kING WA MADEM (JIRANI) |21|

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 187

  • @nicholaus-jackson295
    @nicholaus-jackson295 19 годин тому +33

    Weeeeee nimefrah kumwona mke mke mwenza Sabrina 🎉🎉🎉🎉🎉 wangap wamefrah kumwona Rachel weka like apa kwa çhuga boe

    • @VgmukomboziOficiel
      @VgmukomboziOficiel 10 годин тому

      Nimechukiya maana ata mutesa musaudi umu nachotaka kijofo apate azabu tu nabasi maana amechezeya isiya za watu wengi

  • @KwizeraEnock-ny1by
    @KwizeraEnock-ny1by 10 годин тому +4

    Wao wanao furahi kumuona recho baada ya sikunyingi naomba like zenu

  • @slokidog
    @slokidog 20 годин тому +22

    nimewayi leo duuh lakini munachelewesha sana toka nianze kufwatiliya king wa madem sijawayi pewa like hata moja duuuh😢😢😢😢😢😢

  • @RabiaRashidi-y6d
    @RabiaRashidi-y6d 20 годин тому +11

    Wakwanza leo ❤ team BAILAM burudan kwa wotee 😊

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 19 годин тому +8

    Hatimae rechoo amerudi ulingoniii😂😂😂

  • @ezzedinedrisse1001
    @ezzedinedrisse1001 19 годин тому +5

    Weweeee kumeanza kuchangamka Recho kama Recho 🎉🎉🎉🎉 kashafika uwanjani 🎉🎉🎉

  • @NassoroKindamba
    @NassoroKindamba 20 годин тому +12

    Wakwanza Leo nipe like zangu

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 8 годин тому +1

    Sheikh masoud wajichanganya kwa mtoto wa marehemu ww😂😂

  • @fahruq4486
    @fahruq4486 14 годин тому +1

    Safi sana nafurahia kumuona Rechol na naomi❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @aisha770
    @aisha770 19 годин тому +5

    Nimefurahi sanaa kuona Recho bado Naomy

  • @Nojabz
    @Nojabz 9 годин тому +1

    Balthazar kaya timbaa😅😅, from drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @willomale-x4p
    @willomale-x4p 20 годин тому +10

    Wa 1🎉🎉🎉

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 15 годин тому +6

    Nimefurahi kumuona recho wallahy nampenda uyu mdada aky

  • @omegasolomon4954
    @omegasolomon4954 20 годин тому +27

    Umechelewa kinoma noma

    • @-dz4dj
      @-dz4dj 20 годин тому

      @@omegasolomon4954 walai 🤣

  • @MR.DIESEL-i7z
    @MR.DIESEL-i7z 18 годин тому +4

    Vp blod unachelew sana🎉🎉🎉

  • @newtonsilivand4485
    @newtonsilivand4485 19 годин тому +3

    Move Kali Sana ihii Yani mkitoa sidii au kuipeleka Azam unawez pata ela zuli Sana tena Sana

  • @MwenyemaliimanPatrick
    @MwenyemaliimanPatrick 18 годин тому +4

    Wanazingua sana wanachelewesha

  • @ThaskyCaga-mi9hb
    @ThaskyCaga-mi9hb 19 годин тому +6

    Tunamsubiri naomy na jojo

  • @RehemaSalim-m8s
    @RehemaSalim-m8s 17 годин тому +3

    Waw recho wetu tumekumiss welcome❤❤❤❤❤

  • @DelphinKatembo-ni5fw
    @DelphinKatembo-ni5fw 18 годин тому +5

    Rachel ile jina ya Sabrina hai ku fai, Rachel i love your from Congo

  • @munamamaj9622
    @munamamaj9622 17 годин тому +2

    Kwa hio kijogoo licha ya ujogoo wake wote kwa wanawake ila ana mmoja tu anaempenda kwa dhati nae ni fetty❤❤❤

  • @ZackDaniella-wi5ur
    @ZackDaniella-wi5ur 13 годин тому +1

    Uyu mona sio yule rafiki ake najma kweli mission impossible 😮

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 17 годин тому +4

    Tumemuona Recho tumefurai tunaomba na Naomi na Jojo Bhailam turudi kucangamka kama zamani Masoudi pole sana bora umemukaribisha mwenyewe umefurai mze kufa nawe subiri zamu yako umimefika mana si kwakiherehere ico nakuowa kabisa😢

  • @SadamHussein-z6z
    @SadamHussein-z6z 18 годин тому +4

    Mbn umechelewa sana

  • @Manyanya-film
    @Manyanya-film 19 годин тому +11

    Nawapenda sana! Naomba mnifollow 🙏

  • @MakkaMasoud-oo9wx
    @MakkaMasoud-oo9wx 20 годин тому +11

    Wakwanza mm lake zangu kutoka morogoro tz

  • @Teddyfrenk
    @Teddyfrenk 17 годин тому +3

    Hatimae nimefulahi kumuuona recho

  • @SakodiBonneface
    @SakodiBonneface 11 годин тому +1

    Kijogho wewe siyo binadamu wa kawahida ududu ni heri uatche kwa sababu kristo wa tanzania alie hai ana weza kukuondoleya matatizo yote mimi na wa fata kutoka DRC congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @candiesalm8995
    @candiesalm8995 11 годин тому +1

    Hee mbn mambo kasi san yuhu mzee king kafa lini😅😅

  • @ayaza-c2w
    @ayaza-c2w 14 годин тому

    Asante sana Bi.Mona wanawake ingekuwa wananyenyekea kwa wanaume zao kama wewe🥰wangeingia peponi wengi sana🫡Shabiki kutoka 🇰🇪

  • @SabrinaSaid-xd7hv
    @SabrinaSaid-xd7hv 19 годин тому +4

    Rechel umekuwa wajina 😂😂😂

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 19 годин тому +3

    Mna kawiza sana

  • @ericksadock3238
    @ericksadock3238 18 годин тому +3

    Kaburi limeandikwa mwasti, aliekufa n mwanaume, mmechemka

  • @anethkihombo1432
    @anethkihombo1432 19 годин тому +4

    Salute kwa recho kurudi tunamtaka na jojo😅😅

  • @sub14___2
    @sub14___2 14 годин тому +2

    Huyu bhailam kazid umalayaa😅😅😅😅

  • @IssaJuma-q6o
    @IssaJuma-q6o 20 годин тому +4

    Leo nimekuwa wa kwanza like hata tano tu

  • @jilardinbashilwango
    @jilardinbashilwango 19 годин тому +2

    Bravo vraiment ❤

  • @LipsDenda
    @LipsDenda 17 годин тому +3

    Umeìshiwa nin juu dah ady mwaka ukaanza tena

  • @VoivoiAlex
    @VoivoiAlex 9 годин тому

    Hongera sana bhailam kwa kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 19 годин тому +4

    Hyo demu kwa masoud isije ikawa mtego w kulipiza kisasi😮

  • @LuluPeter-o1t
    @LuluPeter-o1t 11 годин тому

    Msituchelesheee jaman Mimi nawapenda wote, team bahilam

  • @RameckMachara
    @RameckMachara 11 годин тому +1

    Pole kaka mung akufanyie wepes

  • @MethodPaul-p5m
    @MethodPaul-p5m 16 годин тому +1

    wanao mkubali bhailam gongeni like zenu apa

  • @AfredyAntony-ib7rc
    @AfredyAntony-ib7rc 19 годин тому +2

    Sem Mmezinguw san kuchelewesh siyo Insh

  • @jescamussa4962
    @jescamussa4962 20 годин тому +6

    Yesu awatunze watu wote

    • @abrahmaniali2936
      @abrahmaniali2936 16 годин тому

      @@jescamussa4962 yesu mwenyewe anataka kutunzwa

  • @FurahaSadock
    @FurahaSadock 10 годин тому +1

    Umezingu umechelewesha safali hii

  • @MrSilent123-h9k
    @MrSilent123-h9k 20 годин тому +2

    Umechelewesha sana

  • @boazkasyoki3172
    @boazkasyoki3172 19 годин тому +2

    😢mwachelewesha sana

  • @ProsperErick-go4sf
    @ProsperErick-go4sf 16 годин тому +2

    Recho we missed u so much🎉

  • @ElishadaiJeremah
    @ElishadaiJeremah 18 годин тому +3

    Mmechelewa mnooo

  • @GhhHdgh-z2u
    @GhhHdgh-z2u 20 годин тому +1

    Kazi nzuri ila mnachelewesha xn mwendelezo

  • @Nicholas1dd4rs8j
    @Nicholas1dd4rs8j 17 годин тому +4

    Me wa 100 Leo basi mnipe like 100😂#recho crush wangu

  • @Kamwenzo
    @Kamwenzo 19 годин тому +2

    Kiukwer kijogoo ume zingua

  • @StephenNchagwa
    @StephenNchagwa 19 годин тому +7

    😂😂😂😂kijogoo anabamba na vituko zake jamani😂😂😂

  • @christopherrhoida8207
    @christopherrhoida8207 20 годин тому +6

    Wa kwanza

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 17 годин тому +3

    Hebu weka ndefu kaka hata masaa ma2 au ma 3 daaa unanikata stim kabisa

  • @Tavvey
    @Tavvey 16 годин тому +1

    weeeeeeeeeeeeee😂😂😂😂 karibu tena Rachel hiii serie ilikuwa ime anza kuniboh ila kama rachel amekuja basi nita anza kutazama tenaaa😂😂😂😂

  • @allinoneofficialtventertai5520
    @allinoneofficialtventertai5520 20 годин тому +2

    Thank you I was waiting this episode 🙏🙏

  • @FredrickNdyamkama
    @FredrickNdyamkama 8 годин тому

    Kiukwel mona anaweza kuigiza vizur sana

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 19 годин тому +2

    Balaaaa kila cku jipyaaaaaaaaa

  • @Selma-n4l
    @Selma-n4l 19 годин тому +3

    Masudi masud masud nimekuita mar tatu huyo wifi isije akawa ndo anaelipa kisasi😂😂😂😂 ay et hawez kuniumiza

    • @StanleyaStella
      @StanleyaStella 8 годин тому

      Ndo mwenyewe 😂😂😂😂😂✋🏾✋🏾✋🏾

  • @WilliamMwanakilendi
    @WilliamMwanakilendi 18 годин тому +2

    Bhairam mwaka wako😂😂

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 14 годин тому +1

    Kaz nzuli 😍🛍️🇹🇿

  • @ismailjoseph9116
    @ismailjoseph9116 12 годин тому +1

    safi😂😂😂

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 17 годин тому

    Monaaaaaaaaaaah jmn mbn wamtesa mwenzioooo😂😂

  • @DouglasBabamoïse
    @DouglasBabamoïse 19 годин тому +2

    Bhailam ulikuwa na fête 🎉 kwanza

  • @AntoKiri-n4v
    @AntoKiri-n4v 20 годин тому +1

    Kazi suri sana kings wa madam

  • @alolajames7614
    @alolajames7614 Годину тому

    Unazingua unaichelewesha sana aiseee

  • @HaluaKaschana
    @HaluaKaschana 2 години тому

    Ndo mana mm napenda movie za bhailam mbarikiwe sana

  • @mahmoudiddris7945
    @mahmoudiddris7945 20 годин тому +1

    Ila BAILAM unajua kuigiza big up sana kaka

  • @Merlinboytz
    @Merlinboytz 20 годин тому +5

    Nimekuwa wa 4 nawapenda sana nanyie kama munanipenda nipe like

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 19 годин тому +3

    Nimefurahi ujio wa fatuma

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 20 годин тому +2

    Kijogoooo umeshayatimba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v 6 годин тому

    😂😂😂😂 Uyu kijogo atakufa Ata siku zake bado mana hakomi

  • @hamzanamtunga4105
    @hamzanamtunga4105 18 годин тому +4

    Tuliosubiri kwa muda mrefu gonga like

  • @GwagwagwaMkaliwao
    @GwagwagwaMkaliwao 17 годин тому +2

    Recho amenenepa

  • @HarunaDanielmbanzeofficial
    @HarunaDanielmbanzeofficial 19 годин тому +2

    Shida ilikua nini mbona siku nyingi sana wabongo mmekua natabia mbaya sana😊

  • @MwaijaSuleman-c3h
    @MwaijaSuleman-c3h 7 годин тому

    Bhailam we ni noma😅😅

  • @Yesuraha
    @Yesuraha 19 годин тому +1

    Unafeli sana kaka unachelewa sana

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 17 годин тому +1

    Kijogooooo yanamkutaaaaaaa

  • @othmanmuhdin7526
    @othmanmuhdin7526 19 годин тому +1

    Unachelewa sana kk mpaka tunakusahau

  • @THEBOYTARGAN
    @THEBOYTARGAN 20 годин тому +3

    Nakubali like kwangu jamani

  • @Naeema-d9s
    @Naeema-d9s 14 годин тому

    Mpaka tunasahau mr bhailam

  • @HalimaOmary-e5f
    @HalimaOmary-e5f 20 годин тому +4

    Umechelewesha😢

  • @AllyDeking-b1o
    @AllyDeking-b1o 20 годин тому +1

    Nimefurah sana the next season

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 20 годин тому +2

    Me mpaka nimeisahahu hiii

  • @Msanuaj
    @Msanuaj 17 годин тому +1

    Masout kifo amekifata huyu ndio yule dada yao alioambiwa na mzee aliekufa kuwa n kiboko 😂

  • @ClaudeDelay-m1c
    @ClaudeDelay-m1c 19 годин тому +2

    Umechelesha sana kazi shida nini

  • @DavidoAmily
    @DavidoAmily 19 годин тому +3

    Adi ujiskie kutuma sio😢

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 17 годин тому +2

    Monaaaa jmn

  • @henriques193
    @henriques193 20 годин тому +2

    Na sisi tupo kutoka msumbiji🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @innocentbyumanine5095
    @innocentbyumanine5095 19 годин тому +2

    Yaani mpaka tunasahau

  • @NurdinIddy
    @NurdinIddy 11 годин тому +1

    Kazinzuri ira mnacherewa sana kutoa

  • @AshaHuseni-k7f
    @AshaHuseni-k7f 19 годин тому +2

    Nikajuwa isha isha kitambo kumbe bado ipo

  • @denicekaaya
    @denicekaaya 17 годин тому

    Unyama sana🎉🎉🎉

  • @NassibuJumanne
    @NassibuJumanne 19 годин тому +4

    Rachel ❤

  • @NdayiragijePhocas
    @NdayiragijePhocas 15 годин тому

    Unatafutwa ludi nyuma. Ukalale😂😂😂😂

  • @japhetrunya04
    @japhetrunya04 20 годин тому +2

    Wakwanza from kilifi coast

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 17 годин тому +1

    Monaaaaaah jmn

  • @allinoneofficialtventertai5520
    @allinoneofficialtventertai5520 20 годин тому +3

    Thank you