Anastacia Muema- Wewe ni Wangu (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 17 січ 2025
- Wimbo huu ukawe baraka kwa wote walio kwenye maisha ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia katika maisha ya ndoa takatifu.
Baraka za Mungu zikawe juu yenu.
Wimbo: Wewe ni wangu
Mwimbaji: Anastacia Muema
Mtunzi: Ray Ufunguo
Kinanda: Ray Ufunguo
Audio & Video: RAJO Productions
Liturgical Dance: ARUSHA ELITE DANCERS
#weddingsong #wimbowandoa/harusi #valentine
Wimbo huu ni kwa ajili ya wana ndoa wote na wale wote ambao wana ndoto ya kuwa kwenye ndoa. Walioshiriki kama bwana na bibi harusi kwenye wimbo huu wamefanya maigizo tu.
Mbarikiwe sana mpoendelea kutazama wimbo huu na mwenyezi Mungu alinde familia zote duniani nzima. Show Love by subscribing and sharing WIDELY. Nawapenda sana🥰🥰❤
Na Kwa taarifa Yako, waigizaji wooote wamefanya kazi Njema Kabisa na ya Ziada Hadi ikakaa real Kabisa... Keep up the good job and more love to all who contributed inc. Ray, my Friend "Bwana Harusi", Arusha Elite D and all... Ndoa Zote zizidi kubarikiwa na huu wimbo especially yangu. Pamoja Kabisa in this Princess🙏💪
Wonderful,may God bless you 🙏
Ata kama ni wimbo ambia mark hakuchangamka vizuri kama mzee mzima😂🤣it should look like real
The work is blessed. Be blessed too
Asante Sister ubarikiwe
Wow...!!!!
Nice song hakika hujawahi kufeli katika muziki, hujawahi kuniangusha kwakweli. Hongera sana my beloved dada anastacia.💞💕❣️
Asante sana Frank❤
Asante kwa kuniaminia😃😃
Nitajaribu tu polepole.🙏🙏
Hakika 🙋♀️ Nimebarikiwa sana na wimbo huu!
Hongera na Mungu akupe afya Njema Ili uendelee kutuletea mengi Mazuri
Amina🙏🙏
Unlbarikiwe sana🎉
What a Great Job Miss Anne..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏📯🎉
Thankyou so much Peter🙏🙏. Be blessed😊
Karibuni kwenye channel yangu ya pili. Kwenye hiyo channel nitawaletea matukio mbali mbali. Please support me. SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and COMMENT.👉👉ua-cam.com/video/GSmQt5JksC4/v-deo.html
Ahsante my dada, mungu azidi kukuinua ktk huduma yako, sauti tamu
Wanandoa wanaskia ujumbe kupitia hii kwaya jaman tueshmu ndoa takatfu
Ukihitaji kutumia WEWE NI WANGU kama SKIZA TUNE yako send SMS “SKIZA 5968707” to 811.
Hongera Sana Classmate.Sauti ya Malaika.
Anastasia,somo,more love❤️❤️
Skiza
Sijaelewa hapo unatumaje Dada Muhema?
A good song. I love it.
Wimbo mtamu sana .Huu wimbo utakubalika kenya Tanzania na wote ambao wanapenda nyimbo za catholic
AMINA🙏🙏🙏🙏
God bless you Anastacia , it is a very good song🔥🔥🔥🔥🔥
Thankyou so much Fr. Peter♥️♥️
This is dope👌 awesome piece
You nailed it.
Thankyou so much Sauti Tamu♥️
Amazing awwwwww 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 congrats girl finally my wedding song is here..sasa natafuta mtu 😂😂😂👏👏👏🥳🥳🥳🥳
Thanks alot dear!!🥰🥰🥰🥰
Huyo mtu na apatikane haraka iwezekanavyo.🤦♀️😅😅
@@anastaciamuema kabisa namsaka 😅
Jamaaani kazk safi Sana'a hoongera sana Anne na Rajo productions kwa kazi nzuriii aseee
Asante sana. Baraka za Mungu ziwe juu yenu.❤
Woo pongezi 🎓💫💫💝💞🎹🎹♩🎶🎵🎧🎤🎛🎺🎻📻📣📢 dada Ann kzi nzuri
Asante sana Roselyne🙏🙏🥰🥰
Kongole Tena mamaaaa. Wimbo uliotungwa kwenye mizani takatifu kweli kweli. Zidi kubarikiwa...
Amina! Tumshukuru Mungu kwa yote🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Onyisi Steve from Kenya, nishapata wimbo imebaki tu huyo wangu sasa 😊🤩😍, this is excellent
💕onyisi tufanye Ile kitu song isambae bro
😅😅😅😅
@@stephenooko9323 please share widely🙏🙏
😂😂😂🤣🤣
Nko hapa
Hongera sana Dada yani hii Dunia kuna RAY UFUNGUO MMOJA TU🙌🙌🙌🙌 Bravo and super @RAJO PRODUCTIONS🔥🔥🔥🔥🔥
Yaani haujakosea hata kidogo🙏🙏😊🥰. Ray please come here and see this good compliment!🤗🤗
Asante sana Anthony. Tunamshukuru Mungu kwa vipaji alivyotujalia. Ubarikiwe sana.
Ni Mungu aliyegawa vipaji. Tuzidi kumshukuru. Asante sana Anthony
Ann mimi sijui nitakufanyia nini ili tuweze kupongeza hii talanta nzuri ambao ulipewa na mwenyezi mungu na unitimiza kwa kuitumia vizuri but first let me just begin by praying for you my dear sauti ulipewa mno salimia raymond pia
Hahaha!!! Hata usiwaze sana rafiki yangu. Cha mno ni uniombee kwa Mungu anipe nguvu, afya na uwezo wa kuimba zaidi.
Shukran sana❤🙏
@@anastaciamuema Nyimbo nzuri🥰🥰 mungu azidi kukubariki
@@clarablantinakorir2426 asante sana mamii♥️♥️
I miss you🤦♀️☺️☺️
@@anastaciamuema Hope to See you soon dear❤️
Nothing to give you,only to pray God to bless for your talent and leave long life in the earth..
Wow...
This Song is Very sweet
Keep the gear Siz
#Lovely$!z🥰💯
Thankyou so much my dear brother❤❤❤❤❤❤❤
Wonderful one keep it up Anastasia
Thankyou so much Benedicta🙏🙏🥰
Kazi safi , sauti tamu, ujumbe bomba
Asante sana Mkulima Digital❤❤
Mungu niletee huyo Wangu Sasa nimengoja Kwa magoti miaka mingi
Amina🙏🙏🤓🤓
Utapata in Jesus name
Amazing... Uolewe sasa🤓🤓🤓
Asante.
😂😂😂😂
@@anastaciamuema 😂😂😂😂
I love it so much it doesn't seem like an act but looks like a real you and your husband. Good job keep it up my siz.
It’s acting.😃😃😃
Thankyou and be blessed!
It doesn't look like an act😂😂
Hongereni sana Anastacia, Ray, Miller na wote waliofanikisha kazi hii nzuri. Inapendeza sana
Asante sana Martin🙏🙏🥰🥰
Wimbo wakuimizana kwa mapenzi I love that song inanifanya nikumbuke my ex Claire aliye nipea penzi mwishowe akaniacha
Pole sana!🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
Hizo ni changamoto ambazo zipo, ukiona unaachwa jiachishe mwenyewe kabla mda wenyewe haujafika wa kuachwa
Excellent job, hongera dada Annastancis. 👏
Asante sana Patricia🙏🥰🥰
wow! congratulations 👏 my brother Mwalimu Mark na Anastasia Muema.
huyu Ni mfano Bora kwenu na pia kwetu Sisi. this is blessed song.
barikiwa Sana Ray Ufunguo Kwa Zawadi ya talanta yako.
Go go girl,🥰🥰🥰
We r proud of you....sweet song
Harusi ninayoooooo💖💖💖
Asante sana Hellen❤
Can't wait to sing this song on my wedding day 😂😂🙈imebaki huyo man sasa 😂🙈
Mungu na akupatie
Hongeren sana washiriki wote, Mungu akubariki Anne kwa kuendelea kutuletea kazi nzuri sana ya kuinjilisha
Asante sana mwalimu wangu❤
Asante kwa sapoti🙏😊
@@anastaciamuema Pamoja mamy
Kuchunguzana ni jambo jema kabula ya. Kuingia katika. Ndoa😂😂😂❤
Nzuri afu nzuri Tena congrats madam
Asante sana❤❤
Anastacia and Mark Miller ...... beautiful song there👏👏👏
Mungu aendelee kukubariki dada yangu asante sana kwa nyimbo nzuri 👏👏👏❤🌹😍🙏
Asante sana Julita. Ubarikiwe sana❤❤
Beautiful song💜💜😊
Thanks gal❤
Great piece in deed,i love everything about this song.
Keep scoring mumy 😊
Thankyou so much dear😊
Amazing song Anastasia Muema sijawahi kujjuta kusikiliza nyimbo zako👍
Amen🙏. Ubarikiwe sana mpendwa!
A very beautiful song and well done 👌❤️🔥🔥🔥
Keep blessing us with your good music girl💗🎵❤️
Thankyou so much baby girl🥰🥰♥️♥️
Congratulations Annie.. finally we're at 1.1M views....kazi safi 👊👏👏👏👏👏❤️❤️❤️❤️
Wimbo mzuri sana, Mungu akujalie mme bora toka kwa Mungu. Mimi ni shabiki yako sana. Ubarikiwe sana
🙏
I pray that I will have this song played on my wedding day as our exit song.
So God hear me🙏
Inapendaza ajabu. Zidi kutubariki kwa sauti tamu.
Asante sana🙏🙏🙏♥️♥️
Mungu awabariki sana kwa kazi nzur
Nmepata wimbo.......
Sasa Mungu acheze kaa yeye
Namesake nakuombea hili ombi Mungu akutumizie
This is wonderful Anne, keep it up x🙏
Thankyou so much Alloys❤
Anastacia, you have a very beautiful voice as always. very soothing music
Thankyou so much Janet🙏🙏🥰🥰
Mungu akupe maisha marefu yenye ku jaa furaha, amani na nehema zote unayohitaji kwa kumtangaza katika nyimbo tamu. Vit longtemps pour nous!
wow wow beautiful and very nice song siz anna mungu azidi kukuinua
Amina🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana kakangu❤
Barikiwa kazi poa
Congratulation my dear friend Anastacia.Uko vizuri dada.Mungu bariki kazi ya Dada yetu
Asante sana dada Eva🙏♥️
Safi Sana Anna.hongera Sana Kwa wimbo Mzuri.
Asante sana dadangu Despina.🙏🥰♥️♥️
Anna may God bless you
@@restitutadaniel6102 Amen. God bless you too
Nzuri tena zaidi! Hongera kwa kazi safi ya kumtumikia Mwenyezi Mungu.
Amina🙏🙏🥰🥰
Ubarikiwe sana Dennis🙏
Wao.Its a nice song.God bless You.
How I love love your songs.i usually listen continuously, repeat,repeat!what a talent. Anna you're going far. God bless you for blessing us withsongs. Tamu sana!tamu sana.
Asante sana Bridget. Asante sana kwa matamshi mema kwangu. Ubarikiwe mno dada yangu.🙏🥰🥰🥰
So touching 🔥🔥🔥🔥
Amen🙏♥️
Wow! Wow! Good job girl....go go go
Thanks alot Celestine ❤
Beautiful ❤️
Thankyou❤
Hongera saaana dada yetu....nimeupenda saaana
Asante sana my dear❤
Mungu akupe maisha marefu ana
Wimbo ni mzuri Sana,unanishawishi nianze kutafuta wangu wa maisha sasa
Mungu akutangulie!🙏
nimefurahi sana kubarikiwa kupitia huu wimbo
Sauti nzuri mbarikiwe,,,kazi safi Ufunguo
Asante sana na Ubarikiwe pia.🤗
Such a wonderful piece, i feels like wedding by listening to this cool piece, may the Lord bless u Dear Anastacia- My daily meal from Uganda. Big ups from my choir in Adjumani (CAC-Choir)
Thankyou so much Okudra🙏
Be blessed abundantly!😊
Wow! It's soooooo amazing Anne..Go! Go! Gal 🥰🥰🥰
Thankyou so much Moureen🙏🥰🥰
Wow congrats gal....nice song
Thankyou Christine🙏😍
Duru za kuaminika zinasema congratulations....the song is sooooo nice
Hahaha!
Asante sana dear❤
Tamuuu...
Asante sana Clem❤
Wooooow I'm the first 2 watch and 2 download...
Thankyou so much and be blessed🙏🥰
My best song ever and finally was played as walked down the aisle ❤❤
Wooow!! Congratulations 🎉❤
Congratulations 🎉🎉🎉❤❤❤
Wow!! Mungu anazidi kukuinua na kukupandisha viwango vya juu kila siku
May Almighty God grant you more wins
AMEN AMEN to this prayer. Be blessed Consalba.🙏🙏
@@anastaciamuema Amen dear ccy ur my role model nakupenda ❣️
Ann am closely following all your songs and i can say, you are doing alot of evangelising, na nengi niiw'a muyo noona ann witu aendeeye o nesa, keep up my sister😍🥰
Ni muvea muno Benedictus.
Baraka tele kwako.🤗🤗
Wooooow hadi nimempenda zaidi chaguo langu la moyo❤️
Aaaaawwww❤❤❤.
Asante sana my dear❤❤
Nitakuja kuperform kwa harusi yako for free😅😅
I play this song in my weeding day god bless my prayer 💐🌹🌷🌸🌿🍃☘️🌴🌲💮🌻🌾🍁🍂🍀🌵🌱🌼🏵️🌺🥀
Dada hakika we fundi wa kuimba katika nyimbo za mungu we umemaliza dahh nafurahi sana hata nikiamka usiku nasikiliza tu hii Ngoma duhh ray mmejaliwa sana tena sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎈🎈🎈
Asante sana Pius. Tumshukuru Mungu kwa yote.🙏🙏Ubarikiwe sana😊
@@anastaciamuema Amina sana jamn ubarikiwe na wewe
wow😍😍,Amazing song
Thankyou so much Sally🙏🙏🥰🥰♥️
Wimbo nishapata huyo sasa ndo amebaki..great song
NA MWENYEZI MUNGU ATUJALIE SOTE SACRAMENTI YA NDOA
Amina🙏🙏
@@anastaciamuema I'm
Wow...I really like your music..lazima nifanye harusi niimbee huu wimbo
Aaaawwww… may that come to pass!♥️
Awesome . You should sing at my wedding I love this song
I will sing for you.
Thankyou so much♥️
Very sweet...Amazing😍
Thankyou chairman🙏
Mimi napenda sana kuimba and one day l will come to Tanzania to sing with see you.🇺🇸🇺🇸 mungu akubariki sana dada Anastacia ❤️❤️
Asante sana Noella. Ubarikiwe sana❤
@@anastaciamuema Hongera mamaa, one day it will be in reality when others will sing to you. Keep on praying to God
@@anastaciamuema Actually I like your talent, keep it up
🙏🙏🙏🙏😅
Thankyou so much🙏
Saf sanaa kazi nzuri mungu azidi kukubariki
Amina🙏🙏
My girl at it again🥰🥰🥰
Thankyou so much❤
Congratulation Dadaetu kwa wimbo huoo Mungu akuzidishie Imani
If you talk of good music talk of Anastasia. pure talent keep it up
Aaaawwww😊. Thankyou so much Robert.😊
From wema wako then this one 🔥🔥🔥🔥you were born to do this
Aaawww❤❤❤. Thankyou so much Caroline🙏🙏🥰🥰
@@anastaciamuema Anytime dear...proud Catholic#proud choir member🙏🙏🙏❣️
Tunaomba ata sisi tufuke hapo tupate sacrament ya ndoa Kam wakatoloki
Asante anastacia kutuwekea dedication wanandoa ubarikiwe sana
Karibu sana! Mwenyezi Mungu abariki ndoa zote alizozianzisha yeye.🙏🙏🙏
Mtu Yuko tayari, wimbo ndio huu
Imebaki harusi takatifu.
Anastacia muema ndie atakuwa mgeni wa heshima apaform huu wimbo
Asante sana. Nitafika niperform😊😛
We celebrate the voice, message and the 'play'. The pianist I like and the director did his/her work. Great combination in the whole work, God bless you.
Aaaawwww🥰🥰🥰. Thanks for the compliment. Be blessed🙏
Abundant blessings upon you!
Jambo Landon sio jambo dogo ndoa inaitajita uvumimlivu ndio maana wazazi wetu waliweza kutulea wamevumilia mengi na sisi tuige mifanno kwao
Umenena kabisa
ii imeenda ii....blessed the guy who won the heart of this beutiful creature...nyimbo tamuuu
Sweet song may God give me my partner soon
Amen 🙏
Hongera dada wimbo mzuri Mungu akutie nguvu
Asante sana. Amina🙏
Mnipee huyo pianist
Congratulations My Sister. Keep Shining for the Lord
Amen brother. Be blessed🎉
Dada tumsifu yesu kristo
Milele Amina kaka
🎉🎉🎉🎉mungu akubariku vraiment très beaucoup sisi ba catholique tulisha furahi
🙏🙏🙏🌹🥰🥰🥰♥️👍AmenAmen👏👏👏
Amen🙏🙏
Novasongetwe....song ni nice I ipo siku itakuja kuskizwa kwangu
Amina🙏🙏