siri ya ku ishi na mke- othman malim2017

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 386

  • @zanzibarkwanza2735
    @zanzibarkwanza2735 5 років тому +82

    Wewe othman ndo ulie nifanya mimi nikabadili dini na kua muislam 😭😭 Allah akupe shiffaa tuzidi kukusikiliza na kuyafata haya unayo tukumbusha inshaa’allah

  • @doctasuly5249
    @doctasuly5249 4 роки тому +7

    masha Allah huyu sheikh hatari sannna anajenga jamiii yeye hatoi mawaiza ya ikhtilaf wala kutumia jazba ni mkumuelekeza muumin kuufanya uislamu wake uwe mzuri masha Allah ya rabi mpe maisha marefu yenye kheri nae azidi kutupatia vyakula vya moyo

  • @hamidaomar430
    @hamidaomar430 4 роки тому +2

    Othman maalim ni ustadh wangu alinifundisha huko mombasa kisauni allah amjaalie umri mrefu.amen

  • @aminaikuja6982
    @aminaikuja6982 6 років тому +13

    MASHAALAH ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI LEO NA KESHO AKHERA PIA AKUJAALIE UMRI MREFU WENYE MANUFAA ILI UENDELEE KUTUPA DAAWA.

  • @HusseinsalimHusseinsalim
    @HusseinsalimHusseinsalim 6 років тому +5

    Mashallah mashallah Allah akujaze kheir na baada ya kheir jannatul firdaus akuzidishie taqwa na uchamungu wako uzidi kutuelimisha na sisi umati Mohamad S.W.

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 років тому +69

    Maashallah Shekh.. MMungu akulinde akupe umri na afya Yarab...Amiin

  • @mamyh5738
    @mamyh5738 7 років тому +33

    Mashallah Allah zitakabal dua zetu sote tunao muombea Shekhe wetu Uthman Maalim Allah mpe barka na mwisho mwema yye na sisi Amiin

  • @highmedland9280
    @highmedland9280 Рік тому

    Mashaallah shekh Wang nakusikza tangia 2002, mpaka leo nimefarajika sana na mawaidha y'ako yananifanya niishi maisha mazuri na tulivu na yenye furaha klck silali bila kkckza ww , Allah akujalie kheri maisha y'ako yote na akujalie pepo uishi pmj na mtume Muhammad s.a.w.,
    Nawausia ndugu zangu siku atakapofariki shekh wetu bhs nimda wa kughariki kisiwa Cha znz Nuru haitakuwepo tena, Bora mtu ahame kbs kbs hakna km ww mashaallah, Allah akujalie maisha marefu yenye kheri zaid yahapo, inshaallah🙏

  • @irenebernard1331
    @irenebernard1331 7 років тому +120

    Nampenda sana huyu shekhe mimi jinsi anavyotoa mafundisho yake mashallah mungu akuweke uzidi kutupa daawa

  • @altafabdulla7742
    @altafabdulla7742 5 років тому +2

    Mashaallah mashaallah allah akupambe na umeri wenye afya akuondolee hasad akuzidishie elmu uzidi kutufundisha

  • @shariphurajabu5449
    @shariphurajabu5449 6 років тому +1

    mashallha sheke othuman mawaiza unayo toa yanafundisha vizuri na nakuombea kwa allha akujalie uzidi kutuhutubia Mara zote amina

  • @shamimshabani6614
    @shamimshabani6614 5 років тому +1

    MashaAllah mawaidha yako yanatia hamu kuyasikiliza hukemei unafundisha kwa busara MashaAllah.Allah akulinde

  • @sabrinayounisaden6413
    @sabrinayounisaden6413 6 років тому +8

    Mashaa Allah! One of my favorite shiekh.

  • @micahleilah
    @micahleilah Рік тому

    The maalim I love his elimu alot may Allah bless you with along life maalim mafunzo yako huwa yananielimisha zaid nikiskia hutba yako huwa na furahia tyu

  • @daddietmzitoh5327
    @daddietmzitoh5327 7 років тому +80

    am not a muslim bt i alws litsen this gud teachings Mula akulinde Osman Maalim

    • @mohamedabdulaziz9538
      @mohamedabdulaziz9538 7 років тому +7

      Mola akuongoze

    • @abdullatifmuhammad8382
      @abdullatifmuhammad8382 7 років тому +6

      Daddie kwanini usiingie kwa dini ya kiislamu.inaonekana umependekwa sana na dini ya kiislamu,utajua mengi yatakaokufaidisha duniani.Allah akbar

    • @abrahamanhamisi9437
      @abrahamanhamisi9437 7 років тому +7

      May Allah lead u at aswiiratul-mustaqiima

    • @abdallahmuhammad4729
      @abdallahmuhammad4729 6 років тому +4

      mashaLlahu ALlah akujaalie kuufahamu ukweli na akupe ilhamu ya kuufuata In sha llah

    • @rashidseif6103
      @rashidseif6103 6 років тому +3

      Sasa fanya haraka uingie Ktk dini ya haki uislam.

  • @fatmaabdilahi1007
    @fatmaabdilahi1007 5 років тому +7

    Shekhee wetu MashaAllah nakupenda kwaajili ya Allah💖

  • @abdallahminkuli6457
    @abdallahminkuli6457 6 років тому +3

    Allah akuweke mwalim wngu Othman Maalim ili uendelee kutufunza yalio mema ishaallah "ameen"

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 7 років тому +40

    Allah akuongezee umr nakupenda kwaajili ya Allah

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 7 років тому +1

      Masha'allah nampenda sana uyu shekhe Othman Maalim kwaajir ya Allah

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 5 років тому +1

    mashaaalah huyu sheikh hata mimi napenda kusikiliza video zake Allah amlipe malipo mema amena

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 5 років тому +2

    Mashaa Allah shekhe OTHMANI ALLAH akupe umri mref uzid kutujuza tusoyajua..na akutanulie zaid ghelimu yako🙏

  • @mahanur4468
    @mahanur4468 5 років тому +1

    Mashallah mashallah mashallah nakupenda kwa ajili ya Allah mungu akuzdishie ujira wko inshallah Ammin allahuma ammin 🤲🤲🤲

  • @albanomahecha9707
    @albanomahecha9707 7 років тому +4

    Nimejifunza kitu hapa! Mwenyezi Mungu akubariki na kukuongezea Hekima

  • @mjubaog8258
    @mjubaog8258 4 роки тому +1

    Asalam aleykum sheikh Othman maalim nafatilia sana mawaidha yako Allah akupe umri mrefu uendelee kutupa darasa inshaallah

  • @haithamibrahim1798
    @haithamibrahim1798 7 років тому +1

    Masha Allah Othman kwa daawa nakupenda sana Allah akupe kher nyingi na baraka

  • @binbaya923
    @binbaya923 3 роки тому

    Maa shaa Allah. Allah akuzidishie ilmu sheikh Othman Maalim

  • @bisharaahmed7154
    @bisharaahmed7154 7 років тому +49

    mashaallah nakupenda kwa ajili ya allah

  • @ashaomar1180
    @ashaomar1180 4 роки тому

    Shekhe Othman Maalim nakuombea kwa ALLAH akuzidishie kheri na baraka uzidi kutuelimisha AMIIN

  • @singidacity2203
    @singidacity2203 5 років тому +1

    Mashaa Allah Allah Akuhifadhi shekh Wetu Karibu tena singida Allah Akupe Khatua karibu Sana.

  • @mesalimrashid6312
    @mesalimrashid6312 6 років тому +4

    Alhamdulilah wengi tumeelimika kupitia mashehe .Mola awalipe ujira mkubwa na kesho tuwekwe pema penye wema.

  • @lokwaetshelejibril2505
    @lokwaetshelejibril2505 5 років тому +1

    Mawaiza yako kil siku muzuri saana Allah akuipe peponi Sheik Othmn.

  • @ibrahimseif8864
    @ibrahimseif8864 7 років тому +14

    Allah akuzidishie elmu shekh mawaidha yako nayaelewa vizuri kwa ufaswaha

  • @ashakhamis4110
    @ashakhamis4110 6 років тому

    MashaAllah, Allah Barik sheikh Othman, huchukia Sana ninaposikia watu wengine wanakuzungumza Kwa mabaya. Mungu akulinde na akupe kher Zaid na neema ktk umri wako wote.

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 6 років тому +1

    Nimecheka Sanaa ,,, mashaallah sheikh Mungu akuzidiahie kheri hapa duniani na akhera

  • @hussnasaad7503
    @hussnasaad7503 3 роки тому

    masha Allah... mm pia napenda da'wa zake sana. Natamani nipate mume kama yy Aloshika dini, mpole understanding.. good looking. sauti yake nzuri hana makelele... napata utulivu kila nikimsikiza Natulia kwa mola wangu nikisubiri wala sikati tamaa kwa Allah.
    Nampenda kwaajili ya Allah, na kwaajii yangu. kama Allah hakuni kutanisha nae hapa duniani Anikuta nishe nae kesho peponi yaa rabb.

  • @eshafamau8051
    @eshafamau8051 5 років тому +1

    Masha Allah sheikh Othman maalim Allah akupe afya na uzima uziidi kutuelimisha

  • @gerioathumani9084
    @gerioathumani9084 5 років тому +6

    Allah amjalie maisha malefu ili aendelee kutoa dawa inshallah

    • @mbeguyange808
      @mbeguyange808 3 роки тому

      Mi mke ameondoka wiki moja tu ....hali si hali.........Allah akbar

  • @mohamedomary940
    @mohamedomary940 5 років тому +2

    Maashaallah sheikh, Allah akuhifadhi uendelee kutupatia dawa ya nafsi zetu

  • @saidanoor1842
    @saidanoor1842 7 років тому +3

    Allah akujaze kher sheikh uthman maalim kwa faida unayotupa

  • @mwasharashedi1662
    @mwasharashedi1662 4 роки тому +1

    Maashallah Allah akupe maisha marefu na akuifadhi kesho akhera 🙏

  • @fatmaahmedothman4737
    @fatmaahmedothman4737 7 років тому +5

    Allah akuongoze katika kher daima, nampenda sana huyu shekhe nikisikiliza mawaidha yake am so happy moyo unakuwa laini

  • @shazilali945
    @shazilali945 7 років тому

    Allah nakuomba mpe shekh othman maisha bora ulimwenguni na kesho mpele ya hukmu kwa uwezo wako yaa Allah

  • @suhailaomar3332
    @suhailaomar3332 6 років тому +4

    mashallah jazakallah hayra, ya Allah tujaaalie watoto wema wenye kuendeleza dini inshallah,,,,amiin

  • @sharmilaniyonkuru8264
    @sharmilaniyonkuru8264 6 років тому +7

    بارك الله في علمك شيخ و احب طريق شرحه ماشاء الله

    • @fahmiridrissa134
      @fahmiridrissa134 5 років тому

      اللهم من عاده فعاده ومن كاده فكده ومن بغى عليه مهلكة فاهلكه

  • @wahidamwasulama8355
    @wahidamwasulama8355 2 роки тому

    Masha Allah.m'mungu azidi kukupa afya na miaka tele Inshallah 🙏

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 7 років тому +3

    Allah akuweke na kukupa nguvu zaidi kila kukicha.hakika nafarijika kusikia mawaidha yako.nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 років тому +1

    Ktk mashekhe ninao waelewa hakika wewe nakuelewa Sana Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema

    • @ramadhanjuma8293
      @ramadhanjuma8293 4 роки тому

      Huyu sheghe yuk vizr munq amzidishie umr na sis tujifunz siy yapitiliz jaman

  • @ummyriyami299
    @ummyriyami299 6 років тому +1

    Allah akupe kher uzid kutupa ilmu @sheikhothman

  • @bipoposhabani5816
    @bipoposhabani5816 6 років тому +1

    Nikijisikia nimeudhika sina raha I always listen his daawa and nikashinda vizuri

    • @mzulunatal8062
      @mzulunatal8062 5 років тому

      Kumbe tuko wengi. Sikiliza kisa cha kabla ya kuubwa ulimwengu Allah alikiwa wapii

  • @naimamukhtar6880
    @naimamukhtar6880 5 років тому +1

    mansha allah sheikh allah akulipe kila la kheri ktk maisha yako allahuma amiiin.

  • @zenamrisho9656
    @zenamrisho9656 4 роки тому

    Kwakweli napenda sana mawaidha yako hayachoshi kusikiliza munguajarie kheri

  • @datuiddy8045
    @datuiddy8045 5 років тому +3

    nakupenda xn shehe othuman mungu akuripe inshaallah aturipe nasi turiopo

  • @datuiddy8045
    @datuiddy8045 5 років тому +2

    Allah akuongoze katka imani yakuutubia vema mawaidha amiin amiin

  • @fatmababaz6573
    @fatmababaz6573 7 років тому +4

    JAZAKALLAH KHEIR SHEIKH OTHMAN ALLAH AKULIPE KHERI.

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 7 років тому

    Mashallah Allah akufanyie wepec ktk kazi zako za daawa na akupe kheri daima.na.kusimamishie mke.mwema uishi nae mpk kufa kwa wema.amin

  • @balozimchomvu7779
    @balozimchomvu7779 6 років тому +26

    Othman maalim, mafundisho tulivu kabisa, hakuna jazba.

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 6 років тому +2

    You are among the very few who speak clearly, nicely, politely and most of all with passion and love. Only 3 words from me, God bless you.

    • @zahramunir8596
      @zahramunir8596 6 років тому

      Amiinn

    • @mamabai4237
      @mamabai4237 5 років тому

      May Allah protect you and your family for the good knowledge you pass on to umati Muhamad....Ameen

  • @zamiramatumbo7158
    @zamiramatumbo7158 7 років тому +4

    jazakallahu akhyra sh. Othman nayapena sana mawaidha yako

  • @asiansky4786
    @asiansky4786 5 років тому +1

    Wallah nampenda shehe maalim mawaidha yake Mashallah Allah akulinde Inshallah

  • @bekasuleiman78
    @bekasuleiman78 7 років тому +3

    Allah akulipe ujura mzr Kwa kazi nzr unayoitowa Kwa Jamalii ya kiislam allah baarik

  • @selemansaidi782
    @selemansaidi782 6 років тому

    Allihamdul llah namshukur sana mwenye zimungu kutupatia sheikh huyu Othman maalim mwenye huruma na waislam

  • @babuwashamba1911
    @babuwashamba1911 3 роки тому

    Sheikh Wetu mashaallah watupa elimu kubwa allahumma amini

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 3 роки тому +1

    MashaAllah amin sheikh🤲🤲🤲

  • @shefumasanja-wn6lj
    @shefumasanja-wn6lj Рік тому

    Ww umenibadilisha sana mm Osman malim shukran sansa

  • @rafanasadiki31
    @rafanasadiki31 7 років тому +34

    huwa imani yangu Inapanda pale ninapo sikia mawaidha yako
    allah akujalie mwisho mwema

  • @sungwizi3390
    @sungwizi3390 6 років тому +1

    Maa shaaa Allah Sheikh Othman ni zawadi kwetu Waislamu toka kwa Allah

  • @bakarimwakabebe9649
    @bakarimwakabebe9649 3 роки тому

    Walah napata elimu ya kumjua Allah zaidi kupitia kwako Sh. Othman Allah atulinde soteni tuzidi kuelewa Allah zaidi.. Allah atujalie mwisho mwema

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 6 років тому +1

    Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin

  • @abuujunior1501
    @abuujunior1501 6 років тому +1

    mwenyeez mungu akujaalie maisha marefu shekh namim nasema allahuma jaalna minhum

  • @hamidsaidi2839
    @hamidsaidi2839 7 років тому +5

    Jazaka Allahu kheir Sheikh Othman Maalim. Amiin

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 роки тому

    ALLAH YAHFIDHAK FI DUNIA WAL AKHIRA SHEIKH ATHMAN

  • @Fetty-r4o
    @Fetty-r4o 7 років тому

    maa shaa Allah
    Allah akuzidishie ilmu, barka, afya na uzima uzidi kutuelimisha
    nasi wasikilizaji tuwe wenye kuyafanyia kazi biidhnillah
    shukran sana sheikh Othman Maalim

  • @husseingulam996
    @husseingulam996 5 років тому +10

    Mwenyezi Mungu akuhifadhi.. JazakAllah kheir.

  • @kweliumesemailanaowangetul1933
    @kweliumesemailanaowangetul1933 5 років тому +4

    Shehe mungu akujalliye kilalenyekheri nawewe asante kwadawa

  • @khadijaahmed2775
    @khadijaahmed2775 7 років тому +9

    May Allah bless you so much

  • @chudyfighter4016
    @chudyfighter4016 6 років тому +1

    Allah akujaalie umri mrefu na afya njema sheikh

  • @misskwileka1956
    @misskwileka1956 7 років тому +4

    mashaa Allah.... Allah akuongoze na akujaalie umr mrefu na afya njema inshaa Allah

  • @ramlatumba3965
    @ramlatumba3965 7 років тому +8

    Allahu Barik Ishallah!

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 6 років тому +1

    Nice darasa mashallah mungu akupe afia ameen thuma ameen

  • @leilakukela8584
    @leilakukela8584 7 років тому

    Maasha Allha shekhe mwenyezimungu akupe umri mrefu uongoze umaaa wake

  • @ummufatmafatma9150
    @ummufatmafatma9150 7 років тому +2

    shekh othman wako wapi wanaume kama hao wanaume wasikuhizi asalam yake pia nimatusi bora awe na hela kidogo hujisahau kama yy n binadamu twasikitika sana kwa hi maisha ya wakati hu tulonayo allah atupe sahali yarab

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 5 років тому +1

    Allah akuzidishie ilmu sheikh

  • @abdillahsatu3432
    @abdillahsatu3432 4 роки тому

    Allah akujali afya njema shekhe wetu .

  • @almashally8808
    @almashally8808 5 років тому +2

    masha Allah Mola akueke sayyidy

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 років тому +1

    Nakupenda sana OTHMAN MAALIM mungu akuruzuku tawbah kabla umaut

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 6 років тому +5

    Hamdhillah atleast I have learnt something.Much Respect to my lovely wife #UmmuZeinab

  • @shinayzashiraaz4588
    @shinayzashiraaz4588 3 роки тому +1

    MashaaAllah, Barakallahu feeykum

  • @asiansky4786
    @asiansky4786 5 років тому +1

    Mashallah nampenda sheikh malim hana kibri Mashallah

  • @abubakarobo255
    @abubakarobo255 4 роки тому

    Mashallah mungu akueke tuzidi kuelimika

  • @khamisjuma3899
    @khamisjuma3899 5 років тому +2

    ماشالله بارك الله فيه

  • @omaryhunte5248
    @omaryhunte5248 3 роки тому

    Shukran mungu akupe maisha. marefu

  • @nuratyngwenda4648
    @nuratyngwenda4648 7 років тому +3

    mashaallah allah akulinde sna shekhe

  • @معصومهخلفان
    @معصومهخلفان 6 років тому +2

    Mashaallwah jazaka llwahu kheir

  • @rayamtalii2615
    @rayamtalii2615 7 років тому +3

    MashaAllah unapotoa mawaidha yako una utaratibu sana mtu yuwaelewa neno baada ya neno mungu akujaze mbele na nyuma

  • @ashurawagare1122
    @ashurawagare1122 5 років тому +1

    MASHA ALLAH. SH.Othman maalim. ALLAH akupe Ijazz umri wako wote. amin amin amin.

  • @leodavid5714
    @leodavid5714 7 років тому +10

    Mashaallah Allah bless you for everything inshallah

  • @tywishkhalifa8731
    @tywishkhalifa8731 7 років тому +3

    mungu aziwafanye dua zetu ziwe za kweli kwa sheikh wetu kuwepo kwake tunapata vitu vingi wallah

    • @husseinchina3217
      @husseinchina3217 6 років тому

      Twish khalifa tz massha Allah. Ustaz ni best sana. Twakualika changamwe kwako Zamani. Pls pls

    • @bakarhaji1669
      @bakarhaji1669 6 років тому

      Twish khalifa tz mh

  • @sudichabara7331
    @sudichabara7331 5 років тому +4

    katika watu wanaotoa mawaidha na kuyaelewa ni pa1 na ww ostadh wangu

  • @mfundiko
    @mfundiko 6 місяців тому +1

    ❤❤❤❤

  • @saidseif1100
    @saidseif1100 5 років тому

    Katika Masheikh Ninaowaelewa Wakizungumza Othman Maalim Namba 1 Hana Mpinzan! Mungu Akuzidishie Insha'Allah

  • @abdulghanirashid680
    @abdulghanirashid680 7 років тому +49

    Nataman nijifunze mengi kutoka kwake zaidi niwe kama yeye

    • @salumselemani1563
      @salumselemani1563 6 років тому +1

      Ukiwa na nia iliothabit mtafute na atakufundisha.

    • @saidkhalif8380
      @saidkhalif8380 6 років тому +2

      Mungu ampe maisha marefu mana anatupa elmi

    • @yayabotaccount857
      @yayabotaccount857 6 років тому +3

      MashAllah Mungu akupe maisha marefu uzdi kutuupa dawa

    • @shabanikasele8071
      @shabanikasele8071 6 років тому +3

      Millard Ayo usahihi sikuzote unapatikana kwa watu wema kama nia na juhudi za kufuata mwenyez mungu agakuwekea wepes nas insha Allah atujaalie ktk kuyafuata yalio yakheli

    • @kweliumesemailanaowangetul1933
      @kweliumesemailanaowangetul1933 5 років тому +2

      Jifunze utajuwa na wewe utupe dawa jambo nzuri mungu akujaliye upate wepesi waniya yako