#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • @millardayoTZA

КОМЕНТАРІ • 8

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 8 місяців тому

    CCM ni kama Kanisa Katoliki.Huwa kinajisahihisha mara kinapobaini pasina shaka kuwa kuna ulegevu au kuchepuka kwenye njia kuu.Tabia hii njema itakisaidia kudumu kwa muda mrefu sana.

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 8 місяців тому

    Nakupongeza mno Kijana Makonda.Muhimu ni kwamba uwe unafuatilia utekelezaji wa yote uliyoagiza yatekelezwe kwa haraka.
    Ukifanikiwa hilo utakiheshimisha sana CCM.

  • @rehemaramadhani8315
    @rehemaramadhani8315 8 місяців тому

    hizo barabara ya kwenda maramva na kwwnda soni zikifanyiwa kazi itapendeza sana maana tangu mbunge lupatu kihiyo. kizango. leusii. hata maji marefu diiiiii kama zikifanyiwa kazi korogwe irapepea duniani

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 8 місяців тому

    Mashangingi na kula posho kubwa

  • @user-uf4tz7gi6o
    @user-uf4tz7gi6o 8 місяців тому

    Ndio maana KOROGWE maendeleo hakuna

  • @pastorsthenksrojaskapunga6843
    @pastorsthenksrojaskapunga6843 8 місяців тому

    Naona wewe unajitsidi kufafanua kidogo tusaidir

  • @user-uf4tz7gi6o
    @user-uf4tz7gi6o 7 місяців тому

    Wizi wa Mali za unakithiri kwa ajili ya katiba, mngeweka kuwa mtu akila Mali za umma na akibainiwa afungwe jela na afilisiwe mali zake zote ziingizwe serikalini

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 8 місяців тому

    Hawa wanapelekwa na wakubwa Kisha wanagawana pesa hiyo ni mtandao mkubwa