RAIS MWINYI AWAJIBU ACT- WAZALENDO MADAI YA UKIUKWAJI TARATIBU ZA TENDA ZA MIRADI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Рік тому +2

    Mapinduzi or Mauwaji mutaenda kujibu mbele y Allah insha Allah

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm Рік тому +3

    Sasa anatengeneza uwanja , lakini timu ya mpira hana zanzibar haijuilikani na FIFA eti" Utatumika Tanzania " hakuna kitu hapo

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 Рік тому

    Exactly...U are right...Hatuwezi kuendelea kua na uwanja ule mvua tunakimbizana kuroa...Dr Mwinyi for sure ni HERO wa maendeleo Zanzibar...Anaspeed ya hatari sana na ukiregea umedondoka...Tunakuunga mkono juu ya jitihada zako za wazi zinazonekana kwa maendeleo ya Visiwa hivi...Allah akupe nguvu na maarifa Imara pamoja na ustahamilivu wa wale wanaotumia ndimi zao kukutusi ili kesho na kesho kutwa Zanzibar iwe mpya...Tumeona mengi tu mazuri kwani leo Mwalimu wa sanaa mwny experience anafikia kuvuuka 1 Milion/Month na wakati b4 alikua na laki 4....Inbrief kura zetu unazo 2025.

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Рік тому +2

    uwanja wa viwango vya fifa je zanzibar ni mwanachama wa FIFA

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Рік тому +2

    Michezo sojambo la Mungano inasikitisha Zanzibar haitambuliki n hiyo FIFA unayoitaja inayotambulika Tanganyika one day free Zanzibar insha Allah

  • @LaBboogo
    @LaBboogo Рік тому +3

    Hana lake jambo huyu

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Рік тому +1

    muheshimiwa kwanini tenda zooote hazitangazwi na hatuoni kwenye gazeti la serekali ni jambo linalotutia mashaka

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 Рік тому

      Kwani si ushapata jawabu au hukumskiliza na kumfahamu aliyosema ya kwamba kuna two types of TENDERS...Au???

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 Рік тому

      Tunahitaji maendeleo na sio blaa blaa tushikamane tumsuport Rais wetu kwa maendeleo ya nchi yetu

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Рік тому

    Hasidi hana sababu mkuu

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman Рік тому +1

    Kwann unauvunja uwanja wa asili, c ungejenga sehemu nyengin zipo kibao.
    Kuna barabara ya bububu mjini mbovu kwann isijengwe unajenga barabara ya Uwanja wa ndege Mnazi mmoja. Wakat haijafika hata miaka kumi kujengwa.
    Kuna barabara za ndani. Mbovu ukienda pemba hakufai njia hazipitiki.

  • @masoudrashidmohammed4124
    @masoudrashidmohammed4124 Рік тому

    Acha usanii ww umetumwa kuja kumaliza lkn. utaiacha hii nchi hakuna kiwanja chenye hadhi ya fifa hapo usanii tumepigwa na kitu kizito wa Zanzibar tuamkeni ndg zng

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Рік тому

    Rais Hawa bora usiwajibu ,, maana anajifanya haelewi utaratibu,, Tumedhaminiwa barabara mpya wao wanawaza mnaharibu pesa ,,eti zingefaa kununulia madawa wakati udhamini wa barabara

    • @kassim1262
      @kassim1262 Рік тому

      Lazima tujue znzbr wapi nawapi na Fifa fifa inaitambua.TFF kupitia cuff ss ww unaejifanya unajua hutaki kuelewesha upo upo tu

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому

    Baba yake pia alikua rais huyu au?