Msikiti mkongwe zaidi Zanzibar |Historia ya Uislamu na Ukristo Afrika Mashariki (Part 2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya Straight Path Dawah ili kazi ya Dawah isonge mbele.

КОМЕНТАРІ • 53

  • @aishaibrahim1613
    @aishaibrahim1613 3 роки тому +4

    Jazakhallah kheir ALLAH akulipe Kwa kazi nzuri kuhusu historia ya dini ya uisilamu Afrika mashariki

  • @rayhanrashid3928
    @rayhanrashid3928 3 роки тому +3

    Maashaa Allah Tabarakallah, Kazi nzuri sana yaa sheikh, Allah akulipe hapa duniani na kesho akhera 🤲

  • @fahimabeid6953
    @fahimabeid6953 3 роки тому +3

    Waleikum musalam warah mathu lahi wabara kathuu Masha Allah Good 👍job Allah akulipe kula la kheir Inn shaa Allah

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 роки тому +2

    MashaAllah shelkh Ramadhani shukrani sana

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 роки тому +3

    Masha'Allah!nakubaliana na ww!

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 3 роки тому +4

    Mungu atawalipa

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 3 роки тому +2

    MashaAllah, Allah akulipe kheri

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 Рік тому

    barakac Allah, nimefaham nafatilia siku moja inshaallah itakuja Kkuliza mashwali.

  • @thomasoloka3550
    @thomasoloka3550 2 роки тому

    Ramadhana mashallah Allah awazidishia na dawah mitaani

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 5 місяців тому

    Alhamdulillah nashukur sana kuipata chanel hii...inanisaidia sana kujielewa..😊😊

  • @shindeznur7290
    @shindeznur7290 3 роки тому

    Allah awape kheiry nyingi wa sheikh zetu in shaa Allah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 3 роки тому +3

    MashaAllah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому +1

    Mashallah Allah 💓

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 3 роки тому +4

    Walitudanganya kwenye historian ya Tanzania kuanzia class 1 hadi form six sijasikia historian hiyo walicho kiandika ni TIPTIP alikua kibaraka wa waarabu aliyekua akitumika kuuza waafrika wenzake.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 роки тому +2

      Historia yake ilipotoshwa

    • @binahmedjuma8681
      @binahmedjuma8681 3 роки тому

      Historia yote kiufupi kuna mambo mengi hayapo sawa, waarabu wanaonekana kama sio watu wema lakini kiundani mambo ni tofauti

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo Рік тому

      Kazi ya Nyerere hiyo kudanganya na kubadilisha historia

  • @daruweshbikes
    @daruweshbikes 3 роки тому +7

    Allah amlipe mwanawachuoni ramadhan kuria

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 3 роки тому +1

    Tuliletewa historia ya kuuchukia uislam kila baya likatajwa ili tuone waarabu wabaya na tuvhukie uislam angalia utawala wa leo na wa kifalme znzilikua pepo hafungwi mtu kwa kubambikiwa kesi lkn leo watu wanasota magerezani kwa jina la ugaidi wakina mbowe na wengine na hakuna utawala mbaya kama wa magufuli aliua na kuwapoteza watu na kuharibu uvhaguzi lknmwisho yuko ktk mikona ya Allah anajibu

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому

    Nimesikia tiptip kwaio Kwa mtipura ipo sehemu inaitwa Kwa mtira kwaio Kuna utofauti au vp?

  • @abdillahismail8287
    @abdillahismail8287 3 роки тому +2

    masha Allha

  • @shaafalyemen
    @shaafalyemen 3 роки тому

    Athari za uislamu zanzibar na wema wa watu wake ndizo zilimwezesha babu yangu kusilimu na kuowa mwanamke wa kiislamu na kuzaliwa mamaangu na ndugu 8 hapo zanzibar.

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    Heee tumedanganya jamani historie nzuri hii mashalah sasa hamna familiya zao hawa viongozi wote jamani bwana tiptip familiya yake hamna

  • @Yesunimwokozi1
    @Yesunimwokozi1 Рік тому +1

    Kumbe waarabu waliwapiga wareno..kama kawaida yao wazee wa kujilipua

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Рік тому

      Ndio Hadi wakashika adabu

    • @Yesunimwokozi1
      @Yesunimwokozi1 Рік тому

      @@StraightPathDawah hii tunafahamu.. waislamu DUNIAN kote wao wanawaza kuuwa watu tu ili wakapate bikra 72 mbinguni😁😁.. hapo shetan kawashika vibaya ,sisi tunawaombea sana , LAKINI NZURI ZAID NI KWAMBA WANAUWANA NA KUPIGANIA WENYEWE KWA WENYEWE. TANGU ENZI ZA MUHAMMAD PAKA LEO. HII NI USHAHID TOSHA WAKO SEHEMU YENYE SHAKA TUPU..

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +5

    Masha Allah, Allahu Akbar, Insha Allah ukiwa unarudi nyumbani Kenya utapitia na Kwale Ukunda Msikiti Kongo pia utujuze zaidi kuhusu msikiti huo Insha Allah

  • @mufid707
    @mufid707 3 роки тому +5

    MashaAllah Tabarak Llah Sheikh: Ramadhan' kazi nzuri sanaa.
    Allah awalipe kila'lakheri nyote muliyo jitoleya Ameen

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj Місяць тому

    Mashallah lkn mbona mgeni hajakaribishwa Urojo😢

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +1

    Mashallah masheikh wetu kwa kutuelemisha kujua misikiti mikongo zaidi Afrika mashariki hii ni kumbukumbu mzuri kwa vizazi vijazo Allah barik

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому +2

    Masha"Allah

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 3 роки тому +3

    MashaAllah, Allah akulipe🙂🌍

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому +1

    MashaAllah. Shukran sheikh Ramadan kwa juhudi zako.Allah akulipe khery

  • @omarabeid1363
    @omarabeid1363 3 роки тому +1

    Waleikum musalam warahmathu lahi wabara kathu Masha Allah

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah...Allah awaeke masheikh wetu

  • @abuusuhaibmchumi4825
    @abuusuhaibmchumi4825 3 роки тому

    Njoo Tumbatu Jongowe uone msikiti mkongwe Zanzibar uliojengwa mwaka 37 Hijiria nakutumika mwaka 38 ila historian ya Jongowe inafichwa sijui kwa nn?

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 роки тому

      Mashallah, ila watu wengi hata Waislamu wanapotosha Historia Yao wenyewe

  • @artisthouses3016
    @artisthouses3016 3 роки тому

    Sheikh Ukimaliza hapo ukijaaliwa ufike Sehemu inaitwa Mafiya na kilwa

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 3 роки тому

    Pia tugewauliza kwanini Yahya Zakariya (John the Baptist) alimbatiza Jesus Christ (pbuh), Muungu wao kwa maji ya mto wa Jordan badala ya tissue?

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому

    Ila yule mwanamke kavunja rikoni eti ataendelea na tishu 😂😂 ila huo urojo umesababisha shekhe wetu ameze mate 😂😂

  • @omarbyz8695
    @omarbyz8695 3 роки тому +1

    ماشا الله👏

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому

    Muendelezo wp sehemu 7

  • @tututz100
    @tututz100 3 роки тому

    Straight Path Dawahzaidi Zanzibar

  • @ahmedbaga26
    @ahmedbaga26 2 роки тому

    Masha Allah

  • @MohamedAhmed-ix3mf
    @MohamedAhmed-ix3mf 3 роки тому

    Nikurekebishe sheikh washirazi sio waarabu ni watu wako karibu zaidi na wahindi angalia kwenye map shiraz iko wapi

    • @salumsalumu7490
      @salumsalumu7490 3 роки тому

      Nenda kasome history inaonesha bado huijuwi wewe

    • @Alkaburu
      @Alkaburu 2 роки тому

      Muhammad Ahmed upo Sawa washirazi sio waarabu ni wapeshia wa Irani ambao sasa wanaitwa wabulushi hapa tanzania visiwani na bara

  • @mishibaron5021
    @mishibaron5021 3 роки тому +1

    Sasa unaeza anza na maji kabla ya tissue siutashika kinyesi

    • @AliAbdalla-lb8su
      @AliAbdalla-lb8su 4 місяці тому

      Kwani ukishika kinyesi chako kwa mikono unakufa au ?kinyesi ukinawa kwa maji kinatoka na sabuni pia zipo au kwenu hakuna maduka,jiangalie ukiongea fikiria kwanza sio unaleta stori za kitoto