WAZEE WAKINA MAMA WAKIMPA BARAKA SHEIKH WALID KIJIJI CHA SHANGANI MKOKOTONI ZNZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • April 28,2023 ni Ziara ya Dhikri pamoja na Maulidi itakayofanyika Shangani Mkokotoni Kaskazini Unguja katika Kijiji cha Shangani Mkokotini.
    Ziara hii ina zaidi ya Miaka 50 ambayo imeasisiwa na Marhum Sheikh Hajji Bin Muhammad Bin Jumaa
    Sheikh Hajji Bin Muhammad Bin Jumaa ni mwana Twariqatul Qaadiriyya, amesoma kwa Wanawazuoni wakubwa mbalimbai Unguja akiwemo mmoja wapo ni Sheikh Suleiman Muhammad Bin Alawiy, na amezaliwa 1888 na amefariki 1997 Unguja Shangani.
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    UA-cam: / @babdeomiladu

КОМЕНТАРІ • 19

  • @cheka480
    @cheka480 Рік тому

    Mashallah

  • @Chemba67
    @Chemba67 Рік тому

    What a chronological history...........Maashallah.......vizazi na vizazi.....

  • @SingoMedia
    @SingoMedia Рік тому

    Maashallah

  • @mhehear
    @mhehear Рік тому

    Maashallah.. ila muwe mnaskiza kwanza kabla hamjapost video.. sauti ilipotea mwisho wa video

  • @ibrahimkhamis9133
    @ibrahimkhamis9133 Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @Halima-zx4pg
    @Halima-zx4pg Рік тому +1

    Aliyekufa ni zambi towa maandiko wew majununi

  • @Halima-zx4pg
    @Halima-zx4pg Рік тому

    Wewe umetowa wqpi maandiko kama kumz

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 Рік тому

    Kuzuru makabur harama nyie mashekh vipi?

    • @binkhamisel-sherazy4165
      @binkhamisel-sherazy4165 Рік тому

      kuna hadithi sahihi ya Mtume Muhammad Swalla Allahu Alayhi wasallam inasema ''Zuruni makaburi kwani ndani yake kuna mawaidha na mtakumbuka mauti''

    • @AbbyMustafa-yy3qf
      @AbbyMustafa-yy3qf Рік тому

      Wewe haramu vipi? Ukizika mbwa ushazika,jee ukizika mpendwa wako ndio usimkumbuke kabisa.dini mnataka kuifanya kama azabu vile .

    • @imamurawdhwah1035
      @imamurawdhwah1035 Рік тому

      Nenda kasome tena

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Tatizo mnahasira hamsomi mkiambiwa tu jambo mnakurupuka

    • @AbalMuhsin-vi9wk
      @AbalMuhsin-vi9wk Рік тому

      قال رسول الله صلى الله عليه وسلم كنت نهيتكم عن زيارة القبور فزورها