HISTORIA YA UISLAMU AFRIKA MASHARIKI BROTHER STAMBULI ABDILLAHI NASSIR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • MOMBASA SEMINA 2014

КОМЕНТАРІ • 29

  • @NasrahMakunga
    @NasrahMakunga 12 днів тому

    Maneno mazuri sana yataishi kwenye vichwa vyetu mpaka tutakapo kutana na mtukufu wa daraja!!jazaka Allahu khayr

  • @jillobuya3818
    @jillobuya3818 2 роки тому +1

    Waalaykum Ssalam Sheikh wangu Sastambuli.
    Wallahi Tarekhe unayoitoa Mwenyezi Mungu akutilie Baraka.unaichambua Tarekh ndivyo Wallahi unanikumbusha Sheikh wangu Marhum Sheikh Abdullahi Nassir nilipokua Imam wa 3KR Lanet kule Nakuru,ingawa mimi ni Suni lakini nilikua nikienda Darsa zake mana alikua akinifunza mengi kama unavyoendelea wewe.

  • @bakarikombo4039
    @bakarikombo4039 10 місяців тому

    Ahsante sheikh kwakutujulisha mambo yanayo tuhusu khasa

  • @aalikjules
    @aalikjules 6 років тому +4

    Jazakhallah Shekh allah barik akupe afia njema na umri mrefu🙏🏾🙏🏾

  • @HajiMussa-n8g
    @HajiMussa-n8g 9 місяців тому

    While listening to the speach which was presented by MR STAMBULI WAS Cait ok

  • @HajiMussa-n8g
    @HajiMussa-n8g 9 місяців тому

    Assalam alaykum ndugu zangu waislamu hakuna kitu kikubwa Kama kuwa nahistoria.kamili ya uislamu ya maeneo yet tulionayo Kama ni kitu muhimu kwa AJILI kujitathimi upya ili kupata taaluma.zaidi juu nchi zetu na uislamu wetu kwa Nia ya kujenga uimara wa uislamu wetu kwani bill kujua historian yako ni hatari kwa.maisha yako wewe mwenyewe naomba Sana tutafute historia juu yetu na historia ya dini yet na vipi dini ya kiislam ilifika kwetu na ilifikaje kwetu na mwaka gani n k ahsante

  • @yagazyagaz
    @yagazyagaz 10 місяців тому

    Walaykumsalam warahmatillah ndugu stambul

  • @hemedzidane8927
    @hemedzidane8927 Рік тому

    Mashallah nime jifunza asante shekh mwezi mungu aku zidishie umli

  • @humudmarhoon8044
    @humudmarhoon8044 7 років тому +3

    Mashaa Allah .. shekhe ungetoa kitabu cha HISTORY east Africa ktk karne 7 na nane

  • @omarsaid4702
    @omarsaid4702 2 роки тому

    Asante sheikh stanbul kwa kutufungua macho tulikua hatujui hio historia

  • @111dudi
    @111dudi Рік тому

    Shukran sheikh,lakini tumekosa slides

  • @fabimbilinyi2529
    @fabimbilinyi2529 5 місяців тому

    Gd

  • @swafiyamansur4326
    @swafiyamansur4326 2 роки тому

    Mashallah

  • @basalamaabdul
    @basalamaabdul 7 років тому +1

    MashaAllah very nice

  • @bejakalimbo5016
    @bejakalimbo5016 7 років тому +1

    quite informative