TUFUNUWE KITABU (SILSILA 25): Zanzibar: The Last Years of the Protectorate cha Maulid Mshangama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Leo, ismail Jussa anachambuwa jinsi Bwana Maulid Mshangama kupitia kitabu chake "Zanzibar: The Last Years of the Protectorate" anavyotowa ushahidi wa kina wa namna utawala wa Waingereza ulivyopanga vitimbi na hila za makusudi dhidi ya Zanzibar kuhakikisha kuwa visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi kamwe havisimami kama taifa huru linalojitegemea.

КОМЕНТАРІ • 28

  • @nassorkhamis7091
    @nassorkhamis7091 2 роки тому +9

    ismail jussa ww ni mwamba 🔥🔥🔥🔥

  • @KassimUmeya
    @KassimUmeya 2 роки тому +3

    Alhamdulilah Mashaalwahu Allah Subhana Wataala Awajaalie Kula la Kheri na Awape Afya Njema Inshallah Ameen Yaarabbil Alaamin.Hongera ISMAIL JUSSA na Mohamed Kwa Elimu hii Muhimu , Allah Subhana Wataala Awape Hifadhi na Subra Muendelee na kazii hii Muhimu.Shukran Saum Makbul na Ramadan Kareem.

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 роки тому +4

    Shukran Mhe. Ismail kwa kutuzindua na kuijua nchi yetu na kumjua Bw. Mshangama.

  • @Suleimansalum
    @Suleimansalum 2 роки тому +6

    Asanteni kwakutusogezea kitabu chengine cha maulid mshangama. Mimi ssubiri iishe ni download napenda sana kuzirudi kuskiliza, najifunza mengi

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 2 роки тому +1

    Ninawashukuruni sana kwa kuweka wazi njama za makhabithi wa Kingereza na kibaraka wao.
    Mwenyezi Mungu ndiye anaelipa.

  • @innocentman5954
    @innocentman5954 2 роки тому +2

    Natamani kujua neno " Tanganyika" lilianza kujitokeza mwaka gn... Ntashkr sana

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 2 роки тому +1

    Maalim ghasan tunafaidika sana na tfunue kitabu hakika kitabu ni bahari ya elimu

  • @buchbeats5337
    @buchbeats5337 2 роки тому +3

    Ahaaa kumbe sababu ya watanganyika kuja kufanya Genocide ZNZ 1964 na hatimaye ZNZ kugaiwa kwa watanganyika ilikua Mistri!!! GOOD TO KNOW

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 2 роки тому +1

    Namtamani bwana riyadhi Abuu Said
    Allah Subhanahu Wataalah akubarilieni na akulindeni

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 2 роки тому +4

    Huyu a anafaa kuwa wakili wa serikali ya wazanzibari wala sio serikali ya mabeberu waliopo hivi sasa waliopewa na hao Waingereza.

  • @zingzong3928
    @zingzong3928 2 роки тому +1

    Kumbe tatizo letu SI bara Bali ni khiyana za waingereza.

  • @zingzong3928
    @zingzong3928 2 роки тому +1

    Kumbe lengo lilikuwa ni empire ya Zanzibar ambayo ilikuwa ni tishio kwa mabeberu Hawa wa Dunia. Na inaonekana lengo lao ni kufuatilia mbalini empire hiyo ya Zanzibar.
    Ambayo ilianzia Oman hadi Mozambique.

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 2 роки тому +1

    Saivi Kamal Abdul nassir hayupo kwanini Hawa waengereza hawatuachi huru Mana Kuna shinikizo lao bado ndo Mana Kila miaka mitano tunashinda uchaguzi na ushahidi unakuepo lakini hatupewi na hata ukiwashtakia wao hawasemi kitu

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 2 роки тому +1

    Ok well well well. Kama hali ilikuwa au bado iko hivo sasa nini tufanye? Tumeunganishwa ili tunyimwe tunyang'anywe tunyanyaswe na kudhulumiwa na baya kuliko yote ni kwamba hatuna wa kumshtakia. Tulieunganishwa nae ni akhas mkorofi zaidi na anatumia hiyo fursa alopewa ya kutudhibiti. Nini tufanye ili tutoke hapa tulipo?

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 Рік тому

    Kumbe huu ujinga wa kuwadhalilisha wazanzibari kuwapeleka bara kuwafunga ulianza zamani

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 2 роки тому +1

    Wala hafai kuhadithi habari zilizoita bilakuzisoma

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 2 роки тому +1

    Kwanini tusichagize madai ya Katiba mpya kubadilisha Mfumo wa Haki na Uwendeshaji wa Muungano tulionao? Kwanini tusipaze Sauti zetu kudai Haki zetu ndani ya Muungano. Ni wakti huu sasa SUK idai maslahi yake ndani ya Muungano bila kutetereka.

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 2 роки тому +2

    Mm nauliza kati ya hao mabeberu yupo alie hai mpaka sasa?

    • @ismailjussa7644
      @ismailjussa7644 2 роки тому +2

      Katika hao tuliowataja humu kupitia kitabu hichi ZANZIBAR: THE LAST YEARS OF THE PROTECTORATE cha Sheikh Maulidi Mshangama, hakuna aliye hai sasa.

    • @salimmasoud1253
      @salimmasoud1253 2 роки тому +1

      @@ismailjussa7644 shukran sana Allah akuhifadhi

    • @yassirhkingyassirhking6720
      @yassirhkingyassirhking6720 2 роки тому

      Histor ipo vzur ila kwangu inaniumiza moyoni Allah awahifdhi woote viongozi wetu walio tangulia

    • @hilalal-busaidi4007
      @hilalal-busaidi4007 2 роки тому +1

      Namkumbuka Msshangama Kisiwani pemba

  • @jumaissaali2774
    @jumaissaali2774 2 роки тому +1

    How can I get my copy?

    • @ismailjussa7644
      @ismailjussa7644 2 роки тому +3

      Uagizishie kutoka Muscat kilikochapishwa au ununue kutoka Amazon 😂😂😂

    • @nassorkhamis7091
      @nassorkhamis7091 2 роки тому +3

      @@ismailjussa7644 atakwenda uyo ndio kwao ukoo namjua mm😄

    • @nassorkhamis7091
      @nassorkhamis7091 2 роки тому +1

      juma habar kaka umepotea

    • @jumaissaali2774
      @jumaissaali2774 2 роки тому

      Nipo @nassor