Jamani sijui nini kilimkumba Joel.Lakini pamoja na yote,bado ni maombi yangu kwa Mungu amlinde huyo mtoto huko aliko na apatikane akiwa salama.InshAllah!
Poleni wazazi,Mungu awatie nguvu apatikane, ila nawashauri waje Ngome ya Yesu kufanya maombi kwa Kuhani Musa , kimara Temboni. Atapatikana kwa imani. Mungu wetu hashindwi jambo.wengi walipotea wakapatikana.
Mungu ni mmona dada isipokuwa Imani ndyo kitu kinacholeta mafanikio chanya na cyo Mungu wenu lkn pia siyo mpaka afike kimara tembon Mungu yupo kila sehemu pengine ungemshahuri wakatafute kanisa la kiroho lenye Nguvu za Mungu
Huyu mwanafunzi kwa mimi ninavyoona alikua hataki shule maana ukifika form two huwa kuna changamoto sasa naisi kuna mahali yupo.. ila yote kwa yote Mungu amsaidie huko aliko
Ni iv kwa Imani kububwa niliyo nayo huyu kijana yupo tena yupo hai kabsa bila shaka yoyote. Machale yangu hayajawahi kukosea Niko kagera ila niwahaidi kama wazazi wa huyu kijana yupo nimejimuika nanyi wakati wote na kwa kila hatua Kijana yupo nirudie kwa mara nyingine Mtanipa like zangu Muda sio Mrefu
Ww mwanafunzi muogope mungu aliye mbinguni hivyo mnaniambia mlimuona mwanangu yupo nyuma ya mti mkubwa mkamuacha pekee ,bila hata kutoa taarifa kwa walimu mliokuwa nao hakika hakika ,sioni,sielewi ,sitambui mnayoongea hapa ,waambieni walimu wanipe mtoto wangu Joel kwenye mti waliomuacha
Kama wewe ni mzazi/ndugu wa Joel usifuatilie sana hizi habari zitazidi kukuumiza, Funga muombe sana Mungu, atakujibu maombi Mungu ni mwaminifu. Poleni sana
Kama huyo ni mtoto wako basi wote ni vilaza. Yaani mwanafunzi wa Sekondari eti kwanini mlimuacha kwenye mti. Huyo sio mtoto Mdogo Bwana na akipatikana anatakiwa atandikwe bakora za kutosha.
Hawa wanafunzi ni waongo sana pia hawana upendo kwa nini hawakumshika mwenzao au kumkabidhi kwa mwalimu huzuni sana Mungu mtetee joel aonekane akiwa salama
Mliwapandikiza watoto maneno ya kuongea mpaka mmechelewesha utafutaji kwa sababu ya maelezo yasiyo sahihi, mmeaninisha kijana kaenda kitaa kwa mambo ya ovyo, mmewakosea sana hawa watoto kwa jitihada zenu za kujisafisha
Joel njoo Mwanangu kama upo sehemu umejificha uhai ni Bora kuliko elimu, niambie kama shule imekua ngumu yanazungunzika wazaz wamelia sana wahurumie basi. Kama unaogopa kurudi home kwenu kajitokeze basi tujue upo .Mungu mlete akiwa hai jamani
Kwa Maelezo hata huyu Hajapotea Ila Ameondoka Kwensa Anapopajua..!Tena Kama Vijana wa Form Two Aseeee ni Shidaaaa na Mara Nyingi wazazi Huwa Wengi sababu hawakai Nao Muda mrefu na Wengi Nyumbani wanaficha Tabia ila Ni Pasua Kichwa Sana..Mungu Asaidie Arudi Nyumbani
Walimu wamejitahidi kumpanga huyu mwanafunza ila Mungu anawaona,joel popote ulipo kama upo hai jitokeze wazazi wanakulilia muonee huruma mama ako joel.😢😢😢😢
Nyinyi watoto waongo mmepanga na walimu muongee ivyo sio kweli kusema joeli akae peke yake kila kuwa na shida yoyote Ni uzembe umefanyika Kwa viongozi mlioenda uko ulinzi aukuwa mzuri bwana
Itakua alikua na mipango yake ila chance ndio liipata hapo. Form two nayo ina mambo mengi ujana umechanganya,kila kitu unataka kujaribu,shule unaona inakuchelewesha anyway Mungu amlinde
@@masalakulwa7601sidhani 😢 sababu mtihani wanafanya mwezi ujao kwanini asingesubiri akafanya mtihani akafeli makusud ama wenzie vile wanaondoka angekataa kwenda na angetoroka
Huyo mtoto atakuwa amepotea mlimani baada ya kukosea jiografia ya mazingira ya mlima walioupanda. Mlima au pori ni sawa na bahari. Hivyo kupotea ni rahisi sana kwa binadamu asjye na mafunzo maalum ya kutembea maporini.
Upo sahihi kuna kipindi tulienda porin wenzetu walipotea tuliwatafuta had Giza liliingia na Wai walienda had waktokea Kijiji kingine ndio wakapta mawadiliano aisee
Natamani mtoto huyu aonekane akiwa hai,Mtoto mzuri popote ulipo naomba urudi wazazi wako wanateseka wahurumie mama na baba yako na sisi wazazi wengine tunalia kila siku nafatilia habari zako napata uchungu kama upo hai jitokeze mtoto mzuri
Aya sawa ametoroka na asipoonekana au akija maiti itakuwaje?dogo chunga sana umelishwa matango pori uongee maneno hayo Tumuombee mungu awe mzima in shaa allah
Ametoroka vipi wewe ulimhoji kwanini mulimuacha akakimbia na hamkutoa taarifa kwa mwalimu baada ya kumuona amekaa mwenyewe chini ya mti. Umesema mlimuona alikuwa hayupo sawa ana wewesuka hata ongea yake ilikuwa ya kuangalia chini kwanini hamkusema kwa mwalimu
Kuna mdudu ukimkanyagaa huwa anakupotezaa akili mpk zirudii ni mtihani sanaa au ni pepo tu mchafu kaingiaa maan huo ni mlimaa nao una mambo mengi tumuombeee tu
Mungu akusadie Mwanangu uwe Umesema Ukweli, Kama sio kweli na mnafundishwa Uongo na Walimu wenu, ipo Siku nanyi yatawakuta km Sio kwako hta ndugu yako au kwa Mwanao
Kunanyoka wakubwa milimani jmn kwann mshajua sehemu watoto wanapotea na mnaendelea kupeleka watoto waalimu mpambane na mtoto wa watu ammonia tangia waonekane alishabab hakuna tena mtu mzima wala wanafunzi kutalii
Hapana,..nafkr huyu mtoto kunakitu kilimpata akiwa mlimani,..na minawashangaa hawa walimu ni mafunzo gani hayo ya vitendo ya kupanda mlima had kileleni halafu watoto wengne wakiwa wanahangaika kutafta njia ya walipopita wengne bila hata mwalim mmoja kuwa nao!..hii inashangaza!..
Kwq maelezo ya mtoto wa pili😢umakin aukuwepo kbxaaa walimu wazemb watoto wanatafut njia muda wote jmniij mara imefungwa aisee ck nyingne msithubut kbxaaa kupelek watoto hko
Hawa madogo sikuhizi, na kuna yule mwingine alichora ramani ya kwenda Marekani, ile Ramani hata ukiwa na D mbili hutoboi, ila dogo alitoboa mpaka Kenya
mbona kama amwpangwa nn cha kuongea,,,,,huko nyuma walimu na jamaa anaeongoza kupanda mlima wamesema wameanza kupanda saa 3 asubuh ,,,huyu dogo nae anasema wameanza kupanda saa1🤔🤔🤔🤔 All in all mm hii ishu naipa Double chance ima dogo katoroka yupo bze na maisha ya mtaan au limemkuta jambo.
Mashaka makubwa ebu tizama huo msitu hawezi baki huko kwazkili Yake au akae vibanda vya Moira matangazo yote hayo Watu wangeluona watoto wamepangwa kupooza mambo
Sikiliza maelezo vizuri, anasema mwanzo alikuwa anajikuna kwenye mti akasema waende watamkuta hapo lkn baadae wakaungana nae wakati wanahangaika kutafuta njia ndo hapo wakapotezana
Hapo maombi yanatakiwa maana maelezo ya wezie yanatupa ufahamu kidogo walimu ingieni kwenye maombi washirikisheni watumishi wa Mungu hilo rohoo ya giza ipotee
Ndiyo maana kila wakati sipendi walaumiwe walimu aiwezekani wapande zaidi ya 100 afu mmoja anatoweka afu tuwalaumu walimu swali ni kwanini mmoja na sio watatu au wawili hapa kuna tatizo tusionee tu walimu
Mwalimu lazima alaumiwe, walipo muona ana hama group kwanini walimu hawakusema njoo utembee na mimi hapa na hakuna kuhama. Na wakawa wana mfatilia. Huwezi kumuona mtoto anawasha moto alafu mtu mzima umwangalie tu.
@@patricemushi8786 Mimi naomba MUNGU ANISIKIE ATEKWE AU APOTEE WAKE TENA FIRST BORN,HALAFU ARUDI HAPA TENA ATUSIMULIE UTAMU WAKE NA HASIWALAUMU HAO WAALIMU,EEE MUNGU SIKIA MAOMBI YANGU.😪
Kwa staili hiyo waomboleze tu wamaliza msiba. Waafrika wanamaajabu na mizimu yao. Maeneo mengine yana historia ngumu vinginevyo wawatafute wazee wa maeneo hayo huenda wakafanya kitu ila bila hivyo hayo watazunguka sana. Nimeshuhudia matukio kama haya maeneo kadhaa na akipatikana hai nibahati sana
Leo mungu kawaumbuwaaaa kwa uongoo mlio fundishwa joweli kapatikana ataongeya kilakituu
Jamani sijui nini kilimkumba Joel.Lakini pamoja na yote,bado ni maombi yangu kwa Mungu amlinde huyo mtoto huko aliko na apatikane akiwa salama.InshAllah!
Kwa kwely mungu atawale tuu maana hamna anayejua chochote...
Amen
Amiin🤲🤲🤲
Inauzunisha lakin utakuta hayupo ata huko mliman maan watoto wasiku hizi ningumu kuwaamin utakuta yupo dar kitambo😢
Huyu kijana afuatiliwe sana kuna kitu anafahamu..hawezi kusemaWANAHANGAIKA WHY?KWELI HUJUI MWENZIO ALIPO UNAWAZA MTIHANI ?KQELI KICHAA ANACHEKESHA ASIPIKUA NDUGUYO
Poleni wazazi,Mungu awatie nguvu apatikane, ila nawashauri waje Ngome ya Yesu kufanya maombi kwa Kuhani Musa , kimara Temboni. Atapatikana kwa imani. Mungu wetu hashindwi jambo.wengi walipotea wakapatikana.
Mungu ni mmona dada isipokuwa Imani ndyo kitu kinacholeta mafanikio chanya na cyo Mungu wenu lkn pia siyo mpaka afike kimara tembon Mungu yupo kila sehemu pengine ungemshahuri wakatafute kanisa la kiroho lenye Nguvu za Mungu
Huyu mwanafunzi kwa mimi ninavyoona alikua hataki shule maana ukifika form two huwa kuna changamoto sasa naisi kuna mahali yupo.. ila yote kwa yote Mungu amsaidie huko aliko
Mawazo yangu na yako yako sawa kuna sehemu ametowekea ila atarejea tuu
Yawezekana kabisa inawezekana huo mtoko wa kujifunza ndio fulsa aliipata ya kutimka.
Naamini hivyo
@@ziddyziddy2524 mungu atamsaidia atakuwa salama
Tumefanana mawazo Mungu asaidie apatikane
Navaa viatu vya hawa wazazi vinanibana,Mungu mlinde mtoto wetu popote alipo inaumizaaa sana tuzidi kuomba jamani Mungu hajawahi kushindwa
Ni iv kwa Imani kububwa niliyo nayo huyu kijana yupo tena yupo hai kabsa bila shaka yoyote.
Machale yangu hayajawahi kukosea
Niko kagera ila niwahaidi kama wazazi wa huyu kijana yupo nimejimuika nanyi wakati wote
na kwa kila hatua
Kijana yupo nirudie kwa mara nyingine
Mtanipa like zangu Muda sio Mrefu
Piga katerero tu ndugu yangu, haya ni mazito kuliko machale yako ya ndizi
Hajamezwq nachatu huyu kweli@@avitusmichael5
@@avitusmichael5😅😅😅😅
@@avitusmichael5😂😂😂😂
😂😂😂kwann lakini😂😂@@avitusmichael5
Mungu amlinde huko aliko , navaa viatu vyenu wazazi havinitoshi, Mungu azidi kuwatia nguvu naamini hakuna linaloshindikana mbele zake
Akipatikana tutaujua ukweli sasa hivi mnaweza kutoa hoja zenu tu. Mwenyezi Mungu amlinde huko alipo
Wamefundishwa wanafunzi kusema hayo maneno maana,anababaika sana huyu mtoto 😊
Hii story wamemlisha huyu mtoto.
I wish kama angejua effect ya ushahidi huu anautoa.
Yaani umewaza kama Mimi huyu kapangwa
Wamewapanga@@StanleyBarushi
@@StanleyBarushi. Naisi
Msiiseme Hivyo Inategemea. Binafsi Naamini Wanayozungumza Ndio Uhalisia Wamambo Sirahisi Kuongeopa Kwenye Situation kama Hizo.
HatamiminaonaHuyu niMuongo huyu alikuwa wapi kusema sikuzoote hizo kwanini wasi mfunge kaumba kama walimuona Anawewesekweweseka kwanini hamkumfunga kamba
Huyu atapatikana tu akiwa mzima angekuwa amefariki wangeukuta mwili naamini ni mzima kwa jina la yesu
Ww mwanafunzi muogope mungu aliye mbinguni hivyo mnaniambia mlimuona mwanangu yupo nyuma ya mti mkubwa mkamuacha pekee ,bila hata kutoa taarifa kwa walimu mliokuwa nao hakika hakika ,sioni,sielewi ,sitambui mnayoongea hapa ,waambieni walimu wanipe mtoto wangu Joel kwenye mti waliomuacha
Kama wewe ni mzazi/ndugu wa Joel usifuatilie sana hizi habari zitazidi kukuumiza, Funga muombe sana Mungu, atakujibu maombi Mungu ni mwaminifu. Poleni sana
Pole sana, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi umpate mtoto wako kivyovyote.💔😨
Pole mama,Mungu awatie nguvu ,tunaomba Mungu amtumze mtoto Joel apatikane akiwa mzima kabisa,Mungu hashindwi chochote
Kama huyo ni mtoto wako basi wote ni vilaza. Yaani mwanafunzi wa Sekondari eti kwanini mlimuacha kwenye mti. Huyo sio mtoto Mdogo Bwana na akipatikana anatakiwa atandikwe bakora za kutosha.
Ht mie nimeshangaa kwann wasiwaambie viongoz wao kuwa Joel hatumuelewi mbona walimuacha tuu ktk huo mti ?😢😢😢mungu amnusuru huko aliko na mabaya yote
Mungu wewe sio muhitaji bali sisi tunajitaji kutoka kwako mrejeshe mtoto huyu wazazi wake hawalali fanya miujiza Yako kwako hakuna gum
Hawa wanafunzi ni waongo sana pia hawana upendo kwa nini hawakumshika mwenzao au kumkabidhi kwa mwalimu huzuni sana Mungu mtetee joel aonekane akiwa salama
Kwa maelezo ya huyu mwanafunzi Isiwe kafanywa msukule tu maana watu wa manyara Kwa misukule mungu amlinde huko alipo
Joel yupo hai tu mambo ya makuzi yanamsumbua umri huo ni shida wanafunzi wenzie wamesema ukweli alikusudia kutoroka yupo sehemu anaogopa kurudi
Ku assume huku haya alikua Bado mlimani
Mbona maongezi tofauti kidogo kwa hawa watoto
mara amepotea mara amekaa kwenye mlima mara snakimbia woi
@@josephineokama2200 nashangaa kuna namna hapa vitu havieleweki
Jmn huo ni ugonjwa waakili ulimpata hata mtoto wangu wagegundua mapema wagemsaidia Mungu amlinde tuu apatikane akiwa salaam
Mwenyezi Mungu tunakuomba umlinde kijana wetu apatikane akiwa hai
Mwongo t huyo kijana!! Et alijirudisha nyuma, Mungu mfanyie wepes t Joel aonekane akiwa salama
Asanteni kwa kupangwa wanafunzi
Umeona eeeee😢😢😢
Hta mm nimeona
Saahii kabisa Hawa wamepangwa
Wamewapanga mama
Mawazo hasi hayo, Tz kuna shida ya uelewa!
Mliwapandikiza watoto maneno ya kuongea mpaka mmechelewesha utafutaji kwa sababu ya maelezo yasiyo sahihi, mmeaninisha kijana kaenda kitaa kwa mambo ya ovyo, mmewakosea sana hawa watoto kwa jitihada zenu za kujisafisha
Ee mwenyezi Mungu walinde wazazi wa Joel, na Joel mwenyewe popote alipo akumbuke nyumbani. Amen
Huyu dogo ukimskiliza vizuri utagundua ameagizwa na walimu aseme hivo kusudi wanataka kurusha kesi
Hio hata mimi nimeiona
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Hujakosea
Ni kweli
Joel njoo Mwanangu kama upo sehemu umejificha uhai ni Bora kuliko elimu, niambie kama shule imekua ngumu yanazungunzika wazaz wamelia sana wahurumie basi. Kama unaogopa kurudi home kwenu kajitokeze basi tujue upo .Mungu mlete akiwa hai jamani
Amina
Kumbuka huko ni porini lazima amepotelea huko sizani kama amekimbia uko porin atakimbilia wap sasa,mungu asaidie tu wanyama wakal jmn
Mungu amsaidie wallah apatikane akiwa salama😊
Familia ya wazazi pole I sana.
Huyu mwanafunzi ningekuwa karibu ningempa ngumi ya uso moja tu Hadi amtaje mwalimu aliyemwekea maneno mdomoni
Hawa wanafunzi walipangwa.masikini hii itawala sana maisha yote hawa watoto😢
Kwa Maelezo hata huyu Hajapotea Ila Ameondoka Kwensa Anapopajua..!Tena Kama Vijana wa Form Two Aseeee ni Shidaaaa na Mara Nyingi wazazi Huwa Wengi sababu hawakai Nao Muda mrefu na Wengi Nyumbani wanaficha Tabia ila Ni Pasua Kichwa Sana..Mungu Asaidie Arudi Nyumbani
Walimu wamejitahidi kumpanga huyu mwanafunza ila Mungu anawaona,joel popote ulipo kama upo hai jitokeze wazazi wanakulilia muonee huruma mama ako joel.😢😢😢😢
Kwakweli
We umelishwa hayo maneno. Kuna kitu mnaficha
Wafanye maombi ya nguvu kuna pepo🙏
Nyinyi watoto waongo mmepanga na walimu muongee ivyo sio kweli kusema joeli akae peke yake kila kuwa na shida yoyote Ni uzembe umefanyika Kwa viongozi mlioenda uko ulinzi aukuwa mzuri bwana
Basi kama alipanga kutoka,Roho Mtakatifu aseme naye na amkoseshe amani arudi nyumbani, wazazi wanateseka jamani, inauma sana Sanaa tu!
EeeMungu baba ninamuomba umrudishe mtoto huyu akiwa salama Mungu hujawahi kushindwa na jambo fanya jambo wakuu kuwa upo baba
Inawezekana alikubwa na pepo mchafu
hakuna pepo wala nn..ni fool8sh age
@@masalakulwa7601kabisa
Napepo woote wachafu walikuwa walimuona Yesu wanasema Mwana wamungu na wafuasi wao Mpaka Leo wapo humuita Yesu MwanawaMungu
Nyieeeeeeh hivi mnatuchukuliaje mnaotupa taarifa 😮
Huyu mwanafunzi Muongo sana kama alianza kukimbia watu mulimsaidiaje Amepangwa huyu mwanafunzi limdomo linaonekana limepangwa
Mungu asaidie apatkane wazaz wapo kwenye maumivu makali 😢😢😢😢😢
We kijana mungu anakuona!!!umelishwa maneno huko na ww kweli umesemaa 😢😢😢😢
Huyu mtoto ukisikiliza maelezo alikusudia kutoroka kabisa yani
Una uhakika na maelekezo unayo yasikia
Hata mie nahisi hvyo
Syo kweli tumuombe Mungu Aonekane Asibitishe haya maneno wamemuekelea waongo Hawa ushahidi sehem mbili tumsikie namwenyewe ndyo niamini waongo hawa
Ety Joel km kunakitu ametumia,wanataka kutuaminisha nn hawa ,hamna ukweli hapa ....mungu mwema ataipa faraja Familia inshaallah
Sitaki hata kuskiza wanasema kitu gani zaid sana tumwombe Mungu Joel apatikane salama hiko ndio kikubwa
Itakua alikua na mipango yake ila chance ndio liipata hapo. Form two nayo ina mambo mengi ujana umechanganya,kila kitu unataka kujaribu,shule unaona inakuchelewesha anyway Mungu amlinde
true dat
@@masalakulwa7601sidhani 😢 sababu mtihani wanafanya mwezi ujao kwanini asingesubiri akafanya mtihani akafeli makusud ama wenzie vile wanaondoka angekataa kwenda na angetoroka
Mungu amtunze Joel arudi akiwa hai
HUYO Joel Ni MIMI Nimetoroka Shule Siji Ng'oo 🤣
Pole sana wazazi
Huyo mtoto atakuwa amepotea mlimani baada ya kukosea jiografia ya mazingira ya mlima walioupanda. Mlima au pori ni sawa na bahari. Hivyo kupotea ni rahisi sana kwa binadamu asjye na mafunzo maalum ya kutembea maporini.
Upo sahihi kuna kipindi tulienda porin wenzetu walipotea tuliwatafuta had Giza liliingia na Wai walienda had waktokea Kijiji kingine ndio wakapta mawadiliano aisee
Mimi yalishawahi nikutaga,tena usiku,Yani nilipotea tulienda kijijini huko milimani kuzika,uzuri hiyo jografia niliiweza,
Hata Mimi ndoo nachohisi
Kulea changamoto sana Mungu tusaidie kuna 1alikamatwa kenya wa kigambini nae atafutwe ninaimani yupo hai
Awezi kutoroka kunakitu labda kimempata mmuombee kwa mungu apatikane salama
Mungu naomba umrudishe huyo mtoto kwa uweza wako
Natamani mtoto huyu aonekane akiwa hai,Mtoto mzuri popote ulipo naomba urudi wazazi wako wanateseka wahurumie mama na baba yako na sisi wazazi wengine tunalia kila siku nafatilia habari zako napata uchungu kama upo hai jitokeze mtoto mzuri
Mmmh bora wangenyamaza waongee akipatikana
Aya sawa ametoroka na asipoonekana au akija maiti itakuwaje?dogo chunga sana umelishwa matango pori uongee maneno hayo
Tumuombee mungu awe mzima in shaa allah
Hao ni watoto wao wanaripoti walichokiona, hawachambui matukio kama watu wazima
Huyu kijana yaonekana ame tekwa na mashetani ama vipi mungu amlinde uko aliko
Eee Mungu Joel popote ulipo ulipo,rudi home,km umejificha sehemu,angalia jinsi 2nav'oteseka japo ha2kufahamu ila 2namlilia Mungu.
Ametoroka vipi wewe ulimhoji kwanini mulimuacha akakimbia na hamkutoa taarifa kwa mwalimu baada ya kumuona amekaa mwenyewe chini ya mti. Umesema mlimuona alikuwa hayupo sawa ana wewesuka hata ongea yake ilikuwa ya kuangalia chini kwanini hamkusema kwa mwalimu
Mmoja chini ya mti mwengine juu ya mti ajikuna anaupupu
POINT ASEE
Vijana wamekaririshwa na wamepishana kwa maelezo
Kupokea maarifa mapya ni ngumu kwenye ubongo wako.
Kuna mdudu ukimkanyagaa huwa anakupotezaa akili mpk zirudii ni mtihani sanaa au ni pepo tu mchafu kaingiaa maan huo ni mlimaa nao una mambo mengi tumuombeee tu
Waongo Hawa wamepangwa ni story ya kutengeneza
Ndivyo nimesema haww wamelipwa kusema ndio shule ijitoe kwa kesi,mtoto ajifiche juu ya nn ajawahi potea
Kweli awa wamepangwa
Tunamuomba MUNGU apatikane
Kwl kbs hata me naona wamempanga
Hiv kama sio kupangwa mnamuonaje mwenzen na hali isyo ya kawaida na msiwashrkishe walimu waliokuwepo au kuwa karb naye?ushahid unaponza
Mungu akusadie Mwanangu uwe Umesema Ukweli, Kama sio kweli na mnafundishwa Uongo na Walimu wenu, ipo Siku nanyi yatawakuta km Sio kwako hta ndugu yako au kwa Mwanao
Kwel Elimu haiyongopi watto wanajieleza vzr unawaelewa kbs
Huyu alikua group la kwanza,kajuaje ya group la pili
Kwani huwa mna shida ya masikio?
@@likimaro6kwakweli mpka keroo😂😂
Ebu sikiliza sana ujasikia vizur uyo mwanafunzi uwatesa wazazi wake ila upo hai
Unamuuliza nani?
Acha tu
😅😅😅😅😅😅asikar anzien hapaaaaaa
Hawa madogo wameshapiga rehiso ya kutosha sana hapa kilichobaki ni kushuka scene tu😅😅😅😅
Uzembe wa uangalizi wa walimu ..wawajibishweee...wafukuzwe kazi...
Pamoja na uzembe wa viongoz wa shrle
Haya maelezo yanatia hasira
Kunanyoka wakubwa milimani jmn kwann mshajua sehemu watoto wanapotea na mnaendelea kupeleka watoto waalimu mpambane na mtoto wa watu ammonia tangia waonekane alishabab hakuna tena mtu mzima wala wanafunzi kutalii
Uongoooo wewe kijana mdogo umedanganywa ili uongee hivyo...mungu anakuona na huyo aliyekupanga hayo maneno mungu anawaona
Allah ajaliye aonekane akiwa hai naafya njema ameen
Hawa wabanwe vizuri kila kitu kitakaa sawa
We mtoto acha uongo unasema joeli ukimsemesha,hakuaangalii machoni halfu tena unasema ametoroka umepagwa
Kabisa. Wanapangwa
Ata mimi nmeona hilo
we naye hujaelewa nn hapo
Kupangwa ni lazima hapo ni mbele ya camera hiyo ni kess
Yan huyu ni muongo kbs
Kama Mungu aishivyo huyu kijana haifiki jumatatu bila kuonekana
Joel atapatikana akiwa mzima. Tuendelee kuomba tu. Kwa jina la Yesu atapatikana
Inawezekana kakutwa na pepo mchafu ndo wamempoteza...muhimu dua apo
Hapana,..nafkr huyu mtoto kunakitu kilimpata akiwa mlimani,..na minawashangaa hawa walimu ni mafunzo gani hayo ya vitendo ya kupanda mlima had kileleni halafu watoto wengne wakiwa wanahangaika kutafta njia ya walipopita wengne bila hata mwalim mmoja kuwa nao!..hii inashangaza!..
Hiyo ya kuacha wanafunzi hadi wnata mjia wenyewe wazazi kemeeni hiyo tabia, ni hatari sana maana hakuna anayewajali wanafunzi.
Kwq maelezo ya mtoto wa pili😢umakin aukuwepo kbxaaa walimu wazemb watoto wanatafut njia muda wote jmniij mara imefungwa aisee ck nyingne msithubut kbxaaa kupelek watoto hko
Mmh tunaomba mungu mtt apatikane jaman
Hawa madogo sikuhizi, na kuna yule mwingine alichora ramani ya kwenda Marekani, ile Ramani hata ukiwa na D mbili hutoboi, ila dogo alitoboa mpaka Kenya
Hawa wanafunzi wamefundishwa
Kabisa hauwezi kuwa mbele Akajirudisha nyumba labda kama wamemla mwenzao
Alivuta bangi uyo anasumbua watu 😂😂
mbona kama amwpangwa nn cha kuongea,,,,,huko nyuma walimu na jamaa anaeongoza kupanda mlima wamesema wameanza kupanda saa 3 asubuh ,,,huyu dogo nae anasema wameanza kupanda saa1🤔🤔🤔🤔 All in all mm hii ishu naipa Double chance ima dogo katoroka yupo bze na maisha ya mtaan au limemkuta jambo.
Mungu mkumbwa atapatikana tu
Hee mungu mrinde uko aripo awe salama mtoto kwa uwezo wako mungu mrinde mtoto uyo
Wamepangwa hawa. Kwa nini wasiongee siku hiyo alopotea au siku ya poli 😭😭😭
Jamani Hilo pori ni kubwa ukiskia wanakijiji utapata majibu huyo mtoto kunakitu kimempata jamani poli ni kubwa
Joel nilishasema yupo kuna sehemu kajibanza anaogopa kutokezea atapatikana akiwa mzima tu.
Huyu dogo Atakua Yuko hai sema shulee ndo hapendi Mungu amsaidie huko alikoo
Mungu mjalie aonekane
😢😢😢 Ee mungu mjlie awe wa afya uko aliko duu😢🙏🙏🙏
Hawa watoto waongo mtoto wa kwanza amesema alikaa chin ya mti huyu WA pili anasema juu ya mti SI kweli
Mashaka makubwa ebu tizama huo msitu hawezi baki huko kwazkili Yake au akae vibanda vya Moira matangazo yote hayo Watu wangeluona watoto wamepangwa kupooza mambo
Sikiliza maelezo vizuri, anasema mwanzo alikuwa anajikuna kwenye mti akasema waende watamkuta hapo lkn baadae wakaungana nae wakati wanahangaika kutafuta njia ndo hapo wakapotezana
Hapo maombi yanatakiwa maana maelezo ya wezie yanatupa ufahamu kidogo walimu ingieni kwenye maombi washirikisheni watumishi wa Mungu hilo rohoo ya giza ipotee
Mungu tusaidie tushinde katika hili hawa wanafunz wanachokiongea kina ukweli jaman 😅
Ndiyo maana kila wakati sipendi walaumiwe walimu aiwezekani wapande zaidi ya 100 afu mmoja anatoweka afu tuwalaumu walimu swali ni kwanini mmoja na sio watatu au wawili hapa kuna tatizo tusionee tu walimu
Mwalimu lazima alaumiwe, walipo muona ana hama group kwanini walimu hawakusema njoo utembee na mimi hapa na hakuna kuhama. Na wakawa wana mfatilia. Huwezi kumuona mtoto anawasha moto alafu mtu mzima umwangalie tu.
Hujui unachokisema
Mimi naomba MUNGU,atekwe au apotee wako tena first born,halafu tunakuomba urudi hapa utusimulie tena utamu wake,NA HUSIWALAUMU HAO WAALIMU.😢
@@patricemushi8786 Mimi naomba MUNGU ANISIKIE ATEKWE AU APOTEE WAKE TENA FIRST BORN,HALAFU ARUDI HAPA TENA ATUSIMULIE UTAMU WAKE NA HASIWALAUMU HAO WAALIMU,EEE MUNGU SIKIA MAOMBI YANGU.😪
Ndugu yangu huna uwelewa!!
Kwa staili hiyo waomboleze tu wamaliza msiba. Waafrika wanamaajabu na mizimu yao. Maeneo mengine yana historia ngumu vinginevyo wawatafute wazee wa maeneo hayo huenda wakafanya kitu ila bila hivyo hayo watazunguka sana. Nimeshuhudia matukio kama haya maeneo kadhaa na akipatikana hai nibahati sana
Jamani MUNGU afanye wepesi apatikane tena akiwa Hai jaman inauma sana 😭😭
Tuombe Mungu awe mahali tu!
Washafundishwa uwongo na walimu,, wapuuzi sana tunataka mtoto apatikane akiwa mzima😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢