ZIARA YA SHEIKH AL HATIMY VISIWANI ZANZIBAR
Вставка
- Опубліковано 7 кві 2024
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Allah atuongoze katika haqqi atuepushe na bidaa.
Kwa kweli tunajifinza mengi kupitia mashekhe wetu Allah atukutanishe pamoja jannah
MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
Mashallah
Allah azidi kutulinda
Assalamu alaikum Mimi naomba mashekhe wanapokuja kututembelea tuwe tunapewa taarifa tuweze kuhudhuria darsa zao kwani tunakosa mengi
Allah ambarik na amhifadhi
God bless Zanzibar, yaa Rabb
Allah akuhifadhi kipenzi chetu Alhatimy
Mashaallah
HUYU NI MLINGANIZI KATIKA SHIRKI,ANALINGANIA KINYUME NA SUNNAH.
Na baba ako pia analingania kwenye shirki jahilul murakkab
Shekhe hongera sana kariba tanga
masha allah
Mashaallah tunaomba n Pemba inshallah mumpeleke Allahuma aamin
ATA na Mimi napendekeza ivo
Shehe wa makaburi huyu
Mpuuz ww
Hii ni riya 😮
Kwa nn
اتخذ الناس رؤوسا جهالا!!!
Mfujkuzen mzushi huyo
Utafukuzwa ww khabith ww
Kilemba skio moja wazi na moja limefinikwa ni design tu?ama inamaana yake?si vibaya kujua tukapata elimu kdg
Kwani kilemba ni nguzo ya ngapi ya Kiislam au Ya Imani
Huyu loverboy wa kawaida tu....ndevu hizo zilivochongwa
Shekh wa maulid uyo
Bonge la swaahibul bidaaa
Bwanaweee Allah atuongoze sote wallahi
Khurafi, nothing special!
We mwishowe utakua mchawi
Wacha mjinga, na wajinga, wenzake
Mashallah