KAMA UNABISHA NIPE MKONO - KIMBEMBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 97

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 7 місяців тому

    Diva Napendag gisi unavyo ongeag vizr san❤🇴🇲🇧🇮🎉🎉

  • @Userog254
    @Userog254 3 роки тому +11

    Kimbembe bonge la artist maana anavyoigiza na akiwa kawaida nitofauti

  • @stelabrent6056
    @stelabrent6056 3 роки тому +10

    kimbembe ni mwanaume anajiamini 😄😄😘

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +2

    Nakupenda diva wengine wanacomment vibaya na mapenzi ni kitu cha kawaida na pia kuna wengine hawajuwi lazima wajifunze kwa wengine.

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому +7

    🤣 🤣 🤣 Kimbembe vzr umetoa hisia jaman mapenz ni moyo sio. Pesa

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 роки тому +9

    Huyu Mwamba kumbe kule anatuigizia tu ila ni bonge la Gentleman 😁😁😁

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 3 роки тому +3

    Kipindi cha kuendeleza ujinga tu yaani dunia imeisha kwa kweli

  • @allyhamadi678
    @allyhamadi678 3 роки тому

    uyo sio mwanamke mwenye heshima Mana angekuwa na adabu urivyo mwambia asimame Basi angeshimama kwa eshima Kama ishala ya kukueshim

  • @khamismcha9294
    @khamismcha9294 3 роки тому

    Kaz umalaya tuu

  • @fakiibabalao4185
    @fakiibabalao4185 3 роки тому +5

    Umeuwa jesh akupe mkono

  • @euverusjohn539
    @euverusjohn539 3 роки тому +1

    Da kimbembe ni nomaaa

  • @theleziangwipa654
    @theleziangwipa654 3 роки тому

    Haa kimbembe noma

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 3 роки тому +1

    Kimbembe

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 роки тому +32

    Watoto wazuri kama hao bila pesa utaendelea kuwaita ma Shemeji 😬😬😬

  • @salmiraming9026
    @salmiraming9026 3 роки тому +3

    Kimbembe hongeraaaa nice choice

  • @tysonkiddii5789
    @tysonkiddii5789 3 роки тому +4

    Huyu presenter Diva ni bongo lala😅😅😅hajui interview kabsa

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 3 роки тому +3

    Kama unabishana na mimi dogo nipe mkonooooo

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 роки тому

    Unakaribisha zinaa DIVA UTAJIELEZA KESHO KIAMA

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 роки тому

    Saffii mwambaa, kaz nzuri

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 3 роки тому +4

    Unakuta anamjua anawanaume wengine

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +9

    😂😂😂😂 kimbembe fanyeni kweli

  • @ndilanajunior
    @ndilanajunior 3 роки тому +13

    Apo kiufupi uyo dem ajamuelewa tu na awaendani kuanzia ata kwenye Weight yao na ad looking yao bado dem kaamua kukwepesha tu kusema yupo kwenye mausiano ka balance kiutu uzima

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 3 роки тому

    Jamaa jasiri aise

  • @onlythestrong8659
    @onlythestrong8659 3 роки тому +4

    Never kneel for love.

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +1

    Kimbembe unapesa

  • @sophiehammond77
    @sophiehammond77 3 роки тому +10

    Kwa hiyo mmpenda hio story ya teacher konde🤣 kama unabisha nipe mkono👋🤣🤣 mliona ni upuzi kutomposti ...Sasa mnamposti Kwa maongeo

  • @neemabenjamin380
    @neemabenjamin380 3 роки тому +8

    Nakupendaga Sana diva💋💋💋😘

  • @hasheemonline2765
    @hasheemonline2765 3 роки тому

    Jamaa kakosea kitu KIMOJA saut shusha ili atulize kwanza uwo mchecheto wa furah yake

  • @shadhuriluambano7556
    @shadhuriluambano7556 3 роки тому +9

    RIP JPM, yani television siku hizi wanamavipindi ya hovyo tu

    • @WATCH_THIS-y7j
      @WATCH_THIS-y7j 3 роки тому

      Unajua maana ya Lavidavi mtu wangu Ni kipindi Cha mapenzi ndy maana kinaoneshwa usiku saa 6

  • @kuluthoomhussein3761
    @kuluthoomhussein3761 3 роки тому +1

    Uyo dad namkubali xan

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому

    Mwanamke kashakubali

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 3 роки тому +1

    Nipe mkono kama unabisha

  • @milomohmooh9212
    @milomohmooh9212 3 роки тому

    Hii Redio ifungiwe haifundishi chochote zaidi ya ujinga tu

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 роки тому +1

    Hao so wa kuoa unabutua unatafuta njia unakwenda

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 3 роки тому

    Kimbembe jamani

  • @upendotv361
    @upendotv361 3 роки тому

    Kimbembe ushogaa uooo

  • @eliaspeterkigonagi4986
    @eliaspeterkigonagi4986 3 роки тому

    diva haushindwi mamaa

  • @ramadhanimataka7283
    @ramadhanimataka7283 3 роки тому

    Sawa

  • @placidiasilvanus9113
    @placidiasilvanus9113 3 роки тому

    Hot interview shallow out

  • @robertmigabe8721
    @robertmigabe8721 3 роки тому

    Mpeeee mkonooo

  • @silvanusmatonya3531
    @silvanusmatonya3531 3 роки тому

    Apo kombi haijabalance aje kwangu huyo manzi mtoto anashingo ya twiga sio poa

  • @mwamvuaissa1925
    @mwamvuaissa1925 3 роки тому

    Minapita tu jaman

  • @halimaabubakari1506
    @halimaabubakari1506 3 роки тому

    Kimbembeee jmn

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 3 роки тому +7

    🤣🤣 maneno mengi siku mbiili taraka wabongo hodori wanaigiza mpk ktk maisha,

  • @mysticman86
    @mysticman86 3 роки тому

    Boy child amewekwa kwenye spot!

  • @rehemandewingia4741
    @rehemandewingia4741 3 роки тому

    Safi

  • @j...876
    @j...876 3 роки тому

    KIMBEMBE WAREMBO WOTE WAHITE MA SHEMEJI TU🤣🤣

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 роки тому

    Kimbembe😆

  • @bintihijjah9822
    @bintihijjah9822 3 роки тому +1

    Maskini kimbembeee kashapenda hukooo.🤣🤣🤣

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому

    Harmonize katuachia msemo halafu yeye kabaki na arabii Kwa boss wake Diamond 😂kama unabisha nipe mkono

  • @rashidilibuka3333
    @rashidilibuka3333 3 роки тому +1

    Kwao ukitaka kuoa utaratibu wao kaka yake akutie kidole vp upo tayari kufuata taratibu kimbembe

  • @REAN-MEDIA
    @REAN-MEDIA 3 роки тому

    Diva ni kumq

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +5

    🙄🙄🙄🙄Makubwa Uma haRufu kazi jaman 🤔🤔🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️kwanza kimbembe pesa ipo au!??

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 роки тому

    Nipe mkono

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 3 роки тому +1

    Hampendi

  • @fadhilamruma4820
    @fadhilamruma4820 3 роки тому

    Huyu dada si aliolewa na Abdul wakati wanaigiza siri za familia?

  • @hizzomaplan1409
    @hizzomaplan1409 3 роки тому

    Maigizo

  • @rashidilibuka3333
    @rashidilibuka3333 3 роки тому +1

    Jamaa hajitambui kabisa alafu mshamba na siku zote wanawake hawapendi wanaume washamba ,,, simaanishi ametoka Shamba Bali anamuonekano na maneno ya kishamba bro hajitambui alafu hajajipanga

  • @hajrambarouk4246
    @hajrambarouk4246 3 роки тому

    Jmny kimbembe ana mistari 😂

  • @esauedison8136
    @esauedison8136 3 роки тому +3

    ❤️❤️❤️

  • @wilonderby
    @wilonderby 3 роки тому +7

    🔥🔥🔥

  • @estermassawe1687
    @estermassawe1687 3 роки тому

    Mmmmh kimbembe

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 роки тому +1

    Diva wewe

  • @mussamayele3134
    @mussamayele3134 3 роки тому +3

    oya bro mbona unafanya kweli? baa

  • @danielwares8668
    @danielwares8668 3 роки тому

    Huu ushamba tuuu

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 3 роки тому

    😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 3 роки тому +5

    🤣🤣❤🔥🔥🔥

  • @ndikumanarodrigue5657
    @ndikumanarodrigue5657 3 роки тому +1

    Félicitation

  • @mysticman86
    @mysticman86 3 роки тому

    Apan pigia skirty magoti. Stay taliban

  • @emmanuelytunduma8127
    @emmanuelytunduma8127 3 роки тому +1

    😄😄😄😄😄🔥

  •  3 роки тому +1

    Diamond platnumz alivyomvua nguo harmonaize hutoamini😂👇🏾👇🏾👇🏾
    ua-cam.com/video/1HpuWpZVkxE/v-deo.html

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 роки тому

    🤣🤣🤣 Nope mkono

  • @neemahabiye
    @neemahabiye 3 роки тому

    Maswali ya diva bhn cyapendagi bc tyu

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 3 роки тому +1

    😂😂Diamond platnumz hatimae âme mjibu harmonize ki djanja djanja jionee
    Apa uta cheka 😂😂😂👀👀🙆
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/D5Cexy_UXxU/v-deo.html

  • @gladysilavuha8501
    @gladysilavuha8501 3 роки тому

    😅😅😅😅😅 gaaiii

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 3 роки тому +2

    😂 😂 😂 😂

  • @salafinatanzani2813
    @salafinatanzani2813 3 роки тому

    🤣😂😂😂😂

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 3 роки тому +2

    Hhhhhhh