Wokovu sio zao la matendo au Jambo la mwanadam ila Ni Yesu mwenyewe.. Tumeokolewa kwa neema mtu Yoyote asije kujisifu..Bila kumuomba Yeye alijitoa kwa ajili yetu akikubali kuuacha utukufu wake ili aje atuingize pamoja nae katika Utukufu wake ....NEEMA YA YESU inatusha...Karibu kushea tafadhali wengi walijue pendo la Yesu lisilohesabu ubaya ila linahesabu kazi ya msalaba 🙏... Glory to God and thanks to you...
Eeiihhh ! What manner of Grace is This 🥺 yaani, mnanihudumia Hadi katika kuzisoma comments zenyu. mafunzo tosha. #humility #grace #honor We are learning from you.
One of the best,powerful and Biblical song. Bwana na awafanye kuwa baraka kubwa kwa kila sikio linalosikia kazi hii Maisha ya watu yakabadilishwe na kuinuliwa kupitia wimbo huu!! Amen
😭😭😭 brothers asanteni kwa ibada hii ni zaidi ya huduma asee chakula cha msalaba ni dhambi kupitia Kristo asante Yesu nakosa ya kusema mengi but nimehudumiwa binafsi
If was not Jesus Christ how could we say at the last Day?. My heart is full of happiness because of his resurrection. May God INCREASE YOU and ASCEND you saint. @eliamtishibi
Ni neno la kuaminiwa "tumesamehewa dhambi zetu milele" tumepewa uzima wa milele kwa kumwamini YESU KRISTO. Hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu kwa wamewekwa huru kabisaa. Tunasimama wenye haki mbele za MUNGU Mwokozi wetu; hatusimami kama wakosaji hata kama tunaweza kukosea lakini kwa ukombozi wa Yesu Kristo kwa Mungu tumepatanishwa. Tu watu huru kweli kweli; tumetengwa mbali na dhambi zetu kama ilivyombali mashariki na magharibi ilivyo. Ama kweli tumeokolewa kwa neema nasio kwa juhudi zetu bali kwa pendo la Mungu mwenyewe. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu nakushukuru kwaajili ya watumishii wako hawa elia na shedrack and others endelea kuwatumia kwa utukufu wako 🙌🙌 hakika tunaishi kwa neema yako tu😭😭😭
It's amazing kuona namna Mungu anafanya kazi kubwa kupitia vijana wa kizazi cha leo katika Tanzania🇹🇿 ... maombi yangu, kazi aliyoiweka Mungu ndani yenu Eliya & Shadrak na team yote ikazae matunda mema from generations to generations.. you are blessed 🙌🏾🙌🏾
The greatest Love story was written on the Cross! There's no greater Love than this, that one would for die for his friend!! The bible tells us the chastment of our peace was upon him and by his stripes we're healed🙌. The composition is full of christology! God is doing mighty things in Tanzania.. May God take you higher watumishi Mtishibi & Shedrack
Maneno hayotoshi kusema. This songs is speaking to so many lives. Wengi wetu tumeona kama hatufai tena mbele za Mungu. Ila neema na rehema zake Mungu ni kitu pekee tunahitaji
Hakika wimbo huu umenitazamisha uzuri wa BWANA maishani mwangu kama angetazama makamilifu mimi nisingesimama kaka naomba MUNGU AKUINUE VIWANGO VYA JUU NAJIFUNZA KWAKO MKUBWA WANGU
Wow! What a ministration. Every time this song crosses my ears I can't reject the power of the most high. The Holy spirit is too vivid in this one. You are blessed indeed
Elia, it was such an honour having you visit CITAM Rongai during our kesha and Sunday morning service. This song has reminded me of God's unending love for me. Im still playing it.
You are a son in the Kingdom, our heavenly father is proud of you, God bless your heart of worship.......This far beyond wealth and the treasures of this earth.
Blesss Mungu awatumie zaidi, brother vict , Ernest , twins brother Emma basse nikiwa mkubwa nataman kuwa kama ninyi kupitia ninyi Mungu awatunze na awape kujua nawapenda Sana 💗💗🙏
Hakik huu wimbo unamguso mkubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu hivi kweli Mungu angehesab makosa 😢ningekuwa wapi leo ila kwa rehema na Neema zake nipo hai MUNGU akubarik sana brother
Kwa damu yake tunahesabiwa haki mbele zake. Mungu awabariki kwa kuwaongezea mafuta maana nguvu zilizowatoka kuyahudumia maisha ya watu wa Mungu yanahitajika kuongezeka na kuzidishwa. Mungu awabariki sana wadogo zangu watumishi wa Mungu. Kama si Bwana tungeangamia tuu. Mbarikiwe tena.
The spirit of God is roaring in this Generation ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Huu wimbo unaniingiza kwenye deep worship state, uwepo unashuka kwa kiwango sio cha kawaida. Kaka Elisha na kaka Shedrack, asanteni sana kwa kazi hii, Mungu azidi kuwatumia, mbarikiwe sana
Nakumbuk miaka ya 2012 tukiwa tunaenda kanisa la EAGT Elerai,wakati huo Shedrack yupo kwenye choir ya Agape. Huo moto bado unaendelea. Mungu awabariki sana
Great worship indeed, if God would count our sins who would stand,thank you for your mercies Lord.God bless Bishop Mtalitinya and Pastor Elizabeth Mtalitinya....you are generational trailblazers
Wokovu sio zao la matendo au Jambo la mwanadam ila Ni Yesu mwenyewe.. Tumeokolewa kwa neema mtu Yoyote asije kujisifu..Bila kumuomba Yeye alijitoa kwa ajili yetu akikubali kuuacha utukufu wake ili aje atuingize pamoja nae katika Utukufu wake ....NEEMA YA YESU inatusha...Karibu kushea tafadhali wengi walijue pendo la Yesu lisilohesabu ubaya ila linahesabu kazi ya msalaba 🙏...
Glory to God and thanks to you...
Wow Amen
Amen
Huu wimbo ni wa baraka sana 🙌🙌🙌Mungu azidi kukuinua 🙌
@@SomaBiblia k
Ok
😭😭😭😭 MUNGU akubariki sanaaaaaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amina sana napokea kaka
Amen Minister
Nawapenda sana watumishi wa Mungu, , naamini tutapata sikumoja 🙏
My brother I’m so proud of you🙌🏾🙌🏾 asante kwa wimbo wa baraka namna hii
Shedrack Ubarikiwe sana wewe ni hazina kubwa kwenye ufalme🙌🏾
Shedrack 🔥🔥🔥dube spirit
@@kingseth1018 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏾🙏🏾😔😔
Dada yangu simfukwe God bless you so much 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏾🙏🏾
Glory to Jesus ...Mungu ameinuliwa sana kwenye Kizazi chetu
Eeiihhh ! What manner of Grace is This 🥺
yaani, mnanihudumia Hadi katika kuzisoma comments zenyu. mafunzo tosha. #humility #grace #honor
We are learning from you.
😭😭😭Kama ungehesabu makosa yangu Nani angesimama mbele yako🙌🙌🙌...Nimebarikiwa asante Mtumishi🙏
Let gather here TANZANIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
Elia Ndugu yangu ..... ! Nakupenda Mungu amekubariki sana Kwa Ujasiri Huu wa kuyafunua Haya..... Mwili wa Kristo Unajivunia Wewe 😭😭😭
Nashukuru ndugu Yangu ndo tumeanza hivyo kuzisema kweli kwahyo natarajia mlipuko sana sana wa kweli
Hakika Umebarikiwa. Mwenyezi MUNGU azidi kukutunza kaka. Hakika kama angehesabu makosa yetu hakuna angeyeweza Kusimama.
One of the best,powerful and Biblical song.
Bwana na awafanye kuwa baraka kubwa kwa kila sikio linalosikia kazi hii
Maisha ya watu yakabadilishwe na kuinuliwa kupitia wimbo huu!!
Amen
Ameeeeeeeeeeen ❤❤❤❤❤❤ hakika tumebarikiwa ...thank you Jesus
This song becomes my anthem ,i sing when i take shower,when i drive,when i cook this song fills me every moment
bro naomba niseme huu ni wimbo wa taifa Mungu awatunze sana kaka zangu elia &shed👐💗
ubarikiwe sana mtumishi. mara nyingi naskiza hii worship nikiwa nataka kutafuta utulivu ili nitafakari mahusiano yangu na Mungu. ubarikiwe zaidi
😭😭😭 brothers asanteni kwa ibada hii ni zaidi ya huduma asee chakula cha msalaba ni dhambi kupitia Kristo asante Yesu nakosa ya kusema mengi but nimehudumiwa binafsi
Ibada kubwa ya unyeyekevu
Umechukua shitaka Langu umelichana na kulitupa mbali Kwa sababu mimi ni Mwana 😭😭🙌🙌
If was not Jesus Christ how could we say at the last Day?.
My heart is full of happiness because of his resurrection. May God INCREASE YOU and ASCEND you saint.
@eliamtishibi
🙌🙌🙌😓#Naniangesimama daaah hii ni ibaada kabisa
Ni neno la kuaminiwa "tumesamehewa dhambi zetu milele" tumepewa uzima wa milele kwa kumwamini YESU KRISTO.
Hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu kwa wamewekwa huru kabisaa.
Tunasimama wenye haki mbele za MUNGU Mwokozi wetu; hatusimami kama wakosaji hata kama tunaweza kukosea lakini kwa ukombozi wa Yesu Kristo kwa Mungu tumepatanishwa.
Tu watu huru kweli kweli; tumetengwa mbali na dhambi zetu kama ilivyombali mashariki na magharibi ilivyo.
Ama kweli tumeokolewa kwa neema nasio kwa juhudi zetu bali kwa pendo la Mungu mwenyewe.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nahc kujaw n upako sana kilaa nkicikiliz hii nyimboo 🙏🙏🙏😭😭 bilaa wew nani angesimam yesuuuuuuuuuuuuuuu
Grateful for GOD's grace
Umebarikiwa MOG
That is your scale also Man of God
Mungu akuinuie zaidi Mr ushindi
Thanks sir ...Glory to Jesus
Yesu KRISTO awabariki kwa ibada yenye mguso
Asanteee sanaa
Asanteee sanaa MUNGU awatunze
Shedrack simbeye 🔥🔥🔥dube
Kaka Mungu kakuita kabsa ktk utumishi wake ♥ bless you 🙏
Mungu nakushukuru kwaajili ya watumishii wako hawa elia na shedrack and others endelea kuwatumia kwa utukufu wako 🙌🙌 hakika tunaishi kwa neema yako tu😭😭😭
Amen
amen. JESUS IS GOOD
Hata sasa Mungu ametuhurumia🙏💪🙌
kama ungehesabu makosa nani angesimma💛🖤😭
Hongera sanaa brother
Kama BWANA angehesabu makosa yetu kweli hakuna mtu angesimama 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amejawa na Rehema na Neema BWANA🙌🏾🙌🏾
Revelational song 🔥🔥🔥
It's amazing kuona namna Mungu anafanya kazi kubwa kupitia vijana wa kizazi cha leo katika Tanzania🇹🇿 ... maombi yangu, kazi aliyoiweka Mungu ndani yenu Eliya & Shadrak na team yote ikazae matunda mema from generations to generations.. you are blessed 🙌🏾🙌🏾
Amen
The greatest Love story was written on the Cross! There's no greater Love than this, that one would for die for his friend!! The bible tells us the chastment of our peace was upon him and by his stripes we're healed🙌.
The composition is full of christology! God is doing mighty things in Tanzania.. May God take you higher watumishi Mtishibi & Shedrack
Glory To God
Thanks much
Mungu akubariki sana wimbo huu una ponya moyo abarikiwe Mungu wetu aliyekupa maomo ya huu ujumbe it's a powerful song
This is powerful 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼. Mungu awabariki mno .
Yesu Kristo ni mwema sana brother.
Neema ya Kristo izidi kuwa juu yako mtumishi wa Mungu mkuu
Amen napokea
Nimeusikiliza kwenye daladala nimejikuta nanena kwa lugha simchezo ey wewe mkaka Mungu akubariki sana powerful song🙌
Glory to the father
This song uwiiiiiii. Ulikua wapi ukipewa mafunuo haya. Woiii unaishii huu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ni Yesu tu
May God increase you.... this is a very huge song,
Gayiiii 🔥🔥🔥🔥 this song uwiiii
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌from Glory to Glory..... Let's Worship God kwa Pendo lisilo ona ubaya wowote wala kasoro 🥺🥺🥺🙇🙇
Mungu wa mbinguni akubariki bro
Barikiwa mtumishi wewe ni baraka
🙌🙌🙌🙌 Nakubal sana kaka
This is wonderful & powerful mtumishi barikiwa zaidi Good massage 😭😭😭🙏
Maneno hayotoshi kusema. This songs is speaking to so many lives. Wengi wetu tumeona kama hatufai tena mbele za Mungu. Ila neema na rehema zake Mungu ni kitu pekee tunahitaji
Brother brother brother mtshibi ww ni wa muhimu sana kwenye maishaa yetu nakukubalii
Mungu awabariki kwa baraka hii, Bwana aipe kibali mioyoni na idumu kuwa ibada yetu kwa Bwana.
😭🙌ASANTE MUNGU WA REHEMA N NEEMA, KAMA UNGEHESABU MAKOSA YETU, NANI ANGESIMAMA...THIS IS SO EXCELLENT, TUMEBARIKIWA... MUNGU AWAINUE SANA MEN OF GOD 🙌
Amen 🙏🙏🙌
😭😭😭🙌🙌🙌
Hakika wimbo huu umenitazamisha uzuri wa BWANA maishani mwangu kama angetazama makamilifu mimi nisingesimama kaka naomba MUNGU AKUINUE VIWANGO VYA JUU NAJIFUNZA KWAKO MKUBWA WANGU
My song of the year🙌blessings to you even as the Holspirit leads you to release heavenly sound!May Jesus be glorified!🙌
Amen
Kumtumikia Mungu kumekufanya uwempya
The overwhelming, never-ending, reckless love of Christ 😭🙌🙌
Blessings Elia!
🙏🙏
😭😭🙌Neema na Rehema zake vinanisimamishaa kila Leo.. Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu
Psalms 130: 3 - 4 - If You LORD, should mark iniquities, O LORD, who could stand? But there is forgiveness with You, That You may be feared.
For the first time I'm hearing this song 🙌🙌
🙌🙌🙌😭😭Mungu aliyejawa Rehema na Neema ndiye Mungu wangu..... Eliya naheshimu kile Mungu ameweka ndani yako!!!
Glory to Jesus 🙌🙌
Wow! What a ministration.
Every time this song crosses my ears I can't reject the power of the most high. The Holy spirit is too vivid in this one.
You are blessed indeed
Barikiwa sana Kaka Elia🙌🏻 Mungu aendelee kukutumia kadri apendavyo
Amen
Elia, it was such an honour having you visit CITAM Rongai during our kesha and Sunday morning service. This song has reminded me of God's unending love for me. Im still playing it.
Hallelujah
Mungu akuinue Mtishibi.....akufikishe mbali.....
Amen
Yesu Asante kwa ibada hii.
😔😔😔😔🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙇🏿🙇🏿🙇🏿🙇🏿
🔥🔥🔥🔥
Hakiki utabaki kua Mungu milele ❤
God bless nyie guys hii nyimboo inabarikii sanaa akiii mzidi kubarikiwaa na mzidii kutubarikii pia 🔥🔥🔥
Sichoki kuusikiliza huu wimbo Mungu awabariki watumishi wa Mungu.
Amen Elia Mungu akuinue zaidi
Wimbo
Unanikumbush mbali huu
Mungu nisaidie tu kutoka hapa
Ubarikiwe kk
Mungu akubariki sana kaka 👏👐
Mmmh hallelujah 🙌🏼
You did it blood
Vijana wa yesu WORSHIP team are blessed, may God bless you abundantly 🙏much love from kenya
You are a son in the Kingdom, our heavenly father is proud of you, God bless your heart of worship.......This far beyond wealth and the treasures of this earth.
Glory to Jesus
Mtishibi 🤝 God bless you uuu.
Neno hili ni kubwa masikioni, hivyo Bwana asiliondoe kwa ajili ya utukufu wake mwemyewe. Barikiwa wana wa Ufalme!
Amen.... Glory to Jesus
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI,,wimbo unanibariki sanaaa,,,,,
Umebarikiwa sana bro
Blesss Mungu awatumie zaidi, brother vict , Ernest , twins brother Emma basse nikiwa mkubwa nataman kuwa kama ninyi kupitia ninyi Mungu awatunze na awape kujua nawapenda Sana 💗💗🙏
Thank you God😭😭😭😭Kama ungeangalia makosa yangu ningekuwa wapi be blessed watu wamungu this song😭😭😭
Hakik huu wimbo unamguso mkubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu hivi kweli Mungu angehesab makosa 😢ningekuwa wapi leo ila kwa rehema na Neema zake nipo hai
MUNGU akubarik sana brother
Kwa damu yake tunahesabiwa haki mbele zake. Mungu awabariki kwa kuwaongezea mafuta maana nguvu zilizowatoka kuyahudumia maisha ya watu wa Mungu yanahitajika kuongezeka na kuzidishwa. Mungu awabariki sana wadogo zangu watumishi wa Mungu. Kama si Bwana tungeangamia tuu. Mbarikiwe tena.
Amen thanks much
Amen Mungu wetu amejaa huruma hongereni kaka zangu wimbo mzuri sana hadi machozi yamenitoka
Endelea kumtukuza kwa ajili ya rehema zake na uwafikie wengi
Mungu wa UPENDO🙌😭
#MUNGU wetu ni pendo kweli kweli....
The spirit of God is roaring in this Generation ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Huu wimbo unaniingiza kwenye deep worship state, uwepo unashuka kwa kiwango sio cha kawaida. Kaka Elisha na kaka Shedrack, asanteni sana kwa kazi hii, Mungu azidi kuwatumia, mbarikiwe sana
If God counted our sins we wouldn't be where we are now, but by His grace and the work of the cross we are all set free from sin. He calls us His own.
Unanibariki sana, Yesu azidi kutukuzwa Kwa kinywa chako
Glory to God
Mungu Akubarik sanaaa
Strong Words 🙌 barikiwa sana 🙏
Wimbo wa neema unaonyesha kazi ya msalaba ukiumba wimbo kwa roho hutojihukumu kamwe God bless you Elia
Wimbo una upako na utukufu wa mbinguni
Wimbo umejaa utukufu sana Mungu awabariki
Kama si Bwana 😭😭
Mbarikiwe jaman all Ministers 😢😢🙏🏾🙏🏾🙌🏾
Nakumbuk miaka ya 2012 tukiwa tunaenda kanisa la EAGT Elerai,wakati huo Shedrack yupo kwenye choir ya Agape. Huo moto bado unaendelea. Mungu awabariki sana
Oooh! GOD. 😭😭😭🙌🙌🙌
Gospel in a nutshell!!!
God lift you up Man of God, wonderful song and blessing it's sure God never count our sins because is God .
Oh my God this is not just a live recording but a real service
This is a biggest song let the glory be to God 👏👏👏🙌🙌🙌🎼🇹🇿🙏🙏🙏
Great worship indeed, if God would count our sins who would stand,thank you for your mercies Lord.God bless Bishop Mtalitinya and Pastor Elizabeth Mtalitinya....you are generational trailblazers
Ooh Lord 😭😭😭🙌🙌🙌🙌