MAKONDA vs WAKURUGENZI: AWABANANISHA WOTE KWA SAA 1 - WAJIKANYAGA - WATUPIANA MIPIRA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • MAKONDA vs WAKURUGENZI: AWABANANISHA WOTE KWA SAA 1 - WAJIKANYAGA - WATUPIANA MIPIRA...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 175

  • @witnessmollel-f3v
    @witnessmollel-f3v Місяць тому

    Makonda mwanangu mungu akupe maisha marefu na nakuombea kwa mwenyenzi mungu upate na urais.

  • @fatemafatema4780
    @fatemafatema4780 Місяць тому

    Ahsante sana muheshiwa mungu akubarik kwa kazi njema unoifanya.makonda oyeeee mungu akupe uzima wa afya ili uwabane hivyo hivyo wasojuwa kazi zao.mama samia oyeee.ahsante sana❤❤❤

  • @JohnEmanuel-wh4yj
    @JohnEmanuel-wh4yj 2 місяці тому

    Heko mweshimiwa makonda mungu ailiyekuteua akulinde wafagilie mbalili wafisadi Mimi ni mtanzania Niko kenya.nafuatilia kazi Yako pia wamulike viongozi wa arumeru asa vijiji veya olevolos na ngaramtoni ya ju hivyo vijiji havina maendeleo ahsante muheshimiwa mungu akuongoze

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 7 місяців тому +6

    Mungu AKUBARIKI sana Mh Makonda, Tunakupenda kwa dhati unakonga roho za.wanyonge kwa kuendelea kutatua kero zao MAHALI MAHALI.

  • @faharikhamisi3091
    @faharikhamisi3091 7 місяців тому +19

    Makonda mimi nakukubali sana na naona urais ndani yako ila naomba usitekenye matatizoo maliza shida ikiwezekana lala apo coz watu wanamengi moyoni

  • @MagrethEdward-iz7cz
    @MagrethEdward-iz7cz 6 місяців тому +3

    Hongera sana Mheshiwa Makonda kazi yako ni njema sana

  • @MahtaFungo-jm6zl
    @MahtaFungo-jm6zl 7 днів тому

    Mtumishi usiache umwani mungu Alie hai hata mwisho wa maisha yako amen

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 7 місяців тому +21

    Nakuombea sana Makonda Mungu akuweke ingawa kizuri hakidumu

  • @felisterjoshuamollel3930
    @felisterjoshuamollel3930 4 місяці тому +5

    Haki Mungu akusaidie, akuongoze na kukulinda Kiongozi ❤

    • @user-gu9pq2dw2f
      @user-gu9pq2dw2f Місяць тому

      Tunamshukuru sana Mungu na Rais wetu kugundua karama za Mhe.Makonda. Hakika huyu Ndugu Makonda ni ' HAZINA '!

  • @muhanyijr
    @muhanyijr 7 місяців тому +3

    Makonda anasahau kuwa bei za material mwaka 2016 sio sawa na za 2023

  • @AthumaniShafiiabdala
    @AthumaniShafiiabdala 4 місяці тому

    Baba makonda mungu akubalikisna kijiji cha madala kata ya chekelei viongozi hawatundei haki tututembelee baba kwenye katayetu

  • @alfredmongo1521
    @alfredmongo1521 2 місяці тому

    Asante sana kiongozi wetu pg

  • @user-vu8jn5zp3u
    @user-vu8jn5zp3u 6 місяців тому +3

    Hongera makonda unafanya kazi zuri

  • @SadikiDjumaine-f1k
    @SadikiDjumaine-f1k Місяць тому

    Much respect bro from Bujumbura

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 2 місяці тому

    Mombasa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Tunawafuatilia majirani zetu. Mko vizuri sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 6 місяців тому +6

    Makonda unajibu maswali na tena unajua kuwadadisi makonda hoooooooyeeeeeeed

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 6 місяців тому +1

    Mama Samia umefikiria sana kumchagua makonda hao wakurugenzi wanakuharibu sifa

  • @SadikiDjumaine-f1k
    @SadikiDjumaine-f1k Місяць тому

    Sina maneno bro kazi kazi from Bujumbura

  • @hilarykimario5075
    @hilarykimario5075 6 місяців тому +1

    Makonda kaka yangu unafanya kazi vizuri unafanya kama makofuli fanya kaxi kaka natamani Uwe rahisi samia amechoka anaaribu kila kitu aende nyumbani urahisi awezi

  • @user-ng1po1dh4z
    @user-ng1po1dh4z 6 місяців тому +3

    Ndugu Makonda, Kila sehemu baadhi ya Wakurugenzi ndio wenye kuvuruga mipango ya Serikali na Wananchi na niwalalamikiwa sana Kila mahali.. "SERIKALI TAFUTENI DAWA YA KUDUMU". TATIZO WAO NI KUJALI MANUFAA YAO TU.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 6 місяців тому

      Na ni kutoka CCM.

  • @RamlahNassoro
    @RamlahNassoro 6 місяців тому +1

    Makonda makonda makonda piga kazi mheshimiwa tunakukubali sanaaa

  • @AthumaniShafiiabdala
    @AthumaniShafiiabdala 4 місяці тому

    Makonda mungu akubaliki sana naakulinde sema jitahidi ufike kwenye kata yachekelei wanao hatutewi haki tunaonewa sana naviongozi wavijiji asante

  • @khalifmohamed7303
    @khalifmohamed7303 3 місяці тому +1

    Makonde chapa KAZI na issoma kwako mimi kutoka Kenya

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 6 місяців тому +1

    Ongera sana Mh.Makonda,yaan kuna madudu Mkoani,wilayan,vijijin hatari sana.

  • @hadija8880
    @hadija8880 5 місяців тому +1

    Kabisa baba

  • @khalifmohamed7303
    @khalifmohamed7303 3 місяці тому

    Her highness majesty presiden Suluhu you have , mtu ya mkono mhe makonde

  • @juliusntandu4302
    @juliusntandu4302 6 місяців тому +3

    Nakumbuka kiapo chako kwenye kaburi la JPM kaka kazi yako imetukuka

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 6 місяців тому +2

    Makonda kiboko...na angekuwa ndo ana mamlaka ya kiurais wangejuta

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 7 місяців тому +2

    Kweli kabisa wanamuangusha Mh Rais

  • @EdinaRutela-xv9sv
    @EdinaRutela-xv9sv 6 місяців тому

    Mama anapiga kazi wenyewe wanajaza matumbo yao Asante makonda piga kazi

  • @user-sx4jr7zz1p
    @user-sx4jr7zz1p 6 місяців тому +2

    Baba wawanyonge ukuje na mafinga twakuitaji sanaaa

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 7 місяців тому +3

    Kazi ipo kweli kweli

  • @user-ly3ob4vp3c
    @user-ly3ob4vp3c 7 місяців тому +2

    Asante makonda tunajionea madudu🎉

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of 7 місяців тому +4

    Laiti mungu angenipa nafasi ya uwezo wa kuonana na mama Rais. Mimi Naamini kuna mambo ningeongea Naye na yangemsaidia Katika serikali. Naomba mungu anipe kibali hata robo saa nimchangie mchango wangu.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 6 місяців тому

      Angetaka kujua na kuleta haki angejua ukweli. Lakini hana uwezo wa kufuatilia au hataki kujua ukweli. Haiwezekani asijue matatizo yote haya yanayoendelea. Başı hana uchungu na pesa na watu. Hawa viongozi wameteuliwa naye, na wengine walipita bila kupingwa. Ni makosa ya nani? Uongozi bora utafuatilia na kusimamia na kutoa haki. Raisi hachimoki hapo. Mmeshindwa kutasikia na kuyatekeleza matatizo na changamoto Za wananchi. Inabidi ueneze haki ya kudumu Makonda.

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of 7 місяців тому +2

    Makonda tunakuombea na mungu atakulinda.

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 5 місяців тому +1

    Inasikitisha kwa kweli😢😢😢

  • @MwajumaAbdalah-pg7jr
    @MwajumaAbdalah-pg7jr 6 місяців тому

    hongera makonda kwa kazi unayo ifanya

  • @David-dx5fc
    @David-dx5fc 3 місяці тому

    I wish we'd fourums like this in Kenya otherwise kongole mheshimiwa

  • @josephshwagara
    @josephshwagara Місяць тому

    Mimi Ni Murundi Lakini Nimekulia Tanzania Nikiwa Refugees in Tanzania Sasa Naishi USA Lakini Mambo ya Mkuu wamukowa Yanani Ingia moyoni Ikiwezekana Nipate Number ya Mheshimiwa Makonda Asanteni

  • @muhanyijr
    @muhanyijr 7 місяців тому +4

    Tanzania ndio nchi ambayo wananchi wake wanafurahia mwenzao kufukuzwa kazi 😢😢😢

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 6 місяців тому +1

    Makonda mmeshindwa uko kunadi mama apatekura wakati haya yamesababishwa na mh. Rais hatendi kazi nimtaka kura tu hakuna kitu

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 6 місяців тому

      Waambie ukweli hao. Kiongozi kashindwa kuwadhibiti watendaji wake, aka muon a Malinda mpigia kemgele amsaidie kmwombea tena kura arudi afanye hayahaya marjdık ya unga yaşamı, uporaji ardhi, utekaji, ufisadi. Wananchi. Hawamhitaji kiongozi asiyeweza kuwadikiliza matatizo yao, kuyatatua, kuwalazimisha mambo. Nchi inahitajika uongozi mpya kupitia uchaguzi wa haki na uongozi mpya utakaotuletea katiba mpya na sheria safi.

  • @user-nj2sn1kz2k
    @user-nj2sn1kz2k 6 місяців тому +1

    Uko sahihi mkuu pambana nao mweshimiwa

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 7 місяців тому +2

    Viongozi wa CCM wajifunze kwa Makonda awamu hii awamu hii ngoma imewashukia wasio wajibika wale wafanya biashara kwa vyeo na ufisadi wachomoke mwendo hawataweza.

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 3 місяці тому

    Ccm yooooo chama camapinduzi❤❤ aciya nyimbo dijeii

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 3 місяці тому

    Waongo wote wafukuze kazi uongo haufai

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of 7 місяців тому

    Makonda rudisha heshima ya nchi dhuluma ni nyingi mno na rushwa inanuka lakini Kwa kweli Tunampenda mama yetu Rais wetu Dr. Samia. Tupo pamoja na yeye. Mama ajitahidi kupiga Vita rushwa na dhuluma. Naamini mama yetu anaenda vizuri. Ni mwenye huruma, msikivu na mwenye upendo. Mungu ametupa Huyu mama tunashukuru.

  • @user-rp6ev9ux1o
    @user-rp6ev9ux1o 5 місяців тому

    Mungu akulinde na Kila husuda

  • @nickoemily8267
    @nickoemily8267 7 місяців тому +1

    Piga kazi jembe letu! Mi binafsi nampenda sana mheshimiwa Makonda ,mtetezi wa wanyonge.

    • @lugoratv1995
      @lugoratv1995 6 місяців тому

      Yani makonda wewe unaweza kutatua lakini unapo acha kriniki watatuliwe kriniki ukiweka hawatatuwi hicho ndo unapo kwamishwa

  • @user-rr1ds9jm1q
    @user-rr1ds9jm1q 6 місяців тому

    Makonda wilaya ya tandahimba kata malopokelo kijiji malamba kunakelo sana wakulima wanahangaika eneo la kulima wamekataswa na mkurugenzi

  • @MussaJuma-sd4jc
    @MussaJuma-sd4jc 4 місяці тому

    Mmi nakuombea miaka ya mbele ujekuwa raisi Kaka makonda

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 7 місяців тому +2

    Piga kaz my next jpm

  • @emmanuelyusuphkagoma
    @emmanuelyusuphkagoma 7 місяців тому

    Makondaa uko vizuri ludii geita yenaa

  • @phibymakuyu5056
    @phibymakuyu5056 7 місяців тому +2

    Tunakuwamini p...Makonda

  • @HamissiMbogo
    @HamissiMbogo 2 місяці тому

    Makonada ukosawa saana

  • @SaidHamis-yz1vt
    @SaidHamis-yz1vt 7 місяців тому +1

    MAKONDA MWANZA ILEMELA MAJI BARABARA RUSAIDIE HATA KAMA UKO MBALI PLZ.

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 7 місяців тому

    Wanamuangusha Mh Rais SSH

  • @GasperMsillo
    @GasperMsillo 7 місяців тому

    Hongera sana mh!

  • @Bizmind472
    @Bizmind472 7 місяців тому +1

    Makonda my roll model 😊

  • @nathanmmasi3890
    @nathanmmasi3890 7 місяців тому

    Angaliya waskuuwe tunakupenda sana mtetezi wawanyonge Mungu akupe maisha marefu Rais unae kuja.

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 6 місяців тому

    Mkurugenzi hajui kinachoendelea aibu anakula kula pesa bila hata kujua sehemu yake ya kazi.

  • @fikiriisaya5803
    @fikiriisaya5803 6 місяців тому

    Asante makonda

  • @abdulayoub8233
    @abdulayoub8233 6 місяців тому

    Makonda unaakili sana unafaa kuwaraisi

  • @ramadhanshabani4935
    @ramadhanshabani4935 6 місяців тому

    Mwenezi nenda hadi Jimbo ra bumburi kata ya funta Kuna dhuruma kubwa sana zahanati inajengwa niamka takiribani l0 kwa nguvu za wananchi viongozi wote wanapita nyumba hadi nyumba kuchukulia wananchi samani zao kama hujachangia na kuwapiga faini kubwa makonda tia taimu huko

  • @user-nj2sn1kz2k
    @user-nj2sn1kz2k 6 місяців тому

    Makonda unafaa kuwa RAISI MUNGU aendelee kukulinda kaka yangu

  • @jumachilundajr4853
    @jumachilundajr4853 7 місяців тому +1

    Hapa sasa nawashangaa wafrika wezetu hususani ss watanzania hivi hua hawaoni aibu kua kazi nzuri gari zuri lkn bogas kabisa viongozi wetu mnatua ninyi viongozi wa serikali mboni hamuoni aibu haya hapo kila mmoja hataki mzgo umuelemee wote hao hawatufai na niwengi tu wapo hivyo

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 6 місяців тому

    Tatizo ƙubwa Tz ni wizi, wafanyakazi na wananchi wanaofanya kazi za kuhudumia hawana uchungu ukipata cheo maana yake kupiga pesa.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 7 місяців тому

    Naona sio sawa kutokumpa nafasi ya kujieleza

  • @user-zo5sx5ko5s
    @user-zo5sx5ko5s 2 місяці тому

    Makonda natamani uwende kwetu kisiju pwani

  • @IdrisaSalum-ph6br
    @IdrisaSalum-ph6br 5 місяців тому

    Kaka piga kazi kazi kazi

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 7 місяців тому +4

    Kuna umuhimu wa wakuibua viongozi wapya Wazalendo bira kujari dini wala Kabira na bira mavyeti vyeti yao hayo vijana wazalendo wapo wenye uchungu na Taifa ili hili wamsaidie mama Samia Suluh na nchi hii tabia ya kufata viongozi wa vimemo ni ndio shida yake

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus 6 місяців тому +1

    Katiba unayoinukuu mbona mmeihatamia hamtaki itumike, yaani hao wananchi masikini wanapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 6 місяців тому

      Wape ukweli wao. Hata hii ya sasa wanaikanyaga. Katiba mpya ni sasa.

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 7 місяців тому

    Mimi nikiishi hapo wakati Makondo akiwa Kinda tulikuwa na Soko Manundu Old Korogwe na Kilole. Hatuwezi kuwapeleka wakazi wote wa Korogwe kwenye Soko la Kilole. Siyo sahihi

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 6 місяців тому

    Kumbe serikali inapesa, n ndio mana Africa haiendelei kwa sababu viongozi wengi wanajali nafi zao tu.

  • @IssackMaingu-ng5lk
    @IssackMaingu-ng5lk 7 місяців тому +1

    Mh: mwenezi na ltikadi Taifa watumishi kama hawa kamata na wafute kazi kwasababu miradi haikamiliki kwa wakati, wameshindwa kutekeleza wajibu wao

  • @raphaelonyango703
    @raphaelonyango703 4 місяці тому

    Hawa jamaa wanatuectia hawana maana hata kidogo.ccm wanabebana wanatufanya malimbukeni wanakitu kujuana.

  • @hadija8880
    @hadija8880 5 місяців тому

    Makonda angalia taifa lako baba nguvu kazi

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 7 місяців тому

    Safi sana

  • @user-fj7uj5di4e
    @user-fj7uj5di4e 5 місяців тому

    Hayo ndo mliyataka kuiba jaxho la wanainchi mkataka chama 1 ili kuiba bira uoga

  • @chidrashid3797
    @chidrashid3797 7 місяців тому +2

    Big up sanaa makonda

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 6 місяців тому

    Wamebananishwa vizuri

  • @gudilamsumai9989
    @gudilamsumai9989 6 місяців тому

    Mheshimiwa makonda tulikusubiri sana jimbo la bumbuli. kata ya mamba zipo changamoto kubwa kwenye hospital ya mbelei

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 7 місяців тому

    Huu ni mji wangu 1968 nilikuwa Darasa la 4 Shule ya Msingi Manundu hadi 1971 nikafaulu kwenda Kibaha Secondary.

  • @user-lc6ce8pb9b
    @user-lc6ce8pb9b 6 місяців тому

    Nenda Lushoto bumbuli makonda, huko ndo kumeoza kbs,nawananchi wamekuwa misukule

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 7 місяців тому +1

    Korogwe kunashida sana

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of 7 місяців тому

    Hawa miungu watu ndio wanaharibu na kuchafua heshima ya nchi hii.

  • @malandojames5151
    @malandojames5151 7 місяців тому

    Humo serikalini kuna viraza wengi sana aise!! Ccm ni chama bora sana. Ila hawa tunaowaita watalam wetu walio wengi ni ovyo sana. Chama kiwatazame hawa watu kwa umakini mkubwa.

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 7 місяців тому

    Makonda Sasa nimekuelewa,,kumbe wanakuchukia sababu unaongea ukweeeliii.
    Ccm juuuuu

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 6 місяців тому

    Rasi makonda ajae tunakupenda mungu kutunze

  • @user-rp6ev9ux1o
    @user-rp6ev9ux1o 5 місяців тому

    Kaka Makonda tupo nyuma yako

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 7 місяців тому +3

    This is not serious
    Unajiita mkurugenzi
    Shida sana

  • @oswaldsambaya4422
    @oswaldsambaya4422 7 місяців тому

    Unaweza kumchukia Komredi Makonda lakini yuko sahihi. Tumuombee ulinzi wa MUNGU.

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 7 місяців тому +1

    Malinda Sasa nimekuelewa

  • @hadija8880
    @hadija8880 5 місяців тому

    Mkulungezi hakuna biashala kwasababu setendi imejengwa vibaya. Fleming kwanza wae.ngeweka milango Kwa ndani lamda hata soko lingekuwa bola hata Magali hayaingii mengine ndani abilia hata kula ni shida mbona manundu setendi ilikuwa vizuli Magali ya vijijini hayaingii na watu wa vijijini ndio wenye biashala

  • @neemahassan5726
    @neemahassan5726 6 місяців тому

    Muheshimiwa makonda na wilaya ya bumbuli vijijini twaomba msaad Wako kijicha tuliani Kata ya mgwashi hatuna kituo Cha afya tunapata shida Kwa sisi wamama wajawazito na watoto tulia kuna kitua kiliwekwa ramani tangu mwaka 2000

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 5 місяців тому

    Watumbuliwe hao hawafai hawana imani hata

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 6 місяців тому

    Makonda hoieeeh chapa kaz kamanda

  • @user-em6dp9pe7b
    @user-em6dp9pe7b 6 місяців тому

    Tumesha jua tatizo lipo wapi yule mama sio mkali ndo mana hawa wezi wanaiba sana pia mawaziri hawa jibiki wanajari matumbo yao tuu ccm wote wezi

  • @frederickmaringo8014
    @frederickmaringo8014 7 місяців тому

    Uwajibiaji mhimu.

  • @ericangao2243
    @ericangao2243 7 місяців тому

    Mkuu upitie.huku Kilimanjaro Moshi Vijijini tuna shida kubwa ya maji

  • @user-cy4nr8bq9e
    @user-cy4nr8bq9e 6 місяців тому

    Unafaa kua rais wawanyonge Kama hayat magufuli