JUA LA ELIMU - Historia ya Sheikh MUHAMMAD AYOUB wa Tamta - Tanga | Kuzaliwa | Kusoma hadi Kufariki
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Wengi katika wanazuoni wa leo hapa Tanzania na nje ya Tanzania ukizifuatia silsila za elimu zao basi mwisho utakutana na Kigogo huyu wa elimu aliyeishi Miaka ya nyuma kidogo na si mwingine bali ni Sheikh MUHAMMAD AYOUB
Huenda ukawa humfahamu lakini umeshawahi kumsikia. Alikuwa ndiye muanzilishi na mudiri wa chuo cha elimu ya Dini ya Kiislamu cha TAMTA - TANGA
Hii hapa ni historia yake kwa ufupi ambayo itakupa mwangaza na kumfahamu Mwanazuoni huyu wa Afrika Mashariki na kati.
Asante kwa kuamua kuwa nasi - BUNDUKI TV
#bundukimedia, #uislamu