusamehe wasanii sio kioo cha jamii tena

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 4 місяці тому +20

    Tujifunze kuridhika na kumshukuru Mungu. Kwa kila anachokiruhusu tukipate.

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 4 місяці тому +2

      Duniani hutakiwi kuridhika, hicho ni chanzo cha umasikini kwa watu weusi wengi hasa waafrika, kinachotakiwa ni kupambania kombe kihalali mbaka mwisho

    • @ce-08
      @ce-08 4 місяці тому +3

      Sasa tukiridhika unahis tutatafuta kweli sema tutafute kwa njia ambazo znampendez Mungu kwa wenye Iman za dini zao na njia zinazofata utu

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 4 місяці тому

      @@ce-08 watu wengi bongo wanapenda kauli za kuwa chini yani kama vile Mungu anatuambia eti tubaki chini hapana, Mungu kakupa uwezo wa kufanya kazi na kutumia akili ni wewe maamuzi Yako ukiwa mvivu utakimbilia kwenye kauli kama hizo za kuridhika

    • @SummymaddyMaddy
      @SummymaddyMaddy 4 місяці тому

      Hakika

    • @priyabrown2088
      @priyabrown2088 4 місяці тому

      ❤​@@Oldskulgemini9991

  • @AishaHaji-x2g
    @AishaHaji-x2g 4 місяці тому

    Mungu amlani zaidi

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 4 місяці тому +36

    ILLUMINATI wameamua kumfedhehesha Diddy kwa mtindo huu.Hao wengine walichofanyiwa wasimlaumu mtu bali wenyewe na viherehere vyao vya kutaka 'ukubwa wa mapito'.

    • @JoyceKikome
      @JoyceKikome 4 місяці тому +1

      Umewaza kama mm

    • @JujuGurugu04
      @JujuGurugu04 4 місяці тому +2

      Mature person

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 4 місяці тому +3

      Ukiona hvo weshamaliza matumizi na yy au yy ameanza kukataa mashart yao

    • @mweyoms5548
      @mweyoms5548 4 місяці тому +1

      @@fettiemaganza1484 Haswaaa!! Kama walivyomuondoa Michael Jackson na Bob Marley

    • @jimmyjaphet136
      @jimmyjaphet136 4 місяці тому +5

      This thing wameplan tu kuupromote mapenzi ya jinsia moja but wametumia njia hiyo kucreat awareness kwa dunia brothers

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 місяці тому

    Subhana llah 😢😢😢😢

  • @AminaSanga-wf8tq
    @AminaSanga-wf8tq 4 місяці тому +41

    Mko bize na kina didy wakati hatujui kesi ya kinanondo imeishia wapi

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 4 місяці тому +1

      Wame hukumiwa miaka30 jela km sijakosea

    • @DenisDonat-lg4gh
      @DenisDonat-lg4gh 4 місяці тому

      SIO KWERI
      ​@@ireneshao7950

    • @creedjey
      @creedjey 4 місяці тому +3

      Ata wewe ukifuatilia inatosha, kwan habari zote za leo wewe umefuatilia

    • @kshayofurniture2941
      @kshayofurniture2941 4 місяці тому

      We kama unataka c ukasikilize DW

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 4 місяці тому +1

      hiyo inakuhusu wewe na akina nondo bwana usitupangie maisha

  • @BrownMichaelsikila
    @BrownMichaelsikila 4 місяці тому

    kumeanza kuchangamka sasa wakuuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @coolvoices6608
    @coolvoices6608 4 місяці тому +4

    1. Pombe inasababisha maovu
    2. Uzinzi unasababisha magonjwa
    3. Uwizi ni dhulma kwa wengne na husababisha chuki
    4. Uchawi na matumizi ya nguvu za giza ni kukosa imani kwa Mungu. Husababisha mauaji, kutesa wengne na kuwanyanyasa
    5. Uongozi wa tamaa husababisha uchumi kuzorota
    Uislamu ni dini inayokemea maovu na kuwaita watu kumuamini Mungu Mmoja na kuwahakikishia waumini wake kuwa maisha ya dunia ni mapito tu kuelekea katika uwanja wa hukumu ya yote tunayoyatenda duniani. Mwishowe ni moto au pepo.

    • @ZabronMagufwa
      @ZabronMagufwa 4 місяці тому

      Kuna dini mbili duniani ya Mungu na Shetani.
      Na dini ya Mungu tunaipata kupitia manabii na mitume wa Mungu.
      Na mitume wa Mungu hawapingani,ktk amri kumi, angalia amri ya nne kweny Quran,je ni sawa na ya Musa kweny torati? Basi jua lolote linaweza kuwa kinyume na Mungu na mwanadamu asitambue Kwa maana shetani anaingiza matendo ya YESU

  • @keen_master-ib7nt
    @keen_master-ib7nt 4 місяці тому +2

    Pesa n kitu kibaya wenzangu na mtu hyo anafaa kufungwa maisha
    😥😥😥

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 4 місяці тому +26

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah wakristo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana wakristo msiokua na akili mkiambiwa ukweli mnatapatapa huo ni msibaa mkubwa hayo ni malipo hapa hapa duniani mwafrica akiwa
    Na pesa hiyo ndiyo kibry alhaamdulilaah najivunia kuwa mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam mambo kama hayo unamuogopa mungu alhaamdulilaah

    • @NadhiraHashimu-wk8vc
      @NadhiraHashimu-wk8vc 4 місяці тому +1

      Alhamdulilah

    • @AshaJames-m4b
      @AshaJames-m4b 4 місяці тому +2

      Mwanzo naanza kusoma coment Yako nilijua nasoma coment ya mtu ambaye yupo smart kichwani mwishoni nikajilaum kumbe nipo nasoma coment ya kichaa sasa hapo ukristo umehusika vipi acha tu nikwambie usijidanganye kitakachokusaidia wewe ni amali zako ulizofanya hapa duniani na sio dini tena wewe mwenyewe hapo ulishamkosea mungu wewe ni nani mpka uhukum wenzako anyway mjinga mpe cheo hongera kuwa mwislam na uislam utakupeleka mbinguni mfyuuu wewe

    • @AshaJames-m4b
      @AshaJames-m4b 4 місяці тому +1

      Mwanzo naanza kusoma coment Yako nilijua nasoma coment ya mtu ambaye yupo smart kichwani mwishoni nikajilaum kumbe nipo nasoma coment ya kichaa sasa hapo ukristo umehusika vipi acha tu nikwambie usijidanganye kitakachokusaidia wewe ni amali zako ulizofanya hapa duniani na sio dini tena wewe mwenyewe hapo ulishamkosea mungu wewe ni nani mpka uhukum wenzako anyway mjinga mpe cheo hongera kuwa mwislam na uislam utakupeleka mbinguni mfyuuu wewe

    • @Moviesforyou-re8jh
      @Moviesforyou-re8jh 4 місяці тому

      Kwamba waislamu hawafanyi mambo mabaya acha kutudanganya bhn afu acha kuleta dini ambako hapahusiki. Tumia akili.

    • @priscapaulpaul6254
      @priscapaulpaul6254 4 місяці тому

      Kwamba nyie wakamilifu huyo mondi ni mkristo au

  • @giftkenga9382
    @giftkenga9382 4 місяці тому +1

    Jamani tumuogopeni huyu mungu..matendo hayo hayampendezi mungu kabisa..Dunia hii inaelekea wapi

  • @SEBASTIANIMAZIGO
    @SEBASTIANIMAZIGO 4 місяці тому +3

    Mmh huyu jamaa alikuwa anakula maisha

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp 4 місяці тому

      😂😂😂 yaani huyu alikuwa na pepo ya peke yake hapa duniani. Ila Haya maisha,ukijaaliwa kupata pesa nyingi. Basi omba sana m/Mungu Skype hekima na busara,ukivikosa hivyo lazimauje kutenda mambo ya ufuska. Kwa sababu starehe zote umezifanya ,Sasa inakuwa unatafuta starehe ambayo no aghalabu kuipata.

  • @OmarOmar-bg3bm
    @OmarOmar-bg3bm 4 місяці тому

    Dunia imefika mwisho tumurudie mungu wetu.

  • @jaywils1
    @jaywils1 4 місяці тому +4

    Aje bongo kwanza tumwone

  • @J约瑟夫·阿德森
    @J约瑟夫·阿德森 4 місяці тому

    Isijee kuwa chief God love kapitia Huku😂😂😂😂😂

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 4 місяці тому +4

    Did anaumbuka pengine anahitajika kutoa kafara kagoma😂 akitoa Tu hizi story watu tutasahau

  • @MariaKazimily
    @MariaKazimily 4 місяці тому

    Jamn 😂😂😂 🎉🎉 mond mke wa p didy tufanyie moja shelehe ya kidin kma hiy😂

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 4 місяці тому +4

    Tumechoka na habali za did midia mnapoteza mvuto

    • @israelj.luhondo6920
      @israelj.luhondo6920 4 місяці тому +2

      Sema umechoka wewe, usiweke wingi kwenye hamna 😂😂😂
      Uovu lazima ukemewe na uwekwe wazi, Mwisho wa ubaya ni aibu..... ache aaibike

    • @KemmyPrince-r4l
      @KemmyPrince-r4l 4 місяці тому +1

      Atujachokaaa

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 4 місяці тому +1

    😢😮😮😮😮😮hiy akil mnemb kaz hiy mbon ni saut ya bieber

  • @husseinhamis1428
    @husseinhamis1428 4 місяці тому +3

    sema hiyo ngoma ya Bieber ni kali

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 4 місяці тому

    Mwenyezi mungu amupiganiye Ddy

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 4 місяці тому +5

    Wale watu waliokuwa wanasikika wakisema ule msemo wao Tafuta hela, 😂 naona wamepotea kabisa mtandaoni

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 4 місяці тому +1

      Ndio tafuta hela kijana usipotafuta basi utatafutiwa ila itakubidi ugharamike kishundu icho

    • @mrishongwikwi6448
      @mrishongwikwi6448 4 місяці тому

      Pesa siyo kigezo cha kuuza utu wako kijana, Acha tamaa ridhika na ulichonacho​@@OmerSuley-gl7go

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 місяці тому

      😂😂

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 4 місяці тому

      @@OmerSuley-gl7go😂😂😂😂 enhe umenishinda tabia

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 4 місяці тому

    Bieber amekula fudu la Diddy😅😂😂 Duh inasikitisha kwa kwel😢😢😢😢😅

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 місяці тому +13

    Ao waliofanyiwa na p.didy wametaka wenyewe kwa tamaa zao za maisha na hao wote waliofanyana ni wafuasi wanao abudu shetani ni chama kimoja.huo mtandao mkubwa sasa mbona wanaofanya filamu za ngono porn video na kuna wasichana wadogo wanafanywa na zipo za makhanithi na wasagaji sasa mbona hawachukuliwi hatua z za azubu.hao wazungu wanalengo lao ubaguzi wa rangi

    • @HumphreyWilliams-xg3hb
      @HumphreyWilliams-xg3hb 4 місяці тому

      Ila kwenye azubu apo sasa😂

    • @sadahgullam8228
      @sadahgullam8228 4 місяці тому

      Hapana sio wote wametaka wenyewe kama justine alipelekwa na usher kwa diddy akiwa na miaka 13 akafanyiwa vitu vya ajabu

    • @asimweishengoma6866
      @asimweishengoma6866 4 місяці тому

      Inasemekana wengi walikuwa wakinyeshwa madawa kwenye vinywaji vya sherehe katika nyumba ya p diddy..so ni kusema kuungiliwa bila idhini yao

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 місяці тому

    Hapa Khloe alikuwa ana date na French Montana

  • @YumnaBurhan-q6h
    @YumnaBurhan-q6h 4 місяці тому +6

    Dunia imeshamkataa jamaa

  • @MarthaLungwa-sr4er
    @MarthaLungwa-sr4er 4 місяці тому

    Kwa kweli

  • @RobertBitambaOfficial
    @RobertBitambaOfficial 4 місяці тому +20

    Mshahara wa dhambi ni mauti

  • @MegomeBand-w8s
    @MegomeBand-w8s 4 місяці тому

    Tumwambie Mungu atusaidie sana kuepuka kufanya mambo ambayo ni machafu maana wakati umewadia wakuja mwana wa Mungu

  • @stylishgenius9886
    @stylishgenius9886 4 місяці тому +4

    Nlichogundua ddy kaunganishiwa kesi zisizo zake japo ualifu upo ila sokwakias kinachozungumziwa

  • @STARBORNHB
    @STARBORNHB 4 місяці тому +1

    P DIDY KAFAIDI SANA❤❤

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 4 місяці тому +3

    Watu wamefirwa jamn. Dah.
    Davido ndo mwamba pekee alikataa tuzo zake za kisenge ukiwa na ela huwezi firwa ki kuma kuma bana

    • @mrben227
      @mrben227 4 місяці тому

      😂😂😂nakubali

  • @elizabethmassawe694
    @elizabethmassawe694 4 місяці тому +1

    Mmhhh,,, akyamungu tunamkosea sanh mungu.baba wa mbinguni tunakuudhi kwa mengi lkn sisi wanakondoo wako hatukusikii basi kwa niaba tusamehe sanh baba wa mbinguni

  • @BenjaminTz-fg1lu
    @BenjaminTz-fg1lu 4 місяці тому +6

    Mond kaliwa

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 4 місяці тому

    Nahc hata ingekuwa mtanzania yoyote angekuwa na pesa nkuwez kualikwa part hizo tungefungwa wengi sana😢😢

  • @SalhaSuya
    @SalhaSuya 4 місяці тому +7

    Hawa ni freemason

  • @omarytajiry7913
    @omarytajiry7913 3 місяці тому

    Hizi picha 2003/2004 zilikua zikichapushwa kwenye magazeti ya KIU na Ijumaa pamoja na Uwazi ila nlikuwa hamzingatii

  • @salomeKihaga
    @salomeKihaga 4 місяці тому +3

    Mi naogopa nyinyi

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 4 місяці тому

    We are living in the end times surely everything will come back to light😢😢

    • @EBNSTAR
      @EBNSTAR 4 місяці тому

      Waoh waoh waoh Hongera kwa ufaham huo, and this is the time of light

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 4 місяці тому +10

    UWONGO, UBAGUZI WA RANGI NA EDITING TU HIZO WAAFRICA MSIPOKEE KILA MNACHOLETEWA NA HAWA MAJAMBAZI WEUPE

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 4 місяці тому +1

      picha ni kweli sasa wewe kwa nini amekamatwa

    • @NasmaYura
      @NasmaYura 4 місяці тому

      tupe ukwel basi

  • @fatmahmalick430
    @fatmahmalick430 4 місяці тому

    Nitakua tofauti kdg na wadau waliokoment....hii stry ipo based on speculations not fact yn hakuna uhalisia wowote zidi ya fununu na ku link yanayoendelea...uyo msichana kulala kuekewa matunda kwenye party hakumaanishi yanayozungumzwa juu ya pdid pia justin bieber hajadisclose chochote juuu ya hzo ishu za pdid...nadhani wabongo tutulie tuna hype sana hz strys na hatuna tulijuwalo

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 4 місяці тому +7

    Wanamuone tu waondio walioluhusu mapenzi ya jinsia moja mapaka mkuu wa makanisa yote dunia alibaki wasichokijua Nini kunakitu kimejificha nyumayake na wale waliofungandoa kanisani mbonakimya

    • @selector728
      @selector728 4 місяці тому

      Waliomruhusu sio waliomluhusu

  • @LoxJuma-r8u
    @LoxJuma-r8u 3 місяці тому

    Kunakitu nyuma ya ya ii kesi kunamengi masi ayo yakulawiti wanaume mn wazungu wanapenda sana ivi vitu nakusema ni haki yabinadam sasa iweje dd iwe ivi kunakitu kingine dd

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 4 місяці тому +3

    Na bado vijana mtafirwa sana kwa tamaa zenu za kipumbavu. Na msemo wenu wa kijinga eti tafuta hera. Kwa kujiona nyie ndio mnajua sana kutafuta hera kuliko wengine nyoooko

  • @fredrickmathias5155
    @fredrickmathias5155 4 місяці тому

    Na hofu juu ya wasaanii weusi waliopo malekani.......Kuna mangamizi zito linalo endelea juu ya awa ma top .artist ..cause from Michele Jackson, cobsy , R Kelly ..things went like what is happening to Diddy 😂😂😂 nani Kali sahau Sakata la mike Tyson it almost the same😂😂😂

  • @Crypto_tz
    @Crypto_tz 4 місяці тому +4

    Huu wimbo umetengenezwa AI

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 4 місяці тому

      Yap nilijua itakuwa AI- Artificial intelligence 😅😅😅😅😅

  • @RamadhanShaban-n2m
    @RamadhanShaban-n2m 4 місяці тому

    Polen sana walio fanyiwa mambo hayo

  • @fadhilmawazo9009
    @fadhilmawazo9009 4 місяці тому +6

    D-diomond pltnmz

    • @ce-08
      @ce-08 4 місяці тому +2

      Alaf na ww unajiona mwanaume Yan unakuwa km jike huna uhakika unaropoka nyinyi ndyo wanaume km mabint

  • @AluleaIssaAdrian
    @AluleaIssaAdrian 4 місяці тому

    Ayo 🔥🔥🔥

  • @KasongiMbogo
    @KasongiMbogo Місяць тому

    Kwel bro

  • @PrivaSamson
    @PrivaSamson 4 місяці тому +6

    Watu wametombwa ovyo ovyo

    • @EvaGlow-r3e
      @EvaGlow-r3e 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @chenge3223
      @chenge3223 4 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 4 місяці тому

      We kike ndo ana**@@+ na ni haki yke na km jamaa angedeel na wanawake hii isingekua habr....hapa ni mtu kamng'ata mbwa sio mbwa kamng'ata mtu

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 4 місяці тому

    Wanapenda sana maisha ya alaka vijana

  • @Drsilo-v5k
    @Drsilo-v5k 4 місяці тому +3

    KUENEA NA KUTUMIA SHERIA ZA KISLAM DUNIANI HAYA MAMBO YASENGETOKEA
    karibun kweny DINI ya haki

    • @shangwefisima54
      @shangwefisima54 4 місяці тому

      Ingekuwa dini ya haki Bob risk asingekuwa shoga maaarufu na ni muislamu pureee

    • @Drsilo-v5k
      @Drsilo-v5k 4 місяці тому +1

      @@shangwefisima54 SHERIA YA KIISLAM HAIJA SIMAMA INGESIMAMA HATA WW UNGENYOKA

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 4 місяці тому

      ​@@Drsilo-v5k😂😂😂😂😂😂😂

    • @Drsilo-v5k
      @Drsilo-v5k 4 місяці тому

      @@shangwefisima54 sheria ya kislam co kuwa muislam sheria yenyewe ifuatwe uyo bob wahukumiwe kiislam asengetokea bob mwengine

  • @pridetz9229
    @pridetz9229 4 місяці тому +1

    Mbona mnapenda kuPost Ujinga ujinga tu, kwamba #Ayo na @Ayo Tv mmekosa vitu vya maana vya kupost vya nchi yetu, kuna Barabara za vumbi uko Kigoma zinahitajika kupostiwa ila mmefocus kweny mambo yasiyosaidia kitu kwenye maendeleo ya 🇹🇿 Tanzania

  • @slicehamfrey3504
    @slicehamfrey3504 4 місяці тому

    Mungu tuhurumie

  • @ChazyGospel
    @ChazyGospel 4 місяці тому

    KAMA UNAAMINI MUNGU BADO ANAKUPENDA ANDIKA AMEN🙏 😢

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 місяці тому

    Yaani! Wanakutuma ufanye kama moja ya masharti alafu ukivunja masharti wanatumia hayo mambo kama ushahidi ili kukuangamiza😢

  • @TatuSelemani-n5r
    @TatuSelemani-n5r 4 місяці тому

    Tumwachie mungu😭😭

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 4 місяці тому

    nadhani watu wanatoka kwenye msingi wa maada, coz didy anashtakiwa na tatizo gani, sidhani kama kufanya part its an issue issue to sticky kwenye makosa anayoshtakiwa nayo, kingine tusiforce sheria za tanzania kuwa sheria za marekani and visa versa kivip ushoga marekani sio kosa ila kwetu sisi waafrika ni issue na sio jambo jema so tusimtuhumu sana kwa ushoga wake anaoufanya huko marekani coz ushogaa huko ni poa kabisa hao watu wangekuwa wameforciwa kufanya ushoga hapo kweli ni tatizo sasa hao wa kina bieber wametaka wenyewe kufanyiwa ushogaa alafu unamlaumu huyo didy tatizo hilo

    • @nuruismail8209
      @nuruismail8209 4 місяці тому

      Tatzo Ni kuwafanyia Bila ridhaa,na walikua watoto imagine Bieber alikua 15 na kufanyiwa hvyo na usher Raymond alikua 13 mm ndo nimefkiria hvy

  • @BonnyMasawe
    @BonnyMasawe 3 місяці тому

    Noma sana

  • @HappyBoniface-g5f
    @HappyBoniface-g5f 4 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅 ujamaa nimtu waajabu sanaaa