1: Mungu 2:Chanzo cha mafanikio ya Kweli naya Kudumu ni Mungu, Mithali 3:Mafanikio yana Kanuni Pastor ROSE SHABOKA🙌🏼🙌🏼🙌🏼Mungu Akubariki❤️ (kanuni)👇🏼 1.Lazima ujitambue Roza , lazima Ufikilie kesho 2.Lazima Uwe Mwanamke Wa Kutafuta Maarifa, Jifunze Kitu kipya kila Siku (mithali 19:2) 3. BIDII, Mkono wenye bidii Umfanikisha Mtu(mithali 22:29) 4.Usimsaau Mungu 5. Kusaidia Watu, jifunze kutoa kuliko Kupokea (mithali 30:31)
Nimependa sana nataka kujifunza ujasiriamali kutengeneza na kupaki peanut butter ubuyu karanga za mayai na kiu sana naona kwenu nitafanikiwa niko bukoba
Docta kumbuka ww ni mc mzuri sana mchungaji rose shaboka mungu akubariki zaidi🙏💕
Nakupenda Sana mama❤️❤️❤️, najifunza vitu vingi kupitia wewe
Hakika kipawa kitaniketisha na Wakubwa,
Katika Jina la Yesu!
Pasto uko vizur nakupendaga sana
Kweli mwanamke mwenye afya ya akili anajua uwepo wa Mungu kwenye maisha yake
Amani pastor pastor Rose
Excellent Pastor Rose
pst rose nabarikiwa sanaa
Amen mammy powerful...I love you so much.. God bless you mammy
Amina .somo zuri sana. Mungu akubariki mtumishi wake
Nampenda Sana huyu mama,na ninamlewaga sn
Nimekipenda icho kitenge💓👌
Madam huyu pastor Rose Mungu akuweke zaidi na zaidi una madini kuliko never seen before nakupenda sana najifunza mengi kwako👏👏👏👏
❤❤❤❤❤YOU mama
I have loved your speech I will follow you until I succeed
This woman is amazing...
Love u so much pastor Rose
Dr Rose, your warderfull good job be blessed more
Nimekupenda Sana Mama.
Amen 🎉🎉
Tell them Dear Poster... True... Power full messeg.. Thanks 😊 and be blessed
P s t Rose Ninaparikiwa nikiwa hapa Nairobi nikiwa house girl
Mchungaji rose shaboka nakukubali sana jaman
For sure your talented
Nakupenda mama nabarikiwa sana na maneno yako balikiwa sana
Hakika wanawake ni Jeshi kubwa.Nimewapenda kwa kweli.MUNGU aendelee kuwapa hekima na maarifa.
I truly love this woman ❤️
Barikiwa sana apostle Rose
I like your courage welcome to kenya .
Amen watumishi wa Mungu:
Kumcha bwana ni chanzo cha maarifa 🙏Dr Rose
hallelluyah hapo sasa sema yote
Pastor roz nakupenda bureeeee😍
Nakupendaga pastor 🌹🌹🌹🌹
Nashukulu mb zangu zimeenda kihalali ubarikiwe Dada
Sema mm mchungaji
hyo ndio point kutokutegemea kila kitu mwanamme naomba naomba yaako mama yngu nakupenda
Pendezaaaaaa👌👌💃💃💃💃
Dina Mario MUNGU Akubariki sana muendelee vema
Dr kumbuka neno kuntuuuu👌👌👌
I love this woman of God!!
Amen balikiwa Sana
Ameni nakubali neno la kwangu hilo kuazia leo na geuka barokiwa
Ubarikiwe sana mama
Pastor Rose Ubarikiwe
Nakupenda xana mama ww bas tyu nataman nije kanisan kwako sijui uko wapi
Amina mtumishi wangu
Mama plaster Rose tunakuarika Rwanda karibu
mungu akubariki mtumishi
Amem
Ameni
Nimebarikiwa mtumishi
Nakupenda Sana mama
Glory to God
Correct pastor
Ameen
Love you mummy
Dr unaongea point
Upo vizuli dada
We dada Rose ni simba nakupenda
Nimekupenda sana rose ntakutafuta nahitaji kuwa na maisha ya furaha zaidi na ya heshima
Amen pastor umenibariki
I love you my sister
Naomba number yake my sister name ni Nancy Muli
Ameen Ameen jaman
1: Mungu
2:Chanzo cha mafanikio ya Kweli naya Kudumu ni Mungu, Mithali
3:Mafanikio yana Kanuni Pastor ROSE SHABOKA🙌🏼🙌🏼🙌🏼Mungu Akubariki❤️ (kanuni)👇🏼
1.Lazima ujitambue Roza , lazima Ufikilie kesho
2.Lazima Uwe Mwanamke Wa Kutafuta Maarifa, Jifunze Kitu kipya kila Siku (mithali 19:2)
3. BIDII, Mkono wenye bidii Umfanikisha Mtu(mithali 22:29)
4.Usimsaau Mungu
5. Kusaidia Watu, jifunze kutoa kuliko Kupokea (mithali 30:31)
Nimekuelewa mama
eeish this was.hot
Aminaa! UBARIKIWE SANA!
Nimejifunz k2
Halifichiki pastor
Why no translator today??
Mungu,chanzo cha mafanikio ya kweli ni mungu,mafanikio yanakanuni
Dina love you 💕
Amen
🔥🔥🔥🔥
😍😍😍
🔥🔥🔥
MUNGU Akubariki sana pastor Rose shaboka
Yezebeli yupo job. Mnataka muwe kiumbe no one?
Ya kwanza iko wapi??uhondo huo
Leo ana Nywele hahaha
Hakikaaaaaa uwiiii
Wanawake Africa ni balaa hatuamki kabisaa
She is promoting cosmetics ,mapambo ya nje bila kujiamini ndani na kujitambua utahangaika sana na usipate unachotaka
P
hakika kila mtu anawakwake atapata tu kilicho. chema
Yani kwa ninayojifunza kupitia wewe sijui nikuelezeje
Neno ni dawa!!!?🙏🙏🙏
jmnii Mungu ambariki
Namuona fayma safi sana
Pastor Rose u a fire!!! Mungu azid kukuinua
Mbona unakasema Kasichana ni Msichana
Nimependa sana nataka kujifunza ujasiriamali kutengeneza na kupaki peanut butter ubuyu karanga za mayai na kiu sana naona kwenu nitafanikiwa niko bukoba
Hayo mafuta ya nazi ya watoto nitayapataje
Number yako mama
Mungu akubariki
Ameen
Amen pastor umenibariki