PATANISHO : NIMENAWA MIKONO NA HUYU NDUGU YANGU NIMECHOKA KUPATA MANYOYA YA KUKU ZA WENYEWE
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Розваги
Nimecheka kuhusu shimo iliyotobolowa 😂
Ameomba msamaha mpaka nimelia 😢😢he seems so sincere
Nimempenda sana huyu kaka mkubwa ni muungwana sana ,Mungu akubariki sana kaka mkubwa ,wewe ni mtu mwema na utafanikiwa sana kwa kila kitu ,sauti yako tuu ,i mejitosheleza ,kuwa wewe ni mwenye hekima, mstastaarabu,na maarifa pia .02.05.24.
Emotional! That big bro has a big heart🙌🙌
The best patanisho, so smart n matured man ndugu mkubwa
That was indeed emotional 😭...nimewapongeza hao wote ndungu wawili....sana sana huo mdogo...amejinyenuekea kweli...we are all human we have our shortfalls BUT with God's grace we can rise again 🙏
Sikutoboa shimo lakini nlichungulia kidogo😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😊😊😂
This made me shade some tears. Hata kama ni MUCHUNGULIAJI but it is as if maisha yake imefikia some turning point.
Mungu abariki ndugu mkubwa
Kaka mkubwa ana busara sana. Mwenyezi Mungu awajaaliye waishi kwa upendo tena
Msamehe lakini usihishi naye nyumba moja tena
Gidi unakuanga na ujinga saaana patia mtu time ajiexpress uko na tabia mbaya sana
Bado atarudi kutoboa shimo imgn hwa wadogo hujifanya kiherehere🤣🤣🤣 jamani
Guilty as charged. Kijana rekebisha
😂😂😂😂
Amazing big brother. Wow❤
Manyoya ilikua inaokotwa kwetu😂😂. Huyo kijana hatari. Haikosi alikula huyo bibi
Am greatful to God since big brother forgave him and the younger brother his wise he knows how to be humble since his the only who can wish him well in life en he prosperous bila kusamehewa ghathabu ingemfwta kokote aendapo bila chema mbele,,,big lesson to our younger siblings to respect ur elders and to apology when u wrong them
Shimo na manyoya got me😂😂😂😂
Neo maana Napenda You kipindi❤
Ukiza chungulia mara moja ni hivo utaishi hapo 😂
Upuzi Gani hii Sasa ati anachungulia 😅😅😅
You can imagine that feeling nakuambia hizi nyumba za mabati choo zina mambo .
😂😂😂😂alikuwa ananyonga akiwachungulia walahi hii kuwa single inatesa mno😂😂
I had a similar case and coincidentally they have the same name
Really 😂
Inatikishika kweli amusamehee tuu forgive him wait next time if he trying again
🤣🤣 hapo kwa shimo na manyoya is the most interesting part 🤣🤣🤣🤣
Masalalee! Mambo mengine watu hufanya naona kama nimekufa na niko ahera. Jamaa anatoboa shimu achugulie uchi wa shemeji? Huyo ni heri asikaribie nyumba ya nyanyake anaweza mchungulia pia
Waah "Nilichungulia kidogo"😂😂😂😂😂😂😂.
Huwezi pendwa na kila mtu, Huyu ako ile kitengo ya HATERS....😅😅😅😅
Mzee wa chabo
Kingwendu😂😂😂
😢😢😢😢
Giddy acha kiburi please
Sasa kiburi inatokea wapi hapa🙄
Having an attitude
Si mzima huyu kuchungulia tena😂😂😂
😂😂😂😂ati kutoboa shimo akimchungulia like seriously😂😂
Aty mimi nilitoboa shimo 😂😂
Ndungu muhi eri kua nae
Mimi hata staking kujua kama amemsamehe ila hicho kiswahili bana lakini mbona sisi wakisii hatukuzaliwa Mombasa🤔
😂😂😂😂😂
Wakisii tu ndio hatukuzaliwa Mombasa 🤣oa mdigo sasa😂
Hii tabia ya kutoboa shimo ilikuaga Elburgon watu wanafanya zao nxt room unaskia wanacheka
😂😂😂kwani wewe ni wa molo
Weuh kumbe ni ukweli😂😂 can imagine basi kama hizi za coast hazina ceiling labda watu hupanda hadi kwa meza na viti.kuchungulia jirani 😂😂😂
@@kwahmah230 Nlikuaga nkiwork Nyayo hospital na hii story nlikua naskia sana
@@BMboss108 Ni kweli kabisa🤣🤣🤣🤣
Woi social houses affordable should be built more....so that kutoboa mashimo na kuchungulia kidogo 😢stop woi this is all because of poverty ...in cities....slum need to be removed and those people go to social houses
Alitoboa kwa nini huyo alikuwa na zake
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ghost you are very insensitive
I feel like you don’t treat your guests with dignity
Gidi not ghost
Gidi is becoming more and more arrogant he should retire...
Kumbe si mm to nime notice yeye ukua rude sometimes
@@melisssahmilkah9518 imagine he's so quick to dismiss people who want help ako so rude and arrogant...
@@shamimaoko sometimes yeye ufanyia ivo ata workmate wake imgn
Giddy umeniboa saana
@@hassanwere2387 umeona hiyo tabia yake
😂😂😂😂😂