PATANISHO : SINA SHIDA NA YEYE KURUDI ILA AJUE MIMI SI BABAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 тра 2024
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
    Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 72

  • @fiddiggokirimi9630
    @fiddiggokirimi9630 Місяць тому +18

    I blame the mother for all this... why can't u let him know his dad

    • @susanmuthoni5482
      @susanmuthoni5482 23 дні тому +1

      Hawa wazazi wakitambo walikuwa balaa tupu 😅😅

    • @BMboss108
      @BMboss108 22 дні тому

      But huyu kijaana pia ni kinganganizi..mzee hamtaki bado analazimisha

  • @africanlady9846
    @africanlady9846 Місяць тому +17

    Wewe ni mwanaume na huyu mzee amesema wewe sio mtoto wake so jiongeze bro, ukipata shillingi hamsini kula ishirini weka thelathini ili ununue mahali pa kuanzia maisha na mbeleni ikiwa utakuwa na bidii utapata pakubwa ni kama hutu mzee hataki ujenge kwake

  • @nancymoraa6491
    @nancymoraa6491 Місяць тому +14

    Mm siwezi kaa na mtu ataki mtoto ama watoto wangu

    • @maureendama1395
      @maureendama1395 Місяць тому

      Exactly

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 Місяць тому +1

      Wameru ni kama Waluhya mtoto kijana hapewi shamba na step father,hata wakisii ni same atamlea but kumpea shamba hawezi

    • @maureendama1395
      @maureendama1395 Місяць тому

      @@marrieann5278 wacha kuwekelea wakisii coz watu ni tofauti nami sijaiona hivo, inategemea na mtu binafsi

    • @sketch9062
      @sketch9062 29 днів тому

      ​@@marrieann5278same to luos

  • @samuelwachira1349
    @samuelwachira1349 Місяць тому +5

    Hawa hawajaelewana. Language barrier hata mzee hajaelewa.

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 Місяць тому +1

      Mzee amelewa waaa mungu saidia huyu kijana apate pesa abuy Shamba

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee Місяць тому +4

    Aki shida ,lakini we have a heavenly Father who is always there for us,we only have to accept Him into our lives.So many ppl have no Father because they never had one or they passed on or they have no contact for whatever reason.But we have a Heavenly Father Who is almighty and Loves us with all our shortcomings.

    • @babieakawanga9127
      @babieakawanga9127 Місяць тому +2

      This msg came to the right person,I don't think I will ever want to meet him,but God my Almighty holds my hand, sometimes it's better to keep of them completely

  • @SarahAmina-ew6ms
    @SarahAmina-ew6ms Місяць тому +5

    So sad 😞

  • @nyarsakwa1492
    @nyarsakwa1492 Місяць тому +6

    Huyu jamaa awachane na huyu mzee kabisa ako toxic, aombe Mungu amjalie shamba aishi na jamii yake vizuri... Wanaume mkipenda mwanamke penda na mtoto wake, kama hutaki mtoto wachana na mama

    • @edwinochieng9014
      @edwinochieng9014 Місяць тому

      Idiotic, kwani ampende mtoto ju babake mtoto ako wapi....??kama ulifungua mguu ukanyambishwa mtoto, mwolekee baba mtoto......fullstop...

  • @teresagitonga8749
    @teresagitonga8749 Місяць тому +4

    I wish this guy atafute pesa instead of looking for people who don't care about him 😭

  • @user-xz4yh1cs9t
    @user-xz4yh1cs9t Місяць тому +3

    All women here tumeet wen tutandike huyo mama viboko 😢 . I blame her

  • @harrietharriet5443
    @harrietharriet5443 Місяць тому +5

    Namuombea apate pesa anunue place yakukaa… huyu mamake pia yeye anaitaji viboko

  • @jemimahnafula9457
    @jemimahnafula9457 Місяць тому +6

    I always preferred kids kujua baba zao!!!!! Very important.I have them too as single mother but i make sure they know their biological father even birth certificates i never forgue.The happiness of a child in life is to their biological fathers no matter how they look, poor or rich.I can feel very shameful and emotional when the kid can ask me such shameful question that who is my dad afte all knowing that the present father is their father 🥲 MTOTO HUJIVUNIA NA BABAKE TU VILE AKO.NEVER HIDE KID'S BIOLOGICAL PARENTS HATA KAMA HASAIDII COZ PIA MTOTO ATAGROW AKIJUA NI BABANGU NA HAKUNISUPPORT THAN THEM TO FEEL LIKE WANGEMJUA LIFE INGEKUWA DIFFERENT SO THEY STAY BLAMING MOTHERS.PERSONALLY,NILIOGOPA KUULIZWA WHO IS MY DAD SO NILIJIJAZIA MAPEMA😂😂😂😂 AND THINGS ARE GOOD BECAUSE THEY ARE COMFORTABLE NO MATTER UPS AND DOWNS WE GO THROUGH.
    I DID THAT TO AVOID SHAME OVER THEM AND I😂😂😂😂🙌🙌Niko tu huku🇶🇦🇶🇦 watching and following

    • @maxwellowade5258
      @maxwellowade5258 24 дні тому

      @jemimahnafula9457,wewe umekomaa akili sasa,wacha watoto wajue baba yao

  • @mulicharlesmuli
    @mulicharlesmuli Місяць тому +5

    Ukipenda mwana dada akiwa na mtoto wapende wote wawili!!

  • @totolangu6544
    @totolangu6544 Місяць тому +3

    This is sad!

  • @mwakabonface1080
    @mwakabonface1080 Місяць тому +3

    Nani ameona Ghost venye ako na hasira.........ata Kicheko hiaikuwa leo

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 29 днів тому

    I wish we heard Ghost's opinion too

  • @softymoha5484
    @softymoha5484 Місяць тому +2

    aiii.utapendaje bwana na akatae mtoto wako surely.

  • @jackieshamim3162
    @jackieshamim3162 Місяць тому +2

    Erick omondi njoo usaidihe huyu kijana.team Dan wanyonyi please do favour

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 Місяць тому +1

    Maisha ya siku hizi ... so sad

  • @emilywangui
    @emilywangui Місяць тому +4

    I will always choose my kids over a man ,ladies tujipende,so sad 😢😢

    • @robbieglo7155
      @robbieglo7155 Місяць тому +2

      Very very true, that woman is very stupid sana, mbona asicheze ka yeye anunulie mtoto kashamba hata ka point tu nkt

    • @emilywangui
      @emilywangui Місяць тому

      @@robbieglo7155 sure ,your kids will always stand with you when everyone leaves you....tupende watoto wetu

    • @emilysawayi5787
      @emilysawayi5787 Місяць тому

      Unless akona income ​@@robbieglo7155

  • @LawrenceObondo
    @LawrenceObondo Місяць тому +1

    Radio jambo kisumu haishiki

  • @user-kh2jw2gw2m
    @user-kh2jw2gw2m 29 днів тому +1

    A mother to this boy ajipendi Wala apendi mtoto wake love your blood don't love somebody Yu met who don't accept your blood too

  • @georgymahi149
    @georgymahi149 27 днів тому

    Huyo mubaba ni confused kidogo. Mpeleke polepole.

  • @kelvinodhiambo4770
    @kelvinodhiambo4770 Місяць тому +2

    Hmm....mm mama mkwe atakangi nione mtoto wangu, ata nkienda huko kumpelekea mtoi wangu nguo anani shika mashati. Hii kitu huniuma hadi nashangaa ni nini nlifanyia huyu mama. Msichana wake already alishaoleka kwingine. Tafadhali mnisaidie

    • @everygoodthing8506
      @everygoodthing8506 Місяць тому +2

      You need to go get custody of your child. Your mother-in-law does not have any rights to your child. If your ex wife is not living with the child you have a right to get custody of the child. Siasa za kupatanishwa na ex mother-in-law ni upuzi

    • @jesengelkirwa
      @jesengelkirwa Місяць тому +1

      Report kwa children's department.It's your right as the father!!

  • @BMboss108
    @BMboss108 22 дні тому

    Ajipe shughuli tuu..angekuwa hana wazazi kabisa kama sisi angefanyaje😢 let him make good friends and join church groups etc...you cant force people to love you...kama huyo mzee alimfanya atoroke akiwa mtoto leo ndio ashakua atamuonea imani..i wish he could learn to let go

  • @babewajeff
    @babewajeff Місяць тому +5

    😢😢😢hata haina haja huyu jamaa arundi huko.huyo baba anaongea vitu zingine different...na Haina haja ya kusema mtoto sio wako kama ulikubalia mama yake...hio sio poa...what if akuwe tajiri??

  • @gracemburu6355
    @gracemburu6355 Місяць тому

    Some times men don't want to take responsibilities when the child is young. So for now he can accept him.

  • @fiddiggokirimi9630
    @fiddiggokirimi9630 Місяць тому +1

    Wameru mmefikiwa, ai mzee you don't have to shout loud hivyo mtoto si wangu. Hekima si utumwa lol

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 23 дні тому

    Unaweza aje rudi mahali utakikani?🤷🏽‍♀️😢 why is he forcing himself?
    Akufukuzaye akwambii toka!

  • @reginakogo624
    @reginakogo624 Місяць тому

    Huyo mzee akimwoa mama si alijua ana mtoto mwanaume? Mbona baada ya kuishi na yeye na labda kuzaa watoto na yeye aanze kumfanyia madharau na mtoto wake? Huyu kijana hana hatia yoyote. Yeye hakuchangia kuzaliwa wala kupelekwa kwa hiyo ndoa. GIDI NA GHOST mbona hamjamwuliza huyo mzee sababu ya kukubali mtoto akiwa mdogo kisha kumteza mama kama amewapata watoto wengine? Hiyo ni dhuluma mbaya sana. Gidi haujafanya vizuri kuendelea kumwambia huyo kijana yakuwa huyo sio babake ilhali alimchukua mamake akiwa na mtoto! Ninasikia uchungu sana kwa sababu badala ya kumzaidia umempa machungu zaidi....

  • @babieakawanga9127
    @babieakawanga9127 Місяць тому

    😢😢😢😢i wish huyu kijana angekaa tu kwenye ako,huyo mzee ni kisirani,aki mama aki 😢😢😢😢😢you sleep day n night without knowing whereabout your kids is,shame to women who can't stand for kids

  • @beryl804
    @beryl804 Місяць тому

    This is so sad. Buda jipange

  • @annmwariri8119
    @annmwariri8119 Місяць тому +6

    Hiki kiGiddi sometimes hua kinabore sana... Hiyo diyo kusaidia mtu kweli?

  • @chullakoi8803
    @chullakoi8803 Місяць тому

    Bro tafuta babako wachana na huyu mzee na ukimkosa jikalishe wachana na hii #Nugu

  • @Mamawesley
    @Mamawesley Місяць тому +1

    Wacha nitulie gulf ninunulie mtoto shamba nimsomeshe khalas

  • @sketch9062
    @sketch9062 29 днів тому

    The mother is to blame. Ambia mtoto kwao ni wapi aende huko ajenge. Otherwise huyu hawezi pewa shamba na baba ambaye si wake. Ako na kwao😒

  • @beatricekageakijana5415
    @beatricekageakijana5415 29 днів тому

    Tafita shamba ununue ukae na familia yako

  • @edwinochieng9014
    @edwinochieng9014 Місяць тому

    Mwanamke ukinyambishwa mtoto, olekea huyo jamaa...kuolekea mzee mwingine ndio umletee hio mzigo wa ujingo wako is a no...

    • @nancymoraa6491
      @nancymoraa6491 Місяць тому

      Ww mwenyewe ujielewi

    • @clementineonami
      @clementineonami Місяць тому

      Wewe ata unajua baba yako kweli? Unajua mwenye alinyambisha mamako? Kids with a genuine father don't verbal diarrhoea like you

  • @user-xz4yh1cs9t
    @user-xz4yh1cs9t Місяць тому +1

    Mimi kama mwana jambo, ushauri wangu ni kwa gidi. You are very stupid. Umesaidia nini hapo 🙄

    • @annmwariri8119
      @annmwariri8119 Місяць тому

      Oooh nipunguze hasira na kumbe ata ww uko huku 😂😂😂😂