PATANISHO: Mke wake alikuwa anamaliza gorogoro mzima kama jini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 830

  • @djexitkenya881
    @djexitkenya881 2 роки тому +13

    Mum n dad are the best blessing u can get

  • @Chepkorir4050
    @Chepkorir4050 4 роки тому +53

    Giddy and ghost should be given presidential award. What they are doing in the society is real and impacting life positively

  • @joan7516
    @joan7516 4 роки тому +30

    This mama made my night 🇺🇸🇺🇸

  • @justmebeingme7490
    @justmebeingme7490 4 роки тому +18

    Such a humble mother.... unfortunately alizaa mjinga na amekubali mminga wake. Mungu ampe nehema tu. Mama na iwe salama nawe katika jina la Yesu Kristo. Mungu asimame na wewe. Roho ya kukugandamiza iishiwe na nguvu kabisa kwa damu ya Kristo wetu Yesu.

  • @tewendehome
    @tewendehome Рік тому +10

    I love how Gidi is passionate about families.

  • @samuelnyanjui8326
    @samuelnyanjui8326 4 роки тому +20

    Watching from Mississippi USA

  • @RAMAH_JUNIOR.
    @RAMAH_JUNIOR. 4 роки тому +31

    Ghost hio kicheko yako i swear it makes my day 😂😂😂😂

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 4 роки тому +21

    Pole Mummy, msamehe mtoto wako huyo, hana adabu,msamehe tu. Tumekupata Mummy, ni uchungu sana😢

  • @winniegeorge7083
    @winniegeorge7083 4 роки тому +8

    Enyewe James ni ngombe. I just discovered patanisho am my day has been made

  • @StanleyChanzu
    @StanleyChanzu 2 роки тому +21

    🤣🤣🤣 that mother has a great sense of humour , a very good story teller. Would listen to her all day.

  • @mercykimani9741
    @mercykimani9741 3 роки тому +6

    Woooi Giddy n Gost may God give u more wisdom to sought this issues in the society. Ñkr city

  • @stephenmaingi7243
    @stephenmaingi7243 2 роки тому +4

    James needs to rewatch this patanisho, twice, thrice, ... multiple times until he grows up

  • @MamaSamKK
    @MamaSamKK 2 роки тому +10

    This is the best patanisho ever. Mixture of humor and sadness

  • @benjaminmuruka5362
    @benjaminmuruka5362 3 роки тому +6

    Downloaded,,just coz of this Mama's disclosure.

  • @generalgg5074
    @generalgg5074 4 роки тому +8

    kazi nzuri sana mnafanya Radio jambo mwenyezi mungu awabariki sana Gidi n.a. Ghost

  • @tinasanta4080
    @tinasanta4080 4 роки тому +131

    Siku hizi redio Jambo hamu like comments tena....navile hufurahi nikiona likes zenu

  • @LynnDarc
    @LynnDarc 3 роки тому +16

    Don't know who needs to hear this, but hold your head up and smile. Better days are coming. Just continue to trust and have faith in God. Let's REPENT and walk in Obedience to God's decrees and Laws.Be blessed

  • @aschlyjohnson8481
    @aschlyjohnson8481 3 роки тому +8

    🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣 nimecheka yangu yote love 💕. From 🇩🇪🇩🇪🇩🇪 Germany

  • @piarants3958
    @piarants3958 4 роки тому +35

    The best patanisho..please bring long patanisho always 🤣🤣

  • @inspireasoulchangealife6198
    @inspireasoulchangealife6198 4 роки тому +14

    But any woman would defend their child at all costs. Mama ndio anajua chenye alipitia na huyo kijana wake mdogo. And she has to stand up for him esp kwa sababu babake mwenye kumzaa hayupo. Na nyinyi james sababu pengine mnaona hampendwi Ni kwa sababu hamna respect. It's only natural for a parent to love the humble and respectful child.

  • @vivianatieno6217
    @vivianatieno6217 4 роки тому +13

    James no matter how bad your mam or dad is just live them alone and learn how to love them ivo tu reoent and ask your mom for forgiveness nani bure you will never have peace in your life coz if your mam ana mix vitu why are your things not going well on your side jichunguze ......watching from saudia ...team yala yala show love

  • @marynjoki7122
    @marynjoki7122 3 роки тому +2

    It the kicheko ya gost for me u you are doing great things

  • @odumbeochinah881
    @odumbeochinah881 3 роки тому +18

    Impressive....I'm happy. Meanwhile respect your parents, 9 months hits differently....

  • @godsfavour1603
    @godsfavour1603 4 роки тому +18

    Anybody who abuse,insult her mum ni laana anapata kutoka kwa mwenyezi Mungu

  • @evangelistgrace5278
    @evangelistgrace5278 2 роки тому +15

    Respect your parents please James! Those people who abused their parents don't go well in life!

  • @itsjuliam
    @itsjuliam 3 роки тому +14

    My favorite patanisho. Na kicheko cha Ghost jamani mbavu zinaumaaaa 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂😂😂😭

  • @everlynemulongo7004
    @everlynemulongo7004 3 роки тому +24

    Gai. Huyu kijana ni mjinga na atangaika mpaka mwisho Wacha Ile siku uyu mama atakufa ndio atajua maana ya mama pumbavu wewe😭😭😭😭

  • @syllvastrebeydah8573
    @syllvastrebeydah8573 4 роки тому +31

    "Bado ninaongea wakubwa" Evelyn ni mtu anaelewa story yote from A to Z James thought it will be a walk in the park.......😂😂😂

  • @mercylinekasembeli5877
    @mercylinekasembeli5877 4 роки тому +2

    Mara ya kwanza kuona gidi akicheka, patanisho ya leo ni Kali mna kazi.

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 4 роки тому +38

    Team kujiamini muko wapi tuulize Gidi na Ghost walipotelea wapi tumemiss patanisho sana

  • @ritanofear4634
    @ritanofear4634 3 роки тому +13

    Mothers are so priceless....precious gift from God. True love n care comes from our mothers, they deserve total respect. James has no manners at all, no matter wat differences u have with ur mother, don't call her names, dont point a finger or shout at her. No one is perfect, the best solution is to sit dwn n solve ur issues amicably.

  • @peninahmumbi5550
    @peninahmumbi5550 4 роки тому +13

    Sad,after our dad died my brothers came after our Mum took all her cattles n cutting down the trees n Chief ordered them to report to him,when the case started my brothers addressed our Mum as HUYU like James haki he made me cry wen i remba that day, anyway Patanisho good job

    • @wanjirunjiru3083
      @wanjirunjiru3083 4 роки тому +2

      pole

    • @peninahmumbi5550
      @peninahmumbi5550 4 роки тому +1

      @@wanjirunjiru3083 Thxs

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 роки тому +1

      Its sad it happens,even the other way round happens parents do that to their children especially if you're in diaspora ,they buy property you think you're the owner kumbe you're only the goose that lays golden eggs.

  • @djvixx2373
    @djvixx2373 4 роки тому +13

    James don't be childish. Just remember this your mother can bless you or curse you. Even if you are 38years you are still your mum's child. Think about it

  • @sherylingeoffrey9266
    @sherylingeoffrey9266 4 роки тому +36

    Things won't get better to James anytime soon

  • @jshahshsh2383
    @jshahshsh2383 3 роки тому +1

    Waaah n mama pia amechanganyikiwa anaongea tabia mbaya that family mungu atangulie tu

  • @nellymwangilwa4288
    @nellymwangilwa4288 4 роки тому +13

    James ni mjinga sana,huyo ni màma yake mzazi but still anamu address Huyu Mama

  • @dorothyndemo4124
    @dorothyndemo4124 3 роки тому +6

    Haki hii story ni ngumu tena interesting at the same time.....

  • @nancymasaka5307
    @nancymasaka5307 3 роки тому +6

    kila mama want good life for her children

  • @mugongunda
    @mugongunda 4 роки тому +2

    Best patanisho men

  • @tomabor2607
    @tomabor2607 4 роки тому +43

    I wish i just had a mother figure 😭😭😭watu wengine wako na vitu za dhamana na wanamisuse so sad

    • @OldisGold1982
      @OldisGold1982 7 місяців тому

      Did you take care of her when she was a life

  • @nancybonareri4010
    @nancybonareri4010 4 роки тому +31

    Wacha mama aongee "bado naongea" heheheeeeeeeeee ambia James apunguze mdomo

  • @Lilly-hk9ql
    @Lilly-hk9ql 4 роки тому +58

    Respect your Mother and your father is the commandment that has a promise by God. To James be kind to your parents for the sake of your children wasije wakaokota laana zako

    • @beller9304
      @beller9304 3 роки тому +5

      Kwani James should not marry because of his mom behaviours?

    • @annvictor5905
      @annvictor5905 3 роки тому +1

      @@beller9304 my question too some parents are not good especially my mom I hate her so much and can't beg her bcz idid it and it hurted me more than how was hurted before

    • @euniceanyoso2939
      @euniceanyoso2939 3 роки тому +1

      @@annvictor5905 thank you, am in the same situation, I have never seen a mother who wishes you harm

  • @maryakajj4127
    @maryakajj4127 4 роки тому +14

    This story is crazy its killing me huyu James nimujiga

  • @beckybeto3781
    @beckybeto3781 4 роки тому +9

    Nahurumia huyu mama aki😭😭😭Coz watoto wako side ya baba

  • @sandraechiveraya8570
    @sandraechiveraya8570 3 роки тому +15

    Your mother is still living in the shadow of her past ,,,, she is using the bitterness of her past to torment her children ,,, I am passing through this in the hands of my own mother,,,, my advice to onced divorced parents or single parents or baby mamas or baby daddy,,, whatever ever happened in your past your child is so innocent of it

    • @odiwuorspoilah8783
      @odiwuorspoilah8783 2 роки тому

      Take it easy sister. I feel your pain. May God sail you through

  • @asikokimeuniceeunice9158
    @asikokimeuniceeunice9158 4 роки тому +9

    You guys you are doing great job 👏👏 ugali ni lazima iliwe 😂😂😂😂😂

  • @essykenya.4128
    @essykenya.4128 2 роки тому +6

    James umelaniwa unafaa unyeyekee sana uombe mamako msamaha hufai kuingilia uhusiano wake na babako.heshimu mamako nyenyekea ukitaka mafanikio hakuna kama mama wish ujue mapema

  • @aggieaggie8444
    @aggieaggie8444 4 роки тому +9

    James respect is paramount

  • @mercykimani9741
    @mercykimani9741 3 роки тому +15

    My ribs are cracking coz of korogoro ya ugali😂😂😂😭😭

  • @mulandamartin9398
    @mulandamartin9398 Рік тому +2

    Best story ever

  • @alembocarolyne7635
    @alembocarolyne7635 4 роки тому +19

    Aki hii patanisho ndio ile tunaita "patanisho of the year "😂😂😂😂😂😂Bibi gani nakula kama majini? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nancykim629
    @nancykim629 3 роки тому +3

    I repeat here radio Jambo can't solve people problems sanasana patanisho

  • @musicandnewskenya4270
    @musicandnewskenya4270 4 роки тому +23

    Siri yote ya James mma ametoa. Na ndoa ya mama na baba mbona mtto anaingilia. Mbaya sana.

    • @selahselah474
      @selahselah474 4 роки тому +2

      Imagine yaani huyu kijana anataka kusaidia babake kusoma katiba ati atamfungia mjinga sana

  • @elizabethkhayasi8422
    @elizabethkhayasi8422 3 роки тому +9

    James anastahili amuombe Mungu Sana! yaani ni uchungu Sana uzae mtoto baadaye awe kama James.

  • @wacmber2131
    @wacmber2131 4 роки тому +12

    Huyu James ni mpuuzi sana how can you address your mam in such manner

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 4 роки тому +1

    James ni kaa brothers wangu hawana heshima kwa mama wanajukua vitu by force.

  • @BabyAlexxia6734.
    @BabyAlexxia6734. 4 роки тому +6

    Team Italy well represented hello gidi and ghost

  • @puritytanui7347
    @puritytanui7347 4 роки тому +2

    Pole mum hio ni maisha nilipitia kwa familia yangu

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 4 роки тому +9

    Huyu mama😓😓James heshimu mzazi

  • @charitynyakondo1504
    @charitynyakondo1504 4 роки тому

    Giddy haki uko na kazi Kwa hali hii Mungu akubariki sana

  • @munirabdi5827
    @munirabdi5827 4 роки тому +16

    Uyu James Amekosa Adabu Sana! Na Tena Akona Kiburi

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 3 роки тому +22

    Huyu mtoto anaonekana ni mkorofi sana

  • @christinewambeo4407
    @christinewambeo4407 4 роки тому +3

    Respect your mother bro

  • @SK-pb5ke
    @SK-pb5ke 4 роки тому +14

    James,Unaongea hivi kwa mamako.You life is based on how you treat your parents. The Bible says Respect your father and Mother,Kama wataka maisha marefu hapa duniani.

  • @keziawanjiru8299
    @keziawanjiru8299 2 роки тому +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭gaiiiii this made me cry😭😭😭😭this mother is soo humble but James has no life 😞😞😞😞😞😞😞 gaiiiiii James never argue with ur mum I understand her feelings 😭😭😭😭🙏🙏🥺🥺🥺🥺🥺😈😈😈😈😈😈😈😈😭😭😭😭

  • @yourgirlzamzam
    @yourgirlzamzam 3 роки тому +6

    I had to look for this 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... I'm laughing my ass out atm yaani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @faithndungu2898
    @faithndungu2898 4 роки тому +19

    James utauliwa na hiyo mdomo choko, omba Mungu akufunze kunyamaza.

    • @edinahmoraa1289
      @edinahmoraa1289 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂jeso hii ni noma

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      wazazi huwa wanapenda mtoto fulan na fulan wengine wala upendo hakuna

  • @media1international279
    @media1international279 4 роки тому +12

    Huyu James ni mtovu wa nidhamu! Mama ni mtulivu na ana hekima kumliko. James anaoa mang’aa na anawekelea mama.

  • @lastborn2044
    @lastborn2044 4 роки тому +2

    Mama James made patanisho🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @kayraz8569
    @kayraz8569 Рік тому

    My best patanisho

  • @missmakali5240
    @missmakali5240 3 роки тому +1

    Ahaaaaaaa,I like the way you are making notes ..ahaaaaaaaaaa

  • @geraldmwaura5690
    @geraldmwaura5690 2 роки тому +4

    Mama ako sawa

  • @angellahonyango2899
    @angellahonyango2899 4 роки тому +2

    I missed patanisho walahii

  • @doreenbiwott7154
    @doreenbiwott7154 3 роки тому +9

    Wapi part 2 ya gorogoro

  • @putinhusein3316
    @putinhusein3316 3 роки тому +5

    This woman is of another level🤣🤣🤣

  • @sherylingeoffrey9266
    @sherylingeoffrey9266 4 роки тому +66

    Addressing your mam as huyu mama that's very disrespectful total nonscence I feel bad kama nimAmangu

    • @proffesoreliud6200
      @proffesoreliud6200 4 роки тому +4

      Sure if someone does this mum i will deal with him

    • @wilma1866
      @wilma1866 4 роки тому +2

      Such BS. Some mothers are DEVILS.

    • @werelawrence4686
      @werelawrence4686 3 роки тому +1

      Ash!please evolve

    • @samoguda7308
      @samoguda7308 3 роки тому +1

      Sherilyn ,,, FYI some mothers are so cruel and evil and have no control. She is damaging her own child, I think he son is respectful... The mother DOES NOT deserve any respect ...
      Notice this mother once undressed before the son .... that is outright devilish ...

  • @joanodongo4088
    @joanodongo4088 3 роки тому +7

    Gorogoro moja kama majini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Ms.Inkredible
    @Ms.Inkredible 3 роки тому +11

    I'm just here for Ghost's laughter!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @princessfay5414
    @princessfay5414 4 роки тому +11

    Wa bibi kukula gorogoro kama majini kkkk! Na vile kumekauka?Ata paka haijapelekwa kama mahari😂😂😂,this case is tough Ata siongei mimi kicheko itaniua 😃😂😂😂😂😂

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 3 роки тому +14

    Huyu mama anaongea kama Smart Joker 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @lvugutsa
      @lvugutsa 3 роки тому +2

      Waluya wote hukua ivo. Na kiswahili sanifu

  • @margaretwanjiru9574
    @margaretwanjiru9574 3 роки тому +13

    Huyu kijana hana heshima kwa mamake

  • @findpartner1314
    @findpartner1314 4 роки тому +40

    Qatar wapi like

  • @harrietnjeru4310
    @harrietnjeru4310 4 роки тому +9

    Nasoma comments na accent ya mama..muchinga Sana James

  • @enachaki
    @enachaki 4 роки тому +6

    Real life is more comic than comedy..

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 4 роки тому +3

    Ppl mama ako Na story don't judge James.Bukusu mums after a certain age they are very crafty.The best thing is to live your own life, bibi kaa naye.Give her support but don't live door to door .

    • @rachaelwatsiera5790
      @rachaelwatsiera5790 3 роки тому

      You are very correct this mama James looks bad infact I think hizo story zote amesema it's alie

  • @ochiengatienolilian8921
    @ochiengatienolilian8921 4 роки тому +18

    😆 Nimeelewa huyu mamaa aki🤣🤣my mom has been through this aki, 🙆 tulifkuzwa na mom aki na my uncles na grandparents, we were isolated na kila mtu, sahi na hustle huku Saudi, James repent please pepo ipo chini ya miguu ya mama

    • @jessyjames4772
      @jessyjames4772 4 роки тому

      Haki sisi wama hupitia

    • @margaretndichu7737
      @margaretndichu7737 4 роки тому

      I like u spirit no matter the man remain u dad gal well done

    • @selahselah474
      @selahselah474 4 роки тому

      My situation sahii nanunulia mum kapoint niko Bahrain najua atasettle huyu kijana ni mjinga ma 1st born wengine mushkila

    • @alidawood4065
      @alidawood4065 4 роки тому

      Uko saudia...mm naitwa atieno maureen nko bahrain

    • @irenereuben9265
      @irenereuben9265 4 роки тому +1

      She's my mum inlaw though niliachana na kijana yake ju disrespect

  • @nancybonareri4010
    @nancybonareri4010 4 роки тому +1

    hello Gidi na Ghost plz muwekange patanisho kila siku juu me nangojea ya youTube

  • @debrasilas8759
    @debrasilas8759 4 роки тому +2

    this is nice.kama mbaya mbaya. kuongea ndio kuelewanwa.

  • @celestinekhavayi9176
    @celestinekhavayi9176 4 роки тому +3

    Hahahahahah.. Eti gorogoro moja inaisha nimeisha huyu mama na mo fire ..and for the boy arudi shule ya kuongea ako na ujinga sana

  • @pendezanamamaeuge812
    @pendezanamamaeuge812 Рік тому

    Wow good job gidi

  • @kennedyolilo6542
    @kennedyolilo6542 3 роки тому +5

    😂😂😂Gidi na Ghost wamelepua kicheko mbaya

  • @annitahmisilivi7413
    @annitahmisilivi7413 4 роки тому +19

    James should respect his mother,east West she is still his mother then seek forgiveness

  • @nancyomondi872
    @nancyomondi872 2 роки тому +6

    Aki Ghost Mle vle huwa anacheka aki. Mtu anaweza dhani ati hawako serious😂😂😂😂😂

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 роки тому +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣ati bibi anakula kama machine idie huyu mama ameniuwa

  • @christinenthambi4028
    @christinenthambi4028 4 роки тому +4

    Mmgu ako Ivo na kubadilika ni ngumu ako 78yrs na anakaa peke ! My brother's wanakaa Tu na mabibi zao ! Hata watoi wa wasichana hataki ! Solution ni kukaa kado !

  • @jesseokada6791
    @jesseokada6791 4 роки тому

    James umekosea sana kujibizana na mum, fanyia mum shoping n uende home umwombe mama musamaha. Uwachane n uachane n privet issues z mathee umetuabisha sana.

  • @faithjohn4294
    @faithjohn4294 3 роки тому +3

    Jesus😭😭😭😭huyu kijana ni wa aina gani

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 2 роки тому

    We mungu utupatie kheri kwa kizazi chetu. Tusizae tusichokielewa

  • @mahatidido9768
    @mahatidido9768 4 роки тому

    This is crazy patanisho of all times

  • @iryneshyla8591
    @iryneshyla8591 4 роки тому +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣This mom though 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I love her