Munaqasha Jee Maulidi ni Ibada au Ustadh Part-4 | Ustadh Fadhil Ashirazy

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 95

  • @issamohammednassor8688
    @issamohammednassor8688 Рік тому +1

    Dah mashallah sh fadhil ni moto kawachakaza genge la kiwahabi lote

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 Місяць тому +1

    Nilikuwa sisome maulidi lakini sasa nitayasoma kwa sababu sijaona makosa kumsifu mtume nimepata ilimu shukran kwa kuniokowa kube nilipotezwa na mawahabi ni mahasidi na ilimu awana shukran nampeda mtume

  • @swabrianwar1020
    @swabrianwar1020 Рік тому +6

    kikundi cha mawahabi watolewa kijasho na mtu mmoja tu katika twarik hii n aibu

    • @selasboy3966
      @selasboy3966 Рік тому +2

      Shekhe wakisufi katoa wapi dalili anaruka ruka tu kama chura sikia wasomi nahoja zakielim mpuuz usiwe mfuasi waupuuzi.

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi Рік тому

      ​@@selasboy3966
      Elimu ipi

    • @habibmayike7463
      @habibmayike7463 Рік тому

      ​@@selasboy3966zuzu wewe unaona elim gani ww kutoka kwa mawahabi

  • @arifosman3500
    @arifosman3500 Рік тому +2

    MASHAALLAH sheikh yuko pekeyake anazivunja hoja za mawahabi karibu kumi na zaidi... na amewapa hoja moja tu mawahabi wanashindwa kujibu.

    • @saidahmada9118
      @saidahmada9118 Рік тому

      Kunajitoa mshipa wa fahamu wee

    • @abuasya2595
      @abuasya2595 Рік тому

      Usijitoe fahamu, itizamo huo mnaqasha full kisha ndio useme alikua peke yake hahahaaaa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому +1

      Kweli kabisa mawahabi vichwa vimeoza

  • @ahmedlali7823
    @ahmedlali7823 Рік тому +4

    Mahawabi wamepata kisunzi

  • @allyhemed6380
    @allyhemed6380 Рік тому

    Saf shekhe maaashaaalla

  • @coolvoices6608
    @coolvoices6608 Рік тому +1

    Huyu ndie Simba aliyezaa shibli sheikh Said Ashirazy

  • @abuidifundi2016
    @abuidifundi2016 Рік тому +1

    UST fadhli aliwanyoosha
    Na vibaya zaidi Ni kuwa mawahabi hawajui lugha

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 Рік тому +1

    Hawa mawahabi hata kusoma hawajui tena wote

  • @allyfundi6405
    @allyfundi6405 Рік тому +1

    Mawahabi wamepoteana Kaz kufuga ndevu tu na kuvaa viroba vya kanzu lakin vichwa vimejaa maji machafu nimemuelewa shekh anavyo wapelekea moto

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Uongo zaidi ya sehemu 28 umetwajwa haujakutosha kwamba Maulidi na kitabu cheni havifai

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf Рік тому +3

    Maulidi jee masahaba wa bwana mtume (Rehma na amani zimshukie) walifanya?

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 Рік тому

    Shukran habeeb wanyooshe tu mpk haki waione angalau watarudi kusoma

  • @saidahmada9118
    @saidahmada9118 Рік тому

    Enyi waja nyee sikilizeni pwenti msifate ushabiki

  • @muftiahmadimahmudulemba1918

    Wapi mtume kagawa Mungu anazotawhidi3 za kikiristo?

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp Рік тому +1

    Maulid halina msiingi wa dini

  • @sudisalehe192
    @sudisalehe192 Рік тому +1

    Masufi awawezi jibu hoja kazi Allah atuhifadhi

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 Рік тому

    PEKE YAKE ANAWAENDESHA MBIO MBAYA KABISA

  • @abdulmwishekhe1439
    @abdulmwishekhe1439 Рік тому

    Salama to live record anastaajabia mtu mmoja toka hoja hizo je wature wanashindwa hoja na huyo mtu mmoja

  • @azzahrau
    @azzahrau Рік тому +2

    Hawa mawahabi siwaeke munaqasha wa wa bidaa yao yamashindano ya quran?

  • @saidyusuf9245
    @saidyusuf9245 Рік тому

    Sasa hayo maulidi ni ashyaa au nibada masufi mbona mawajitanganya

  • @rashidinjoe8167
    @rashidinjoe8167 Рік тому

    Nyenzo zote za msingi za kumuwezesha Mtume na maswahaba Kusoma maulid zilikuwepo lakini hawakusoma kwa sababu sio jambo sahihi aliolielekeza Mtume.

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +1

    😂😂😂jamaa ye ndo kawa anadai sasa Aya eti wapi ilisema maulidi hayafai😂😂😂 kazi kweli

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi Рік тому

      Eeeh mwenye kuharamisha ndiyo atakiwa kutoa dalili ya kuharamisha siyo wenye kuthibirisha

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 Рік тому

    Mbn mtume hjfny hya maulid ht maswahaba htuksikia wkisom maulidi, au maswahaba hwmpnd mtume hwjui kumsifu

  • @binaamour318
    @binaamour318 Рік тому +5

    Yni wako Zaid wat 5 washidwa kumfilc hoja za kielimu huyu mmoja tu!

    • @saidpolish1988
      @saidpolish1988 Рік тому

      Kabisa

    • @idrisjames9392
      @idrisjames9392 Рік тому

      Kakwambia nani km wanashindwa? yeye ndy anabaika tu hana hoja

    • @idrisjames9392
      @idrisjames9392 Рік тому

      Kakwambia nani km wanashindwa? yeye ndy anabaika tu hana hoja

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 Рік тому

      Watu wote hao hawamshindi kielmu dah kumbe mawahabi bure kabisa ama kwa matusi elimu hio wako juu

    • @ausimuba6336
      @ausimuba6336 Рік тому

      Tena wako juu

  • @shedrackhussein7791
    @shedrackhussein7791 Рік тому +1

    VVijana wa kiwahabi hawakai chini kusomeshwa wao husoma mitandaoni. Hii ni hatari sana.

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili6837 Рік тому +5

    Assalamualaikum,mimi naomba kuliza swali au maswali nisaidiwe,kwani kila jambo jema lazima awe amelifanya mtume?,nakama ikiwa ivyo je vipi mashindano ya Quran yanayo fanywa sasaivi ivi mtume au maswahaba waliyafanya?,pili msikiti mtukufu wa makkat ivi ulivyo ndivyo alivyo uwacha mtume?,nakadhalika,sasa kwanini tushindand waislam kwa waislam,inamana jitihada za wanachooni wasasa zikifanywa zitakua halam kama zinamaslai ya dini,kwani katika maulid watu wanafundishana umalaya au anatwajwa mungu na mtume kama kunakasolo ndogo ndogo za kihitikadi zisiwe sababu ya kufalakana. ivi alie tunga kitabu cha balazanji asijue kialabu vizuri ujekujua wewe uku mbongo ambae rugha yako yenye f40 pacent inatokana na kialabu sisi tuejua lughat ralabia ndio tunatafsili maneno kutokana upungufu wa ujuzi walugha yetu.

    • @saidahmada9118
      @saidahmada9118 Рік тому +1

      Abuu dardaa aliwashindanisha watoto Qur ani huyo ni swahaba wa Mtume s w a halafu tosheka na yale aliofundishwa Mtume kutoka kwa Mola wake nasialilokuja nalo MTU na Mtume kasema katka hadithi sahihi Bora yazama ni zama 3 sasa maulidi sikatika hizo zama .iyo kiufupi 2

    • @swalaheswalehe
      @swalaheswalehe Рік тому

      Walleykum Salam al akh kumbuka mashindano yà qor Ani pia ss masalafyiu tunapinga Hilo na halipo kwakuwa mtume s w l Wala maswahaba hawakuwahi kufanya iv na ndy maan ss tunafuata wema walio tangulia kina salafy swalehe nadhani utaelewa apo

    • @saidahmada9118
      @saidahmada9118 Рік тому

      Kwanza ujue kuzua jambo lolote ukalinasibisha na dini ilo halita faaa mashindano ya Qur'an yamefanywa na maswahaba Abuu dardah huyu niswahaba wa Mtume ukimsoma utakuta hili jambo kua limefanyika napia zingatia uzito wa dhambi ya uwongo ,shirki halafu kikubwa zaidi unaemsingizia nikipenzi cha Allah.nasha zangu kwenu mimi naona hapana haja ya kufata ushabiki jambo likeshakua halifai ndohalimo tusilazimishe ,jambo hili halina mafundisho ya Mtume wala halikujuulikana vp sisi tulifanye au munataka kusema kwamba Mtume ametufanyia ghiyana hakutundisha ijapokua amepewa atufundishe? Tusifike huko

    • @aljahuur
      @aljahuur Рік тому

      ​@@swalaheswalehemawahabi wotenafanya mashindano huna ujuachp laa kimya mujassima wewe

    • @kitosio
      @kitosio Рік тому

      Mwamba Maulidi yamefanywa kuwa NI Ibada!!!!! Hawa wanasema NI Ibada. Ibada ina njia maalum inapita Kwa mtume S A.W.

  • @NaziluSaidi
    @NaziluSaidi Рік тому +2

    Yaan watu wa bidaa wabishii mnoooo

  • @saidahmada9118
    @saidahmada9118 Рік тому +1

    Huyu Sufi kapandwa na kichaa , jambo ambalo amelikubali Mtume ilo halina kipingamizi lkn sio alilolieta MTU sio aje MTU nalake tu halafu tumfate

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 Рік тому

      Yafaa akili yko ifanye kazi bro kumbuka wamesema maulid hayafai coz yameanzwa na mashia sbbu munaitakidi mashia ni makafiri sasa yy akawapa kichapo mmbo yameanzwa na majusi majambazi kbsaaaa hata hawajui kutamta shahada sasa point hapo sio muanzishaji hapo ni jambo ndo linaangaliwa jee linafaa au halifaa katika sheria ya kiislam kma jambo lafaa kwnye sheria bc haiangalii nani ameanzisha bora liwe zuri tu wa unatumia youtube haya niambie shekh gani alozindua youtube

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 Рік тому

      So cwez kwambia youtube haifai sbbu ineanziswa na kafiri shida jee utaitumia vp nadhani umenielewa kma hujanielewa rudi kwnye hadithi atakae anzisha jmbo ambalo haliko kwnye misingi ya sheria yetu yaani kwnye muenendo wa kiislam bc itarudishwa lkn atakae anzisha jambo ambalo linaafikiana na sheria yetu ya kiislam bc halirudishwi hujaambiwa lazma jambo hilo alianzishe muislam cjui umenielewa

  • @abuuabdissalaam2023
    @abuuabdissalaam2023 Рік тому

    @ALI FAZA Hebu weka full video original yenyewe bila kukata kata vipande na kuedit tuwanase makhurafi,,,

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Рік тому

      La muhimu Ni kua upate kufahamu mulivyo jibiwa nyinyi wanafiki wakiwahabia.

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 Рік тому +1

      Baba hakuja editiwa kitu hapo elimu hamuna mawahabi yaani mtu mmoja kwa watu wote hao aibu aibu tena aibu kubwa tunazidi kujua mawahabi hmn kitu

    • @abuuabdissalaam2023
      @abuuabdissalaam2023 Рік тому +1

      @@allylassuh4947
      Huelewi mambo ya technology tunaoelewa wenye maarifa nayo,,,sina maana wameedit ila kuna vipande vimekatwa ndo maana nasisitiza ikiwa ni mkweli aweke full video kwani tatizo nini

    • @abuuabdissalaam2023
      @abuuabdissalaam2023 Рік тому

      @@hassanalhussein3982
      Kingine hakunaga mjadala wa dakika moja moja au mbili wanapeana ima dkk ishirini au zaidi ukiona sheikh hapo anaongea dkika moja jua kumekatwa na kuunganishwa ili kutimiza matamanio ya nafsi yake

    • @abuuabdissalaam2023
      @abuuabdissalaam2023 Рік тому

      Zindukeni enyi MASUFI

  • @abdulghanymohammed5618
    @abdulghanymohammed5618 Рік тому

    Kama wapinga maulidi na ukila pilau au biryani yafaa usaidizi jamani 😅

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp Рік тому +2

    Maulid ni dhambi

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 Рік тому

    SIMBA MMOJA APAMBANA NA CHUI 5 NA AWABURUZA NI AIBU😅

  • @mohamedadam7880
    @mohamedadam7880 Рік тому

    Huyu mgunya apotosha watu

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 місяці тому

    Usuf ni uzandaqa

  • @hassanalhussein3982
    @hassanalhussein3982 Рік тому

    Hawana dalili ya kua Maulidi hayafai. Mawahabi hawana dalili ya qismu tauheed kwenye quraan au hadith. Qismu tauheed ilikuja karne ya 11 na maulid qarne ya 7.

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Рік тому

    Kama iyi channel yako niya kudume weka mjadala masufi na mashia tuone kama watawapa tena pesa ya kipunga😂😂😂😂😂

  • @aljahuur
    @aljahuur Рік тому

    Leteni hadithi sahihi na aya za quran wap bidaa kuadhimishwa mtume

  • @fathisalim2575
    @fathisalim2575 Рік тому

    Mtu mmoja anawaburuza watu sita mawahabi wahapigi magote kwa mashekhe wasome.

  • @abubakarbakari9372
    @abubakarbakari9372 Рік тому +1

    Hawa mawahabi hawakusoma kweli huyu sheikh fadhil awapeleka mbio hamuoni haya watu saba kwa mtu mmoja 😂😂😂😂😂😂

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Рік тому

      We huoni kuwa ni dalili kuwa mawahabi wasomi ni wengi nyie masufi wengi ni wajinga hamna wasomi mwategemea mtu mmoja kwakuwa hamna wasomi wakutegemewa,,,,someni muwe wengi

  • @saidikhalphan
    @saidikhalphan Рік тому

    Alierusha video hii ni mhuni na hana uadilifu,ukitaka kujua hilo tafuta video ilioanza mwanzo mwisho,uongo unamwisho wake

  • @anyeresa928
    @anyeresa928 Рік тому

    Huyu sheikh wa kisufi mbona hataki kuwapa wenzake nafasi.... Au hawajui chochote

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      Huyo ni mwanafunzi akiwapa wenzake sio mumekwisha huyo moja hamumuewezi jee hao wengine mutawaweza

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Рік тому

    Kundi zima jamaa ni jazba tupu kuliko elimu.

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 Рік тому

    Wewe wahabi huna mungu kazi kumchukiya mtume nyamazeni mashoga nyinyi

    • @mudybeka6698
      @mudybeka6698 Рік тому

      Ww hata swala uijui alafu watukana masheikh...mweu wewe

  • @muftiahmadimahmudulemba1918

    Mtu mmoja tu awasumbua wahabi hamnakitu

  • @azzahrau
    @azzahrau Рік тому

    Mbona nyinyi mna bidaa hio mliotajiwa hapo aqsam tawhid hio vp?
    Ama nyinyi ndo mna haki yakuzusha wwngine hawana
    Mtuminakwambia ukitaka kusema ya watu kwanza taja aibu yako
    Nyinyi mna yenu hayo alafu kimba kimba mwawasakam wenzenu
    Kumbe nyinyi wenyewe siwasafi duh hi kali

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 Рік тому

    Masufi 😂 makhulafi niwaganga wakienyeji hawana tauheed yakweli ata machoni tu niwaongo nawazushi hawamuofii Allah...hamna dalili ni upuuzi tu

    • @AbuuZahir2.
      @AbuuZahir2. Рік тому

      Leta wewe hoja za uhakika

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 Рік тому

      Sasa hii ndo hoja yko ya kupinga maulid eti ndo umewasaidia mawahabi wenzako kuharamisha maulid kwa hoja hii hehehehehe polen sana someni pigeni magoti kaeni chini nguo zikatike kwa kusoma sio musome kwa google madhara yake ndo haya watu 100 kwa mtu mmoja tu na bado hamna hoja 😂😂😂😂