😂❤ vizurii saana ndiyo mana Mackenzie with end time message alikuwa ana sema sirikali na ndini diyo ukoloni wasiyo penda African wakasema ni muhuwajii wa shakahola apo nimekumbaliyanaa nawe akuna kitu kinaitwa vita vya duniya and less siku za nabii Nuhu
mmenigusa sana kwenye swala la chakula na mbegu, sasaiv tunakula takataka nyingi sana, nawaombeni msikatishwe tamaa na baaddhi ya comment za wapumbavu, tutanao wakubali ni wengi endelea kutupa madini tupeleke dunia next level
Dhahabu inaweza kupangwa kuanzia uingereza hadi South Africa 😂. Tuishie hapo nisije kuua mtu . Ninapenda jinsi mlivyo na fikra huru na fikra m'badala na watu wengi tunavyofikiri . Pamoja na kua sikubaliani naa ninyi katika kila mlichoongea katika short video clips mbali mbali lkn ninawafuatilia sana . Asante kwa tafakuri .
ukiambiwa vita ya dunia haimanishi dunia nzima inapigana ila athari za vita hiyo zinaathiri asilimia 99 ya dunia kwa mfano sisi hatuzalishi dawa,mafuta ,siraha n.k je ikitokea vita hiyo kati ya mataifa makubwa je matatifa haya madogo nini kinatokea
Presenter jifunze kuuliza swali halafu unasubiri maelezo. Haya mambo ya kuwa na wewe unachangia, unamkatisha mzungumzaji halafu anashindwa kunyoosha maelezo.
Na kweli mimi niliwahi kumuuliza Mwlim kuwa mbona hii vita ya dunia kwenye makundi yale mawili 1.Triple Alliance 2.Triple Entente (Central Power) Nchi za Afrika hazikuwepo kabisa kwenye hayo makundi . Mwalim akasema tutaendelee kipind kijacho
Lakini kwanini vita wakipigana huko kwentu huku vitu vinapanda bei mfano vita hii ya Russia na Ukraine imeleta mfumko wa bei ktk bidhaa nyingi shida Nini,?
Me nawakubaligi apo tu lbd tusem wanzngumzia dunia yao sbb unaweza ukaenda kwao ukaulizwa watokea wap ww ukamwbia me natokea Tanzania akakushangaa Tanzania ndo wap iyo nayo ni nchi wanakaa watu kwhy apo me spingan kbs na nyie wanangu
Nakubali wazee wakazi, shida wa bongo vichwa ngumu kuelewa tunapigwa
Nawakubali Sana ndugu zangu nawakubali naona kama nyie niwakombozi wa afrika ilove it jamaani!!!
😂❤ vizurii saana ndiyo mana Mackenzie with end time message alikuwa ana sema sirikali na ndini diyo ukoloni wasiyo penda African wakasema ni muhuwajii wa shakahola apo nimekumbaliyanaa nawe akuna kitu kinaitwa vita vya duniya and less siku za nabii Nuhu
😂😂 unaweza kweli kuua mtu maana ni vitu nyeti sana
mmenigusa sana kwenye swala la chakula na mbegu, sasaiv tunakula takataka nyingi sana, nawaombeni msikatishwe tamaa na baaddhi ya comment za wapumbavu, tutanao wakubali ni wengi endelea kutupa madini tupeleke dunia next level
Kweli..uwezi sema bingwa wa Dunia..wakati ujapambana na watu wa nchi zote
Hii kweli kabisa ila watu hawajui kabisa hasa watu wa dini ndo hawajui kabisa!!
😂😂😂😂😂😂
Gotcha broda.. marvelous
Nawaelewa sana ndugu zangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🛸
Kazi nzuri sana unajua Hawa wazungu wanatubrainwash
Daaah Yan hii Africa kazi sana
Sawa kabisa.....sasa weka na nyimbo zako mkuu
Dah ogopa sana mzungu yeye anajikuta ndio kila kitu
Hii njemba yenyewe kazi ni kukorombeza😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Dhahabu inaweza kupangwa kuanzia uingereza hadi South Africa 😂. Tuishie hapo nisije kuua mtu . Ninapenda jinsi mlivyo na fikra huru na fikra m'badala na watu wengi tunavyofikiri . Pamoja na kua sikubaliani naa ninyi katika kila mlichoongea katika short video clips mbali mbali lkn ninawafuatilia sana . Asante kwa tafakuri .
Nakubali San mnachongea Yan point San mnachongea
Yess wachokonozi ni 🔥 🔥
Pamoja sana mpo vizur
Daaah Nona unaitaji ulinzi amzee
ukiambiwa vita ya dunia haimanishi dunia nzima inapigana ila athari za vita hiyo zinaathiri asilimia 99 ya dunia kwa mfano sisi hatuzalishi dawa,mafuta ,siraha n.k je ikitokea vita hiyo kati ya mataifa makubwa je matatifa haya madogo nini kinatokea
Dar uk na akl mzee🎉
❤kweli dingii
Najitaji vitabu brother
Africa sio kwamba haina watu wenye hakili alafu serikali inaendelea kuwaacha hawa vijana wanaipenda Africa ila viongozi wetu ndoo mapumbafu kabisa
KUTOKA UINGEREZA ADI SOUTH AFRICA!! dadeek African ni kuku kama walivyo bata tu.
Mnatakiwa mpewe ulinzi
Nyie watu Akili nyingi sana
Presenter jifunze kuuliza swali halafu unasubiri maelezo.
Haya mambo ya kuwa na wewe unachangia, unamkatisha mzungumzaji halafu anashindwa kunyoosha maelezo.
Kidogo huyu kichwa kibovu😅😅😅
Vijana waliojitambua na kujipata
Haijatokea vita ya dunia ukweli mtupu
Nawaelewa sana
Inabidi umrekodi aache history
ipo waz
Nakubali
Hapo maleka kuwa bingwa wa ulongo, hiyo nikweli
Heshima kwenu
Dahh huyo mchonozi anachochea😂
Nawakubali
Simjui awa watu waliokua wanakubaliana na Aya mawazo walio kua wameleta wazungu waliokua na akili gani sipati picha
Yaan awa jamaa ninawaelewa kuliko maelezo yenyewe
Hawa ni wendawazimu kama wendawazimu wengine
❤❤❤
Tuishie hapa kwaleo nisije kuuwa mtu
Na kweli mimi niliwahi kumuuliza Mwlim kuwa mbona hii vita ya dunia kwenye makundi yale mawili
1.Triple Alliance
2.Triple Entente (Central Power)
Nchi za Afrika hazikuwepo kabisa kwenye hayo makundi . Mwalim akasema tutaendelee kipind kijacho
Tulipigwa mwanangu
Kwel jamaa walitupiga mi najiuliza hata Ile inshu ya Safina ya nuhu ni mule mule tu mafuriko yalitokea huko kwao tu sio bongo @@TevenKisaila
Aisee mkosahii vta ya urusi ilipoanza et wakasema hari ngumu sababu ya vta hivi warusi na tanzania inausiana nn sizwi tutatoka rini gerezani
Mm kama nyie
Kuna kiongozi mmoja juzi apa kasema juisi za kukamua nyumbani ni mbaya mnamchukuliaje uyu
Sasa kwann serikali iyakubali haya yakuletewa mbegu
Kama inakuja ivi
Great knolwedge
Kuna watu hapa hapa Tanzania mpaka wanakufa hawajawahi kutana na Makala za wachokonozi,,,,,
wachokonozi niko chini ya miguu yenu 🙏 naombeni muongee kitu kuhusu huyu mtu anaejiita nabii Tito uku TikTok
Hakika itakuwa vizuri akifanya hivyo ili tupate uchambuzi
Kweli sjui anachofanya ni afya ya akili au anatumwa
Wakipatikana watu 20 wa hivi kama nyny mbona changes fasta
Seen by me
Mpaka tunyohoke
Wachokonozi mje mtuambie inshu ya Safina ya Nuhu ilifika had bongo huku
Tumefika
Nenda njombe Uwemba Utaona vifaa vyao
Asie waelewa nyie ni chizi kabisa huyo
Wewe unasema wengine niwapumbavu wakikuita wewe unachukia
Nahitaji vitabu
Lakini kwanini vita wakipigana huko kwentu huku vitu vinapanda bei mfano vita hii ya Russia na Ukraine imeleta mfumko wa bei ktk bidhaa nyingi shida Nini,?
hauelew maana ya vita ya dunia dogo ni kwamba wazungu wakipigana afrika tuna athirika na kipindi kile vita ilikuwepo iliweza athiri baadh ya nch
We mjinga tambua maelezo