Kwa hivo mawahabi ni magaidi?mche mola sheikh wangu,we kama muislamu c vizuri kusema waislamu wenzako ndo magaidi,ikiwa ss manaswara wakiona hii clip kuwa ww muislamu mwenzetu ushakiri kuwa kuwa magaidi ni waislamu,ww tasawar kwanza,walio upload clip hii naomba muitoe manake hii tuhuma hii mbele ya maadui wa uislamu watafaidi mno
Ata mfanyeje ila makka na funguo zake zote zipo chini ya usimamizi wa mawahabi.. Allah kaliona iloo.. mkipewa nyie masufi mnaweza ata kuivunja halafu mkasema kila nchi ijenge alqaaba yake kwa jinsi mlivo wapuuzi wakubwa.

utoe dalil
uongo mtupu na Pete za kiganga
Kwa taarifa yenu hamuipati qaaba muhuudi wazushi wakubwa nyie...
Ndugu yangu ktk imaan dini haiendi kwa matusi dini inaenda kwa dalili