Allah amsamehe makosa yake na amlaze pema poponi Amin ( Aliwashinda wanaume na wanawake sauti yake haikutokea) Ya allah msamehe mja wako huyu na hata nyimbo zake zikisikilizwa usimuandikie madhambi . Amin
Hakuna mtu hata mmoja ambaye alitaka kuondoka zanzibar wakati ilipokua zanzibar kweli tulikua tunaona tuko peponi kabla ya mauwaji ya kidhalim na kuifisidi nchi iliyokua inasifika dunia nzima kwa ustaarab na elimu wapi leo imebakia inanuka mavi kila kipembe na njaa na uchafu wa zina na ulevi kila corner na kaum luuti. ALLAH tunakuomba uturejeshee zanzibar yetu kama ilivokua Ameen.
Tizama hao wana wake humus walivyovaa utajua ni watu we nye he's him a zao,sio hawa Waterbeach uchi wa sasa,ndo maana Mungu analeta mabalaa tumefikia kumuasi
wakat huo Zanzibar ipo katoto kabisa ata ukienda hospital kupima kama ni ugonjwa ni ule ule mmoja lakin nenda leo ukapime utasema dokta anakuongopea maradhi lukuki.ZanZibar ya Machaprala wap tena
Inaniuma cn nikiskia nyimbo zk ktk dunia hii hakun mt ambae nampend km c prof machap ila najuw km mung kakupenda zaid ila naamini km tutaona t peponi bado cjakat tamaa pumzk gwiji
Mungu akueke mahali pema peponi machaprala mungu amekupenda zaudi ndio ukatangulia mbele za haki. mungu akueke pema palipo na wema Amin.
Mohd Machapulara King of Voice!
Hii ndio Zanzibar ya kale kabla uvamizi na uharibifu wa maadili.
ulikuwa wapi ilipo haribiwa
Nikweli madili saiv yameharibika
Ya Allah turudishie zanzibar yetu ya maadili ya uislam
mola amrehemu Maulid Machaprala ,kipenzi cha watu wengi.Amewacha pengo kubwa katika ulimwengu wa taarab
Nikikumbuka sauti nzito,za kina Machapralla,Seif Salim Asha Simai( Um kulthoum wa znz) Mungu awarahamu
Allah amsamehe makosa yake na amlaze pema poponi Amin ( Aliwashinda wanaume na wanawake sauti yake haikutokea) Ya allah msamehe mja wako huyu na hata nyimbo zake zikisikilizwa usimuandikie madhambi . Amin
THIS IS TARAAB. THERE IS NO SUCH THING AS MODERN TAARAB.
Samahani mwenye wimbo wa yeye ameniwafiki machaprala ameimba nauhitaji
Ndio muimbaji wangu bora wa muda wote
Nakumbuka zama zetu... mziki taratibu wa jioni huku ukinwa kahawa barazani
Salim Salim hehehee
Hakuna mtu hata mmoja ambaye alitaka kuondoka zanzibar wakati ilipokua zanzibar kweli tulikua tunaona tuko peponi kabla ya mauwaji ya kidhalim na kuifisidi nchi iliyokua inasifika dunia nzima kwa ustaarab na elimu wapi leo imebakia inanuka mavi kila kipembe na njaa na uchafu wa zina na ulevi kila corner na kaum luuti. ALLAH tunakuomba uturejeshee zanzibar yetu kama ilivokua Ameen.
Amiin
Amiin yaarab
❤❤❤❤ old is gold
Just great, oh, when corona times are over... I'd like to visit Zanzibar!
aaaa iko wapi zanzibar yetu ukowapi utamaduni wetu ziko wapi silka zetu ziko wapi desturi zetu nalalia mazuri ya zanzibar tumeporwa mpaka utamaduni na umezikwa utambulisho wetu😊😊
Hii ndio Zanzibar ninayoijua mie wallahi, ila hii ya sasa ni siasa na ubadhilifu tuu
mungu akusamehe makosa yako machprala na akuingize peponi kuimba hakumzuwi mtu peponi
eddy roger. ya salaam ya salaam inanikumbusha mbali machozi yananitoka Zanzibar yetu
unasemaa
8:22 Sheik Ali Allah amsameh nae makosa yake na amuweke pema peponi , Amin
Allah akupe darja ya juu, ulikuwa legend, ila tu sisi tulishindwa kutambua hilo jambo
Nazipenda sam hizi nyimbo jamani hadi nackia kuumwa najivunia kuwa Mzaznzibar ktk viziwa vya marashi ya karafuu.
Hatokei tena mwimbaji mzuri kama machapralla sasa hakuna tena tarab bali kuna matusi tu na upumbavu wa kibara.
Yaani hapa wakati huo ulikuwa hutamani hata ulaya maana Raha zote zilikuwa nyumbani zanzibarrrr
Mungu akurahamuni mlio fariki ameen na mungu ajaalie irudi iwe znz ya zamani ya rabb ameen
Natamani nirudi niwe mtoto Tena nikicheza nje ya studio zao stone town nikiskia tu sauti zao wakifanya mazoezi
Daaah Umenena kweli Broo..
Hua sibanduki pale Club yao kokoni Malindi (stone town.)
Shukran mzee machaprala
Yes hii ndio taarabu
MashaAllah nice taarab
Zanzibar mwapendeza. Nilikupenda sana wakati wa likizo yangu na familia yangu. Nihame nisihame Makueni kenya?
Old is gold for sure.
zanzibar ndio kwetu
Mashallah sauti muruwa hapo nna miaka 6
Mimi hapo 7
mie hata siijui Dunia
Miaka kumi iliopita tuliahidiwa taarab asilia itarudi, lakini waapii masikini Zanzibar iwapi tena!! !!.
Malkia wa Nyumbani
Lyrics: Kassim Mohamed
Music: Ali Salim Basalama
Singer: Maulidi Mohamed Machaprala
Ewe Malikia wangu ... Ulotulia enzini.
Kulikoni pendo langu ... Ili niwe furahani.
Katika maisha yangu ... Tuishi kwenye amani.
Umetua moyo wangu ... nikiwa nje na ndani.
Tabia za kutukuka ... Kwa daraja namba wani.
Mola alivyokupika ... Kama wanja na uyuni.
Uzidi kutakasika ... Tia hina mwilini.
Kila kukipambazuka ... Eva utini machoni.
Mola alivyokuumba ... Natoa shukurani.
Si mnene ni mwembamba ... Kimo chako wastani.
Umepata hukuomba ... Sifa na yako ayuni.
Ndipo nami nikitamba ... Kama siwewe ni nani.
Cheo Chako Malkia ... Wewe ni yangu ramani.
Himaya hunipatia ... Hapa hapa duniani.
Dira nakutumia ... Nikiwamo safarini.
Nikitaka kupotea ... Hunileta karikani
Moyo hauna akili ... Mwengine haonekani.
Natoa yangu kauli ... Kama siwewe ni nani
Hizi ndio taarab sio leo fujo tu
Allaah amrehemu nguli huyu.
wow what a wonderful song
Allah kauli thabit
Hapo ndo nazaliwaadau
Tizama hao wana wake humus walivyovaa utajua ni watu we nye he's him a zao,sio hawa Waterbeach uchi wa sasa,ndo maana Mungu analeta mabalaa tumefikia kumuasi
wakat huo Zanzibar ipo katoto kabisa ata ukienda hospital kupima kama ni ugonjwa ni ule ule mmoja lakin nenda leo ukapime utasema dokta anakuongopea maradhi lukuki.ZanZibar ya Machaprala wap tena
taabarak Allah
nice wimbo machaprala
Yuko wapi Aboubakar mzula ?
Namkumbuka wakati huo ni kuwa tanga makorora,
Nasikitika now hayapo Tena
Sasa hivi hakuna zanzibar kuna wezi na wahuni tu kuanzia raise mpaka raia
Laiti kama masiku yangelikuwa yanarudi.. ila tarabu zamani tu..
Mmh nakumbuka haile wakati huo tunasoma hapo mmh Zama zimepita
Nassra Malik dah mm machoz yanantoka jman
Duh maneno yenu yanantia simazi sikosi kulia nkisikiliza hizi. Nalilia mda na utamaduni wetu ulivopotea
Rest in peace machaprala
💖🔥🔥💖🔥🔥💖
kwanini Alakeifak imekufa
Ehh bwana hapo mie niko nursery nikikumbuka jinsi skuli za chekechea xilivyokua kama za ulaya sitanii kila hitaji lilikuwepo leo hii wapi?
Nice
khelef omar usiseme usokua na elimu nacho ...wewe muombee dua tu mengine muachie Allah.
Yaani apo nina miaka 2 tu 😅😅
Muda wa kwenda chuoni umefika
hahahaaaa umenikumbusha mbali sna
ss ndio tukikaa shamba uko kaskazini kwetu upembani unaambiwa nataka ukidika juma bbinaali akupige makwaju maana saa8 na nusu iyo
Muda huu naukumbuka
Ah nyie acheni tuu . Mola awasemehe makosa yao pmj nasi
Huyu mc nazani anafanya kazi airport znz apo alikua kijana kweli au lkn sina uhakika
Nakumbuka alikuwa Zanzibar Wharfage Corporation.
Jaman mm nampend cn machapral cjuw kwnn nimezaliw 92 naumia cn nikiskia nyimbo zk ila najuw km kz ya mung hain makosa
Kw wale ambao wanaziimba tn nyimbo za zamn wasiimbe tn maan hawazipatii wanaziharibu km kwl wanawez waimbe za kwao
Inaniuma cn nikiskia nyimbo zk ktk dunia hii hakun mt ambae nampend km c prof machap ila najuw km mung kakupenda zaid ila naamini km tutaona t peponi bado cjakat tamaa pumzk gwiji
Wakati huo Nina miaka 11 nakumbuka enzi hizo kipindi cha burdani SAA. 8 STZ
D
Huo
mungu akusamehe makosa yako machprala na akuingize peponi kuimba hakumzuwi mtu peponi
Khelef Omar
Ammeena
True
Si kweli nyimbo hasa mnanda ni harram
mashallah mashallah Mzungu aiHitachi Zanzibar fahari yetu sote