PATANISHO : SIKUJUA YEYE NI MKE WAKO, NAOMBA MSAMAHA
Вставка
- Опубліковано 5 тра 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Розваги
Sasa wewe willie ikiwa kama kwa sasa huishi na huyo mkewe, si ungenyamaza tuu ,ina haja gani umtafute mtu ambae uliishi na mkewe, unafikiri atakusamehe. Sisi wanawake ndio tupo wepesi kusamehe, lakini mwanaume si rahisi.
We ghoost
When ghost said mume mwenza😂😂😂😂😂
LEO GOST AMEPATIKANAAA🤣🤣🤣🤣!!!!!! KESI NGUMU SANAAAAAAAAAAAAA
Wanaume wamekorogwa
Wee Ghost wapenda umbea kweli 😄 yaani una lazima huyo mwengine ashike simu! Yenyewe hii kesi ni ya ufala na ujinga.
Willy was after ruining that marriage ju kusema tu ukweli angenyamaza,obvious uja uzito ni wake sasa tatizo ni kwa huyo mwanamke
Babadogo tuko locked gidinna ghost
Willie simuelewi mimi. Mwaka mzima kavunjiwa viuno na bibi ya mtu akiitwa baby na sweetie na sasa anataka kuongea na huyo jamaa? Kenya siihami mimi.
Willy hana makosa.huyo mama ndio analeta hizi shida
Huyo mama ako na dawa
Kamutiii
😂😂😂
Mangwenini vilabu va mnazi
Willy umekula bibi ya wenyewe mwaka mzima alafu unatafuta kusamehewa???
Wewe willy ni bonoko sana sasa ungekua ni wewe ungeskiaje
Huyu mwanamume pia nae nimshamba kwn nilazima gani kuongea na uyo mzee siaache nae tuu
Ni Short Wire
😂😂😂😂
BWANA GANI ATAOSHI FOR A YEAR, BILA KUONA MKEWE??? WAZIMUUUUUU!!!! MAYBE PIA MZEE ALIKUA NA FAMILY NYENGINE!!!!
Ujinga tu hyu madam ndo Ako makosa