HIVI NDIVYO DULVAN ALIVYOMKANA MWANAMKE NDANI YA STUDIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 564

  • @mbtvmedia6827
    @mbtvmedia6827 3 роки тому +4

    Uyu duluvanny ni msenge sana adi me kaishafnya kitaa chetu mademu wote wakee uo umama

  • @hadijajumanne5493
    @hadijajumanne5493 3 роки тому +4

    We umekataliwa zaa endelea na maisha yako kama mtoto wakeatakuja tu

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 3 роки тому +15

    Watu wanajenga brand zao kwa gharama kubwa sana harafu mjinga mmoja anakuja kuibomoa sekunde tu, pole sana mwanangu Dully

    • @leyxon_delee
      @leyxon_delee 3 роки тому

      Na kama ni ukweli? Sio kupanda miti kila mahali kama huezi tunza bro

    • @magrethmboweto1045
      @magrethmboweto1045 3 роки тому

      @@leyxon_delee be

    • @azizayub4444
      @azizayub4444 3 роки тому

      Hadi wakuharibie dada ako Hawa mbwaa ndio utajua inavyokera inavyoumiza wanatumia u superstar wao kuwalaghai wadada ila sio mbaya kinachowapataga n siri zao Vengu wa ze comedy anao ushuhuda

    • @alawifarahani4788
      @alawifarahani4788 3 роки тому

      @@azizayub4444 Imekuaje kwa vengu

    • @azizayub4444
      @azizayub4444 3 роки тому

      @@alawifarahani4788 alishandana na alipotoka
      Watu hawajui wanawake wao wawafiche wapi Vengu asiwapitie
      Aah kwani k inamkawiza mtu bwana yule pale haeleweki hatengemai Hadi Leo
      Staa mwingine Mr Nice tabia zilikuwa ndio hzo
      Yakamkuta hayo hayo
      Ukiwa staaa mziki maaigizo michezo adui namba moja kwako ni WANAWAKE &ULEVI hayo mambo mawili unapotea na tunakusau
      Sio kwa mastaa mtoto yeyote wa kiume

  • @lilhomies2541
    @lilhomies2541 3 роки тому +5

    Ishu ya lulu na lavalava ilikua Kiki 1000000000% ya kisogeza project Yao na sivenginevyo... Bahati nzuri walifaulu

  • @ninacuteninacute2567
    @ninacuteninacute2567 3 роки тому +1

    mnataka kfny kiki tn ili muweze kutoa nyimbo nyngn hy maana ndy maisha yenu wcb

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +19

    Anataka kiki huyo ili ajulikane kwenye mitandao na ww usiwaharibie wenzio mtandao wao achana na vipindi kama hivi vya kipumbavu.

  • @christellekisimba2447
    @christellekisimba2447 3 роки тому +1

    Sijiwi ni comment wapi duuuh jamani mbavu zangu 🤸‍♀️🤸‍♀️🙌🤣🤣🤣🤣

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 роки тому +2

    Dada hiyo mimba lea tu,ujue mimba ni ya mama dada usilazimishe akubali wanaume ndivyo walivyo mwisho wa siku mtoto anasema wake.Ujumbe kwa wadada wote Tz usiwe rahisi rahisi kubeba mimba ukazani mwanaume utakuwa njia mmoja,mwisho wa siku anakukana mbela za Jamii.

  • @RebeccaLongo-h2i
    @RebeccaLongo-h2i Місяць тому

    Hivi Kwel mwnamke anaez lala na mwanamke afu asijue kwel 😂aah Dulivani

  • @rahabupius1401
    @rahabupius1401 3 роки тому +4

    We dulivan ww hebu sema ukweri huko humjui vipi mbn unamuonea aibu sasa 🤣🤣🤣🤣

  • @greenarnwa8481
    @greenarnwa8481 3 роки тому +3

    Jamani kama walifanya kwa siri basi waendelee na siri.

  • @shanimwakilima968
    @shanimwakilima968 3 роки тому +1

    Mtangazaji ongea kiswahili hii TZ mamaa ya wabongo waswahili

  • @mussalameck2166
    @mussalameck2166 3 роки тому +2

    Aah kwa dullyvan aiseeh sio kweli anambambikia tuh coz munyewe alipo hapo anatafuta bwana ampe mimba 🤣🤣

  • @hugomtete8484
    @hugomtete8484 3 роки тому +22

    Mbna kama dulvan anataka kulia.AF diva huu ni upuuz pleas usilete watu wa aina hyo

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 3 роки тому

      Ni kkkk wamapanga wewe jaujuwi bongo kwa kkkkk kama Lava Lava Lava na diva

    • @luciahmwai567
      @luciahmwai567 3 роки тому

      It looks like serious ju dulvan kaibu alie

    • @joymsupagladysijeya8384
      @joymsupagladysijeya8384 3 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @suzanaemanuely8788
      @suzanaemanuely8788 3 роки тому

      Anatia aibu

    • @zulfasaeed7445
      @zulfasaeed7445 3 роки тому

      @@michelinemapendo6652 amna hii sio kiki ya hyu dada anataka tuu ajulikane unajua dully sio mtu wa mkiki jmn alaf kachukia sana

  • @jumarashid6905
    @jumarashid6905 3 роки тому

    Jaymoohy Rashid kutoka Mombasa Kenya, WCB for life.

  • @johntee7016
    @johntee7016 3 роки тому +1

    Ndio maana nakpenda madem Wa Kenya wanajua kujiexpress na kiingereza kingi adi unaenjoy lakn Uyu Dada n kama amechanganyikiwa I say

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 роки тому +2

    Nikiwa kama mwana sheria msikilizaji wa kesi huyu mwanamke anaongea ukweli kabisa na huyu mwanaume anatumia umaarufu wake kwaajili ya kumfanya huyu mwanamke aonekane anatafuta kiki is enough

  • @vailethmtawa3337
    @vailethmtawa3337 3 роки тому +7

    Leo wa kwanza naombeni like zenu hata 10

  • @adenidaniel8342
    @adenidaniel8342 3 роки тому +2

    Hichi kipindi kimekuwa kibaya mnoo watu wanatafutia kiki redioni na kitapoteza ubora kabisa 😎😎

  • @ErickLusaluwa
    @ErickLusaluwa 3 місяці тому

    Sema hyu dada anaonekana ni kweriiii sema jmaa anaogopa ktoka na demu w mpolpolii

  • @birehaissa2661
    @birehaissa2661 3 роки тому

    Diva tumia mda wako vizuri wasafi usifanye comedy pasipotakiwa comedy

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 роки тому +2

    Dullvani mbona anaongea kama nandy au ndokuvurugwa kwenyewe 😂😂😂

  • @beatricenjau2792
    @beatricenjau2792 3 роки тому +7

    Huyo dada anataka kiki tuu, why umgande mtoto wa mwenzio bibi wee

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 3 роки тому +1

    We sister nae ,,,
    Unakela kizungu sana ,,,, ww unafkili wote tumesoma nmkua nkipenda sana ,,,, kipnd hiki lkn nkikuona ww ,,, tuu hua sfungui tuachie kzngu ,, bhn

  • @chrisgadbreezy6003
    @chrisgadbreezy6003 3 роки тому +9

    Nendeni mka pime DNA 🥺🥺🥺 afu pole sana kwa uyo dada Ivi kwanza kwa nini wanaume tuna tabia kama izo wakati tunapiga mimba kwanini huwa tuna zikatala 😅😅

    • @Fahadi2023
      @Fahadi2023 Рік тому

      2023 😂😂 amelowa wa harmo jmn hyu mdada n muongoo

  • @kautharramadhan6251
    @kautharramadhan6251 3 роки тому +12

    Napenda diva anavyoongea😍

  • @wazirijunior3343
    @wazirijunior3343 2 роки тому

    Hv huyu si ndo ambae amelowa kwny nyimbo ya konde boy lkn hapo kabla hajalowa😂😂😂😂

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 3 роки тому +1

    Dullivan huyo Ni mwanamke mwenzie hawajui tu😂😂

    • @Dreidamaa
      @Dreidamaa 3 роки тому

      Penina ntakuchapa 😂😂

  • @celestineoloo5825
    @celestineoloo5825 3 роки тому +2

    Jamaa kaingia studio na pajamaa

  • @shedracknassary1495
    @shedracknassary1495 3 роки тому +2

    Uyo dad liongo sana anamsingiy mweziyo apeleke shobo uko kwni iyommba mtangazo paka aipeleke sdyo anatfut kki uyo

  • @kincyohana9333
    @kincyohana9333 2 роки тому

    Uyo dada inaonyesha ni mkweli kabisa wakapime DNA ya mtoto na baba ila wanaume tunalaa kubwa sana kwa mtindo uu wa kuwabebesha wadada mimba na kuwakataa pole Dada yangu

  • @juliahjoseph5131
    @juliahjoseph5131 3 роки тому

    Mwanamke hakuna keys points alizokuwa anaongea 😂😂😂😂 ata kumshawishi ameshindwaaa

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 3 роки тому

    Hii ishu sio serious...inaonyesha kabisa Wana Act Hawa wote wawili

  • @kellyyobaibe4027
    @kellyyobaibe4027 3 роки тому +3

    Hii stori mnapangaga kweli mtu aneza zani tu ni ukweli😂😂😂 mlianza na ya lavalava BT mnajaribu sana

    • @allysarha1317
      @allysarha1317 3 роки тому

      Wanapanga kwer weangalia tu wausika km wanataka wachekee wanajikaza

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 3 роки тому +8

    Diva toka ile kiki ya lavalava na lulu atukuamin kbs alafu uyu dd kama nikweli bs katumwa na muongo ila kipind punguzen kiki mnatuboa bhna

    • @hidayayussufu7080
      @hidayayussufu7080 3 роки тому

      Ni muongo kweli mana ni mkavu Sana huyo dada

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 3 роки тому

      @@hidayayussufu7080 kwanza atakuongea ajui we tukio kubwa kama hili na wanawake tunavyopenda kuumbua watu alafu uwache cm

  • @ishacruz190
    @ishacruz190 3 роки тому +15

    Yan kama comedy vile nimecheka sana 😂😂😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe duli van umenifurahisha sana kwann unamkana mrembo huyo usikataa mimba duli mdg wangu🙏😂😂😂😂😂

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 3 роки тому

    Naomba irudiweeeee siku wepo nchini tzd plz diva🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @izauamisse8812
    @izauamisse8812 2 роки тому

    Kama yake asikatae mtoto kazi by IZAU from 🇲🇿 Mozambique

  • @shaabaniali9816
    @shaabaniali9816 3 роки тому

    Baadae mtoto anakuja dunian mama anahangaika nae mwisho wa siku mtoto anakuwa tajiri marufu...baba unajipendekeza kama life ya mondi mimba haikataliwe we boya...

  • @saidikabwe5167
    @saidikabwe5167 3 роки тому +1

    dalulu mulize uyo dada dulvan alikua anampeleka wp kufanya mapemz hom kwa vany au gest

  • @rahabchep5318
    @rahabchep5318 3 роки тому

    Dada amekata mimba c ya kwake mbona ulazimishe jamani lea mimba yako my dear sorry😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 3 роки тому

    Dulavan yupo serious balaaaaaah

  • @jescahnyabuto4702
    @jescahnyabuto4702 3 роки тому

    iyo comedy nimeipenda Sana,na itaendelea lini🤣

  • @serinabenedict8036
    @serinabenedict8036 3 роки тому +1

    Uswazi asante kuwa bongo laa tunaenjoy tu

  • @sabastiankiprotich2201
    @sabastiankiprotich2201 3 роки тому +1

    Hii inaitwa uswazi, nimependa mimi😂

  • @annetfaida9581
    @annetfaida9581 3 роки тому

    Adi anamfanya dulvan analia aki🤣🤣🤣🙌

  • @meaningoflife651
    @meaningoflife651 3 роки тому

    Kwanza nakajua aka ka dada anaitwa soph Anaishi tabata anatafta kiki yan namjua vzuri anajiita Sophy mishepu malaya tu yan malaya mbwaaaa 😂😂😂 anakazngizia ka dully ka watu jmn li mama ilo

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 роки тому

    Huyu dada anamdomo sasa hata km nikweli na mdomo huo shogang 😂😂😂😂😂😂

  • @joharichaima4309
    @joharichaima4309 3 роки тому

    Nyie kwel dulvan mpole,alafu namathethe mwenyewe,ila akikacrika anaeza kukuua jmn ..

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 3 роки тому

    Kwani hapa ni supreme court.....njoo Kenya

  • @EllishaJames
    @EllishaJames 3 роки тому +12

    Kipindi chako Ni cha malavidavi unakipotezea Ubora kwa kutatua Matatizo Kama Haya, ungewaachia shilawadu hizi skendo

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 роки тому +2

    Hizi ni attention zilianzia kwa Lulu na Lovebite bwana Dulvan acha hayo mambo,kama unayaweza basi endeleza so uchop na kuacha utaonekana chizi ka huyo Dada unavyomwita

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 3 роки тому

    Sema tu Dulvan bado yupo kama binti kweli......nje ya usanii anatakiwa kuwa kama mwanaume

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 роки тому +1

    Dully mwenyewe mrembo kushinda mlalamikaji siwaelewi kwa kweli

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 роки тому

    Uyu dada msenge kweli kweli

  • @damarisogoti316
    @damarisogoti316 3 роки тому +6

    Waah mtihani jamani 🤣🤣🤣🤣

  • @rahelihaule
    @rahelihaule Рік тому

    Dullivani sasa ndiyo uvae pajama sasa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rukiasalum5671
    @rukiasalum5671 3 роки тому

    Mimi nimecheka kama ndiyo nipo hapo eti anakujaga kushika kipaja eti nimeipenda hiyo uswazi duliiiii utaniua🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sophiaathman2481
    @sophiaathman2481 3 роки тому

    Huyu dadaaa anatafuta kikiii sababu dulvan amemshirikisha rfiki yake ndio anasema yalikuwa ya siri

  • @sakinasadik3776
    @sakinasadik3776 3 роки тому +3

    We dada muogope mungu mbona una kugugumizi

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 роки тому +2

    WASAFI MUANGALIE MTAFUNGIWA TENA

  • @Mselluka
    @Mselluka 2 місяці тому

    Kwaiyo Sophia iyo mimba ilienda wapi?😂😂😂

  • @abduibrahim7363
    @abduibrahim7363 3 роки тому

    Hujamuheshimu bali umemdharirisha sana mtoto wa kiume ndiyo,pia umejidhalilisha mwenyewe

  • @bobchanda2460
    @bobchanda2460 3 роки тому

    Dulla we ni msenge et,,,Yani sura yako imejaa aibu kuwa unavunga ila unamjua

  • @daisythetech
    @daisythetech 3 роки тому

    Acha kiki...kama mambo ya mimba kuhusu kulea peleka ustawi wa jamii uyo dullavanny

  • @gracemwingwa-jx7yy
    @gracemwingwa-jx7yy 5 місяців тому

    Kwan kama kakataliwa nimpaka aje studio kujitangaza mbwa huyo,, wangapi wanakataliwa halafu wanaendelea na hamsini zao Apache ubwege

  • @reyshazmtoro3175
    @reyshazmtoro3175 3 роки тому

    Yan kuna watu wakavu sana dada diva aonyeshe hiz sms achukue hiyo sm bhn tuone hizo sms

  • @nzeyimanaaisha6437
    @nzeyimanaaisha6437 3 роки тому

    Dulvan wang mmuachie upumbavu wan mnanikosea adabu kwanz Dulvan mpole san mwengen hapo ange mpa hat vibao

  • @ramadhaniboniphace735
    @ramadhaniboniphace735 3 роки тому

    Duuh!!! Kwhyo dulvan kweli humtambui huyo dada? Why jmn

  • @kellenalex6231
    @kellenalex6231 3 роки тому +1

    😅😅😅kama vile maigizo yani.... et kabisa kujizalilisha social media duh😂😂😂😂ila watu jamani

  • @modriface
    @modriface 3 роки тому +17

    Dah! Hyu dada mbna analazimisha sana kwani amekuoa

  • @asmahansaid2089
    @asmahansaid2089 3 роки тому

    Dah wasafi mkoje mbona mko kikiki zaid huyo mdada mnafiki na mnafeli

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому +2

    Ww dadakwani ulitumwa utoke nae mbona mnaongea vitu vya aaibu kwani ulipo toka nae huku jua Kuna mimba ulibakwa kwani ndio mkome kutembea na mastaa kama sifa

  • @thresherjordan6829
    @thresherjordan6829 3 роки тому +3

    Kipajaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌ilaaa kitongaa tuacheee tutapigwa mitiiiiiiiiii mpk na visikiii

  • @monicawillison7004
    @monicawillison7004 3 роки тому

    Hiiii jamani huyu dada hebu amuache da zuu wetu kaaaah dada mkavu kama nini si aitoe hiyo mimba

  • @subiragido4075
    @subiragido4075 3 роки тому +5

    Iyo Kama ya lavalava na Lulu imepangwa mnatuchosha jamani

  • @latifaaly1877
    @latifaaly1877 3 роки тому

    Lakini kwanini amlazimishe si ale akuze mimba yake maisha yaendele

  • @khadijamohamed209
    @khadijamohamed209 3 роки тому

    Ataka kuwa superstar

  • @epifaniasawaki3315
    @epifaniasawaki3315 3 роки тому +2

    Mnaaribu kipindiii jmni kila siku kuna kiki ambazo azina maanaa

  • @priscapascal8877
    @priscapascal8877 3 роки тому +1

    Dulvan pia anataka player mbaya

  • @josephjoshua112
    @josephjoshua112 3 роки тому +15

    Diva ile kiki ya kina lava lava inakuharibia kipindi kila kitu tunaona ni kiki

    • @wilonjabikey8274
      @wilonjabikey8274 3 роки тому

      Kweli brother hawako serious 🧐 kila kitu ni Kiki kwenye hichi kipindi
      Apa nasubiri sanya hivi ni kweli apewe Gari tu maana anachapa kazi nzuri

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 3 роки тому

      Kabisa

  • @suzygernald9140
    @suzygernald9140 2 роки тому

    Iyo ni balaaa😃😃😃😃😃 dulvani analo

  • @witnessombetu670
    @witnessombetu670 3 роки тому

    Mmmmh kweli hii Kiki mpenzi wako ukose hata SMS?km alikuwa na cm imekuwaje aache chagi kwann asingefata chap kumaliza zogo

  • @daliadalia1047
    @daliadalia1047 3 роки тому +3

    😅😅😅😅nimecheka kwa nguv

  • @Ruthkadira254
    @Ruthkadira254 3 роки тому

    Mwambie awapee no ya dulvan

  • @ninacuteninacute2567
    @ninacuteninacute2567 3 роки тому +1

    dullivani anaongea km anataka kulia thn mpk uso umemshuka kbs jmn hy maisha, thn hz nguo wenzetu wazungu wanavaa wkt wanataka kulala huku mastaa wetu mpk kwny interview

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 3 роки тому

    Hicho sio kipiindi cha kuweka live .wasafi mnakosea sn

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 3 роки тому

    Malaya dada acha kumharibia mwenzio kz zake mimba mpe malaya mwenzio

  • @gizeratembula8810
    @gizeratembula8810 3 роки тому

    Hapana kwani huyo dada hawaoneshe namba ya dulvan km anayo au picha ambayo waliowai kupiga wote

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 роки тому +9

    Wasafi bhn Wanataka kutuprove jamaa sio Ubwabwa... 🤣😂🤣

  • @magrethmbwiga6098
    @magrethmbwiga6098 3 роки тому +16

    Mdada mshamba kwnn ameacha mahusiano yake

  • @chollejr_
    @chollejr_ 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 dulvan khaaa ila ukipgiwa simu na diva ujiandae Kuna upumbavu kumbe

  • @judithsidi1087
    @judithsidi1087 3 роки тому

    Hii outfit ya dullvan siielewi

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣eti sikujui dada....ila dully

  • @raelnyawera825
    @raelnyawera825 3 роки тому +2

    Sijai lala na mtu😂😂😂😂😂

  • @ladykimnan902
    @ladykimnan902 3 роки тому

    😂😂😂😂😂😂nimecheka kama mazur daah mungu nisaidie mie yasinikute hivi

  • @bigmamaa2198
    @bigmamaa2198 3 роки тому

    Kishoshoo.. Wacha mtoto wa mwezio

  • @mankamukure2992
    @mankamukure2992 3 роки тому

    uyu dada asemee hivii anatak asaidiwe kulelewa mtoto baada ya kujifungua tuu syo alazimishe mambo ambayo hayapo

  • @mchangaabasi3070
    @mchangaabasi3070 3 роки тому

    Inaonaesha dulvani mimba yauyo dada anahusika ila tu aliteleza hakuplan na uyo dada sio wandoto zake wadada na nyinyi achenikushobokea mastaa kilichokukuta ndio icho utalea mwenyewe