ARUSHA NI NGOMBE KUU YA WASAGAJI TANZANIA /WACHUNGAJI MASHOGA WATAJWA LIVE BILA WOGA "PASRT ONE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 674

  • @WilfredRweyemamu-rp5re
    @WilfredRweyemamu-rp5re 5 місяців тому +89

    Kati ya wazee wa kitanzania wanaozeeka vizuri Mwakyembe ni namba one.

  • @zitashio7920
    @zitashio7920 5 місяців тому +28

    Baba Mwakiembe tunakupenda ,tutakuombea,Mungu atakulinda,hujaogopa kuisema kweli na kukosoa upotofu uliofichwa na viongozi wa nchi, You're clean God is with you everytime.!

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 5 місяців тому +4

      Mbona haikemei serikali kwa kusuport huo ushoga

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g 5 місяців тому +2

      ​@@mohamedothman5792wao wenyewe mashoga na wasagaji. Mikataba mingi wameingia ya kishetani

    • @user-es4uf6gj7u
      @user-es4uf6gj7u 5 місяців тому

      Anauliaa mbona serikali haikemeii? Jibu ni haikemei kwa sababu inasheria zakitwahuti na nae kaa madarakani anatakiwa kufata yalio pangwa

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 5 місяців тому +96

    Mwakyembe, umejitoa zaidi ya Watumishi wa Kiroho,Mungu akulinde

  • @user-tf4er2iq7k
    @user-tf4er2iq7k 5 місяців тому +18

    Mzee Mwakyembe Mungu akulinde akupe baraka zote kwa kuiamsha jamii yetu dhidi ya ushoga na usagaji tembeeni mpaka mashuleni na vyuoni mpaka misikiti muungane imani zote muiokoe nchi yetu.AMIN

  • @nabiiwaisharaonlinetv9863
    @nabiiwaisharaonlinetv9863 5 місяців тому +36

    Mwakyembe na Cathelin Mungu awape tuzo za utumishi mkuu pia

  • @user-fm4le4nz6v
    @user-fm4le4nz6v 5 місяців тому +47

    Kupinga ushoga hakuna udini waislamu tunaungana na nyinyi kupinga ushoga Tanzania mungu awape nguvu ktk hilo.

  • @musaamini401
    @musaamini401 5 місяців тому +13

    Muheshimiwa mungu awalinde Na team yako kwa kazi ngumu ingekua utume unaendelea wewe ingekua ni mtume Mimi ni muislam Lkn nakuombea sana Kwa mungu akufanyie wepesi wakila hatua.

  • @user-dz9vo9fg2f
    @user-dz9vo9fg2f 5 місяців тому +5

    Mwenyeenzi Mungu awalinde.Litaisha tu Mungu ni mkuu hapendi kutukanwa. viongozi wakisimama hili litaisha kwa jina la Yesu🙏

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 5 місяців тому +47

    YESU watie nguvu wasichoke hawa watumishi wako.Amina.YESU imalisha ulinzi juu ya watu wako hawa adui asiwazuru shetani azulike mwenyewe in Jesus name.shikamoo mwankyembe.jmn ndugu zangu naombeni tuendelee kuwaombea hawa watumishi wa Mungu.maana Mungu anatumia vinywa vyao kupinga dhambi kubwa ya ushoga .

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 5 місяців тому +3

      MUNGU ALIYE MUUMBA YESU NA SISI WOTE NDIYE AWATIE NGUVU SIYO YESU KWA SABABU YEYE NI MTUME KWA WANA WA ISLAEL.

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 5 місяців тому +2

      YOHANA 20:17 Luka 18:18

    • @babalao910
      @babalao910 5 місяців тому +3

      Mwakiyembe anastahili Kuwa Rais

    • @alfoncekasanyi6584
      @alfoncekasanyi6584 5 місяців тому +1

      Bravo Mwakyembe

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 5 місяців тому

      @@hamzaswaibu9470 tuondolee umajini wenu

  • @PeterjaksonLujani
    @PeterjaksonLujani 5 місяців тому +7

    Mzee mwakyembe na Dada yangu catherine mungu awatie nguvu kwa kazi kubwa mnayo fanya kuokoa taifa letu na kizazi chetu hichi

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 5 місяців тому +9

    Mungu akulinde Babu yangu na kundi lako katika jina la YESU KRISTO BWANA WETU

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 5 місяців тому +52

    SULUHISHO JINGINE NI KUACHA KUPOKEA MISAADA YA VYAKULA NA DAWA ZA MENO NK KWA SHULE ZETU ..SISI SIYO MASIKINI TUNAJIMALIZA WENYEWE.

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr 5 місяців тому +4

      Marehemu Magu Mungu amrehemu alikataa ivyo vitu ila kizazi cha luta kinaona sawa tuu hadi kutishia watu wasikosoe serikali😢😢😢

    • @beatricejames2167
      @beatricejames2167 5 місяців тому +1

      Mbona wasema ukweli

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 5 місяців тому +3

      Serikali ya CCM ndo wanapitisha maombi ya msaada wa vyakula.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 5 місяців тому

      KAMA ULIIPOKEA DINI PENDA NA MAMBO YAKE

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 5 місяців тому

      ​@@upendoeliya9329serikali Haina dini.watu binafsi ndio walipokea mapokeo ya mioyoni kupitia dini na wakaacha kumtaka Mungu na nguvu zake sasa nae amewadhihirishia uovu WAO kwa kuwaacha wafuate akili zao hata kuwakiana tamaa watu wa aina moja

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 5 місяців тому +6

    Mungu akubariki sana Mzee wangu mwenye hekima busara na msema ukweli

  • @LovenessDaud
    @LovenessDaud 5 місяців тому +13

    Ewe Mwenyezi Mungu tulinde na hili janga sisi waja wako tuepushe tuepushe tuepushe 🤲🏾🤲🏾

  • @annaamadeo-ge2dd
    @annaamadeo-ge2dd 5 місяців тому +3

    Mungu awakumbuke kwa kazi nzuri mnayoifanya. Inaumiza sana; Yesu ingilia kati

  • @lilymuro4993
    @lilymuro4993 4 місяці тому +1

    Mzee Mwakyembe Mungu Akulinde na Nakufunika Kwa Damu ya Yesu Christo Wa Nazareth Aliye Hai Amen ✝️🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @willymosses1612
    @willymosses1612 5 місяців тому +3

    Duh hii ni zaidi ya laana....Mungu tusaidie
    Saidia kizazi chetu hiki na kijacho...uwalinde wote wenye nia njema kwa taifa letu na dunia kwa ujumla.

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 2 місяці тому +1

    Mwakyembe hongera wachungaji kuweni makini elimisheni waumini

  • @AnyeelwisyeMwaisela
    @AnyeelwisyeMwaisela 5 місяців тому +11

    Mimi nashauri mikutano hii isifanyike kwenye kumbi ombeni kibari mfanye mikutano ya hadhara ili kuliponya Taifa hili kwa haraka

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 5 місяців тому +4

    Hiii roho ya ushoga na usagaji ninaikataa ktk taifa langu la tanzania kwa jina la yesu kristo wa Nazareth aliye hai na kwa damu ya yesu.

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 5 місяців тому +8

    Nimemuona baba yetu kabese anahuzunika tu Mungu aliponye taifa letu hakika tunamuhitaji Mungu mno

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 5 місяців тому +14

    Mungu ni wa Pekee wala hana msaidizi..MASHA ALLAH KWENU...LAANA IWE JUU YAO WANAHARIBU NCHI SANAA..NA WATU WAKE 😮

  • @RogersSeif
    @RogersSeif 5 місяців тому +2

    Hongera sana mzee wetu mpendwa Mheshimiwa Harrison Mwakembe Mwenyezi Mungu akulinde mile na milele, Amin.

  • @sponsorboyofficialtz1191
    @sponsorboyofficialtz1191 5 місяців тому +10

    Mwakiyembe anafaa kuwa Rais wetu tunataka watu wanajiamini na wazalendo wa kweli ktk Taifa bila kujari wala uoga kwa mataifa yalioendelea

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz 5 місяців тому

      Asubutuuu ndoto hio😅😅😅

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 Місяць тому

      Serikal hataki wasema ukweli

  • @georgiabuchukundi5146
    @georgiabuchukundi5146 5 місяців тому +7

    Damu ya Yesu iwafunike watumishi wa Mungu mnaofichua maovu haya

  • @user-lf4bb6eg8t
    @user-lf4bb6eg8t 5 місяців тому +8

    Mungu Akubariki Doctor mwakyembe

  • @barikielisulle9300
    @barikielisulle9300 5 місяців тому +9

    Jamani jamani jamani machozi yananitoka natamani kulia dah dah sielewi nianzia wapi Niko tayari kwa vita hii inasikitisha Sana mungu awabariki Sana wote mliofanya uchunguzi huu nakubaini huu upuuzi wa wazungu.

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 5 місяців тому +8

    Asanteni kwa kujitolea. Nchi bado haijawa serious kupambana na ufirauni huu!

    • @user-jh4hg2ev9s
      @user-jh4hg2ev9s 5 місяців тому

      Mwakyembe unachokifanya kupinga ufiraji, ulawiti ni jambo la msingi sana. Wahusishe nchi za jirani km Rwanda, Uganda na watu wanaokubalika kama Prof. LUMUMBA

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 5 місяців тому

      Uo ndio ukwer

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 5 місяців тому +11

    Mungu akawalinde watoto wetu, Dr Mwakyembe na Dada Catherine Mungu awabariki na kuwalinda

  • @ombenimhina8826
    @ombenimhina8826 5 місяців тому +2

    Mh. Mwakyembe anafanya kazi nzuri kuihabarisha Jamii, serikali ichukue hatua stahiki haraka

  • @user-du3pd7gb4c
    @user-du3pd7gb4c 5 місяців тому +12

    Tanzania tumebarikiwa sana Mungu ameichaguwa hii nchi Mungu awatie nguvu na kuwalinda Muendelee na kurudisha misingi yetu ya Kumpenda Mungu wa kweli na kuchukia maovu

  • @user-ir6gs5dz3k
    @user-ir6gs5dz3k 5 місяців тому +11

    Mwakyembe usichoke mungu atakulinda

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 3 місяці тому +1

    Kusaga Tv Mungu amusaidie saana,kiukweli hz habari huwez kuzikuta millard Ayo, SNS, Wasafi Tv, hata Clouds

  • @user-ft9vc3xh1y
    @user-ft9vc3xh1y 5 місяців тому +8

    E mwenyezi mungu tuondolee hili Balaa Tanzania

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 5 місяців тому +15

    Mwakyembe aungwe mkono watanzania tuungane katika hii vita,

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 5 місяців тому +9

    Amen mtumishi wa MUNGU mwakyembe🎉

  • @glorysangova7745
    @glorysangova7745 5 місяців тому +1

    Tuiombee nchi yetu na watoto wetu ,kwa kuwa kwa mungu hakuna lisilowezekana.
    Ikiwa watu wangu walioitwa kwa JINA langu atajinyenyekesha nakutubu nakuziacha njia mbaya mungu wa mbinguni ataiponya nchi yetu na watoto wetu.tuombee watanzania

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 5 місяців тому +4

    VIVA MZEE MWAKYEMBE....HII VITA YA KUPINGA USHOGA NI VITA YETU WOTE WATANZANIA NA WAAFRIKA WOTE.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 5 місяців тому +2

    Kusikiliza hili jambo ni ngumu sana inaumiza serikali msiogope ufunuo wa yohana 18 imeandikwa Mungu atawapinga sana biashara zao utaanguka selikari yetu msiogope Mungu ana baraka ya nchi sio ya dunia imeandikwa heri nchi ambayo Mungu ni Mungu wao hivo Tanzania iking'ang'ana na Mungu itatoboa sio dunia Tanzania tujitahidi kufanya kazi kwA bidii tuachane na kukopakopa hela shetan kajificha kwenye hela kila mtanzania ajitahidi kufanya kazi.kwa bidii

  • @maystellakajuna5461
    @maystellakajuna5461 5 місяців тому

    Huyo sio mtumishi wa Mungu! Huyo ni UZAO wa nyoka!!! We will not be quite! Salute to you Mr Mwakyembe!

  • @rizikisaid2904
    @rizikisaid2904 5 місяців тому +6

    Maombi yangu kwako ni kumuomba Mwenyezi Mungu akulinde watanzania wanahitaji kukuunga mkono kwa kweli umejitolea kuokoa kizazi kinachoangamia

  • @SaidAlbudaidi
    @SaidAlbudaidi 22 дні тому

    This is very good ideas to teach others what are going to happen to future generations

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 20 днів тому

    Mungu akulinde mzee Mwakyembe

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 5 місяців тому +3

    Nafunika taifa la tanzania kwa damu ya yesu kristo aliye hai

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 5 місяців тому +3

    Kumbe ndiyo maana huyu jamaa mimi niliwaambia huyu anajiita mzee wa neema kuna shida. Ahsante sana kuibua huu uovu

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 5 місяців тому +5

    Asante mungu muacheni alale kwa kuwaamasisha watoto wa wenzao Laana tu LLAH

  • @FredrickMpoma-sg4em
    @FredrickMpoma-sg4em 5 місяців тому +3

    Mungu awabariki sana ndgu zangu yaani nawapenda sana Wala msiogope kusema ukweli nawapenda sana

  • @kinemorwangisho2168
    @kinemorwangisho2168 5 місяців тому +12

    Wachungaji wetu tusaidieni mwache kufurahia hata mambo yaviduku na sebene kanisani

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 5 місяців тому +1

      Wanapendezwa na ndombolo ya solo wanaacha kukemea maovu!

    • @mcback4384
      @mcback4384 5 місяців тому

      Kucheza na kusifu hakuna uhusiano wowote na ushoga labda kama unatumia usichopenda kupotosha

  • @deodatusmagagura6793
    @deodatusmagagura6793 5 місяців тому +37

    TUNAPINGA USHOGA KTK JINA LA YESU KRISTO

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 5 місяців тому

      Nyie ndio wakubwa mnawalinda

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 5 місяців тому

      Kwanini mnaruhusu makanisa mengi hivyo Kila Kona mpaka kwenye vichochoro KERO kero

    • @milkakamau8709
      @milkakamau8709 Місяць тому

      ​@abduljuma7807 hili janga hili halibagui dini. Tumia busara

  • @NellyJerome
    @NellyJerome 4 місяці тому

    Mwakyembe ubarikiwe sana Mungu awatunze mnaisadia Tanzania yetu sana navijana wetu

  • @himnakhatib1050
    @himnakhatib1050 5 місяців тому +1

    Yani upo vizur sana na Mungu atakulipa kwa kupambania hili taifa ushoga ukiwepo ni kuiangamiza nchi na kuipa janga kubwa nakufa vifo vibaya uku tunajiona.

  • @dr.geehygojonyamasiriri6571
    @dr.geehygojonyamasiriri6571 4 місяці тому

    Mungu akasimame na uzao wangu eeh mungu bariki na hawa watumishi wako wape hekima na miaka mingi ya kupambana na hili

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 3 місяці тому

    Hongera sana watu wa Mungu maana watumishi wa kanisa wanakazia kwenye i receive huku wengine wananyanduana

  • @gambigambi7254
    @gambigambi7254 3 місяці тому +1

    Mungu akulinde mwakyembe

  • @aslama.suleiman5216
    @aslama.suleiman5216 5 місяців тому +18

    Laana ya Mungu iwaangukie mashoga wote duniani. Amiin

  • @evematinya6027
    @evematinya6027 5 місяців тому +1

    Eee Mungu baba yangu, naomba ukumbuke uzao wa tumbo langu😭😭😭, naomba uwakimbuke watoto wetu wa Tanzania

  • @PiusTarimo-cm1yy
    @PiusTarimo-cm1yy 5 місяців тому +7

    Mungu akubariki Sana Mwakembe pamoja na Dada muzidi fichua izo sori zaayo mashetani,

  • @user-lu4ie4fp1o
    @user-lu4ie4fp1o 4 місяці тому +1

    Mbarikiwe watu waMungu nijambo zuri Mungu awatie nguvu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 5 місяців тому +4

    Kweli Leo nimefurahi saana kuona tena hii channel..KWELI ENDELEENI..MSIENDESHWE...

  • @alexanderkisinini9376
    @alexanderkisinini9376 5 місяців тому +7

    Mh. No ya mawasiliano upate visa zaidi.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 місяців тому +12

    Mungu AKUBARIKI sana DR. MWAKYEMBE NA HUYO DADA MWANDISHI WA HABARI, MACHACHARI KABISA. MUNGU ANA NAMNA YA KUWAKOMESHA HAWA WATU NA KUWATOKOMESHA KABLA UHARIBIFU MKUBWA HAUJAJITOKEZA NA KUHARIBU MAADILI NA TAMADUNI ZETU.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 5 місяців тому +2

    WANAKUJA KABILA HIZO WANAPEWA VYEO SANA HATA KAPITA TU! THE NAME IS BOSS.MADAM..wanapita wenye mapenzi na nia na bidii za wazi,wanakuwa sio wazurii

  • @user-td5fb4ps8o
    @user-td5fb4ps8o 4 місяці тому +1

    Mungu akupe maisha marefu kiongozi

  • @agneskasebele-cy1qm
    @agneskasebele-cy1qm 5 місяців тому +1

    Yesu akutunzee mzee na Yesu aitetee Tanzania 🇹🇿 yetuu🙌

  • @deusurio9056
    @deusurio9056 5 місяців тому +2

    Ee Mungu tusaidie, nchi yetu inaangamia, Kwa sababu ya watu wachache wasiokuamini Mungu wetu, Mh mwakiembe na Dada yetu na wengine wanaopigana na uchafu huu unaoenea duniani ,

    • @mkdg.4skolo891
      @mkdg.4skolo891 5 місяців тому

      Malzia sntensi yko chini pale haijkmlika.Sema Mungu walinde na Mh.Mwkyembe na dadaake mwzeshaji Mungu uwalinde katika kuupinga huo mpango wa kishetani

  • @chemotokaula-ew1zn
    @chemotokaula-ew1zn 5 місяців тому +2

    Congratulations kwa serikali ya Tanzania kwa kulifunga hilo kanisa.

  • @BarakaNjamasi
    @BarakaNjamasi 5 місяців тому +1

    Safi sana mwakyembe wewe kweli ni Gwandumi Gwa kyala ,nakuelewa sana

  • @samirazuberi186
    @samirazuberi186 5 місяців тому +3

    Huu utawala wa samia kwanza mwenyezi mungu aung'owe manaumetuletea shida kubwa Sana,,,, MTAKUMBUKA enzi za magufuli ambye mlimuuita dikteta haya lakni enzi za utawala wa mzee magu haya haya kuwepo... Sisemi kwamba ushoga ulikuwa haupo lahasha ulikuwepo lakni aisee si kama kwenye hu utawala wa samia

    • @bakarifakih4228
      @bakarifakih4228 5 місяців тому

      kweli jamani.Magu hata kujipendekeza kwa safari za kila mara hakufanya hivo.

    • @samirazuberi186
      @samirazuberi186 5 місяців тому

      @@bakarifakih4228 ndio mana nna sabbu ya kusema kuwa samia na kikwete wametuletea mtihani mno kwenye taifa letu... MSIKILIZE mwakiembe alivyosema kuna kijana alimwambia lakni ujue makamu wa rais wa Marekani anakuja sasa inaingilianaje mwakimbe aache kufanya kazi zake za kukataza mauvu eti kisa makamu wa rais wa Marekani ana kuja. Ana maana gani kusema hivyo kama hi nshu sio njama na, serikli naweza sema hizi serikali ndio zinazo tusababishia klia kitu majanga Mafuriko kwenye taifa letu hususani huu utawala wa samia kwakweli mungu aingilie kati hi ninjama na serikali lakni mwenyezi mungu atawaadhibu sana hawa watu inshalah kutuharibia watoto wetu kisa tamaa zao kwakweli inauma mimi kama mzazi 😭😭😭siishi kulia na mungu ju ya haya yanayoendelea my.... Wazungu hawawezi kuja kuiharibu nchi yetu bila kuwa na mwenyenyeji wakupeana mchongo yote hiyo kitu haiwezekani kuna watu wa NAUNGANA na hawa vibaraka kuja kulichafua taifa letu tena niwakuu wa serikali hata yule kikwete hakosekani kwenye hayo makundi ndio mana ana kazi yakuuwa wenzie ili awe huru na taifa letu na vibaraka vyake kulichafua tz mungu atamlaani sana yule baba wapo wengi lakni jakaya hakosekani kwenye hilo kundi yule baba akija kufa yule kidogo amani ya nchi yetu itakuwa shwar japo sio sana lakni kidogo itakuwa na nafuu nasema hivyo kwa sabbu naamini JAKYA hilo kundi lake sio dogo

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 5 місяців тому +24

    EWE Mungu simama na watoto wetu uwaokoe na huu uovu.

    • @RobertChacha-hb9re
      @RobertChacha-hb9re 5 місяців тому +1

      Omba na usome biblia usiishie kuongelea hapa tu

    • @edisonpeter3894
      @edisonpeter3894 5 місяців тому

      Tusisahau kuwapa watt kaz mbali mbali ili wajenge ukakamavu. Pia tuwaombeeee

  • @neemaedmund8224
    @neemaedmund8224 5 місяців тому +3

    Catherine Mungu akuweke tuko nyuma yako Mdogo wangu.

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala 4 місяці тому

    Tupinge ushoga kwa jina la Yesu. Mwakyembe Mungu awabariki sana kwa mapambano hayo na huyo Dada

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 5 місяців тому +1

    Hii ni hatari Sana Kwa maisha ya kiroho hapa Tanzania Hongera Sana Dr.H.Mwakyembe

  • @siliviamushi4119
    @siliviamushi4119 2 місяці тому

    Baba mwakiembee Mungu azidi kukupa Afya

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 5 місяців тому

    Hongera sn Mh Mwakyembe, Huyu chungaji Hafai kabisa, Hata products zao Sabuni lotion Dawa za miswaki Shampoo sitakaa nitumie , Washenzi sn

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 5 місяців тому +6

    Mungu awapige hao walimu.

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 5 місяців тому +6

    muheahimiwa mungu akulinde.

  • @samirazuberi186
    @samirazuberi186 5 місяців тому +3

    MWENYEZI MUNGU SIO MJOMBA WA MTU.. KWAKWELI NAUMIA SANA NA HUU USHENZI UNAOENDELEA KWENYE NCHI YANGU ILA SINA JINS NISHAWAHI KULIA SANA MWISHO NIKAMSHUKU MUNGU 😢

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 5 місяців тому +5

    HONGERAA SAANA DADA MDOGO MUNGU AKUPE UWEZO MKUBWA NA UWAZII ZAIDI..NILIKUONA PALE ULIPOANZAA TU HAYAA❤

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 5 місяців тому +2

    Mungu ni mwema sana ahsante kwa hayo majibu ya kupalalaizi

  • @nchumaTz
    @nchumaTz 5 місяців тому

    hongereni sana kwa kupinga ushoga watumishi, tunatakiwa tupipinge kwa pamoja

  • @epiphanywilson6466
    @epiphanywilson6466 5 місяців тому

    Hawa ndio watu wa kupewa tuzo kwa kuvaa ujasiri wa kupiga vita hili suala maana hii issue is very critical.Mwenyezi mungu awatie Nguvu na kuwaongezea ulinzi wa malaika zake.

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 5 місяців тому

    Mzee mwakyembe hata kama lilitakuta baya basi mungu akulinde sana tena sana kwakweli tunapotea kwa hizi tamaduni za kizungu

  • @user-bo8rk3yd8g
    @user-bo8rk3yd8g 5 місяців тому

    Amina ndg zangu tushikane na kushirikiana kukemea ushetani huu kwetu haitawezekana hatuwataki

  • @alfavahaye4102
    @alfavahaye4102 5 місяців тому +1

    Na mungu awabariki sana nyinyi na vizazi vyenu vyote❤

  • @SubyMwaisumo
    @SubyMwaisumo 23 дні тому

    Mungu awalinde na kuwapa nguvu, kemeeni maovu

  • @letsloveandshare7487
    @letsloveandshare7487 5 місяців тому +2

    Mungu atusaidie watanzania inabidi tuombe na tupambane pamoja juu ya jambo hili

  • @user-vt4wj1fr2c
    @user-vt4wj1fr2c 5 місяців тому +1

    Mungu awatie Nguvu watumishi wa Kristo hakuna kurudi nyuma.

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 5 місяців тому +4

    Nipo kenya. Nakuombea mola akulinde

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 5 місяців тому +2

    Uhusiano dola na ibilisi nguvu ya pesa jamani usikubali kwambia imemzidi mungu,Mungu ananguvu

  • @venancemwakibete9763
    @venancemwakibete9763 5 місяців тому +1

    Kama mwakyembe na Katherine wameifanya kazi hiyo nzuri na bora jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania liko wapi?

  • @theophildamfuruki6859
    @theophildamfuruki6859 5 місяців тому

    Pongezi kwenu waeshimiwa kwa kuliona ili Mwenyezi Mungu hashindwi na jambo izi tabia ovu zitakoma kwa jina la Yesu

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 5 місяців тому +1

    Mfalme Yesu Kristo Anarudi this is end time sign Church Of Christ Pray

  • @annapeter6065
    @annapeter6065 4 місяці тому

    Mh. Nakupongeza sana kwa kukemea hadharani jambo hili la aibu mbele ya umma.

  • @ibradedapro5758
    @ibradedapro5758 4 місяці тому

    Allah awape ulinzi katika njia yenu yakutokomeza ushoga🙏

  • @josephmturi6936
    @josephmturi6936 5 місяців тому

    Mh Mwakyembe Mungu akubariki sana unaokoa watanzania maelfu kwa maelfu

  • @user-vj3so7zn5j
    @user-vj3so7zn5j 5 місяців тому

    Mungu awabariki sana awatunze awalinde siku zote za maisha yane

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 5 місяців тому +3

    Mbona hilo kanisa kwasasa limefunguliwa na wamekuja kwa kasi kubwa tofauti na mwanzo.... Ni mtihani mkubwa sana....

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 5 місяців тому +8

    Jamani hizi ni siku za mwisho hayo lazima yatimie maana maovo hayanabdi kutokea muda umekwisha YESU KRISTO anarudi ni muda kutubu

  • @charitimahenge6058
    @charitimahenge6058 5 місяців тому

    Mungu awabariki kwa matoleo yenu pia awalinde🙏🙏🙏

  • @user-ti2et6tk7q
    @user-ti2et6tk7q 5 місяців тому +2

    Noma