Kama umenaamini mwalimu mgeni amesaidiwa na mungu piga kelelekele moja kele 🤸♀️🤸♀️🤸♀️karibu sana mwalimu mgeni 😊😊😊 maua jamani 🌹🌹🌹🌹kikowapi sasa mwisho waubaya ni aibu nimefurahi wakuu mpka nimelia mchozi ya furaha tu❤❤❤
Hii movie inanifanya silali na sijui Kwa nini hakika Baba Joan uer so clever nimechelewa kuifaham Ila sijuti ❤ nataman siku moja nikuone mwalimu mgeni tufanye kazi pamoja
Km mwalimu hutakiwi kuleta stress zako kwa watt😢..Endapo ukifanya hivyo kumbuka unawanyima watt haki zao za msingi..Tuenjoy hii movie lkn pia tujifunze kitu hapo..Eti kila ukipata mawazo kidg unasema huwezi kufundisha utafundisha kipindi kingine..😢Stess zako ziache nyumbani wape watt kinachostahili
Baba joan nilisikia kwenye midia moja ulisema wew ni mwalimu na umeacha kazi ya ualimu ila naona hii kazi inakufaa Sana plz rud kazini uinue vipaji vya watoto
Huyu madam vick ana roho mbaya kama sura yake mbovu anasaidiwa tu na uo mshape wake ushindwe kwa jina ya Yessu umuache mwalimu mgeni mungu kamponya alaaaah 😢😢😢
Mwalim mgeni.sio wewe pekeyako hata mm nimeimiss sauti ya huyo mtoto mwenye kipaji cha kuimba😊😊😊only the best 👌 👍. Mwalim hata kama walim wenzako hawakupendi achananao wewe chapa kazi.
Mwalimu mgeni ( baba Joan) umetisha Sana Kaka, Allah bless you forever, Ila sijapenda vitu viwili tuu , Cha Kwanza series zenu hazina mwendelea mzuri pili kitendo Cha fetty kwenda darasani na mtoto hapo hapana bhana hakuna Sheria hiyo hapo mliyumba
I wish ww madam ungekua wafundisha kenya eti usislap mwanafunzi ivo alfu asikurudishie labda awe amelemaa ,lkn ww tungekufuvunja ila ni vile ni movie tuu 😂😂😂
Na mwalimu magesa kinachomliza katika moyo wake ni nini pia tujie chapa kazi baba jhone Kwa jina lengine mwalimu mgeni kama kawaida tumekumiss sana bana
Nami nimefurai kuona mwalimu mugeni amepona ❤❤❤😂😂😂😂 nafuraha nyingi bala🎉🎉🎉Yako mwalimu mugeni
❤❤❤❤❤👌👌👌
Furaha na uzuni katika films njo uzuri waka
Kama umenaamini mwalimu mgeni amesaidiwa na mungu piga kelelekele moja kele 🤸♀️🤸♀️🤸♀️karibu sana mwalimu mgeni 😊😊😊 maua jamani 🌹🌹🌹🌹kikowapi sasa mwisho waubaya ni aibu nimefurahi wakuu mpka nimelia mchozi ya furaha tu❤❤❤
Sisi ni wale tulio saidiwa na mungu...😢😢😢😢
Yaani nimefurah Kwa machozi nimehis kulia
Safi sana Baba Joan, chapa kazi, magesa analia leo juu ya kuja kwako shule, hata hajafundisha analia moyoni.
Wa kwanza from Kenya 😊😊😊nipeni likes leo nduguzangu❤❤❤❤
Tunakupea likes
Montress ndio nani😂😂😂😂hiyo jina haitumiki ivo😂😂😂😂😂😂😂 much love from kenya guys 💪💪🔥🔥🔥🔥🔥karibu mwalimu mgeni a.k.a baba joan
Hata mm nimeshanga I think ni monitor
Kwa kiswahili fasaha Monita
Montress wakike monitor wakiume
@@luciamrope693uko right 😂😂😂
There are right
❤❤❤Namimi nimefurai sana 💓 💞💓 kumuona mwalimu mugeni Kwakupona❤❤😂😂😂😂🎉🎉😂😂😂😂
Wow amazing km wapenda mwalimu mgeni like apa team strong 🔥🔥🔥🔥🔥👋👋👋👋🇸🇦🇰🇪🇰🇪🔥😘😘😘
❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊
❤❤❤A❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Patronize we katoto nakupenda sana, kipaji unacho
Mungu ni mwema sana kila wakati hasa Kwa wanaomwamini
Àminaaaa
Mwenyezi mungu akiamua kukuinua akna anaye weza kupinga nakpnda sna mwalimu mgeni and ilike patronize sasha and Sheila 🎉🎉❤❤❤❤
Kwenye kazi Kuna Mambo sana😊
Asante sana kwa kazi nzuri
Welcome back Mwalimu mgeni much love from Kenya🇰🇪
I can't wait to see patronizi akiimbai mwalimu mgeni welcome back much love ❤from 🇺🇬🇺🇬
Hikoje Kwa kichaa Alie pona alafu Bado ajatoa nywele azijatolewa????? Hila ujue kwamba Mimi ni nshabiki wako nkubwa your the best.
Mpo vizur ila mnachelewesha sana jamani mjitahidi kuwahisha kidogo❤❤.
Nimefurah sana mwalimu mgeni chukua hii🎉🎉🎉🎉
Glory to God, mwalimu mgeni sasa uko mzima ❤
Hii movie inanifanya silali na sijui Kwa nini hakika Baba Joan uer so clever nimechelewa kuifaham Ila sijuti ❤ nataman siku moja nikuone mwalimu mgeni tufanye kazi pamoja
Baba joan hongera sana kwa hii series ni nzuri mno
Kazi nzuri sana mwalimu mugeni ❤❤❤❤
Aksant baba John nimekua na miss hiyi episode nawapenda sana san
Hii clip inasikitisha sana kama umeifuatilia toka mwanzo
Wakwanza mm Like ata 100 kama unamkubali baba Joan
❤❤❤❤😂😂😂😂furaha iko kweli walikuwa wanakumiss sana kazi nzuri sana baba joan
😢😢😢
Mwalimu Mgeni Worldwide 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹🌹💯💯💯💯💯💯💯👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Nakupenda Sanaa patronaize mwaaaaaaa
Madam vick ashaanza kunikera sasa😮
Yanie tena sana
Lililililili ❤❤❤❤❤mwalimu ngeni amerudii mung u mkubwa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nilikua naingoja Sana from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉❤
Woooow mwalimu mgeni welcome back Mungu azidi kukulinda na kukuepusha na maadui
Wow,magesa 😂😂😂😂mwisho wko unakaribua bba,kwni madm viki alikua ameungana n magesa mbna anachuki ivi?viki acha nkuoneshe kipaji😂😂😂utazikwa nacho kijijiba cha roho mbayaaaa utazikwa nayo roho mbaya n choyoo😂😂😂kipaji icho n cha madm viki😅😅😅😅.❤❤❤❤nawapenda bure
Unafiki ni mbaya Sana,Mwl Magesa una roho mbaya ,acha chuki zitakuua 💀⚰️⚰️⚰️⚰️
You are so talented boi ninyi wote munajua Mambo kwel niwafuata from Rwanda kigal
Furahaa yangu mwalimu mngeni kupona hila wachawi ni rafiki zake😂😂
Good job baba joan congrtulatio much love 4rm kenya❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asante mungu kwakumuponyà mwarimu mugeni asante saana Mungu ❤❤❤
Weuweeh finally ♥️♥️♥️ ticha mgeni kasharudi
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
Hakika kazi zako zna mafunzo sana bro
Jaman tungesikia japo hako kanyimbo😂😂😂😂😂❤❤❤
Patronize handsome Mashalla❤️💕
Tukumbukane kwenye like jaman🎉🎉🎉❤
Uko pia ww❤❤❤
Wanafunzi wanakupenda❤❤❤❤❤❤❤❤
Km mwalimu hutakiwi kuleta stress zako kwa watt😢..Endapo ukifanya hivyo kumbuka unawanyima watt haki zao za msingi..Tuenjoy hii movie lkn pia tujifunze kitu hapo..Eti kila ukipata mawazo kidg unasema huwezi kufundisha utafundisha kipindi kingine..😢Stess zako ziache nyumbani wape watt kinachostahili
Maombi niamana sana❤🎉
Mungu ni bora kuliko vyote.napenda sana mwalimu mgeni
Naona furaha iliyo na patronz,krbu sana teacher tumekumis sana❤❤❤
Bravo baba Joan yaan umenigusa Sana kazi nzuri na hii ndio Sanaa ya ukweli
Mmmmmm hio nimbaya mwalim hakui na hasira ivyo Wacha asira madam huyo ni mtoto wa mwanzio 😊😊😊😊😮
Jamani kumbe maombi yana maana kwakwer
I can't wait to hear patronize akiimbia mwalimu mgeni from Kenya 🇰🇪
Jama nampenda mwalm sashaaa
Yaani mwalim mgeni zambi zako zote nitabeba Mimi aiseee unajua had unajua tenaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Inazidi kupendeza ,inasisimua sana jaman,Barikiweni sana,
Mwenyez mungu akiamua kukuinua, hakuna anaweza kupinga
Mwalimu mgeni hoyeeee ❤❤❤❤❤🎉penda yeye sana
Baba joan, jamaa ni noma na anajua kupitiliza
Alihmdhulilah kashapowa mwalimu mgeni to Kenya ❤iko love Tanzania
Mashallah nmfrahia san kumuona mwalimu mgeni mungu azid kukufanyia wepes inshallah uzidi kuwafrahisha wanafunz wako❤❤
Aki hata mm nmekumic sana mwalimu mgeni, welcome back sir, much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimefurahi sana kumwoona mwalimu mgeni amerudi kutoka Kenya 😅😅😅😊😊😊
Minafurayi sana mwalimu mgeni amerudi tena tunafirayi mafundisho imerundi tena.
N tamu ila nimechekeswa n hapo kwa madam asha kujichekea nakumlalia madam viki😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Baba joan nilisikia kwenye midia moja ulisema wew ni mwalimu na umeacha kazi ya ualimu ila naona hii kazi inakufaa Sana plz rud kazini uinue vipaji vya watoto
Nimefuraiya nikionq mwalimu mgeni akiwa sawa nakupenda sana mwalimu mgeni❤❤❤❤❤❤
Huyu madam vick ana roho mbaya kama sura yake mbovu anasaidiwa tu na uo mshape wake ushindwe kwa jina ya Yessu umuache mwalimu mgeni mungu kamponya alaaaah 😢😢😢
😂😂😂😂ni movie hii acha makasiriko
@@chikuyahaya8103 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ningekua karibu ningetokwa povu kubwa lenyewe
@@tiffahbby3697 😂😂😂😂😂😂pole
Pia na Mimi nimeluka juu ya furaha namachozi 😂😂😂😢😢😢😢❤❤❤❤
Pia mm nimetoa choz mwisho nikacheka kichina😂😂😂😂😢😢
ni MC Evanoh from Kenya welcome back
Mwalim mgeni.sio wewe pekeyako hata mm nimeimiss sauti ya huyo mtoto mwenye kipaji cha kuimba😊😊😊only the best 👌 👍. Mwalim hata kama walim wenzako hawakupendi achananao wewe chapa kazi.
Mwalimu mgeni ( baba Joan) umetisha Sana Kaka, Allah bless you forever, Ila sijapenda vitu viwili tuu , Cha Kwanza series zenu hazina mwendelea mzuri pili kitendo Cha fetty kwenda darasani na mtoto hapo hapana bhana hakuna Sheria hiyo hapo mliyumba
Mwalimu hongela nimejifunza mengi.n gabriel maroa kutoka kenya.
Mwalimu mgeni nilikuwa nakumiss Na mi Pia .Mungu ni mkubwa umepona furaha kubwa mwalimu mgeni
Yaan nnafra😊😊😊 atal niliumia mno nampenda Sana teacher mgen
May god bless you mwalimu mgeni ❤❤❤❤
Mashaallah baba Joan karibu sana nmekumiss pia
Mko sawa kwa hiyo mm ady natamani sana kuwa na nyinyi
Asante sana mwalim mugen watoto wanakupenda sana
AminiAA mwalimu mgeni kapona Kaz nzuriiii baba j
Ila magesa wivu itakuuwa😂😂😂😂😂😂😂😂 mbone umchukie mwalimu mgeni bilasababu okay much love mwalimu mgeni ❤❤❤❤
Daaaah unajua sana mwalim mgeni big up teacher
I wish ww madam ungekua wafundisha kenya eti usislap mwanafunzi ivo alfu asikurudishie labda awe amelemaa ,lkn ww tungekufuvunja ila ni vile ni movie tuu 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Karibu mwalimu mgeni nataka Ku sikiya vile Patronise aki imba
Karibu mwalimu mgeni
Na mwalimu magesa kinachomliza katika moyo wake ni nini pia tujie chapa kazi baba jhone Kwa jina lengine mwalimu mgeni kama kawaida tumekumiss sana bana
❤❤❤❤ mwalimu mgeni hongera Kwa kupona mungu ni mkubwa amina
Welcome back mwalimu mgeni 🔥🔥🔥💯💯💯
Mungu ndo kila kitu,,,,,,,mizim ety ukanye katikat ya soko jamaaaaan mhhhhhhhh!!!!!!!!!!mambo ya shetan ni aibuuuuuuu
Mwalimu mgeni unajua na unajua teeena jmn maua yakoooooo
Pia mm nimefurahia kuona mwalimu mgeni ame back shuleni next part please i come haraka
Much love from 🇰🇪
Karibu mwalimu mungeni ❤❤wanafunzi wanakupenda sana
Mwalimu mgeni welcome again ❤❤pia mimi nilikuwa nimekmiss ,nimekuona ukiwa Hari yako nzuri Moyo umefurahi Sana,Karibu Kwa vipaji cha wanafunzi
🎉❤
❤❤
nimependa sana yaan mwalimu mgeni kupona wenye wivu ajinyonge kwa choyooooooooooooooooooooo
Mwalim mgeni tunaomb kipande kirefushe kidog 🎉🎉🎉
Mwisho wa ubaya ni aibu mwalimu magesa na Vicki wamepata aibu😢😢😢😢😢
Aibu zao wanawapiga tu watoto mabao
Yani watatubu 😭😭😭
Alafu huyu Vick kajiingizaje katka hii vita.
@@HassaniYussuph-w8c alikuwa ausiki saivi kawashwa na uchawi wa magesa Yani Yao ngumu
Huyu madam Vick kapatwa nanini 😂😂😂
Hhhhh lishamfika jmbo wathezeya uchwi weeeeew nyoooooo Hana baya mwana izayaaaaaaaa
Ni napenda Sana movie🍿🍿❤❤🎉🎉😊😊
Mwisho wamapaya niaipu😂😂😂😂❤❤❤❤
Mwarimu mugen ninakufurahiya sana❤
Mwarimu=mwalimu
Mugeni=mgenii..typing error 😅
From Congo Drc, 🎉🎉🎉