Wewe ndugu yandu Paul makonda upo okay sanaaaa mungu ibariki wewe wambie hao chadema mama yetu anapambana sana akisema kazi iendelee ni kweli mradi zote iendelee
Mmoja wapo akiwa yeye anamali ambazo mshahara wake na mali havilingani.Mpaka kagombania nyumba na GSM wakati mshahara wake hamruhusu mali alizonazo.Wote wamejilimbikizia hawa wanachuuza watu tu na wajinga wengi wanaamini
Ahsante sana kwa kuwapromote Chadema, nna uhakika ccm inao watu makini wanakufuatilia na kutathimini unavyokihujumu chama na mwenyekiti wake mama samiah!
Hehe..we jamaa mweupe kabisa upstairs, huwezi uliza bila kutukana? kwamba kwa utaahira wako unadhani watanzania hatujui makontena yalikuwa ya misaada kwa walimu kutoka kwa watanzania waishio ughaibuni. .? mlitaka ayalipie kodi yeye na hanufaiki nayo we ungekubali ?
Watanzania wana wa chezesh kam wa congo lakini sis tumesha zoweya inchi yetu atuna ubaguzi tuna pendana sana watanzania wapo wa rundi wapo wa nyerwand wopo lakini tuna pendana kinyama
Hili Jembe tulikuwa tunalisubiria saana anajitambua saaana jamaa ni kama kisu chenye Ncha mbili mmoja mkali mwingine butu jinsi unavyotaka mwenyewe kukitumia 😂😂😂😂😂😂😂 Mwamba huyu
wacha unafiki makonda wewe kwani mama katoa pesaa zamboe nafamilia yake hela kachangia kanisa hata makufuli alikua anatoa hela zakujenga misikiti nakuchangia haflaa mbalimbali achauchochezi wewe
Kama nchi hii ingekuwa nakatiba bora Ccm isingekuwepo madarakani Ccm ipo madarakani kwa sababu kila kitu kinaandaliwa na viongozi waliotokana na ccm yenyewe
Ni kweli ,Kila Mtu anajichotea tu ,wanamsifu Mama hata kwenye mambo ambayo sio ,yote kutetea nafasi zao.Hakuna mwenye uchungu na wananchi ,wote ni walewale tu .Maisha yanapanda Kila siku ,wako kimya kama hawaoni,wanahangaika na vitu ambavyo sio vya msingi.
Moshi tunakuchora tu....unatumia muda mwingi bure kuzungumzia watu badala ua kutuambia kwann bei ya sukari inapanda wakati tuna kiwanda hapa? Mwaka huu na ujao ndo mtaelewa
Wewe nawe punguza kubwabwaja kisa umepewa nafasi ,hapo unatetea tumbo lako ,na si vingine ,tumewachoka na maneno yenu .Shughulikieni mambo ya msingi yanayowagusa wananchi wa chini ,huduma za msingi .
Sukari vip mbn unasema mambo za watu kuliko useme za wananchi kuna mkoa zikine ujawai kuhungia ata vijiji why je kiongozi bora ni yupi kati yako na wale husemayo
Ila waandishi wa Tanzania ni wapumbavu sana hamuwezi hata kujisimamia yaani mko desperate kabisa! Mmebaki kuwa chawa wa ccm na serikali tu... Sasa hapo si anaongea pumba tu anajiuliza na kujijibu mwenyewe tu! Mbona ham balance hizi taarifa?... hamuonekani kwenye mikutano ya Chadema iwe ya hadhara au press... mbona hoja zimetolewa za msingi tu kwanin watu wanaandamana si ajibu kwanini anajing'atang'ata hapo na kuhadaa kundi la wajinga waliomzunguuka!😂
Kwa kauli ya kulinganisha uongozi wa magu na wa Mama na tofauti yao basi ndipo inapokuja point ya kwanini tunataka katiba mpya. Viongozi wote wa chini na wa juu basi waongoze kwa mujibu wa sheria za nchi na sio kutokana na aina ya uongozi wa mtu. Makonda anasema ingekua ni wakati wa magu chuma hawa jamaa wangenyooka lakini hawezi kuwanyoosha kwa sababu mama ni mtaarabu. Hii kauli inatosha sana kuhamasisha wa tz kudai katiba mpya ili kila kiongozi aongoze kwa mujibu wa sheria za nchi na sio apendavyo kiongozi wa juuu.
Maandamano ni ya katiba mpya tunaitaji katiba ambayo italinda rasirimali zetu na kureta haki kwa wanyonge katika taifa hili, nakurudisha utanganyika katika uongozi maana aiwezekani wanzanzibar wawe viongozi Tanganyika na mwisho wake tanganyika inakosa uadilifu wa uongozi kisa mtu anatoka Zanzibar basi anaona sawa kutowajibika kikamilifu sababu analinda masrahi ya watu wachache walio mpa nafasi au cheo ktk uongozi huo.
Ww ndo punguani kabisa, Toka lini mtanganyika kamiliki ardhi Zanzibar au umewaikuona wapi kitambulisho cha mtanganyika lakini wazanzibar wanavyo vyote wakija huku wachukua ID za muungano na wakiwa kwao wanachukua vya Zanzibar sasa nani anaembagua mwenzie halafu point siokubaguana point utanganyika kwanza ndo tunachoitaji, ivi ww wafurahi Ndgu zetu Ngorongoro kupokonywa ardhi na kupewa mwarabu? Tungerikua na kiongozi mtanganyika asingeweza kufanya unyama huo Tanganyika, ifike mahara Tanganyika wabaki na viongozi wao watanganyika na Zanzibar wabaki na viongozi wao wazanzibar ili Kila kiongozi apiganie maslai ya nchi yake.
Kama ilivyo Zanzibar Ina rais wake na anatambulika umoja wa mataifa na sisi wa Tanganyika tunaitaji Rais wa Tanganyika atakae tambulika umoja wa mataifa. Kwamaana tuna tambua Kuna rais wa muungano wa Tanzania na Yuko rais wa upande Moja wa Zanzibar lakini hakuna rais wa upande wapili wa Tanganyika wazani hapo nani alie baguriwa? Kma sio sisi watanganyika?? Yuko wapi rais wa Tanganyika? Liko wapi bunge la watanganyika linalo jadiri maswara pekee ya Tanganyika yetu kma wafanyavo Baraza la wawakikishi la Zanzibar wanavyo liita?
@@allygoodboytzsdoneintanzan3970 nadhani hapo utakua umejiona ulivyo punguani kabisa kwa kutoelewa point na msingi mkuu nini kma ni ubaguzi basi wanao baguliwa zaidi ni watanganyika na sio wa Zanzibar na lengo sio kuendeleza ubaguzi kma unavyo dhani bali kuweka misingi imara ya utawara bora kwa viongozi wazalendo wa kusimamia Rasilimali zetu na Rasilimali watu na haki za binadamu. Kila upande upate viongozi wa asili yake msituchanganyie maji na mafuta eti tuta pata kilicho bora hakuna kitu kama hicho.
Makonda unaweza mdahalo na wasomi ww utajiabisha bure
Wasomii awawez
Ila wewe makonda nyinyi munauongozi wakishetani unatetea tumbolako wasiojielewa
Wewe ndugu yandu Paul makonda upo okay sanaaaa mungu ibariki wewe wambie hao chadema mama yetu anapambana sana akisema kazi iendelee ni kweli mradi zote iendelee
Kamanda makonda nakuelewaga sana ndani ya ccm
Wewe ni mjinga mjinga usiongee mambo ya mbwee na lisu
Nyie CCM sio chama ni biashara ya watu fulani
Kweli kabisa
Hivi Kuna kiongozi wa kisiasa asiye na makasri kweli? Wanasiasa ni wanafiki jamani
Mmoja wapo akiwa yeye anamali ambazo mshahara wake na mali havilingani.Mpaka kagombania nyumba na GSM wakati mshahara wake hamruhusu mali alizonazo.Wote wamejilimbikizia hawa wanachuuza watu tu na wajinga wengi wanaamini
Kazi nzuri makonda
Sema sema baba
OKOA WANANCHI OKOA CCM.✍️✍️✍️🙏🙏🙏🤝🤝
Sisi hatutaki mdahalo tunataka tume huru ya uchaguzi na wakurungezi watolewe
Nyie akina nani
Bado anaongea utumbo tuu😂
Achana na mambo yetu ya Kenya sisi lazima tuandamane kama kuna kitu hatupendi
We ulisema anauza madawa ya kulevya Leo unasema Yuko vixuri unasemaje? Na kesi ya ugaidi vpi nayo anaipenda nchi? Bashite acha unafki huna jipya
Boya sana
Huyu bashite sasa ndo anaimaliza ccm kabisa maana Hana cha maana anachoongea na wananchi
Hapo umesema kwl kumbe uko kazin na ni siasa kumbe hamna ukwel wowote
Yan huyu hajielew kabisa
Ahsante sana kwa kuwapromote Chadema, nna uhakika ccm inao watu makini wanakufuatilia na kutathimini unavyokihujumu chama na mwenyekiti wake mama samiah!
Wewe kazi yako ni kutoa taarifa za chama chako lakini kila siku Mbowe,Lissu Lissu!
Huyu mtu anazua hoja hafifu .Yeye si aandae huo mdahalo awaite . Na kwa nini atafute mdahalo wanapotangaza maandamano. Hivi maandamano ni fujo?
Watanzania wa leo siyo wale wa jana,...
Wachaga wanakuchora tu wana ufahamu wa kutosha
Kabisa
Ww unakula kodi zetu Acha mambo ya kitoto unaongea taarabu
Sio mtumushi wa Serikali anakula kodi yako we na nani? Mmeo?
Ongea kuhusu kupanda Kwa MAISHA mshenz ww nauongee kuhusu tuhuma Zako za makontena
Tulia wewe dawa ikuingie kupitia kwa mparange
Hehe..we jamaa mweupe kabisa upstairs, huwezi uliza bila kutukana? kwamba kwa utaahira wako unadhani watanzania hatujui makontena yalikuwa ya misaada kwa walimu kutoka kwa watanzania waishio ughaibuni. .? mlitaka ayalipie kodi yeye na hanufaiki nayo we ungekubali ?
Unafikiri unaongea na wajinga siyo!
Mwaka mzima maongezi hayafiki mwisho.
Unapotezea watu muda
Sasa Mbowe na Mnyika ni kaka zako....maajabu haya.
Sasa Dada zake?
Na ww ni ajira kama ajira nyinginee
Si ulimwita gaid
Mm nahomba uongee swala la sukali ss wananchi tujue
Kwani na sukari nayo itaandamana
Chadema ni kikundi cha wahuni kama wahuni wengine
Huoni aibu kumtaja baba mengi na aibu ulizotoa kipindi Cha msiba wake eti leo unadhani Tz tumesahau very shame 💯
huna jipya ww
Pointles mb zangu
Umeme vip maji bado haya ja jaaaa?
Fala kweli huyu
Wewe ni Musa aliewaokoa Wana wa Israel jangwani mungu akupe pumzi ya muda mrefu
Amen
Bado ana siasa za kizamani sana.Nadi sera za chama chako sio kuongelea watu.
Lakini huyu jamaa anawaogopa mbowe na lisu wanamnyima usingizi.
Nahisi muda wa ccm kuwa madalakani umefika mwisho tarehe 24
Amka mkuu
Makonda unalisha watu u elewa wako duni wote tuamini hivyo.
Ccm Wanapaswa kuwa Makini Sana Dunia ya Vita Hiii wasichukulie powa
kikojozi tuuu wew
Mbona Hana point huyu jamaa
Uchonganishi wa aina yake!! Wenye ufahamu wanaona.
🙏🙏🙏🙏🙏✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Watanzania wana wa chezesh kam wa congo lakini sis tumesha zoweya inchi yetu atuna ubaguzi tuna pendana sana watanzania wapo wa rundi wapo wa nyerwand wopo lakini tuna pendana kinyama
ILA WE MAKONDA UNGESOMA UNGEKUA Na AKILI Kidogo ila hapo ulipo Una Akili Zeroooo percent 😂🤣🤣
MAKONDA HAUNA LONGOLONGO, WEWE NI KAZIKAZI.
Hauna baya
Sijaelewa vizuri
Hili Jembe tulikuwa tunalisubiria saana anajitambua saaana jamaa ni kama kisu chenye Ncha mbili mmoja mkali mwingine butu jinsi unavyotaka mwenyewe kukitumia 😂😂😂😂😂😂😂 Mwamba huyu
wew chapati kweli😅😅😅
wacha unafiki makonda wewe kwani mama katoa pesaa zamboe nafamilia yake hela kachangia kanisa hata makufuli alikua anatoa hela zakujenga misikiti nakuchangia haflaa mbalimbali achauchochezi wewe
Utapigwa n kitu kizito kichwan makonda km ikiwa live
Sukali Iko wapi!
Si iyo miwatu haiulizi maisha magumu kazi kusherehekea ujinga mtupu.
Maisha ya watanzaniaaaa bado magumu unaonga au
Hawakioni Hilo kisa wao Wana maisha mazuri ,wanasiasa wanatetea maslahi Yao tu ,badala aongee mambo ya msingi anaongelea Mbowe na Lissu ,
Kwan mnakwama WAp kuleta katiba mpya
Bilaa katibaa mpyaa yotee ayoo n ubatilii
Makonda sidhani utaenda kuongea nao nini hoja zipi ulizonazo wewe na ccm yako angalia usije uksdhalilika
Huendi popote propoganda zimepitwa na wakati acha kampeni mambo badoooo hujui lolote ww ni mropokaji tu.
❤❤❤mwamba
Kama nchi hii ingekuwa nakatiba bora
Ccm isingekuwepo madarakani
Ccm ipo madarakani kwa sababu kila kitu kinaandaliwa na viongozi waliotokana na ccm yenyewe
Fala jingine hilo
Porojo tu bhana tumewachoka bhana hamna jipya nyie,, umeme hovyo,, elim hovyo,, maji hovyo,, barabara hovyo nyie mmeweza nn hasa zaidi ya wizi tu
😂😂😂
Ni kweli ,Kila Mtu anajichotea tu ,wanamsifu Mama hata kwenye mambo ambayo sio ,yote kutetea nafasi zao.Hakuna mwenye uchungu na wananchi ,wote ni walewale tu .Maisha yanapanda Kila siku ,wako kimya kama hawaoni,wanahangaika na vitu ambavyo sio vya msingi.
utaweza huo mdahalo au unaongea tu
Sasa kwa nmna unavyoongea hataningekuwa mim nisingekubal kwasababu unaonyesha zarau sana Kwan maandamani uanamadhara gani
Maneno ya siasa yasipoeleweka ww ni kigegeu
MAKONDA ACHA KUOMBA MSAMAHA,, Hayo Unayoyaongea Huyajui wewe ni mjinga kasome kwanza uelimike
Wewe umesoma ?
Ninawafuatilia saana na kura zingefanyika leo CCM ingepita
Moshi tunakuchora tu....unatumia muda mwingi bure kuzungumzia watu badala ua kutuambia kwann bei ya sukari inapanda wakati tuna kiwanda hapa? Mwaka huu na ujao ndo mtaelewa
Ongeeni la maana acheni kejeli zenu hamna lamaana lakukejeli makonda mpeni mauwa yake ccm oyee
Akili ndogo
Ipo siku
Hujui unachoongea, wala hujui kama watanzania sisi sio wajinga.
sasa nyie mnataka kutawala milele au nn badilini tume ya uchaguzi isiwe na wajumbe wakuteuliwa na raisi
So tukubaliane chadema wako sawa
Huna maana Makonda
Makonda ww n zwazwa la mwisho
Hapo ndipo anapo jisahau yule mtu uliemuamin wakat mwingne.yan anacho ongea unazan kalewa duuuuuu
Wewe nawe punguza kubwabwaja kisa umepewa nafasi ,hapo unatetea tumbo lako ,na si vingine ,tumewachoka na maneno yenu .Shughulikieni mambo ya msingi yanayowagusa wananchi wa chini ,huduma za msingi .
Uta kwenda peke yako wewe una magazine ya watu wote? Wewe ndo CCM peke yako? Mwenye we umeingia makuzi tuuu
MAKONDA huna akili wala Maarifa kasome uelimike kwanza alafu ndio uje utumbie maana hujui ata unachokiongea
HIYO 150,000,000/=ALIPEWA MBOWE AU KANISA? NA JE ALIZITOA MFUKONI MWAKE? ACHA TUFIKE HUKO TUVUANE NGUO NANI ANAONEA WENZAKE. USIJALI KITAELEWEKA.
Haaahaaaa
Daaaaà
Safisanaa
Sukari vip mbn unasema mambo za watu kuliko useme za wananchi kuna mkoa zikine ujawai kuhungia ata vijiji why je kiongozi bora ni yupi kati yako na wale husemayo
Anaongea pumbastic2
Acha utoto
Acha kupotosha watu pumbavu zako kuwa na akili
Ujue makonda wewe unashida
Zero brain afanye mdaharo na degree
Huna serawewe
Bashite mdomo n Mali yake wacha apalilie sembe yake
Mpuuzi wwe
Kumbe unamdharau mama umesahau ndiye aliye kupendekeza
bashite uo msaa mswaada utakufunga punde huna elimu wewe mbwa takataka
We mwenye elimu na uko hivi ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Ila waandishi wa Tanzania ni wapumbavu sana hamuwezi hata kujisimamia yaani mko desperate kabisa!
Mmebaki kuwa chawa wa ccm na serikali tu...
Sasa hapo si anaongea pumba tu anajiuliza na kujijibu mwenyewe tu!
Mbona ham balance hizi taarifa?... hamuonekani kwenye mikutano ya Chadema iwe ya hadhara au press... mbona hoja zimetolewa za msingi tu kwanin watu wanaandamana si ajibu kwanini anajing'atang'ata hapo na kuhadaa kundi la wajinga waliomzunguuka!😂
Kwa kauli ya kulinganisha uongozi wa magu na wa Mama na tofauti yao basi ndipo inapokuja point ya kwanini tunataka katiba mpya. Viongozi wote wa chini na wa juu basi waongoze kwa mujibu wa sheria za nchi na sio kutokana na aina ya uongozi wa mtu. Makonda anasema ingekua ni wakati wa magu chuma hawa jamaa wangenyooka lakini hawezi kuwanyoosha kwa sababu mama ni mtaarabu. Hii kauli inatosha sana kuhamasisha wa tz kudai katiba mpya ili kila kiongozi aongoze kwa mujibu wa sheria za nchi na sio apendavyo kiongozi wa juuu.
Unahadhi Gani wewe ufanye mdahalo na viongozi wakubwa wa kitaifa?saizi yako wewe ni sisi sio hao sisi ndotunaweza kuwa na mdahalo nawewe
Uende na wowo wako. Bado wewe ni Bashite
Maandamano ni ya katiba mpya tunaitaji katiba ambayo italinda rasirimali zetu na kureta haki kwa wanyonge katika taifa hili, nakurudisha utanganyika katika uongozi maana aiwezekani wanzanzibar wawe viongozi Tanganyika na mwisho wake tanganyika inakosa uadilifu wa uongozi kisa mtu anatoka Zanzibar basi anaona sawa kutowajibika kikamilifu sababu analinda masrahi ya watu wachache walio mpa nafasi au cheo ktk uongozi huo.
Qq
Ww huna Akili kweli unaleta ubaguzi Zanzibar na Tanganyika Achaujinga